You are on page 1of 6

KUMB: PPR/2023 - 11/01

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI


KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 NOVEMBA 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za


bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 1
Novemba 2023 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Novemba 2023, bei za rejareja za mafuta
katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo:

Petroli Dizeli Mafuta ya Taa


Mkoa
TZS/Lita
Dar es Salaam 3,274 3,374 3,423
Tanga 3,320 3,510 3,469
Mtwara 3,347 3,546 3,495

Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 yanatokana na kupungua kwa bei
za mafuta katika soko la dunia kwa wastani wa asilimia 5.68 na gharama za uagizaji
wa mafuta kwa wastani wa asilimia 13 kwa petroli, asilimia 25 kwa dizeli na uamuzi
wa wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na
vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya Urusi imewekewa. Bei za mafuta katika miji,
wilaya na mikoa ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 1 na bei za mafuta kwa
wafanyabiashara wa jumla ni kama zinavyooneshwa katika Jedwali Na. 2.
Wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei
zinazooneshwa katika Jedwali Na. 1. Aidha, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa
jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zinazooneshwa katika Jedwali Na. 2. Hatua kali
za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yoyote atakayekiuka AGIZO hili.
EWURA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa jumla na
rejareja pamoja na jamii kuzingatia yafuatayo: -
a) bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana kupitia
simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kisha kufuata maelekezo.
Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa
nchini.
b) Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, kifungu namba 166, bei za
bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko. EWURA itaendelea
kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta.
c) Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya
ushindani isipokuwa bei hizo zisizidi bei kikomo (Price cap) au kuwa chini ya
bei iliyoruhusiwa (Floor Price) kama zilivyokokotolewa kwa mujibu wa Kanuni
1
za EWURA za Kupanga Bei za Mafuta za Mwaka 2022 zilizotangazwa tarehe 28
Januari 2022 kupitia Gazeti la Serikali Na. 57 na marekebisho ya kanuni tajwa
kupitia Gazeti la Serikali Na. 761A la tarehe 30 Oktoba 2023.
d) Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika
mabango yanayoonekana bayana yakionesha bei za mafuta, punguzo, vivutio vya
kibiashara vinavyotolewa na kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua,
wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta
kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka
mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja. Adhabu kali itatolewa kwa
kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni
husika.
e) Wauzaji wa bidhaa za mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa stakabadhi za mauzo
kutoka kwenye Electronic Fiscal Pump Printers (EFPP) na wanunuzi wahakikishe
wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya
mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hizo zitatumika kama kidhibiti
kwa wanunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya kuuziwa mafuta kwa
bei ya juu kuliko bei kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora
unaotakiwa. Stakabadhi hizo pia zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za
Serikali zitokanazo na mauzo ya bidhaa za mafuta ya petroli.

JEDWALI 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA KWA SHILINGI/LITA


Bei Kikomo
Na Mji
Petroli Dizeli Mafuta Ya Taa
1 Dar es Salaam 3,274 3,374 3,423
2 Arusha 3,358 3,567 3,507
3 Arumeru (Usa River) 3,358 3,567 3,507
4 Karatu 3,377 3,585 3,525
5 Longido 3,369 3,578 3,518
6 Monduli 3,364 3,572 3,512
7 Monduli-Makuyuni 3,369 3,577 3,517
8 Ngorongoro (Loliondo) 3,450 3,651 3,599
9 Coast (Kibaha) 3,279 3,379 3,427
10 Bagamoyo 3,285 3,385 3,434
11 Bagamoyo (Miono) 3,316 3,416 3,465
12 Bagamoyo (Mbwewe) 3,297 3,397 3,446
13 Chalinze Junction 3,288 3,388 3,437
14 Chalinze Township (Msata) 3,293 3,393 3,441
15 Kibiti 3,295 3,395 3,443
16 Kisarawe 3,281 3,381 3,430
17 Mkuranga 3,284 3,384 3,433
18 Rufiji 3,302 3,402 3,450
19 Dodoma 3,333 3,433 3,482
20 Bahi 3,340 3,440 3,489
21 Chamwino 3,328 3,428 3,477
22 Chemba 3,360 3,459 3,508
23 Kondoa 3,366 3,466 3,514
24 Kongwa 3,330 3,430 3,479
25 Mpwapwa 3,334 3,434 3,483

2
Bei Kikomo
Na Mji
Petroli Dizeli Mafuta Ya Taa
26 Mpwapwa (Chipogoro) 3,346 3,446 3,495
27 Mtera (Makatopora) 3,352 3,452 3,501
28 Mvumi 3,340 3,439 3,488
29 Geita 3,440 3,540 3,588
30 Bukombe 3,429 3,529 3,577
31 Chato 3,461 3,561 3,609
32 Mbogwe 3,478 3,578 3,626
33 Nyang'hwale 3,455 3,555 3,603
34 Iringa 3,338 3,438 3,487
35 Ismani 3,344 3,443 3,492
36 Kilolo 3,343 3,443 3,491
37 Mufindi (Mafinga) 3,348 3,448 3,497
38 Mufindi (Igowole) 3,357 3,457 3,506
39 Mufindi (Mgololo) 3,361 3,460 3,509
40 Kagera (Bukoba) 3,490 3,590 3,638
41 Biharamulo 3,464 3,564 3,613
42 Karagwe (Kayanga) 3,506 3,606 3,655
43 Kyerwa (Ruberwa) 3,512 3,612 3,661
44 Muleba 3,490 3,590 3,638
45 Ngara 3,478 3,578 3,626
46 Misenyi 3,498 3,598 3,647
47 Katavi (Mpanda) 3,432 3,532 3,581
48 Mlele (Inyonga) 3,414 3,514 3,562
49 Mpimbwe (Majimoto) 3,451 3,551 3,600
50 Tanganyika (Ikola) 3,450 3,550 3,599
51 Kigoma 3,437 3,537 3,585
52 Uvinza (Lugufu) 3,427 3,527 3,575
53 Muyobozi Village (Uvinza) 3,435 3,535 3,584
54 Ilagala Village (Uvinza) 3,437 3,537 3,586
55 Buhigwe 3,435 3,535 3,584
56 Kakonko 3,437 3,537 3,586
57 Kasulu 3,446 3,546 3,594
58 Kibondo 3,443 3,543 3,592
59 Kilimanjaro (Moshi) 3,348 3,556 3,497
60 Hai (Bomang'ombe) 3,351 3,560 3,500
61 Mwanga 3,341 3,549 3,490
62 Rombo (Mkuu) 3,369 3,573 3,518
63 Same 3,334 3,543 3,483
64 Siha (Sanya Juu) 3,355 3,563 3,503
65 Lindi 3,333 3,559 3,482
66 Lindi-Mtama 3,351 3,564 3,500
67 Kilwa Masoko 3,308 3,583 3,457
68 Liwale 3,354 3,595 3,503
69 Nachingwea 3,362 3,579 3,511
70 Ruangwa 3,364 3,586 3,513
71 Manyara (Babati) 3,397 3,601 3,545
72 Hanang (Katesh) 3,407 3,611 3,556

3
Bei Kikomo
Na Mji
Petroli Dizeli Mafuta Ya Taa
73 Kiteto (Kibaya) 3,408 3,616 3,556
74 Mbulu 3,409 3,614 3,558
75 Simanjiro (Orkasumet) 3,429 3,633 3,577
76 Mara (Musoma) 3,440 3,540 3,589
77 Musoma Vijijini (Busekela) 3,453 3,553 3,601
78 Rorya (Ingirijuu) 3,447 3,547 3,596
79 Rorya (Shirati) 3,455 3,555 3,603
80 Bunda 3,431 3,531 3,580
81 Bunda (Kisorya) 3,444 3,544 3,592
82 Butiama 3,437 3,537 3,586
83 Serengeti (Mugumu) 3,448 3,548 3,597
84 Tarime 3,449 3,549 3,597
85 Tarime (Kewanja/Nyamongo) 3,454 3,554 3,603
86 Mbeya 3,381 3,481 3,530
87 Chunya 3,391 3,491 3,540
88 Chunya (Makongolosi) 3,396 3,496 3,545
89 Chunya (Lupa Tingatinga) 3,398 3,498 3,547
90 Kyela 3,397 3,497 3,546
91 Mbarali (Rujewa) 3,366 3,465 3,514
92 Rujewa (Madibira) 3,379 3,479 3,527
93 Rujewa (Kapunga) 3,375 3,475 3,524
94 Rungwe (Tukuyu) 3,390 3,490 3,539
95 Busokelo (lwangwa) 3,394 3,493 3,542
96 Morogoro 3,299 3,399 3,448
97 Mikumi 3,315 3,415 3,464
98 Kilombero (Ifakara) 3,337 3,437 3,486
99 Kilombero (Mlimba) 3,360 3,459 3,508
100 Kilombero (Mngeta) 3,349 3,449 3,497
101 Ulanga (Mahenge) 3,348 3,448 3,496
102 Malinyi 3,358 3,458 3,507
103 Kilosa 3,318 3,418 3,466
104 Gairo 3,318 3,418 3,466
105 Mvomero (Wami Sokoine) 3,310 3,410 3,458
106 Mvomero (Sanga Sanga) 3,299 3,399 3,448
107 Turian 3,324 3,424 3,473
108 Mtwara 3,347 3,546 3,495
109 Nanyumbu (Mangaka) 3,396 3,582 3,544
110 Masasi 3,372 3,562 3,521
111 Newala 3,379 3,567 3,527
112 Tandahimba 3,372 3,560 3,520
113 Nanyamba 3,372 3,560 3,520
114 Mwanza 3,424 3,524 3,573
115 Kwimba 3,442 3,542 3,591
116 Magu 3,433 3,532 3,581
117 Misungwi 3,419 3,519 3,567
118 Misungwi (Mbarika) 3,429 3,529 3,578
119 Sengerema 3,457 3,557 3,605

4
Bei Kikomo
Na Mji
Petroli Dizeli Mafuta Ya Taa
120 Ukerewe 3,484 3,584 3,633
121 Njombe 3,367 3,467 3,515
122 Njombe (Kidegembye) 3,387 3,487 3,536
123 Ludewa 3,405 3,505 3,553
124 Makambako 3,359 3,459 3,508
125 Makete 3,398 3,497 3,546
126 Wanging'ombe (Igwachanya) 3,365 3,464 3,513
127 Rukwa (Sumbawanga) 3,447 3,547 3,596
128 Sumbawanga Rural (Mtowisa) 3,447 3,547 3,596
129 Kalambo (Matai) 3,454 3,554 3,603
130 Nkasi (Namanyele) 3,461 3,561 3,609
131 Nkasi (Kirando) 3,470 3,570 3,619
132 Ruvuma (Songea) 3,398 3,631 3,546
133 Mbinga 3,410 3,644 3,559
134 Namtumbo 3,403 3,622 3,552
135 Nyasa (Mbamba Bay) 3,421 3,669 3,569
136 Tunduru 3,378 3,597 3,526
137 Shinyanga 3,403 3,503 3,552
138 Kahama 3,408 3,508 3,556
139 Kishapu 3,411 3,511 3,560
140 Ushetu (Nyamilangano) 3,420 3,519 3,568
141 Ushetu (Kangeme Village) 3,425 3,525 3,574
142 Salawe 3,417 3,517 3,566
143 Simiyu (Bariadi) 3,421 3,521 3,570
144 Busega (Nyashimo) 3,433 3,533 3,582
145 Itilima (Lagangabilili) 3,421 3,521 3,570
146 Maswa 3,415 3,515 3,564
147 Meatu (Mwanhuzi) 3,426 3,526 3,575
148 Singida 3,365 3,465 3,514
149 Iramba 3,377 3,477 3,526
150 Manyoni 3,350 3,450 3,498
151 Itigi (Mitundu) 3,365 3,465 3,514
152 Ikungi 3,360 3,460 3,509
153 Mkalama (Nduguti) 3,390 3,489 3,538
154 Songwe (Vwawa) 3,391 3,491 3,539
155 Songwe (Mkwajuni) 3,398 3,497 3,546
156 Ileje 3,395 3,494 3,543
157 Momba (Chitete) 3,400 3,500 3,548
158 Tunduma 3,395 3,495 3,543
159 Tabora 3,383 3,482 3,531
160 Igunga 3,382 3,482 3,531
161 Kaliua 3,396 3,495 3,544
162 Ulyankulu 3,393 3,493 3,542
163 Nzega 3,393 3,493 3,541
164 Sikonge 3,391 3,491 3,540
165 Urambo 3,392 3,492 3,541
166 Uyui 3,389 3,489 3,537

5
Bei Kikomo
Na Mji
Petroli Dizeli Mafuta Ya Taa
167 Mpyagula 3,414 3,514 3,563
168 Tanga 3,320 3,510 3,469
169 Handeni 3,300 3,531 3,448
170 Kilindi 3,334 3,546 3,483
171 Korogwe 3,313 3,522 3,462
172 Lushoto 3,323 3,532 3,472
173 Mkinga (Maramba) 3,335 3,517 3,483
174 Muheza 3,320 3,515 3,469
175 Pangani 3,327 3,517 3,476

JEDWALI 2: BEI KIKOMO ZA JUMLA (SHILINGI/LITA)

Bandari Petroli Dizeli Mafuta ya Taa

Dar es Salaam 3,142.12 3,241.34 3,290.52

Tanga 3,123.96 3,376.87 -

Mtwara 3,100.83 3,412.50 -

Dkt. James A. Mwainyekule


MKURUGENZI MKUU- EWURA

You might also like