You are on page 1of 3

AccessBank YAZIDI KUONGEZA IDADI YA MAWAKALA WAKE MTAANI

Katika kuendelea kusogeza na kurahisisha matumizi ya huduma mbalimbali za


kibenki kwa wateja wake na wananchi kwa ujumla, AccessBank imeongeza idadi ya
mawakala wake nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo, Meneja Masoko wa benki hiyo
ndugu. Muganyizi Jonas Bisheko, amesama kua ongezeko hili limelenga
kuwawezesha wananchi kufikiwa nahuduma za kibenki kwa unafuu na urahisi Zaidi
pasipo na ulazima wa kutembelea tawi la benki.
Ameeleza kuwa kwa sasa Mawakala hao wanapatikana maeneo yafuatayo;

S/

JINA LA WAKALA

MAHALI ALIPO

N
1
SKUVI
2

MINI

SUPERMARKET
LACASUMBAI

KIJITONYAMA SHULE
0784 800573
MAKUMBUSHO
( Nyuma ya Tawi la Kijitonyama na Ofisi za
Tigo )
0717 173084
MWENGE MPAKANI

3
JK INTERNET CAF
4

0713 477112
GETI LA MLIMANI CITY NJIA YA KWENDA
CHUO

MK BUSINESS CENTER

0715062334/0754062334

5
THERRY INVESTMENT

TEGETA (AKIBA AU AAR HOSPITAL)


0767500400
BUNJU A

6
COMRADE SERVICES
7
AICHI GENERAL SUPPLIES

0717026997 au 0655459342
NAMANGA
0714581457

LTD
8

HARBOUR VIEW

KOLI FINANCE LTD


EVOLUTION INVESTMENT

0713334030
TANDALE KWA MTOGOLE

GENERAL SUPPLIES LTD


GERIRWA
GENERAL

0715667733
KITUO CHA BASI MWANANYAMALA A

0
1

SUPPLIES COMPANY
MALEKIA INVESTMENT

1
1

MDODWE SHOP

2
1

E.J SHOP

0713311616
SINZA MADUKANI
0713562667
SALASALA NJIA YA KWENDA KWA MBOMA

0714846363
MWENGE- ITV
0716411567

Aidha bwana Bisheko, amewaasa wananchi kutembelea mawakala hawa na


kufanya miamala balimbali ya kibenki kwa haraka na wepese Zaidi hata baada ya
muda wa kazi wa matawi ya benki. Baadhi ya huduma zinazotelewa kupitia
AccessBank WAKALA ni kama vile 1. Kuweka Fedha Bure, 2. Kutoa Fedha, na 3.
Kukusanya nyaraka za kufungua Akaunti.
Hivi karibuni benki hiyo inatarajia kutangaza mwakala wengine wapya
katika maeneo mbalimbali.
AccessBank Tanzania ni Taasisi ya Kifedha inayolenga haswa kutoa huduma za
kibenki kwa wajasiriamali wadogo na wa kati. kupitia wanahisa wake wa kimataifa
amabao ni AccessHolding, International Finance Corporation (Word Bank), KfW,
African Development Bank na MicroVest, maono ya benki ni kujidhatiti katika
uanzishaji wa mifumo ya kifedha unayochochea maendeleo ya jamii kwa kutoa
huduma zilizobora kwa watu wote.

You might also like