You are on page 1of 5

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI, KWA MWAKA WA FEDHA


2015/2016 TAREHE 12 MEI, 2015 HADI 27 JUNI, 2015

OFISI YA BUNGE

MEI, 2015

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI, KWA MWAKA WA


FEDHA 2015/2016 TAREHE 12 MEI, 2015 HADI
27 JUNI, 2015
NA.

TAREHE NA SIKU

1.

JUMAMOSI
na
JUMAPILI
09/05/2015 -10/05/2015
JUMATATU
11/05/2015

2.

Saa 4.00 Asubuhi

SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA


Wabunge kuelekea Dodoma kutoka Dar es
Salaam na sehemu mbalimbali.

Kikao cha Pamoja cha Kamati ya Uongozi


na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius
Msekwa)

Saa 10.00 Jioni


Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote
3.

JUMANNE - JUMAMOSI
12/5/2015 - 16/5/2015

(Ukumbi wa Pius Msekwa)


Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli
zifuatazo.
(i)

Maswali ;

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI


MKUU: (Siku 5)
SERA, URATIBU NA BUNGE.

UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI.

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA


MITAA

4.

JUMATATU
18/5/2015

Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:

5.

6.

JUMANNE
19/5/2015

JUMATANO
20/5/2015

MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

UTAWALA BORA

MAHUSIANO NA URATIBU

Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA


RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA).
Maswali

7.
ALHAMISI
21/5/2015
8.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO,


CHAKULA NA USHIRIKA

Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA


NA SHERIA
Maswali

IJUMAA
22/5/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


MAMBO YA NDANI YA NCHI

9.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MIFUGO NA UVUVI
Maswali

JUMAMOSI
23/5/2015

10.
JUMATATU
25/5/2015

11.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA
WATOTO
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI
NA AJIRA.
Maswali

JUMANNE
26/5/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


VIWANDA NA BIASHARA
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
3

MAWASILIANO, SAYANSI NA
TEKNOLOJIA
12.

13.

Maswali

JUMATANO
27/5/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


UJENZI
Maswali

ALHAMISI
28/5/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


MALIASILI NA UTALII.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA
MICHEZO
14.

15.
16.

Maswali

IJUMAA
29/5/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA
KIMATAIFA.
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
UCHUKUZI
Maswali

JUMAMOSI
30/5/2015
JUMATATU
01/6/2015

17.

18.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Maswali

JUMANNE
02/6/2015

HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA


USTAWI WA JAMII
Maswali

JUMATANO
03/6/2015

19.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


MAJI.
Maswali

ALHAMISI
04/6/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA
MAKAZI

20.

Maswali.

IJUMAA
05/6/2015

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


NISHATI NA MADINI.
21
22.

23.

24.
25.

JUMAMOSI
06/06/2015
JUMATATU - JUMATANO
08/6/2015 10/6/2015

27.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA


FEDHA

Maswali;

Serikali kushauriana na Kamati ya Bajeti


Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye
Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa
kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3)
Maswali

ALHAMISI
11/6/2015

IJUMAA
12/6/2015
JUMATATU - JUMANNE
15/6/2015 - 23/6/2015

26.

JUMATANO
24/6/2015

(i)

Waziri anayehusika na Mipango


Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.

(ii)

Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya


Bajeti ya Serikali.

Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya


Bajeti.
Maswali
MJADALA KUHUSU BAJETI YA
SERIKALI
(Siku 7)
Maswali
Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi
(The Appropriation Bill, 2015)
Muswada wa Sheria ya Fedha (The
Finance Bill, 2015)
Maswali

ALHAMISI - IJUMAA
25/6 26/6/2015

Muswada wa Sheria ya Fedha (The


Finance Bill, 2015)
28.

JUMAMOSI
27/6/2015

KUFUNGA BUNGE

You might also like