You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Simu: +255-22-2112035/40 9 Barabaraya Ohio


Nukushi: +255-2122617/2120486 S.L.P. 9223
Baruapepe: ps@moha.go.tz 11483 DAR ES
SALAAM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa watano wa Magereza kuwa
Naibu Makamishna na wengine 24 kuwa Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa
Magereza kuanzia tarehe 25 mwezi Mei, 2017.

Waliopandishwa vyeo kuwa Naibu Kamishna wa Magereza ni Kamishna Msaidizi


Mwandamizi wa Magereza Uwesu H. Ngarama, Boharia Mkuu wa Jeshi la Magereza,
Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Gideon M. D. Nkana,
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Ukonga, Dar es Salaam, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Jeremiah .M.C. Nkondo, Mkuu wa Magereza Mkoa
wa Kagera, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Tusekile S. Mwaisabila,
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Lindi pamoja na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa
Magereza Augustine S. Mboje ambaye ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam.

Waliopandishwa vyeo kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza ni Kamishna


Msaidizi wa Magereza Mbaraka Sultan Semwanza, Mwalimu wa Hisabati na Kemia
shule ya Sekondari Bwawani inayosimamiwa na Jeshi Magereza, Kamishna Msaidizi
wa Magereza George Togholai Mwambashi, Mkuu wa Kitengo cha Sheria Makao
Makuu ya Magereza Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza Charles R.
Novat, Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo Makao Makuu ya Magereza Dar es Salaam,
Kamishna Msaidizi wa Magereza Faustine Martin Kasike Mkufunzi Mwandamizi Chuo
cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Kunduchi Dar es Salaam.
Wengine ni Kamishna Msaidizi wa Magereza Joel Silverster Bukuku, Mdhibiti wa
Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi wa Magereza Deogratius Ndaboine Lwanga,
Afisa Mnadhimu, Magereza Makao Makuu Ukonga, Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi
wa Magereza Boyd Patric Mwambingu, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Pwani, Kamishna
Msaidizi wa Magereza Athuman Ambayuu Kitiku, Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Magereza Hassan Bakari Mkwiche, Mkuu wa
Magereza Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Magereza Luhende DAVID
Makwaia, Mkufunzi Mkuu wa Mafunzo ya Kijeshi na Msaidizi wa Mkuu wa Chuo cha
Magereza Kiwira Mbeya, Kamishna Msaidizi wa Magereza Hamza Rajab Hamza, Afisa
Mnadhimu wa Magereza Mkoa wa Tabora na Kamishna Msaidizi wa Magereza
Jeremiah Yoram Katungu, Msaidizi Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Magereza Makao Makuu
Dar es Salaam.

Wengine ni Kamishna Msaidizi wa Magereza Mzee Ramadhan Nyamka, Mkuu wa


Magereza Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Magereza Afwilile Mwakijungu,
Mkuu wa Gereza Isupilo Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Magereza Ally
Abdallah S. Kaherewa, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa
Magereza Salum Omar Hassan, Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Singida,
Kamishna Msaidizi wa Magereza Ismail T. Mlawa, Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Mtwara, Kamishna Msaidizi wa Magereza Chacha Bina Jackson, Mdhibiti wa Fedha
Makao Makuu ya Magereza Dar es Salaam na Kamishna Msaidizi wa Magereza Rajab
Nyange Bakari, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Ghasia Magereza Ukonga Dar es
Salaam.

Wengine ni Kamishna Msaidizi wa Magereza Kijida Paul Mwankingi, Mkuu wa


Magereza Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi wa Magereza Julius Cosmas Ntambala,
Msimamizi Mkuu wa Ujenzi wa Nyumba 320 za Kuishi Askari Gereza la Ukonga,
Kamishna Msaidizi wa Magereza Mussa Musuluzya Kaswaka, Afisa Mkaguzi Makao
Makuu Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza Justine M. Kaziulaya, Mratibu
Msaidizi Baraza la Usalama la Taifa na Kamishna Msaidizi wa Magereza Bertha
Joseph Minde ambaye ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Manyara.

Imetolewa na
Meja Jenerali Projest Rwegasira
Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
6 Juni 2017

You might also like