You are on page 1of 1

Tumsifu Maria-Fecioara la munte

D A D
1. Tumsifu Maria, enyi wanae,
D A D D7
tumtolee salamu, tumshangilie
G D A D
R: Salaam, salaam, salaam Maria
G D A D
Salaam, salaam, salaam Maria

D A D
2. Nyota ya bahari, mlango wa mbingu
D A D D7
Mwondoa hatari, mama wa Mungu R:

D A D
3. Maria bikira, ndiwe mteule
D A D D7
4. Umechaguliwa tangu milele R:

D A D
5. Hatuna mwombaji aombeaye
D A D D7
Kwa Kristu Mwokozi kuliko wewe R:

D A D
6. Mametu mbinguni tumshangilie
D A D D7
7. Mwanao mpenzi pamoja nawe

You might also like