You are on page 1of 1

14/04/2023 Ijumaa, kuanzia saa 04:00 Asubuhi mpaka 07:00

TAREHE YA KATIZO, SIKU NA Mchana.


MUDA

SABABU KUWAUNGA WATEJA WAWILI WAPYA KWENYE MFUMO WETU


WA UMEME.

Baadhi ya maeneo ya Muheza, Uhuru, Msimbazi, Nyamwezi Street,


Mchikichi Street, Lindi/Msimbazi, Mwendokasi Gerezani, Alharamain
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA Secondary School,Kisarawe Street, Congo, Lindi, Omarilondo,
Muheza, Uhuru part, Msimbazi/Uhuru, Lindi/Msimbazi,
Makamba/Msimbazi, Swahili/Makamba, Lumumba/Makamba,
Nkuruma/Swahili, Railway Hospital na Maeneo ya jirani
yanayozunguka.

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika.Toa taarifa Ofisi ya TANESCO


iliyokaribu nawe au piga simu katika kituo cha miito ya simu makao makuu kwa
namba 0748 550 000

TUNAOMBA RADHI WATEJA WETU KWA USUMBUFU WOWOTE


UTAKAOJITOKEZA.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA
TANESCO ILALA
12-04-2023

You might also like