You are on page 1of 3

HEMANI MKESHA

Praise and Worship Overnight Prayer

Tarehe 18 -10-2019

Ukumbuke Neema Yako

Eng. Dr. Prosper Mgaya


UTANGULIZI

2
 Ni wakati gani Mtu anatakiwa kumsifu na kumwabudu
Mungu?
• Mara nyingi ni rahisi sana kufikiri kuwa kumsifu na
kumwabudu Mungu kunsfsnyika wakati mtu akiwa
na FURAHA na AMANI

• Utakubaliana na Mimi kuwa ni kweli ukiwa katika


utulivu wa mawazo na Maisha kwa mtazamo wa
watu wengi ndiyo wakati mzuri wa kumsifu na
kumtukuza MUNGU

 Swali hili ni kweli kimaandiko???

11/20/2019
Why Praise and Worship?
3
 Kwanini tunamsifu na kumwabudu Mungu?

 Ps 135:3 Msifuni Bwana kwa kuwa Bwana ni mwema, Liimbieni


jina lake kwa maana lapendeza. “Praise the LORD, for the
LORD is good; sing praises to His name, for it is pleasant. ”He is
good, therefore He is worthy to be praised.

 Ps 63:3-4
3 Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu
itakusifu. 4 Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa
jina lako nitaiinua mikono yangu.
 Isaya 25:1
1 Ee Bwana, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na
kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu,
Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.
 Zaburi 92:4
4 Kwa kuwa umenifurahisha, Bwana, Kwa kazi yako;
nitashangilia Kwa ajili ya matendo ya mikono yako.11/20/2019

You might also like