You are on page 1of 3

Masomo ya ODPE Vyuo vya Oktoba 6

Ni ya Stashahada ya Ualimu washule ya Msingi


Udahili wote kufanywa na NA!E
"asio#uhusiwa na ku$ingatia uta#atibu kutotambuliwa
"aomba%i masomo ya &esabu na Sayansi ku'atiwa miko'o
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba
kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya tahahada ya ualimu
wa hule za mingi (Ordinary !i"loma in #rimary Edu$ation
(O!#E)) katika %yuo teule %ya ma&aribio na 'tahahada maalumu
ya Ualimu wa 'ekondari kwa waliomaliza kidato $ha nne ((iabati
na 'ayani) itakaendehwa katika $huo kikuu $ha !odoma)
*oezi la uomba&i wa mafunzo hayo kwa mwaka +,-./-0 lilianza
rami tarehe +1 2une +,-. na litakoma 1- Agoti +,-. na mafunzo
yataendehwa katika %yuo teule %ili%yoteuliwa na Baraza (NACTE)
amba%yo %itaendeha mafunzo $hini ya uangalizi wa karibu wa
Baraza hilo3 Taaii ya Elimu na 4izara ya Elimu na 5afunzo ya
Ufundi)
6atibu 5tenda&i wa Baraza hilo !k) #rimu Nkwera ameema
waomba&i wote wanatakiwa kuzingatia utaratibu wa uomba&i
ambao ni ku"itia n&ia ya mtandao ku"itia 5fumo wa Udahili wa
#amo&a (Central Admiion 'ytem 7 CA') inayo"atikana kwenye
to%uti ya CA' inayo"atikana www)$a)a$)tz au Baraza
www)na$te)go)tz na kwamba Baraza halitomtambua mwomba&i
yeyote atakayeomba kinyume na utaratibu uliowekwa)
!k) Nkwera ameema lengo la mafunzo hayo ni kutoa nafai kwa
walimu wa hule za mingi kuongeza uwezo na ku&iendeleza kwa
maomo ya ngazi ya &uu) 6wa muda mrefu walimu wa hule wa
hule za mingi wamekuwa hawana namna ya kuongeza na
kuboreha taaluma yao kutokana na kutokuwa"o kwa kozi ya
namna hiyo) 'tahahada hiyo haitamuhita&i mwalimu tara&ali au
yule aliye"o kazini kufanya mafunzo ya kidato $ha ita na badala
yake anatakiwa kufanya mafunzo ya kuendeleza ualimu wake kwa
tahahada hiyo)
8Baraza lina"enda kuufahamiha umma na wahitimu wa kidato $ha
Nne na ngazi ya $heti na tahadaha katika fani mbalimbali
kwamba uomba&i wa mafunzo ya ngazi ya tahahada ya elimu ya
ualimu wa hule za mingi kwa mwaka +,-./-0 unakoma tarehe 1-
Agoti +,-.)9Aliema !k) Nkwera
Ameema kuwa maombi yatafanywa kwa n&ia ya mtandao ku"itia
5fumo wa Udahili wa #amo&a (Central Admiion 'ytem)
inayo"atikana kwenye to%uti ya Baraza www)na$te)go)tz au kwa
ku&aza fomu maalumu za maombi zinazo"atikana katika to%uti ya
baraza na kwamba waomba&i watakuwa na uwezo wa ku$hagua
%yuo wana%yo%i"enda baada ya kulinganiha gharama za mafunzo
na huduma za ziada zitolewazo na %yuo huika) 8:li kudhibiti ubora
katika "rogramu hii3 Baraza limeweka mfumo wa udahaili wa
"amo&a ambao ndio "ekee utakaotumika katika kudahili wanafunzi
kwenye %yuo huika3 tunaiitiza kwamba yeyote atakaekwenda
kinyume na utaratibu huu Baraza halitomtambua)9Aliiitiza
!k) Nkwera amewataka waomba&i wote "amo&a na %yuo kuzingatia
taratibu za uomba&i na udahili zilizowekwa ili kue"uka uumbufu
unaoweza ku&itokeza ikiwemo kutotambuliwa kwa wadahaliwa kwa
kuwa %yuo kwa aa ha%iruhuiwi kudahili wanafunzi mo&a kwa
mo&a kwa kuwa &ukumu hilo aa ni la Baraza)

6uhuu walimu wa maomo ya ayani3 !k) Nkwera amezungumzia
&itihada zinazo$hukuliwa na erikali ku"itia 4izara ya Elimu na
5afunzo ya Ufundi katika kukabiliana na u"ungufu wa walimu wa
maomo ya ayani ikiwemo hule za mingi)
Ameema erikali imeamua kuwa waomba&i wote waliomaliza
kidato $ha Nne wenye ufaulu wa dara&a la kwanza na la "ili na
wenye ufaulu wa maomo ya ayani na walimu wenye $heti $ha
ualimu dara&a la 8A9 wenye ufaulu wa maomo ya ayani na ambao
wanafundiha maomo hayo wata"atiwa mko"o na Bodi ya 5iko"o
ya 4anafunzi wa Elimu ya 2uu)
8'erikali inaguwa ana na $hangamoto iliyo"o ya uhaba wa
waalimu wa maomo ya ayani na ina imani kuwa kwa kuwa"atia
miko"o waomba&i wote wanaokidhi ifa na %igezo ni $ha$hu
mo&awa"o ya kuli"atia uluhu tatizo hilo kwa kuwa"a motiha wote
wanaofaulu na walio tayari kufundiha maomo hayo)9Aliongeza
6atibu 5tenda&i huyo wa NACTE)
Ameema maelezo ya kina kuhuu ifa za udahili3 nafai za udahili
kwa kila $huo "amo&a na ada inayotozwa yanaonekana katika
mtandao mara mwomba&i ana"obofya kitufe $ha u$haguzi wa $huo)
4aomba&i wote wanaweza "ia kutumia ofii za kanda za NACTE
zilizofunguliwa hi%i karibuni *anzibar na Aruha (6wa mikoa
6akazini)3 5beya (5ikoa ya 6uini)3 !odoma (5ikoa ya kanda ya
kati) na 5wanza kwa a&ili ya mikoa ya kanda ya *iwa)
4adau wote walio &irani na mikoa hiyo wanaweza ku"ata huduma
zote "ai"o kulazimika kwenda !ar e 'alaam) #ia waomba&i wote
wa "rogramu za hahada wanaoendelea kutuma maombi yao kwa
n&ia ya mtandao wanahauriwa kuwailiana na ofii za kanda kwa
ku"ata maada wa haraka zaidi "ale wana"okutana na matatizo ya
kiufundi) Namba za imu na mahali ofii zili"o %ina"atikana kwenye
to%uti)

You might also like