You are on page 1of 4

Namba ya Mtahiniwa …………………………

FORM FOUR PRE-MOCK EXAMINATION FORM FOUR PRE-MOCK EXAMINATION FORM FOUR PRE-MOCK EXAMINATION FORM FOUR PRE-MOCK EXAMINATION FORM FOUR PRE-MOCK EXAMINATION FORM FOUR

OFISI YA RAISI

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA MJI KIBAHA

MTIHANI WA KABLA YA MTIHANI WA UTAMILIFU – KIDATO CHA NNE 2021

KISWAHILI

021

MUDA: SAA 3 JUMANNE, 16/03/2021Mchana

MAELEKEZO:

1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali 12.

2. Jibu maswali yote katika sehemu A na B na maswali matatu (03) kutoka sehemu C.

3. Zingatia maagizo ya kila sehemu na ya kila swali.

4. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani.

5. Andika namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu chako cha kujibia.

KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU

NAMBA YA SWALI ALAMA MTAHINI
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
JUMLA
ALAMA YA MUINGIZAJI
ALAMA Y MHAKIKI

1
Namba ya Mtahiniwa …………………………

SEHEMU A (Alama 15)

Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.

1. Chagua jibu sahihi katika tungo zifuatazo;

(i) Ni sehemu gani ya sentensi ambayo hujazwa na kikundi nomino katika kiarifu?
A. Ngeli za majina
B. Kikundi Nomino
C. Prediketa
D. Shamirisho

(ii) Uanishaji wa ngeli za nomino hujikita zaidi katika kigezo cha

A. Viambishi awali vya kitenzi
B. Umoja na wingi
C. Muundo wa sentensi
D. Upatanisho wa kisarufi

(iii) Kanuni zinazowezesha maelewano katika mazungumzo hujulikana kama

A. Sarufi
B. Kanuni za lugha
C. Konsonati
D. Mofimu

(iv) Katika kitenzi “Tunaeleweshwa” mofimu na imetumika kama

A. Kiambishi cha njeo iliyopita
B. Mofimu ya mzizi wa neno
C. Mofimu ya njeo iliyopo
D. Mofimu ya njeo ijayo

(v) “Walimu wetu wanapenda sana kufundisha pia sisi tunapenda wanavyofundisha”.
Neno “pia” katika sentensi hii linatumika kama
A. Kiunganishi
B. Kielezi
C. Kihisishi
D. Kiwakilishi

(vi) Sentensi zifuatazo zinautata isipokuwa,

A. Walioletwa wote ni wambeya
B. Vijana wanasoma sana
C. Mama yake amemvulia nguo
D. Shadida ametuombea

(vii) Kwanini fasihi ni sanaa?

A. Hutumiwa sana na wasanini
B. Huwa na watumiaji wengi
C. Hutumia ubunifu mwingi katika uwasilishaji wake
D. Hutumia lugha ya maandishi

(viii) Neno “Bendera” limetoholewa kutoka katika lugha gani kati ya lugha zifuatazo;
A. Kifaransa
2
Namba ya Mtahiniwa …………………………

B. Kreno
C. Kihispania
D. Kiingereza

(ix) Malizia methali ifuatayo; “ Gonga gogo ………………….”

A. Watoke wadudu
B. Usikie mliowake
C. Utimuenyuki
D. Kuondoa woga msituni

(x) Ni wageni gani wa kikoloni waliofanya kazi ya kusanifisha lahaja ya kiunguja na

kuwa lugha ya Kiswahili sanifu.
A. Waarabu
B. Wareno
C. Wajerumani
D. Waingereza

2. Chagua kifungu cha maneno kutoka orodha B kinachotoa maelezo sahihi ya maneno
katika orodha A kwa kuandika herufi ya jibu sahihi kando ya namba ya kipengele cha
swali katika kijitabu chako.
ORODHA A ORODHA B
(i) Nomino dhahania A. Omba omba
(ii) Ngeli B. Piga mbizi
(iii) Uradidi C. Chai
(iv) Lahaja D. Chaki
(v) Neno lenye fonimu nne E. Ku
F. Mafuta
G. Upweke
H. Kimtang’ata
I. O-rejeshi
J. Kibantu

SEHEMU B: (Alama 40)

SARUFI, UTUMIZI WA LUGHA, UANDISHI NA MAENDELEO YA
KISWAHILI.
Jibu maswali yote katika sehemu hii.

3. Eleza njia za uundaji wa maneno zilizotumika katika maneno yafuatayo;

(a) Bunduki
(b) Jotoridi
(c) Beseni
(d) Tikiti maji

4. Onesha kiima na kiarifu katika tungo zifuatazo, kisha eleza muundo wa tungo hiyo.
(a) Mwalimu mfupi atachukua chaki
(b) Vijana watakaosoma vizuri watapewa nafasi ya kwanza.
(c) Siwezi kuandika kwa ufasaha.
(d) Kulia kwake kunatuhuzunisha sana.

3
Namba ya Mtahiniwa …………………………

5. Wewe ni mhitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Lilongwe. Andika risala
itakayosomwa mbele ya mgeni rasmi katika siku ya mahafali mwishoni mwa mwaka
huu 2021.

6. Neno “Ku” huweza kutumika katika miktadha mbalimbali. Onesha kwa mifano kazi
nne za kiambishi “Ku”.

7. Kwa kutumia tamthiliya ya “Kilio chetu” na “Orodha” eleza kwa kifupi vikwazo
wanavyokumbana navyo wanawake. Hoja mbili kila tamthiliya.

8. Kwa kutumia hoja (4), eleza mchango wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa

Tanzania katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili Duniani.
SEHEMU C: (Alama 45)
FASIHI KWA UJUMLA
Jibu maswali matatu tu (3) kutoka sehemu hii

9. Kazi ya methali ni kutunza, kukosoa, kuadili na hata kuelekeza jamii, lakini

zinzpotumiwa vibaya huipotosha jamii. Jadili kauli hii kwa kutumia methali nne (4).

ORODHA YA VITABU KWA SWALI LA 10 – 12

USHAIRI
Wasakatonge - M. S. Khatibu (DUP)
Malenga Wapya - TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya chekacheka - T. A Mvungi (Ep &D. LTD)

RIWAYA
Takadini - Ben J. Hanson (MBS)
Watoto wa Mama Ntilie - E. Mbofo (HP)
Joka la Mdimu - A. J. Safari (HP)

TAMTHILIYA
Orodha - Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe - E. Semzaba (ESC)
Kilio chetu - Medical Aid Fountation (TPH)

10. Vijana ni kundi muhimu sana katika jamii zote. Fafanua kauli hii kwa kuonesha
mtazamo wa waandishi wa riwaya mbili ulizosoma juu ya vijana. Hoja tatu kwa kila
riwaya.

11. “Mshairi ni kiongozi sahihi katika nchi yake au Taifa lake” Thibitisha dai hili kwa
kutoa hoja tatu toka kila diwani kati ya diwani mbili ulizosoma.

12. Waandishi wengi wa Tamthiliya hupinga vikali baadhi ya tamaduni za kigeni ndani ya
Taifa la Tanzania. Fafanua maneno haya kwa kutoa hoja tatu kutoka katika kila
tamthiliya kati ya Tamthiliya mbili ulizosoma.

***** END *****

You might also like