You are on page 1of 8

KUMB: PPR/2023 - 01/1

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI


KUANZIA JUMATANO, TAREHE 4 JANUARI 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo


za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia
Jumatano, Tarehe 4 Januari 2023 saa 6:01 usiku.

Katika mwezi Januari 2023 bei ya mafuta ya rejareja ya petroli kwa Dar es Salaam
imepungua kwa shilingi 8/lita, wakati Tanga na Mtwara imeongezeka kwa shilingi
164/lita na shilingi 168/lita, mtawalia, ikilinganishwa na bei za Desemba 2022. Pia bei ya
dizeli kwa Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kwa shilingi 48, 91 na 135
kwa lita, mtawalia. Bei ya mafuta ya taa kwa bandari ya Dar es salaam imepungua kwa
shilingi 49/lita ukilinganisha na bei zilizopita. Kuongezeka kwa bei kikomo
kunasababishwa na mabadiliko ya bei za mafuta yaliyosafishwa katika soko la dunia
(FOB), gharama za uagizaji mafuta (premium) na kuongezeka kwa thamani ya dola ya
Marekani ukilinganisha na shilingi.

Bei za miji, wilaya na mikoani ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 1. Tofauti ya
bei kutoka sehemu moja kwenda nyingine inatokana na tofauti ya bandari mafuta
yanapochukuliwa na gharama ya usafirishaji.

Katika kutekeleza bei hizi, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na rejareja
pamoja na jamii kwa ujumla wanatakiwa kuzingatia yafuatayo: -

(a) EWURA inapenda kuukumbusha umma kwamba bei kikomo za


bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana pia kupitia
simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kisha kufuata
maelekezo. Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote
ya simu za mkononi hapa nchini.

(b) Kwa mujibu wa kifungu namba 166 cha Sheria ya Mafuta ya mwaka
1
2015, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko.
EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei
kikomo za bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau
kufanya maamuzi stahiki kuhusu ununuzi wa bidhaa za mafuta.

(c) Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya
ushindani mradi tu bei hizo zisivuke bei kikomo (Price cap) au kushuka
chini ya bei iliyoruhusiwa (Floor Price) kama ilivyokokotolewa kwa
mujibu wa Kanuni za EWURA za Kupanga Bei za Mafuta za Mwaka
2022 zilizotangazwa kupitia Gazeti la Serikali Na. 57 la tarehe 28
Januari 2022.

(d) Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta
katika mabango yanayoonekana bayana na yakionesha bei ya mafuta,
punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo
husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa
kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu
zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka
mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja. Adhabu kali
itatolewa kwa kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa
mujibu wa kanuni husika.

(e) Wauzaji wa mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa risiti za mauzo kutoka


kwenye mashine za EFPP (Electronic Fiscal Pump Printers) na Wanunuzi
wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la
kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi
hizo za malipo zitatumika kama kidhibiti kwa wanunuzi wa mafuta endapo
kutajitokeza malalamiko ya aidha kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei
kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora kinachofaa, na
pia, risiti hizo zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za Serikali
zitokanazo na mauzo ya mafuta ya petroli.

(f) Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja wanatakiwa kuuza


mafuta kwa bei inayooneshwa katika Jedwali Na. 1. Hatua kali za
kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka
AGIZO hili.

(g) Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla wanatakiwa kuuza


mafuta kwa bei inayooneshwa katika Jedwali Na. 2 isipokuwa kwa
wateja wenye msamaha wa kodi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa
dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.

2
JEDWALI NA. 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA (SHILINGI/LITA)
Town Petrol Diesel Kerosene
Dar es Salaam 2,819 3,295 3,203
Arusha 3,036 3,397 3,287
Arumeru (Usa River) 3,036 3,397 3,287
Karatu 3,054 3,415 3,305
Longido 3,047 3,408 3,298
Monduli 3,041 3,402 3,292
Monduli-Makuyuni 3,046 3,407 3,297
Ngorongoro (Loliondo) 3,121 3,482 3,379
Coast (Kibaha) 2,824 3,300 3,207
Bagamoyo 2,830 3,306 3,214
Bagamoyo (Miono) 2,861 3,337 3,245
Bagamoyo (Mbwewe) 2,842 3,318 3,226
Chalinze Junction 2,833 3,309 3,217
Chalinze Township (Msata) 2,838 3,313 3,221
Kibiti 2,840 3,316 3,223
Kisarawe 2,826 3,302 3,210
Mkuranga 2,829 3,305 3,213
Rufiji 2,847 3,323 3,230
Dodoma 2,878 3,354 3,262
Bahi 2,885 3,361 3,269
Chamwino 2,873 3,349 3,257
Chemba 2,904 3,380 3,288
Kondoa 2,911 3,387 3,294
Kongwa 2,875 3,351 3,259
Mpwapwa 2,879 3,355 3,263
Mpwapwa (Chipogoro) 2,891 3,367 3,275
Mtera (Makatopora) 2,897 3,373 3,281
Mvumi 2,884 3,360 3,268
Geita 2,985 3,461 3,368
Bukombe 2,974 3,450 3,357
Chato 3,006 3,482 3,389

3
Town Petrol Diesel Kerosene
Mbogwe 3,023 3,499 3,406
Nyang'hwale 3,000 3,476 3,383
Iringa 2,883 3,359 3,267
Ismani 2,889 3,364 3,272
Kilolo 2,888 3,364 3,271
Mufindi (Mafinga) 2,893 3,369 3,277
Mufindi (Igowole) 2,902 3,378 3,286
Kagera (Bukoba) 3,035 3,511 3,418
Biharamulo 3,009 3,485 3,393
Karagwe (Kayanga) 3,051 3,527 3,435
Kyerwa (Ruberwa) 3,057 3,533 3,441
Muleba 3,035 3,511 3,418
Ngara 3,023 3,498 3,406
Misenyi 3,043 3,519 3,427
Katavi (Mpanda) 2,977 3,453 3,361
Mlele (Inyonga) 2,959 3,435 3,342
Mpimbwe (Majimoto) 2,996 3,472 3,380
Tanganyika (Ikola) 2,995 3,471 3,379
Kigoma 2,982 3,457 3,365
Uvinza (Lugufu) 2,972 3,448 3,356
Muyobozi Village (Uvinza) 2,980 3,456 3,364
Ilagala Village (Uvinza) 2,982 3,458 3,366
Buhigwe 2,980 3,456 3,364
Kakonko 2,982 3,458 3,366
Kasulu 2,991 3,467 3,374
Kibondo 2,988 3,464 3,372
Kilimanjaro (Moshi) 3,026 3,387 3,277
Hai (Bomang'ombe) 3,029 3,390 3,280
Mwanga 3,019 3,380 3,270
Rombo (Mkuu) 3,042 3,403 3,298
Same 3,012 3,373 3,263

4
Town Petrol Diesel Kerosene
Siha (Sanya Juu) 3,032 3,393 3,283
Lindi 3,006 3,418 3,262
Lindi-Mtama 3,011 3,422 3,280
Kilwa Masoko 3,030 3,441 3,237
Liwale 3,042 3,453 3,283
Nachingwea 3,026 3,438 3,291
Ruangwa 3,033 3,444 3,293
Manyara (Babati) 3,070 3,431 3,325
Hanang (Katesh) 3,081 3,442 3,336
Kiteto (Kibaya) 3,085 3,446 3,336
Mbulu 3,083 3,444 3,338
Simanjiro (Orkasumet) 3,102 3,463 3,357
Mara (Musoma) 2,985 3,461 3,369
Musoma Vijijini (Busekela) 2,998 3,474 3,381
Rorya (Ingirijuu) 2,992 3,468 3,376
Rorya (Shirati) 3,000 3,476 3,383
Bunda 2,976 3,452 3,360
Bunda (Kisorya) 2,989 3,465 3,372
Butiama 2,982 3,458 3,366
Serengeti (Mugumu) 2,993 3,469 3,377
Tarime 2,994 3,470 3,377
Tarime (Kewanja/Nyamongo) 2,999 3,475 3,383
Mbeya 2,926 3,402 3,310
Chunya 2,936 3,412 3,320
Chunya (Makongolosi) 2,941 3,417 3,325
Chunya (Lupa Tingatinga) 2,943 3,419 3,327
Kyela 2,942 3,418 3,326
Mbarali (Rujewa) 2,910 3,386 3,294
Rujewa (Madibira) 2,924 3,400 3,307
Rujewa (Kapunga) 2,920 3,396 3,304
Rungwe (Tukuyu) 2,935 3,411 3,319

5
Town Petrol Diesel Kerosene
Morogoro 2,844 3,320 3,228
Mikumi 2,860 3,336 3,244
Kilombero (Ifakara) 2,882 3,358 3,266
Kilombero (Mlimba) 2,904 3,380 3,288
Kilombero (Mngeta) 2,894 3,370 3,277
Ulanga (Mahenge) 2,893 3,369 3,276
Malinyi 2,903 3,379 3,287
Kilosa 2,863 3,339 3,246
Gairo 2,863 3,339 3,246
Mvomero (Wami Sokoine) 2,855 3,331 3,238
Mvomero (Sanga Sanga) 2,844 3,320 3,228
Turian 2,869 3,345 3,253
Mtwara 2,993 3,404 3,275
Nanyumbu (Mangaka) 3,029 3,440 3,324
Masasi 3,009 3,420 3,301
Newala 3,014 3,425 3,307
Tandahimba 3,007 3,418 3,300
Nanyamba 3,007 3,418 3,300
Mwanza 2,969 3,445 3,353
Kwimba 2,987 3,463 3,371
Magu 2,977 3,453 3,361
Misungwi 2,964 3,440 3,347
Sengerema 3,002 3,478 3,385
Ukerewe 3,029 3,505 3,413
Njombe 2,912 3,388 3,295
Njombe (Kidegembye) 2,932 3,408 3,316
Ludewa 2,950 3,425 3,333
Makambako 2,904 3,380 3,288
Makete 2,943 3,418 3,326
Wanging'ombe (Igwachanya) 2,909 3,385 3,293
Rukwa (Sumbawanga) 2,992 3,468 3,376

6
Town Petrol Diesel Kerosene
Sumbawanga Rural (Mtowisa) 2,992 3,468 3,376
Kalambo (Matai) 2,999 3,475 3,383
Nkasi (Namanyele) 3,006 3,482 3,389
Ruvuma (Songea) 3,078 3,490 3,326
Mbinga 3,091 3,502 3,339
Namtumbo 3,069 3,481 3,332
Nyasa (Mbamba Bay) 3,116 3,528 3,349
Tunduru 3,044 3,455 3,306
Shinyanga 2,948 3,424 3,332
Kahama 2,953 3,428 3,336
Kishapu 2,956 3,432 3,340
Ushetu (Nyamilangano) 2,964 3,440 3,348
Ushetu (Kangeme Village) 2,970 3,446 3,354
Salawe 2,962 3,438 3,346
Simiyu (Bariadi) 2,966 3,442 3,350
Busega (Nyashimo) 2,978 3,454 3,362
Itilima (Lagangabilili) 2,966 3,442 3,350
Maswa 2,960 3,436 3,344
Meatu (Mwanhuzi) 2,971 3,447 3,355
Singida 2,910 3,386 3,294
Iramba 2,922 3,398 3,306
Manyoni 2,895 3,371 3,278
Itigi (Mitundu) 2,910 3,386 3,294
Ikungi 2,905 3,381 3,289
Mkalama (Nduguti) 2,934 3,410 3,318
Songwe (Vwawa) 2,936 3,411 3,319
Songwe (Mkwajuni) 2,942 3,418 3,326
Ileje 2,939 3,415 3,323
Momba (Chitete) 2,945 3,421 3,328
Tunduma 2,940 3,416 3,323
Tabora 2,927 3,403 3,311

7
Town Petrol Diesel Kerosene
Igunga 2,927 3,403 3,311
Kaliua 2,940 3,416 3,324
Ulyankulu 2,938 3,414 3,322
Nzega 2,938 3,414 3,322
Sikonge 2,936 3,412 3,320
Urambo 2,937 3,413 3,321
Uyui 2,934 3,410 3,317
Mpyagula 2,959 3,435 3,343
Tanga 2,979 3,340 3,249
Handeni 3,000 3,361 3,228
Kilindi 3,015 3,376 3,263
Korogwe 2,992 3,353 3,242
Lushoto 3,001 3,362 3,252
Mkinga (Maramba) 2,986 3,347 3,263
Muheza 2,984 3,345 3,249
Pangani 2,986 3,347 3,256

JEDWALI NA. 2: BEI ZA JUMLA (TZS/LITA)


Bandari Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
Dar es Salaam 2,688.38 3,162.49 3,071.20

Tanga 2,848.16 3,207.70 -

Mtwara 2,861.43 3,271.21 -

Mha. Modestus M. Lumato


MKURUGENZI MKUU

You might also like