Professional Documents
Culture Documents
NA
MWALIMU FAGIL
+256780947386
Jamii ni uwepo wa pamoja wa binadamu
Umuhimu
Sehemu
1. Kituo cha polisi 1. Husaidia kulinda usalama
2. Shule 2. Husaidia kudumisha elimu
3. Mahakama/ korti 3. Husaidia kusuluhisha kesi
4. Soko 4. Husaidia katika kuuza bidhaa
5. Maabadani [msikiti na kanisa] 5. Husaidia katika kuomba Mungu
6. Duka la nguo 6. Husaidia katika kuuza bidhaa
7. Huduma ya pesa/ Benki 7. Husaidia kuhifadhi na kukopesha pesa
8. Hospitali 8. Husaidia kutibu wagonjwa
9. Kituo cha magari 9. Husaidia kuegesha magari
10. Choo 10. Husaidia kudumisha usafi
SHUGHULI ZINAZOFANYIKA KATIKA MAHALI MUHIMU
Sehemu Shughul i
1. Hospitali 1. Kutibu
2. Soko na duka 2. Kuuza na kununua
3. Maabadini [msikiti na kanisa] 3. Kuomba
4. Mahakama / korti 4. Kutatua kesi
5. Choo 5. Kujisaidia [kunya na kukojoa]
6. Benki 6. Kukopa pesa
7. Shule 7. Kusoma
8. Kituo cha polisi 8. Kufunga waharifu
Picha za sehemu muhimu katika jamii
Msikiti Kanisa
Shule Chuo kikuu
DIRA NA SEHEMU ZAKE
Maneno [nomino] katika Ngeli hii huanza kwa M- au Mw- katika umoja na
Mi katika wingi
Mifano:
Umoja Wingi
Mti [tree] Miti
Mkeka [mat] Mikeka
Msikiti [mosque] Misikiti
Mpira [ball] Mipira
Mwavuli [umbrella] Miavuli
Mlima [moutain] Milima
Mshipi [belt] Mishipi
Umoja
Mji wangu unasafishwa Miji yeti inasafishwa
Msikiti huu ni mkubwa Misikiti hii ni mikubwa
Mkoba wake ni mpya Mikoba yao ni mipya
Mkeka wa mama ni mzuri Mikeka ya mama ni mizuri
Mkia wa ngo’mbe ni mtamu Mikia ya ngo’mbe ni mitamu
Mpira wangu ni mgumu Mipira yetu ni migumu
Mkuki huu ni mkali Mikuki hii ni mikali
Matumizi ya nomino, vimilikishi, na viwakilishi katika ktunga sentensi
Umoja Wingi