You are on page 1of 28

NAMNA YA KUHUBIRI

Hubiri la
Ndani-
Kanisani
Wanawake nao niwahubiri
• 1Wakorintho 11: 5
“Bali kila
mwanamke
asalipo, au
anapohutubu, bila
kufunika kichwa,
yuaaibisha kichwa
chake; kwa maana
ni sawasawa na
yule
aliyenyolewa.”
Mafunzo ni muhimu
• “The work of winning souls to Christ demands
careful preparation. Man cannot enter the Lord's
service without the needed training, and expect
the highest success. . . .” Gospel Workers, p. 92.
(1915).{Ev 128}
• Means will be devised to reach hearts. Some of
the methods used in this work will be different
from the methods used in the work in the past;
but let no one, because of this, block the way by
criticism.--Review and Herald, Sept. 30, 1902.
{Ev 129.4}
Sermon contents
1. Kichwa cha somo(kifupi)kirahisi,kiini,na
mwisho.
2. Fungu kuu linaloendana na hubiri.
3. Wimbo unaoendana na hubiri.
4. Hubiri liwe lenye muda usiozidi dakika 30.
5. Lilenge mahitaji ya watu.
6. Kiini chake ni Yesu.
7. Liwe na mafungu machache angalau 1-5
Mambo ya kuzingatia unapohubiri
1. Uwe jasiri
2. Tamka maneno sawasawa
3. Tumia ishara(gestures)
4. Watazame watu
5. Hama ghafla penye kikwazo
6. Acha vichekesho vya ajabuajabu
7. Tumia muda wako vizuri
8. Epuka kuiga staili za watu
9. Epuka mahubiri ya malumbano
10. Epuka malalamiko,lugha mbaya na lawama
Kwa nini tuna hubiri?Ni Agizo
• 1Nyakati 16:24 “Wahubirini mataifa habari za
utukufu wake, Na watu wote habari za
maajabu yake.?
• Zaburi 106:2 “Nani awezaye kuyanena
matendo makuu ya Bwana, Kuzihubiri sifa
zake zote?
Characteristics of a Congregation
❖Some wrestling with doubt,almost in despair.
❖Some well nigh hopeless.
❖Some harassed by temptetion,are fighting a
hard battle with the adversary of souls.
❖Some lost
❖Some confused and bewildered.
Nguvu za mhubiri
▪ Awe msomaji.
Mhubiri 12:10 “Huyo Mhubiri akatafuta-tafuta ili
apate kuona maneno yapendezayo, na yale
yaliyoandikwa kwa unyofu, yaani, maneno ya
kweli.”
▪ “In order to lead souls to the life-giving fountain,
the preacher must first drink at the fountain
himself. He must see the infinite sacrifice made
by the Son of God to save fallen men, and his
own soul must be imbued with the spirit of
undying love.”GW 133
Nguv za Mhubiri
• Awe na Roho Mtakatifu
Kiini cha hubiri lako-Yesu
• Yona 3: 2 “Ondoka, uende Ninawi, mji ule
mkubwa; ukaihubiri habari
nitakayokuamuru.”
• Matendo 28: 31 “akihubiri habari za ufalme
wa Mungu, na kuyafundisha mambo ya
Bwana Yesu Kristo, kwa ujasiri mwingi,
asikatazwe na mtu.”
Teolojia ya Msingi wa Mahubiri
1) Mungu
2) Maandiko Matakatifu
3) Kanisa la Mungu
4) Hubiri(message)
5) Uinjilisti
NB:Haya ndio mambo yanayompa mhubiri kunena
kwaujasiri kuwa ujumbe wake ni wa kweli(hana
mashaka na kile anachohubiri).
1Wakorintho 6:3 “Tusiwe kwazo la namna yo yote
katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;”
Mhubiri
• “ In these direct and forcible words is made
plain the duty of the minister of Christ. He is
to "preach the word," not the opinions and
traditions of men, not pleasing fables or
sensational stories, to move the fancy and
excite the emotions. He is not to exalt himself,
but as in the presence of God he is to stand
before a dying world and preach the word
Maneno yawe hakika
• . There is to be no levity, no trifling, no fanciful
interpretation; the minister must speak in
sincerity and deep earnestness, as a voice
from God expounding the Sacred Scriptures.
He is to bring to his hearers those things
which most concern their present and eternal
good.” GW 47
Sababu za mahubiri yasiyogusa
i. Mahubiri laini
ii. Kupenda kutafuta pongezi au sifa
iii. Maburudisho
Mhubiri na ujumbe wake
• “Unless ministers are guarded, they will hide the
truth under human ornamentation. Let no
minister suppose that he can convert souls by
eloquent sermons. Those who teach others
should plead with God to imbue them with His
Spirit, and enable them to lift up Christ as the
sinner's only hope. Flowery speeches, pleasing
tales, or inappropriate anecdotes do not convict
the sinner. Men listen to such words as they
would to a pleasant song.
Mimbari
• 2Nyak.6:13 “(maana Sulemani alikuwa
amefanya mimbari ya shaba,…na
kuisimamisha katikati ya ua; akasimama juu
yake, akapiga magoti mbele ya mkutano wote
wa Israeli, akaikunjua mikono yake kuelekea
mbinguni);”
• Nehemia 8:4 “Naye Ezra, kuhani, akasimama
juu ya mimbari ya mti, waliyokuwa
wameifanya kwa kusudi hilo;”
Madhabahu ya Uvumba
• KUTOKA 30:1 “Nawe fanya madhabahu ya
kufukizia uvumba; utaifanyiza kwa mti wa
mshita.”
• KUTOKA 40:5 “Kisha utaisimamisha madhabahu
ya dhahabu kwa kufukizia uvumba mbele ya
sanduku la ushuhuda, na kulitia pazia mlangoni
mwa hiyo maskani.”
• MATAYO 23:19 “Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo
kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo
sadaka?”
Ibada na madhabahu
• Kwa hiyo ibada katika madhabahu maana yake
ni kuweka sadaka au kufukiza uvumba.
• Ebr 9:6 “Basi, vitu hivi vikiisha kutengenezwa
hivyo, makuhani huingia katika hema hiyo ya
kwanza daima, wakiyatimiza mambo ya
ibada.”2Nyakati 26:16-20
Wanawake na mimbari
• SWALI:Je,mwanamke anaruhusiwa
kupanda mimbarini?Kwa sababu zipi?
• ZABURI 68:11 “Bwana analitoa neno lake;
Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;”
• 1Wakorintho 11:5 “Bali kila mwanamke asalipo,
au anapohutubu, bila kufunika kichwa,
yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni
sawasawa na yule aliyenyolewa.”
• “Bwana anayo kazi juu ya wanawake kama ilivyo
kwa wanaume…”Ev.464
Vizuizi:Walawi Agano la kale
• WALAWI 21:17 “Nena na Haruni, umwambie, Mtu
awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao,
aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha
Mungu wake. Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na
kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye
na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi
vimpasavyo mwili, au mtu aliyevunjika mguu, au
aliyevunjika mkono, au aliye na kijongo, au aliye kibeti,
au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au
mwenye buba, au aliyevunjika mapumbu; mtu awaye
yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema
asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya
moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula
cha Mungu wake.”
Msimamo wa kanisa juu ya mimbari
1. “Kanisa halimpatii mchungaji au mzee au mtu mwingine
yeyote haki ya kugeuza mimbari kuwa jukwaa la kutolea
hoja zinazobishaniwa kuhusu mafundisho au taratibu za
kanisa.”Mwongozo wa Kanisa uk.138
2. “Kwa hali yoyote ile mchungaji,mzee au ofisa mwingine
hawezi kukaribisha wageni au watu wasioruhusiwa
kuendesha huduma.Watu walioondolewa katika uchungaji
au walioondolewa ushirika mahali
pengine,wasioidhinishwa na kanisa,wazuiwe kutumia
mimbari.Wale wanaoweza kuaminiwa wataweza
kujitambulisha kwa kuonesha vyeti halali wakati mwingine
inakubalika maofisa wa serikali au viongozi wa mji
kuongea na kanisa,lakini wengine wote wazuiwe kutumia
mimbari bila bila kuwa na ruhusa kutoka
Konferensi.”Mwongozo wa Kanisa uk.141
Msimamo wa kanisa juu ya mimbari
3.“Ili maadui wa kanisa wasitumie mimbari
zetu,mtu yeyote asirusiwe kuhutubia mkutano
wowote wa kanisa asipoonesha kitambulisho au
leseni hai ya kanisa.Hata hivyo inaeleweka
kuwa,wakati mwingine makanisa yanaweza
kuhutubiwa na viongozi wa serikali;lakini watu
wowote wasioidhinishwa wasiruhusiwe kutumia
mimbari.”Mwongozo wa kanisa uk.36
4.Mtu mchafu(asiye nadhifu),asiye na mavazi ya
adabu katika mwonekano.
5.Mwenye kuhubiri siasa badala kumhubiri Yesu.
Msimamo wa kanisa juu ya mimbari
• 6.“Wachungaji na maofisa hawatatoa fursa ya
kutumia mimbari kwa watu kwa ajili ya
kuchangisha pesa ambao hawajatambuliwa na
kupendekezwa na konferensi.”Mwongozo wa
kanisa uk.165
Mhubiri na ujumbe wake
• The message that the sinner should hear is,
"God so loved the world, that He gave His only
begotten Son, that whosoever believeth in
Him should not perish, but have everlasting
life." [John 3:16.] The reception of the gospel
does not depend on learned testimonies,
eloquent speeches, or deep arguments, but
upon its simplicity, and its adaptation to those
who are hungering for the bread of life.” {GW
155.1}
Gharama za matangazo
Display is Poor Advertising
• “The large cities are to be warned, but, my
brother, not all the methods that you follow in
this work are right. You think that you are at
liberty to spend all the money that you please to
gain the attention of the people. But remember
that in the Lord's vineyard there are many, many
places to be worked, and that every dollar is
needed.God is not pleased by your large outlay of
means to advertise your meetings, and by the
display made in other features of your work.”{Ev
126.3}

You might also like