You are on page 1of 9

56.NI SIKU KUU SIKU ILE.

Verse 1

Ni siku kuu siku ile


Ya kumkiri Mokozi
Moyo umejaa tele
Kunyamaza siwezi,
Chorus
Siku kuu, siku kuu,
Ya kuoshwa dhambi zangu!
Kukesha na kuomba tu
Ananingoza miguu,
Siku kuu, siku kuu!
ya kuoshwa dhambi zangu,
Verse 2

Tumekwisha kupatana
Mimi wake yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la mungu
Chorus
Siku kuu, siku kuu,
Ya kuoshwa dhambi zangu!
Kukesha na kuomba tu
Ananingoza miguu,
Siku kuu, siku kuu!
ya kuoshwa dhambi zangu,
Verse 3 

Moyo tulia kwa Bwana


Kiini cha raha yako,
Huna njia mbili tena,
Yesu ndiye njia yako.
Chorus
Siku kuu, siku kuu,
Ya kuoshwa dhambi zangu!
Kukesha na kuomba tu
Ananingoza miguu,
Siku kuu, siku kuu!
ya kuoshwa dhambi zangu,
Chorus

Nadhili yangu ya mbele,


Naiweka daima,
Hata ije siku ile,
Ya kwonana kwa salama
Chorus
Siku kuu, siku kuu,
Ya kuoshwa dhambi zangu!
Kukesha na kuomba tu
Ananingoza miguu,
Siku kuu, siku kuu!
ya kuoshwa dhambi zangu,

You might also like