You are on page 1of 6

Chorus

Unaweza kufanya x2
Yaliyo magumu,
unaweza Yesu.
( repeat)
Chorus
Unafanya mambo ambayo
mwanadamu hawezi kufanya,
unatoa faraja ambayo
mwanadamu hawezi kutoa,
haufananishwi na kitu kingine
( repeat)
Weweni Mfalme wa
wafalme
Bwana wa Mabwana
Hakuna kama wewe
umetukuka
You are yahweh eeh
you are yahweh x2
You are yahweh Alfa
and Omega (repeat)
Nimekombolewa na
Yesu
Aliyenirehemia;
Kwa bei ya mauti yake
Nimekuwa mtoto wake .
 Kombolewa!
Nakombolewa na damu
ya yesu;
Kombolewa!
Mimi mwana wake kweli.
 

You might also like