You are on page 1of 1

MARA CULTURAL HERITAGE DIGITAL LIBRARY - MCHDL

KITUO CHA NYAMUSWA


____________________________________________________________________/ /2024

HATI YA UTAYARI WA KUTOA HISTORIA YA


KIUTAMADUNI

Makubaliano haya yamefanyika Leo hii siku ya tarehe …….Mwezi …. Mwaka 2024

KATI YA
MARA CULTURAL HERITAGE DIGITAL LIBRARY, Shirika lisilo la Serikali lililopo Nchini
Tanzania, lenye makao makuu yake Shirati linaloshughulika na masuala ya kiutamaduni wa Mkoa
wa Mara, ikiwemo ni pamoja na Kukusanya historia na nyenzo mbalimbali za Kiutamaduni kwa
maslahi mapana ya jamii na taifa kwa ujumla.
NA

01. ………………………………………………………….…………………
02. ……………………………………………………………………………..
03. …………………………………………………………………...………....
KWAMBA; Mara Cultural Heritage Digital Library inakuabaliana na watajwa hapo juu kwa
Kufanya Mahojiano ya Kihistoria na Utamaduni kwa hiari yao Wenyewe kwa kurekodiwa picha za
Sauti na Video bila Malipo yeyote.

KWAMBA; Watajwa hapo juu wameridhia machapisho haya yajumuishwe katika Maktaba ya
Kidijitali ya MARA CULTURAL HERITAGE DIGITAL LIBRARY - MCHDL.

KWAMBA; Watajwa hapo juu wanaridhia kwa yote yaliyosemwa kwa kuweka Sahihi zao hapa
chini.

Na. JINA WASIFA SAHIHI

1.

2.

3.

You might also like