Professional Documents
Culture Documents
NALIFURAHI SANA
[(Nalifurahi sana waliponiambia na twende x2) (Nyumbani mwa Bwana twende, nyumbani mwa Bwana twende)x2]
1. Nitamshukuru kwa moyo wangu wote (nitakushukuru) Mbele ya miungu kukuimbia saburi (nitakushukuru).
2. Na fadhili zakO mimi nitatangaza (nitakushukuru) Kwa vigelegele pia nyimbo za shangwe (nitakushukuru).
3. Mataifa yote yatakusifu wewe (nitakushukuru) Kwa matendo yako yasiyo na kifani (nitakushukuru)
AMECEA MASS
NI HINDI NJEGA
WITIKIA
Offertory songs
HERI ZAIDI KUTOA
Nitwarahukei
OFFERTORY PROCESSION
YAMBA
Yamba yamba yamba mampa na beto Yahweh
yamba yamba yahweh x2
1. Yamba yamba yamba vinu nabeto, Yahweh
yamba yamba Yahwehx2
2. Yamba yamba yamba kiese nabeto, Yahweh
yamba yamba Yahwehx2
3. Yamba yamba yamba mpasi nabeto, Yahweh
yamba yamba Yahwehx2
4. Yamba yamba yamba bongo nabeto, Yahweh
yamba yamba Yahwehx2
5. Yamba yamba yamba bana nabeta, Yahweh
MTAKATIFU (SUBUKIA)
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa
majeshi
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako.
Hosanna hosanna hosanna hosanna juu mbinguni
Mbarikiwa anayekuja anayekuja kwa Jina la
Bwana
Fumbo la Imani
AMANI
Amani yake bwa mungu
Isambae kwetu sote
isambae moyoni isambae ii
MWANAKONDOO
O LAMB OF GOD
O lamb of God
You take away the sins of the world
Have mercy have mercy x2
Have mercy, on us x2
O Lamb of God
you take away the sins of the world
Oh grant us - oh grant us x2
Oh grant us, grant us peace.
KUMUNYO
WITUME RIGU
THANKSGIVING
.TARORA IRATHIMO
Tarora irathimo wone ee ...(wone wone)
Uria Ngai ekite .....(wone)....(wone)
Ngai Ari hamwe na andu ake
KURIA UNDUTITE
1. Haria thu iikagio ma tiho iguaga. -ni thengiu mwathani ni thengiu
Mwathani ni undutite rukungu înî -Ni thengiu
Ugekira kanua gakwa rwimbo rweru -
EXIT
HUYU NI NANI
1.Huyu ni nani anayeita mitume?
Huyu ni nani anayetuma wajumbe?
Anawapa uwezo wa kuhubiri
Awatuma kuhubiri injili
(Huyu nani?)
Huyu ni yesu mnasareti mwana (wa maria)
Huyu ni yesu mwenye uwezo bwana (wa
galilaya) x2