Professional Documents
Culture Documents
َّ ْ َ َ َْ ْ َ ْ ُ ْ ُ
ِ ِ ِ ِ س
ِ أ رو دِ َلي مل
ِ ا د
ِ ِ ِ ِ حكم ِإلاح ِت
يع ب ال ف
Hotuba ya kwanza
1
[Enyi watu! Mcheni Mola wenu aliyekuumbeni kutokana na
nafsi moja, na akamuumba kutokana na nafsi hiyo mkewe. Na
akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake
wengi. Na mcheni Allah ambaye kwaye mnaombana, na
jamaa zenu. Hakika Allah ni Mwenye kuwaangalieni] An-
Nisaa/ 1.
2
Kwa sababu sisi tunazungumzia mambo haya ndani
ya dini yetu, na yanayowahusu waislamu katika
muongozo wao, ili waislamu wajue kwamba dini yao
inawaelekeza nini katika mambo kama haya na
mfano wake.
3
ni uchochezi, laa! Kama kila jambo litaachwa
waislamu wasiambiwe kwa sababu ya kuonekana
kwamba lipo kwenye sura ya uchochezi, basi dini
itakufa; kwa sababu dini ya kiislamu inapingana na
dini nyingine kwa asilimia kubwa kabisa, kwa hiyo
kila utakachokizungumza itakuwa ni dhidi ya dini
nyengine, na ushahidi wa hilo ni kauli yake Allah
Tabaaraka wa Taalaa aliposema:
َ ْ َّ َ ْ َ َّ
}اَّلل ِإلا ْسَل ُم
ِ الدين ِعند
ِ { ِإن
[Hakika Dini “ya haki” mbele ya Allah ni Uislamu] Suraat Aal-Imran/19.
4
[Na anayetakata (kuufanya) usiokuwa Uislamu kuwa ndiyo
dini, hatakubaliwa, na yeye huko Akhera atakuwa ni katika
wenye hasara] Suraat Aal-Imran:85.
5
ْ َح َّتن ن ن ن ن َلن ن ن ن ن ُ َ َ ً{ َل َت َّتن ن ن ن ن ُع َّن َس ن ن ن ن َنمن َّال ن ن ن نن
ين ِم ن ن ن ن ْنن ن ن ن ن ن ْ ك ْم ِ ن ن ن ن ن ْ ا ِب ِ ن ن ن ن ن ْ َو ِذ َراع ن ن ن ننا ِ ن ن ن ن ِنً َرا ِ ِ
َ َ ن ن ن ن َنار َ ن ن ن ن
نال
َّ
ل ال َو ُُ ن ن ن ن ُد َوالن
ْ
ِ ل
ْ ُ َ
َ لن ن ن ننو ا ْع ُت ُ ن ن ن ن ُ ْم َنن ن ن ننا َين ن ن ننا َر ُس ن ن ن ن َ َ ْ ُ
ن ن ن ن َ ا ن ن ن ن
َُ َ
د
ِ
َ
}َ ْن؟
6
itafikia wakati mambo yatafikia kiwango hicho, kiasi
ambacho watu watakosa haya “aibu” kama
walivyokosa wao, ikiwa mtu “Yahudi au Nasara”
amefikia kiwango cha kumuendea mke wake
barabarani basi kuna watu “miongoni mwa
waislamu” wataona hilo nalo pia ni katika
maendeleo, “kwa hiyo” wapo watakaofanya hivyo
kwa sababu ya kupenda kuiga.
7
Hotuba Ya Pili
Kila sifa njema ni zake yeye Mola wa viumbe vyote, mwingi wa sifa
zilo nzuri na zenye baraka ndani yake, “sifa hizo zenye” kuijaza
mbingu na ardhi, na vilivyo baina yake, na kujaza chochote
unachokitaka baada yake. Ewe mwenye sifa njema na utukufu, ni
ya haki yale aliyoyasema mja wako, na sote sisi kwako ni
watumwa; Ewe Allah! Hakuna mwenye kuzuia ulichokitoa, wala
mwenye kutoa ulichokizuia, na wala hautanufaishi kwako utajiri
wa mwenye utajiri.
Baada ya hayo:
8
َ
نان َي َع ُ ن ن ن ن ن ن ن
ْ
ن ن ن ن ن َ ْ َ ن ن ن ن نند َم َر ُسن ن ن ن ن ن ُل ل ن ن ن ن ن ن ل ع ين ن ن ن ن ن وسن ن ن ن ن ن م ْاملَد َين ن ن ن ن ن َنة َو َل َُ ن ن ن ن ن ْنم َي
م
ِ ِ ِ ِ
ْ َ َّ ُ ُ َ
نان ؟ ن ن ن ن ن ننال ا و نن ن ن ن ن ننا َعن ن ن ن ن ن ُنو ِ ِوُ َ ن ن ن ن ن ننا ِ ن ن ن ن ن ن ن ن ن ن ن ن َ ْ نال و َمن ن ن ن ن ننا َ ن ن ن ن ن ن َنًان ْال َي
م َ ِ وُ َ ن ن ن ن ن ننا َ َ َ ن ن ن ن ن ن
ِ ِ ِ
َ َ َّ َّ َ َ َّ ْال َجا
اَّلل ن ن ن ن ن ن ن ن ْند ل ن ن ن ن ن ن ن ن ل ع ي ن ن ن ن ن ن ن ن وس ن ن ن ن ن ن ن ن م و ِإن ِ
ُ نال َر ُس ن ن ن ن ن ن ن ن
ل َ ن ن ن ن ن ن ن ن َ نةِ ن ن ن ن ن ن ن ن ي ِِ
ْ ْ َ َ ْ َ َ ُْ ْ َ َ ْ ُ َ َ َْ
ْ ألا
. ِ ل َح َ َو َي ْ َم ال ِفط أ دلكم ِب ُِ ا ا ِمنُ ا و ي م
9
Mtume swalla llahu alayhi wasallam akawaambia: Allah
amewabadilishieni nyinyi, na kubadilishwa kunampelekea
mtu kuacha lile alilobadilishiwa, na kufanya lile lililowekwa
badala yake; kwa sababu haiwezekani kukusanyika pamoja
jambo lililobadilishwa na lile lililowekwa badala yake
“lililobadilisha”].
10
Miongoni Mwa Mambo Tunayotakiwa Kuyafahamu
1- Siku hizi zipite kwetu sisi kama zinavyopita siku nyengine, iwe
ni Krismas au mwaka mpwa; kwa sababu watu wengine ikifika
mwaka mpya “kama wanavyodai” huwa wanakuwa vichaa,
wanapita barabarani huku wakifanya makelele, na kufanya fujo,
mfano: kupiga baruti, kuendesha magari pamoja na pikipiki
kwa kasi kubwa, na wengine wanakimbia huku na kule, na
kuchoma matairi, yaani ni kichaa “uchizi” wa hali ya juu usio na
mfano, na utasikia balaa nyingi zikitokea siku hiyo, “ukiuliza”
kuna kitu gani? Aah mwaka mpya, mwaka mpya gani? Wewe
unakuhusu nini!!, utamsikia mtu wakati inapofika saa sita
6:00pm kamili usiku anasema: nimeuonaaa nimeuonaa!, je
umeona nini? Kwani jana na leo kuna tofauti gani? Au jana jua
lilikuwa linawaka na leo haliwaki? Maskini, hakuna kitu
isipokuwa ni wehu “ujinga uliotopea” wa kukosa maadili ya
dini, na pia kutofahamu misingi yake, mpaka ikawa mtu
hajielewi, anafanya mambo ya kichaa huku akidhani kuwa
amepatia, ati kwa sababu kuna fulani na wao wanafanya kama
hivyo!!!. Muislamu zingatia!.
11
Amesema ibnul Qayyim rahimahu llahu katika kitabu
“Ahkaamu Ahlid Dhimma”:
[Ama kupeana hongera kwa kupitia nembo “alama” za
ukafiri zenye kuwahusu wao, ni haramu kwa makubaliano
ya wanachuoni, mfano: mtu kuwaa hongera na pongezi
kwa ajili ya sikukuu zao, na funga zao, mfano mtu
akasema: “iwe ni” sikukuu yenye baraka kwenu, Happy
Krismas, n.k, maneno haya ikiwa msemaji atasalimika na
ukafiri basi atakuwa hajasalimika na kutenda jambo la
haramu; kwa sababu haya ni katika mambo
yaliyoharamishwa, mfano wake ni sawa na Yule aliyempa
hongera mtu kwa sababu ya kusujudia msalaba, “hongera
bwana umesujudia sana msalaba mwaka huu!!”, bali
mwenye huyo mwenye kutoa pongezi ana madhambi
makubwa zaidi, na anachukiwa zaidi mbele ya Allah kuliko
Yule anaempongeza mtu kwa ajili ya kunywa pombe, au
kuiua nafsi, au kufanya zinaa, ….. lakini kama mfano mtu
yupo katika mazingira magumu ambayo hawezi
kudhihirisha uislamu wake sikuwa kwa kujipendekeza
kwao, ikawa anawaambia kwa dhahiri hali ya kuwa moyoni
mwake kuna imani, basi mtu huyo atakuwa ana afadhali).
lakini wewe unagopa nini mpaka ukaingia huko?.
3- Haifai kuacha kufanya kazi katika siku hizo, wala si kwa ajili ya
masomo “zikafungwa shule au madrasa n.k)”, au kazi binafsi
sawa iwe ni kazi binafsi au ya kuajiriwa.
12
4- Haifai kwa wafanyabiashara kuuza kitu chochote
kinachowasaidia makafiri katika Idd yao, mtu asije akaona ya
kwamba huu ndio msimu wa kuuza maua, au nguo, n.k.
amesema ibnul Haajj Allah amrehemu:
13
Haina maana umfanyie dhulma kafiri, mfano: ukaenda kwenye
Krismas ukaanza kuwashambulia, kuwalipua na kuwapiga,
hapana! Dini yetu haitufundishi hivyo, na wala huo si utaratibu
wa dini.
Kwa hiyo tunachotakiwa sisi ni kuwafundisha watoto wetu ya
kwamba utaratibu huu sisi hautuhusu. Sisi tunakwenda kwenye
madrasa zetu, biashara zetu, na shambani kama kawaida,
isipokuwa kama mtu anafanya kazi sehemu kwa kafiri na
akamwambia leo hakuna kazi, basi atarudi. Na hili hasa
linawahusu vijana, kwa sababu wao ndio hujifanya hawaelewi,
pamoja na wazazi wao wanaowaruhusu katika mambo hayo ya
batili.
Kwa hiyo sitorefusha sana, haya niliyoyasema kwenu
yanatosha, kitu cha msingi ni kuyazingatia na kuyafanyia kazi.
14