You are on page 1of 3

WANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA DAR WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU. Na. Aron Msigwa MAELEZO.

Wanafunzi wanawake wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) wamezindua mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya wanafunzi wa kike wenye lengo la kumkomboa na kumwezesha mwanafunzi wa kike kujitambua kielimu kisiasa na kiutamaduni! "kizungumza na jumuiya ya wanafunzi wa kike wa chuo hicho wakati wa uzinduzi wa mfuko huo leo jijini Dar es salaam #kurugenzi wa $tawala na $tumishi wa Wizara ya %iwanda na Biashara Dkt! #ery #wangisa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo amesema kuwa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo ni ishara ya umoja na mshikamano wa wanafunzi wa kike chuoni ha&o! "mesema kuanzishwa kwa mfuko huo kunatokana na kuongezeka kwa changamoto mbalimbali zinazowakabili wanawake &ia kukosekana kwa mifuko ya aina hiyo katika taasisi nyingi za elimu ya juu ha&a nchini! "meeleza kuwa malengo ya mfuko huo ni kumwezesha mwanafunzi wa kike wa CBE kujitambua kielimu kisiasa na kiutamaduni na kuongeza kuwa yamekuja wakati muafaka kufuatia mabadiliko yaliyo&o sasa ya kiuchumi kisiasa kijamii na kiutamaduni! "mefafanua kuwa mfuko huo ulioanzishwa katika chuo hicho ni fursa &ekee ya kuwawezesha wanafunzi wa kike kunufaika kwa ku&ata elimu bora bila 'ikwazo! ()a&enda kutumia fursa hii kuushukuru uongozi wa chuo hiki kwa kuonyesha njia ya kuwajali wanawake na &ia katika kuweka taratibu nzuri za kulinda maadili katika maisha yangu sijawahi

kusikia chuo kikuu chochote kimezindua jukwaa la wanawake lenye malengo mazuri kama yenu* "mesema Dkt! #wangisa! "meeleza kuwa kwa muda mrefu wanawake kote nchini wamekuwa na juhudi mbalimbali za kujikomboa kiuchumi &amoja na kulitumikia taifa kwa kushika nyadhifa mbalimbali serikalini kwa ufanisi mkubwa na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii &indi wana&okabidhiwa madaraka! ()ina&owaangalia ninyi nafarijika maana naona 'iongozi wakuu wa serikali naona marais na &ia wakurugenzi wa biashara* "kizungumza kuhusu kuanzishwa kwa mfuko huo na mafanikio yake Dkt! #wangisa amesema kuwa atatoa ushirikiano kwa wanafunzi hao ili kuhakikisha kuwa mfuko huo unajengewa uwezo wa kusimama na kuwanufaisha wanawake wanaokumbwa na changamoto zinazokwamisha maendeleo yao ikiwemo ukosefu wa fedha! "mesema kuwa kukamilika kwa taratibu za jumuiya hiyo ikiwemo maandalizi ya katiba ya jukwaa hilo kutaliwezesha jukwaa hilo ku&anga kuandaa na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kujiendesha ili kuwawezesha wanafunzi hao kutatua changamoto zinazowakabili kwa kulinda heshima yao katika jamii! +wa u&ande wake mjumbe wa Bodi ya ,aaluma ya Chuo hicho Dkt! Ellen -turu -koedion amesema kuwa wanafunzi wa kike wa chuo hicho wanahitaji msaada ku&itia mfuko huo utakaowawezesha ku&ambana na wimbi la wanafunzi wa kike kushindwa kumaliza masomo yao kwa kushindwa kumudu gharama za masomo! "mewataka wanafunzi wa kike wa chuo hicho kutumia i&asa'yo taaluma wanayoi&ata kusaidia mfuko huo ku&ata fedha ili uwe endele'u kwa maendeleo ya wanawake na chuo hicho!

()inyi mnasoma elimu ya biashara na ndio watalaam wenyewe sitarajii mfuko wenu ukose uwezo naamini mtatumia taaluma yenu mnayoi&ata ha&a chuoni kutafuta fedha kwa kuwa mnao uwezo huo* "mesisitiza Dkt! Ellen! )aye Waziri wa Wanawake wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Bi! #wajuma .angali ameeleza kuwa wanawake kote nchini wana jukumu la kuandaa kizazi cha watu wenye u&endo uzalendo ku&enda kazi na maendeleo! "mesema kuanzishwa kwa chombo hicho kunalenga kuboresha maisha ya wanawake hasa katika masuala ya elimu jamii uchumi na siasa!

You might also like