You are on page 1of 6

Screenplay

ST JOHN THE BAPTIST SENIOR YOUTH’ 2020


"APONDI"

EPISODE 1:

ONYESHO LA KWANZA. NJIANI/MASKANI. MCHANA

Tunasikia wimbo wahuzuni ukiimbwa. mzee marko anaingia stage


akilia. tunafikira amefiliwa, lakini bado hatujui. mara
analalamika kwa kutendwa na kichuna wake
MARKO
Apondi!...Apondi!!... Apondi mbona
wataka nife kama bado niko over 81
yaz?! nimemwaga videmu arbasitini
ili niwe na wewe...
Anaendelea kulia. tunamuona apondi akiingia pia akiliaa

APONDI
Marko, sikupanga iwe hivyo!
MARKO
ninani aliye panga?

APONDI
ni...ni...ni shetani!
MARKO
mlikuwa wapi akipanga?

APONDI
aliniingia ndani marko!
MARKO
Aliingilia wapi?

APONDI
kupitia macho yangu Kisha akani...!
MARKO

Analia
Inamaana bado story yaendelea?
APONDI
Ndio!

(CONTINUED)
CONTINUED: 2.

MARKO
Analia tena
Sawa niko tayari!...kwahivyo ndio
ukaamua kuni kriskross?!
APONDI
Labda!...Nisamehe!

MARKO
Huyo shetani alikutoka na wapi ndio
nikusamehe?
APONDI
sina uhakika kama ashanitoka!

MARKO
Anakasirika zaidi. anataka kumpga. wanazungushana kiasi
Nitakumaliza!!!...yani uniwache
nilivyo wakileo ufuate kisongareli?
umeona nini kwake?
APONDI
kina story tamu tamu!
MARKO
Wanitusi?...Kujifanya mlimbwende
kisha u...
APONDI
Anajam pia
Sasa watakaje? sikuhizi hata
nikavaa vipi huniambia niko smart!,
huniambii "you love me!", huniiti
baib, sweetie!...waniita tu madam,
kwani mimi ni mwalimu wako?!

MARKO
stop!
APONDI
kila siku...

MARKO
Nagomba Namanyala!!!...wewe nilini
uliniambia "i love me?!"
APONDI
you scratch my back, i wil scratch
yours!...is that clear?...have i
made my self clear, you fool old
used man?

(CONTINUED)
CONTINUED: 3.

MARKO
same to you!
Justine anaingia, bado hajamuona mzee marko.
JUSTINE
Baby girl, Apondi!
APONDI
oH, Baby baby boy justino!

Wanakumbatiana.marko anawatazama tu kwa machungu


MARKO
Lahaula lakwata! nafikiri nichuma
cha trela, kumbe ni hiki
kibais...keli?!

JUSTINE
Apondi!, yaani ni huyu mzee?
MARKO
kimtu chenyewe cha tighina tighina
kama mwenye chikungunya uta...
APONDI
Kimya!!!...justine, kwani
mwajuana?...mwajuana?...marko,
wamjua huyu?

Wote bado hawamjibu, wanaangalia kando


Can someone plz talk to me?...who
is everyone here?
Eye to eye contact

CUT TO BLACK
THE END:
EPISODE 2:

JUSTINE ANAMFUATA MARKO.


JUSTINE
Baba!...baba!!...baba!!!

MARKO
ushaita baba moja tosha!...wataka
CMA wajue nimimi nilizaa jitoto
ovyo lakupiga compee na babake?

(CONTINUED)
CONTINUED: 4.

APONDI
AMEKASIRIKA AJABU
Wewe!...na wewe!,sawa!
ANATOKA LAKINI JUSTUS ANAMRUDISHA AKIMBEMBELEZA

JUSTINE
Dont go my love!
APONDI
Niache!!!
MARKO
ANACHEKA
Rudi upate picha nzima madam wangu!

JUSTINE
yaani baba kumbe wewe ndio the
barrier to my achievements?
MARKO
mbari chafu hii yatoka kwa mamako!
punda wewe, yani mimi narusha
mishale yarudi tupu, kumbe ukuta
nihili lijustine?
JUSTINE
baba mbona waniita li? kwani mimi
nili dude?
MARKO
liduden’t you?

JUSTINE
Lazima mama ayajue yote!
MARKO
kuwa mwanamume nawee, mambo kama
hayo siyaku...
MAMAKE ANATOKEZEA, NIMKALI
MA
Nimedabu yote!!!...pole za jumuiya
hunipi!,... bahasha za mission
sunday zimefurika kwa nyumba!,...
kadi ya mchango wa familia, imejaa
ma dash dash matupu! kumbe una...

(CONTINUED)
CONTINUED: 5.

MARKO
Wacha kunivua nguo nawe, kwani ile
kadi, madash siyako kwa miezi
minane tu? situlilipa jiti tatu
mwezi mmoja?

MA
Kwenda huko mtu mzima
hovyo!...Haya, niambie niliyoyapta!
MARKO
Wah!, hapo nimepigwa penalty ya
kichwa!
MA
MKALI
Niambie marko, hiki kisongareli ni
chao ama cha mwanao?
WOTE WANASHINDWA KUMJIBU. WANABABAIKA
CUT TO BLACK

THE END

You might also like