You are on page 1of 3

Tanganyika (ziwa)

Ziwa la Tanganyika

Ziwa Tanganyika jinsi inavyoonekana kutoka angani Afrika ya Mashariki Mahali Burundi, Kongo, Nchi zinazopakana Tanzania, Zambia 32,893 km kutegemeana na kiasi Eneo la maji cha mvua kuanzia 3.5 m Kina ya chini Lufubu, Malagarasi, Mito inayoingia Ruzizi Lukuga Mito inayotoka Kimo cha uwiano wa 782 m maji juu ya UB Bujumbura, Kalemie, Miji mikubwa ufukoni Kigoma

Ziwa Tanganyika pamoja na miji muhimu kando lake Ziwa la Tanganyika ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya kati ikiwa eneo lake ni la pili tu baada ya Viktoria Nyanza katika Afrika na ujazo wa maji yake ya pili duniani baadaya Ziwa Baikal. Jina lake limekuwa tangu 1919 pia jina la koloni ya Kiingereza ya Tanganyika. Ziwa lina ujazo wake mkubwa umetokana na vilindi vyake vinaelekea chini hadi mita 1470. Urefu wa ziwa ni 673 km na upana wake takriban 50 km. Maji ya Ziwa Tanganyika yanajaza ufa kubwa kwenye ganda la dunia ambalo ni sehemu ya bonde la ufa la Afrika ya Mashariki. Eneo la maji ni 32,900 km. Ziwa la Tanganyika limepakana na nchi zifuatazo: Kongo, Tanzania, Burundi na Zambia. Kongo na Tanzania zinatawala sehemu kubwa ya ziwa.

Beseni ya ziwa ni 231,000 km. Mito miwili mikubwa ya Ruzizi na Malagarasi inapeleka maji yao ziwani. Maji yanatoka kwa njia ya mto Lukuga kwenda mto Kongo. Miji mikubwa ziwani ni mabandari ya Kigoma kwa upande wa Tanzania na Kalemie kwa upande wa Kongo. Kila bandari ni pamoja na mwanzo wa njia ya reli. Mji mkubwa kabisa ni Bujumbura mji mkuu wa Burundi.

You might also like

  • Edward Ngoyai Lowassa
    Edward Ngoyai Lowassa
    Document2 pages
    Edward Ngoyai Lowassa
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • BUNJU
    BUNJU
    Document2 pages
    BUNJU
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kujiunga JWTZ
    Kujiunga JWTZ
    Document1 page
    Kujiunga JWTZ
    Sarah Sullivan
    100% (1)
  • Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Document1 page
    Uganda Yafuta Sheria Dhidi Ya Ushoga
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Marxio Maximo
    Marxio Maximo
    Document1 page
    Marxio Maximo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kawe
    Kawe
    Document1 page
    Kawe
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Document2 pages
    Mizengo Kayanza Peter Pinda
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Wilbrod Peter Slaa
    Wilbrod Peter Slaa
    Document1 page
    Wilbrod Peter Slaa
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mikocheni
    Mikocheni
    Document2 pages
    Mikocheni
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Kibaha
    Kibaha
    Document1 page
    Kibaha
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Man Zese
    Man Zese
    Document1 page
    Man Zese
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • UBungo
    UBungo
    Document1 page
    UBungo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Serengeti Ecology
    Serengeti Ecology
    Document2 pages
    Serengeti Ecology
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Ziwa Victoria
    Ziwa Victoria
    Document1 page
    Ziwa Victoria
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Burundi
    Burundi
    Document4 pages
    Burundi
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Tabora
    Tabora
    Document1 page
    Tabora
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Dar Es Salaam
    Dar Es Salaam
    Document4 pages
    Dar Es Salaam
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Wilaya Ya Karatu
    Wilaya Ya Karatu
    Document1 page
    Wilaya Ya Karatu
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Tanga
    Tanga
    Document3 pages
    Tanga
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Dar Es Salaam
    Dar Es Salaam
    Document2 pages
    Dar Es Salaam
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Bagamoyo
    Bagamoyo
    Document3 pages
    Bagamoyo
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mbeya
    Mbeya
    Document4 pages
    Mbeya
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Arusha
    Arusha
    Document5 pages
    Arusha
    Sarah Sullivan
    No ratings yet
  • Mkoa Wa Mwanza
    Mkoa Wa Mwanza
    Document3 pages
    Mkoa Wa Mwanza
    Sarah Sullivan
    No ratings yet