Professional Documents
Culture Documents
1. Uhai katika fasihi simulizi hutegemea fanani. Itathmini kauli hii alama 26
2. Taja na kufafanua mifano mwafaka ya kuhifadhi maarifa ya fasihi simulizi alama 22
3. Jadili umuhimu wa michezo ya kuigiza katika ukuzaji wa ubunifu
4. Huku ukirejelea mabadilikonya teknolojia , eleza kwa mifanonafasi ya wahusika
Wanyama katika utanzu wa fasihi simulizi
5. Fafanua dhana ya fasihi simulizi alama 02
6. Eleza dhima zozote za fasihi simulizi alama 12
7. Fafanua sifa mbalimbali za fasihi simulizi alama 12
8. Pambanua aina mbalimbali za nyimbo katika jamii alama 22
9. Changanua tanzu mbali mbali mbali za fasihi simulizi alama 22
10. Onyesha matumizi ya vipera vyovyote vitanovya fasihi simulizi katika fasihi andishi10
11. Eleza sifa mbalimbali za fanani bora 12
12. Jadili maana na chimbuko la fasihi simulizi katika jamii 26
13. Fafanua dhima ya fasihi simulizi katika jamii 22
14. Dadavua sifa za visakale kama kipera cha fasihi simulizi 22
15. Methali ni samli ambayo kwayo maneno huliwa. Thathmini usemi huu kwa kutoa mifano
mwafaka 22
16. Eleza umuhimu wa nadharia ya ubadilikaji katika fasihi simulizi 22
17. Ainisha na ueleze tanzu mbalimbali za fasii simulizi 24
18. Yakinisha maumbo ya fasihi simulizi katika fasihi andishi 12
19. Changanua hadhira mbalimbali katika faishi simulizi 08
20. Fafanua sifa msingi za fasihi simulizi 22
21. Ainisha nyimbo mbali mbali za fasihi simulizi 22
22. Fafanua nadharia zinazodhihirisha chimbuko la fasihi simulizi 22
23. Hakiki nafasi ya fanani na hadhira katika uumbaji wa fasihi simulizi 22
24. Jadili utegemeano wa utamaduni na fasihi simulizi 22
25. Jadili nafasi ya faihi simulizi katika katika taaluma ya stadi za fasihi 22
26. Jadili sifa muhimu za nadharia ya nataralojia katika usimulizi wa fasihi simulizi 22
27. Pambanua usanii katika methali ya Kiswahili ukitumia mifano mwafaka 22
28. Jadili nadharia ya msamabao katika fasihi simulizi 22
29. Dadavua sifa ya utendaji katika fasihi simulizi 22
30. Eleza umuhimu wa nadharia ya ubadilikaji katika uchunguzi wa fasihi simulizi 22
31. Sifa ya ufaraguzi hudhihirisha fanani mzuri fafanua kauli hii 22
32. Utendaji ndicho kigezo cha kimsingi katika fasihi simulizi jadili rai hii 22
33. Ukitolea mifano jadili sifa bainifu za visasili
34. Pambanuaa uhusiano uliopo kati ya fasihi simulizi na dini ukitolea mifano mwafaka 22
35. Dadavua athari za mabadiliko ya kissa katika fasihi simulizi 22
36. Jadili sifa muhimu za nadharia ya naratolojia katika usimulizi wa fasihi simulizi 22
END
SUCCESS