You are on page 1of 1

MAELEZO YA JINSI YA KUTUMA MAOMBI NA VITU VYA

KUZINGATIA

Yapı Merkezi Construction

KUPATA TAARIFA ZA AJIRA MPYA, FURSA NA ELIMU HARAKA KILA SIKU


TEMBELEA WWW.AJIRALEO.COM

Job application procedure


Waombaji Ni Lazima Wawasilishe Wasifu Wao (CV) Kupitia Email Ifuatayo:
oac@ym.com.tr
( Tafadhali andika nafasi ya kazi unayoiomba katika kichwa cha habari (Subject) cha barua pepe
yako)

Wasifu (CV) ni lazima ijumuishe vitu vifuatavyo


• Nafasi ya kazi unayoomba
• Namba za simu za muombaji wa kazi
• Anuani ya makazi ya muombaji
• Kiwango cha elimu na rekodi ya uzoefu wa kazi
• Walau majina mawili ya wadhamini Pamoja na mawasiliano yao

MUHIMU KUZINGATIA
• Tuma wasifu wako wa kazi pekee
• Usiambatanishe barua nyingine wala vyeti
• Nyaraka nyingine zitahitajika baada ya wasifu kufanyiwa kazi

TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI


• Yapi Merkezi HATUNA MAHUSIANO na na kampuni yoyote ya kuajiri au wakala binafsi wa
ajira!
• Yapi Merkezi HATUTOZI GHARAMA YOYOTE au kupoke kiasi chochote cha pesa kwa ajili
ya maombi ya kazi au kupata ajira!
• Chukua tahadhari na toa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu kitendo chochote haramu kuhusu
ajira.

KUPATA TAARIFA ZA AJIRA MPYA, FURSA NA ELIMU KATIKA SIMU YAKO


KWA HARAKA ZAIDI!
PAKUA/DOWNLOAD/INSTALL APP YETU BONYEZA HAPA

You might also like