You are on page 1of 7

KUMB: PPR/2023 - 10/01

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI


KUANZIA JUMATANO, TAREHE 4 OKTOBA 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za


bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 4
Oktoba 2023 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Oktoba 2023, bei za rejareja za mafuta katika
Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo:

Petroli Dizeli Mafuta ya Taa


Mkoa
TZS/Lita
Dar es Salaam 3,281 3,448 2,943
Tanga 3,327 3,494 2,989
Mtwara 3,353 3,520 3,016

Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 yanatokana na kupanda kwa
gharama za mafuta katika soko la dunia kwa hadi kufikia asilimia 4.21 na gharama
za uagizaji wa mafuta hadi kufikia asilimia 17 kwa petroli, asilimia 62 kwa dizeli na
asilimia 4 kwa mafuta ya taa. Pia, uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa mafuta
duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya
Urusi imewekewa na mataifa ya magharibi. Bei za mafuta za rejareja katika miji, wilaya
na mikoa ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 1 na bei za mafuta kwa
wafanyabiashara wa jumla ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 2.
Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei
zinazooneshwa katika Jedwali Na. 1. Aidha, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa
jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zinazooneshwa katika Jedwali Na. 2. Hatua kali
za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.
EWURA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na
rejareja pamoja na jamii kuzingatia yafuatayo: -
a) bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana kupitia
simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kisha kufuata maelekezo.
Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa
nchini.
b) Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, kifungu namba 166, bei za
bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko. EWURA itaendelea
kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta.
c) Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya
ushindani isipokuwa bei hizo zisizidi bei kikomo (Price cap) au kuwa chini ya
1
bei iliyoruhusiwa (Floor Price) kama zilivyokokotolewa kwa mujibu wa Kanuni
za EWURA za Kupanga Bei za Mafuta za Mwaka 2023 zilizotangazwa kupitia
Gazeti la Serikali Na. 421 la tarehe 23 Juni 2023.
d) Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika
mabango yanayoonekana bayana yakionesha bei za mafuta, punguzo, vivutio vya
kibiashara vinavyotolewa na kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua,
wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta
kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka
mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja. Adhabu kali itatolewa kwa
kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni
husika.
e) Wauzaji wa bidhaa za mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa stakabadhi za mauzo
kutoka kwenye Electronic Fiscal Pump Printers (EFPP) na wanunuzi wahakikishe
wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya
mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hizo zitatumika kama kidhibiti
kwa wanunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya kuuziwa mafuta kwa
bei ya juu kuliko bei kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora
unaotakiwa. Stakabadhi hizo pia zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za
Serikali zitokanazo na mauzo ya bidhaa za mafuta ya petroli.

JEDWALI 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA KWA SHILINGI/LITA


Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
1 Dar es Salaam 3,281 3,448 2,943
2 Arusha 3,365 3,532 3,027
3 Arumeru (Usa River) 3,365 3,532 3,027
4 Karatu 3,383 3,550 3,046
5 Longido 3,376 3,543 3,038
6 Monduli 3,371 3,538 3,033
7 Monduli-Makuyuni 3,375 3,542 3,038
8 Ngorongoro (Loliondo) 3,457 3,624 3,119
9 Coast (Kibaha) 3,286 3,453 2,948
10 Bagamoyo 3,292 3,459 2,954
11 Bagamoyo (Miono) 3,323 3,490 2,985
12 Bagamoyo (Mbwewe) 3,304 3,471 2,966
13 Chalinze Junction 3,295 3,462 2,957
14 Chalinze Township (Msata) 3,299 3,466 2,962
15 Kibiti 3,301 3,468 2,964
16 Kisarawe 3,288 3,455 2,950
17 Mkuranga 3,291 3,458 2,953
18 Rufiji 3,309 3,476 2,971
19 Dodoma 3,340 3,507 3,002
20 Bahi 3,347 3,514 3,009
21 Chamwino 3,335 3,502 2,997
2
Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
22 Chemba 3,366 3,533 3,029
23 Kondoa 3,373 3,540 3,035
24 Kongwa 3,337 3,504 2,999
25 Mpwapwa 3,341 3,508 3,003
26 Mpwapwa (Chipogoro) 3,353 3,520 3,015
27 Mtera (Makatopora) 3,359 3,526 3,021
28 Mvumi 3,346 3,513 3,009
29 Geita 3,446 3,613 3,109
30 Bukombe 3,435 3,602 3,098
31 Chato 3,467 3,635 3,130
32 Mbogwe 3,485 3,652 3,147
33 Nyang'hwale 3,461 3,629 3,124
34 Iringa 3,345 3,512 3,007
35 Ismani 3,350 3,517 3,013
36 Kilolo 3,350 3,517 3,012
37 Mufindi (Mafinga) 3,355 3,522 3,017
38 Mufindi (Igowole) 3,364 3,531 3,026
39 Kagera (Bukoba) 3,497 3,664 3,159
40 Biharamulo 3,471 3,638 3,133
41 Karagwe (Kayanga) 3,513 3,680 3,175
42 Kyerwa (Ruberwa) 3,519 3,686 3,181
43 Muleba 3,497 3,664 3,159
44 Ngara 3,484 3,651 3,147
45 Misenyi 3,505 3,672 3,167
46 Katavi (Mpanda) 3,439 3,606 3,101
47 Mlele (Inyonga) 3,420 3,587 3,083
48 Mpimbwe (Majimoto) 3,458 3,625 3,120
49 Tanganyika (Ikola) 3,457 3,624 3,119
50 Kigoma 3,443 3,610 3,106
51 Uvinza (Lugufu) 3,434 3,601 3,096
52 Muyobozi Village (Uvinza) 3,442 3,609 3,104
53 Ilagala Village (Uvinza) 3,444 3,611 3,106
54 Buhigwe 3,442 3,609 3,104
55 Kakonko 3,444 3,611 3,106
56 Kasulu 3,453 3,620 3,115
57 Kibondo 3,450 3,617 3,112
58 Kilimanjaro (Moshi) 3,355 3,522 3,017
59 Hai (Bomang'ombe) 3,358 3,525 3,020

3
Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
60 Mwanga 3,348 3,515 3,010
61 Rombo (Mkuu) 3,376 3,543 3,038
62 Same 3,341 3,508 3,003
63 Siha (Sanya Juu) 3,361 3,528 3,024
64 Lindi 3,340 3,507 3,002
65 Lindi-Mtama 3,358 3,525 3,020
66 Kilwa Masoko 3,315 3,482 2,977
67 Liwale 3,361 3,528 3,023
68 Nachingwea 3,369 3,536 3,031
69 Ruangwa 3,371 3,538 3,033
70 Manyara (Babati) 3,403 3,570 3,066
71 Hanang (Katesh) 3,414 3,581 3,076
72 Kiteto (Kibaya) 3,414 3,581 3,077
73 Mbulu 3,416 3,583 3,078
74 Simanjiro (Orkasumet) 3,435 3,602 3,098
75 Mara (Musoma) 3,447 3,614 3,109
76 Musoma Vijijini (Busekela) 3,459 3,627 3,122
77 Rorya (Ingirijuu) 3,454 3,621 3,116
78 Rorya (Shirati) 3,462 3,629 3,124
79 Bunda 3,438 3,605 3,100
80 Bunda (Kisorya) 3,450 3,618 3,113
81 Butiama 3,444 3,611 3,106
82 Serengeti (Mugumu) 3,455 3,622 3,117
83 Tarime 3,455 3,622 3,118
Tarime
84 3,461 3,628 3,123
(Kewanja/Nyamongo)
85 Mbeya 3,388 3,555 3,050
86 Chunya 3,398 3,565 3,060
87 Chunya (Makongolosi) 3,403 3,570 3,065
88 Chunya (Lupa Tingatinga) 3,405 3,572 3,067
89 Kyela 3,404 3,571 3,066
90 Mbarali (Rujewa) 3,372 3,539 3,034
91 Rujewa (Madibira) 3,386 3,553 3,048
92 Rujewa (Kapunga) 3,382 3,549 3,044
93 Rungwe (Tukuyu) 3,397 3,564 3,059
94 Busokelo (lwangwa) 3,400 3,567 3,063
95 Morogoro 3,306 3,473 2,968
96 Mikumi 3,322 3,489 2,984
97 Kilombero (Ifakara) 3,344 3,511 3,006
4
Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
98 Kilombero (Mlimba) 3,366 3,533 3,029
99 Kilombero (Mngeta) 3,355 3,522 3,018
100 Ulanga (Mahenge) 3,355 3,522 3,017
101 Malinyi 3,365 3,532 3,027
102 Kilosa 3,324 3,491 2,987
103 Gairo 3,324 3,491 2,987
104 Mvomero (Wami Sokoine) 3,316 3,483 2,979
105 Mvomero (Sanga Sanga) 3,306 3,473 2,968
106 Turian 3,331 3,498 2,993
107 Mtwara 3,353 3,520 3,016
108 Nanyumbu (Mangaka) 3,402 3,569 3,065
109 Masasi 3,379 3,546 3,041
110 Newala 3,386 3,553 3,048
111 Tandahimba 3,379 3,546 3,041
112 Nanyamba 3,379 3,546 3,041
113 Mwanza 3,431 3,598 3,093
114 Kwimba 3,449 3,616 3,111
115 Magu 3,439 3,606 3,101
116 Misungwi 3,426 3,593 3,088
117 Misungwi (Mbarika) 3,436 3,603 3,098
118 Sengerema 3,464 3,631 3,126
119 Ukerewe 3,491 3,658 3,153
120 Njombe 3,374 3,541 3,036
121 Njombe (Kidegembye) 3,394 3,561 3,056
122 Ludewa 3,411 3,578 3,074
123 Makambako 3,366 3,533 3,028
124 Makete 3,404 3,571 3,067
Wanging'ombe
125 3,371 3,538 3,033
(Igwachanya)
126 Rukwa (Sumbawanga) 3,454 3,621 3,116
Sumbawanga Rural
127 3,454 3,621 3,116
(Mtowisa)
128 Kalambo (Matai) 3,461 3,628 3,123
129 Nkasi (Namanyele) 3,467 3,635 3,130
130 Nkasi (Kirando) 3,477 3,644 3,139
131 Ruvuma (Songea) 3,404 3,571 3,067
132 Mbinga 3,417 3,584 3,079
133 Namtumbo 3,410 3,577 3,072
134 Nyasa (Mbamba Bay) 3,427 3,594 3,090

5
Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
135 Tunduru 3,384 3,551 3,046
136 Shinyanga 3,410 3,577 3,072
137 Kahama 3,414 3,581 3,077
138 Kishapu 3,418 3,585 3,080
139 Ushetu (Nyamilangano) 3,426 3,593 3,088
140 Ushetu (Kangeme Village) 3,432 3,599 3,094
141 Salawe 3,424 3,591 3,086
142 Simiyu (Bariadi) 3,428 3,595 3,090
143 Busega (Nyashimo) 3,440 3,607 3,102
144 Itilima (Lagangabilili) 3,428 3,595 3,090
145 Maswa 3,422 3,589 3,084
146 Meatu (Mwanhuzi) 3,433 3,600 3,095
147 Singida 3,372 3,539 3,034
148 Iramba 3,384 3,551 3,046
149 Manyoni 3,356 3,523 3,019
150 Itigi (Mitundu) 3,372 3,539 3,034
151 Ikungi 3,367 3,534 3,029
152 Mkalama (Nduguti) 3,396 3,563 3,059
153 Songwe (Vwawa) 3,397 3,564 3,060
154 Songwe (Mkwajuni) 3,404 3,571 3,067
155 Ileje 3,401 3,568 3,064
156 Momba (Chitete) 3,407 3,574 3,069
157 Tunduma 3,402 3,569 3,064
158 Tabora 3,389 3,556 3,051
159 Igunga 3,389 3,556 3,051
160 Kaliua 3,402 3,569 3,065
161 Ulyankulu 3,400 3,567 3,062
162 Nzega 3,400 3,567 3,062
163 Sikonge 3,398 3,565 3,060
164 Urambo 3,399 3,566 3,061
165 Uyui 3,396 3,563 3,058
166 Mpyagula 3,421 3,588 3,083
167 Tanga 3,327 3,494 2,989
168 Handeni 3,306 3,474 2,969
169 Kilindi 3,341 3,508 3,003
170 Korogwe 3,320 3,487 2,982
171 Lushoto 3,330 3,497 2,992
172 Mkinga (Maramba) 3,341 3,508 3,004

6
Bei Kikomo
Na. Mji
Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
173 Muheza 3,327 3,494 2,989
174 Pangani 3,334 3,501 2,996

JEDWALI 2: BEI KIKOMO ZA JUMLA (SHILINGI/LITA)

Bandari Petroli Dizeli Mafuta ya Taa

Dar es Salaam 3,148.80 3,314.95 2,812.34

Tanga 3,029.93 3,225.66 -

Mtwara 3,064.10 3,255.21 -

Dkt. James A. Mwainyekule


MKURUGENZI MKUU- EWURA

You might also like