You are on page 1of 3

Tanga (mji)

Jiji la Tanga

Jiji la Tanga
Mahali pa mji wa Tanga katika Tanzania Anwani ya kijiografia: 5412S 39524E

Nchi Mkoa Wilaya Idadi ya wakazi -

Tanzania Tanga Tanga 224,876

historia ya Tanga (ca 1906) Mji wa Tanga ni mji mkuu wa Mkoa wa Tanga uliyoko ufukoni mwa Bahari ya Hindi. Tanga ina bandari kubwa kabisa katika sehumu ya kaskazini mwa Tanzania. Njia ya reli kwenda Mji wa Moshi inaanza hapa. Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima, neno hilohilo la Tanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo linamaana ya shamba, wao hulitamka N'tanga

Historia
Tanga insaemekana imeanzishwa na wafanyabiashara Waajemi katika karne ya 14 BK. Mji wa Tanga haikupata umuhimu kama mji wa jirani ya Mombasa. Tarihi ya Pate inasema ya kwamba kabla ya kuja kwa Wareno Pate iliwahi kutawala Lindi kwa muda fulani. Katika karne ya 19 BK Tanga ilikuwa chini ya utawala wa Omani na Zanzibar. Misafara ya biashara imeanzishwa hapa kwenda bara. Kutokana na bandari yake nzuri ya kiasili Tanga ilikua sana wakati wa ukoloni wa Wajerumani waliojenga bandari wa kisasa pamoja reli kwanda Moshi. Reli iliwezesha kilimo kwa ajili ya soko la dunia Tanga ikawa bandari kuu kwa jili ya katani na kahawa. Baada ya Uingereza kuchukua utawala wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani reli ya Tanga-Moshi iliunganishwa na ile ya kati hivyo ikawa na njia kwenda Daressalaam pia. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Tanga iliona mapigano makali tar. 3 - 5 Novemba 1914. Jaribio la Uingereza kuvamia Tanga kwa kikosi cha maaskari 8000 Waingereza na Wahindi kutoka meli kwenye Bahari Hindi ilishindwa vibaya na Jeshi la Ulinzi wa Kijerumani chini ya uongozi wa Paul von Lettow-Vorbeck. Mwaka 1922 "Tanganyika Territory African Civil Services Association" (TAA) iliundwa Tanga ambayo ilikuwa shirika ya kwanza ya Kiafrika yenye shabaha za kisiasa. Kutokana na kupanuka kwa bandari ya Daressalaam umuhimu wa bandari ya Tanga umerudi nyuma. nchi: Tanzania mkoa: Tanga

wilaya: Tanga wakazi: 224.891 (1-1-2005)

You might also like

  • Edward Ngoyai Lowassa
    Edward Ngoyai Lowassa
    Document2 pages
    Edward Ngoyai Lowassa
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • BUNJU
    BUNJU
    Document2 pages
    BUNJU
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kujiunga JWTZ
    Kujiunga JWTZ
    Document1 page
    Kujiunga JWTZ
    Sarah Sullivan
    100% (1)
  • Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Document1 page
    Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Marxio Maximo
    Marxio Maximo
    Document1 page
    Marxio Maximo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kawe
    Kawe
    Document1 page
    Kawe
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Document2 pages
    Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Wilbrod Peter Slaa
    Wilbrod Peter Slaa
    Document1 page
    Wilbrod Peter Slaa
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mikocheni
    Mikocheni
    Document2 pages
    Mikocheni
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Burundi
    Burundi
    Document4 pages
    Burundi
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Man Zese
    Man Zese
    Document1 page
    Man Zese
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • UBungo
    UBungo
    Document1 page
    UBungo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Serengeti Ecology
    Serengeti Ecology
    Document2 pages
    Serengeti Ecology
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Ziwa Victoria
    Ziwa Victoria
    Document1 page
    Ziwa Victoria
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Tanganyika
    Tanganyika
    Document3 pages
    Tanganyika
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kibaha
    Kibaha
    Document1 page
    Kibaha
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Tabora
    Tabora
    Document1 page
    Tabora
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Wilaya Ya Karatu
    Wilaya Ya Karatu
    Document1 page
    Wilaya Ya Karatu
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Dar Es Salaam
    Dar Es Salaam
    Document4 pages
    Dar Es Salaam
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Dar Es Salaam
    Dar Es Salaam
    Document2 pages
    Dar Es Salaam
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Bagamoyo
    Bagamoyo
    Document3 pages
    Bagamoyo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mbeya
    Mbeya
    Document4 pages
    Mbeya
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Arusha
    Arusha
    Document5 pages
    Arusha
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mkoa Wa Mwanza
    Mkoa Wa Mwanza
    Document3 pages
    Mkoa Wa Mwanza
    Sarah Sullivan
    No ratings yet