Professional Documents
Culture Documents
Qur’an na sunna,
Kwa
ufahamu wa
wema waliotangulia.
KWA MWANAFUNZI MPYA 3
p UTANGULIZI
3
ُ َٔبْٜ٘ ِٓ ش
َّ َثَٝ بَٜ َعْٝ ب َىَٜ ْ٘ ِٓ ن
َ َِ َفَٝ ا ِؽ َل ٍحَٝ ٌ ُ َُّ٘ب اَٜ ُّ٣ََب أ٣{ ٠ُهبٍ هللا رؼب
ٍ َفَِوَ ٌُ ْْ ِْٖٓ َٗ ْل١ا َهثَّ ٌُ ُْ اَُّ ِنُٞبً ارَّو
َ َّ َ
]2 جاب } آاَُ٘بء٤ِ ٌُ ْْ َهه٤ْ ِ ْاْل ْه َؽب َّ إَِّ هللاَ ًَبَٕ َػَٝ ِٚ َِٕ ثَُٞب َء ُ َ َ ر١هللاَ اَُّ ِن
َّ اُٞارَّوَٝ َب اء
َ َِٗٝ اوا٤ِِه َع ابَل ًَض
Amesema Allah, {Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye
kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutokana
na nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na
wanawake wengi. Na mcheni Allah ambaye kupitia kwake
mnaombana nyinyi kwa nyinyi, na jihadharini msije mkawakata
jamaa zenu. Hakika Allah ni Mwenye kuwaangalieni}. [nisaa 1]
4 UFUPISHO WENYE FAIDA
ْْ ٌُ َُ َ ْـلِ ْو٣َٝ ْْ ٌُ َُِِٖ ْؼ َُ ٌُ ْْ أَ ْػ َٔب َّ اُٞا ارَّوَُٞ٘ٓ َٖ آ٣ب اَُّ ِنَٜ ُّ٣ََب أ٣{ ٠ُهبٍ هللا رؼبٝ
َ اَلْٞ َا هُُُٞٞهَٝ َهللا
ْ ُ٣ * لاا٣ٍ ِل
]02 ،00 أب } آاْلؽياة٤ىاا َػ ِظْٞ َُ كَوَ ْل كَب َى كٍَُٚٞ َّ ُ ِط ِغ٣ َْٖٓ َٝ ْْ ٌُ َثُُٞٗم
ُ َهَٝ َهللا
Na amesema Allah {Enyi wale mlio amini! Mcheni Allah na
semeni maneno ya sawasawa * atakutengenezeeni matendo yenu na
atakusameheni madhambi yenu, Na anaye mt'ii Allah na Mtume
wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa} [ahzaab 70-71]
AQIIDA
5
1. PINDI UTAKAPO ULIZWA, NI NANI MOLA WAKO?
Basi sema, mola wangu ni Allah peke yake, na dalili ni kauli yake
Allah mtukufu
[2 َٖ { ]اُلبرؾخ٤ِٔ َُ }ا ُْ َؾ ْٔ ُل ِ َّّلِلِ َه ِّة ا ُْ َؼب٠ُهبٍ هللا رؼب
{Sifa zote njema ni za Allah, Mola Mlezi wa viumbe vyote}. [Al
faatiha 1]
JIBU,
1]Elimu yenye kupingana na ujinga, Amesema Allah mtukufu,
} ْْ ًُ اَٞ َٓ ْضَٝ ْْ ٌُ ََ ْؼَِ ُْ ُٓزَوََِّج٣ ُ هللا ِ ا ُْ ُٔئْ َِٓ٘بَٝ َٖ٤ِِ٘ٓ ُِْ ِْ ُٔئَٝ ٍزَ ْـلِ ْو ُِ َن ْٗجِ َي
َّ َٝ د َّ َ اِ ََّلَُُِٚ ََل اََّٚٗ{كَب ْػَِ ْْ أ
ْ اَٝ ُهللا
]22 آٓؾٔل
{Basi jua ya kwamba, hapana anayestahiki kuabudiwa kwa
haki ila Allah, na omba msamaha kwa dhambi zako na za
Waumini wanaume na Waumini wanawake. Na Allah anajua
mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa
kukaa}.[Muhammad 19]
23 IMANI NI NINI?
27 TAUHIDI NI NINI ?
JIBU,
ni kumpwekesha Allah katika Ibada.
Amesema Allah mtukufu,
َ ِٚ ِا ثًُٞ ْ ِو
]12 ئاب } آاَُ٘بء٤ْ ّ َّ اُٝا ْػجُلَٝ {
ْ ُ ََل رَٝ َهللا
{Na muabuduni Allah, na wala msimshirikishe yeye na
chochote}[Nisaa 36]
04 UFUPISHO WENYE FAIDA
31 SHIRKI NI NINI?
JIBU,shirki ni kumwabudia asiye kuwa Allah mwenye nguvu aliye
tukuka. Na kila kinacho kuwa ibada kwa ajili ya Allah kukigeuza
kwa asiye kuwa Allah ni shirki. Amesema Allah mtukufu,
َ ِٚ ِا ثًُٞ ْ ِو
]12 ئاب } آاَُ٘بء٤ْ ّ َّ اُٝا ْػجُلَٝ {
ْ ُ ََل رَٝ َهللا
{Muabuduni Allah wala msimshirikishe na chochote}[nisaa 36]
32 NI IPI HAKI KATIKA MAJINA YA ALLAH NA SIFA ZAKE ?
JIBU,haki katika majina ya Allah na sifa zake ni tuyathibitishe
kama yalivyo kuja hatuyakanushi wala hatuyapingi wala
hatumfananishi Allah Na viumbe Wake.
33 NI IPI KAULI YA WATU WA HAKI KATIKA QUR‟AN?
JIBU,wanasema, ni maneno ya Allah si kiumbe, kwake yameanza
na kwake yatarejea.
06 UFUPISHO WENYE FAIDA
JIBU, ni AL‟ASHAAIRA.
37 NI AKINA NANI AMBAO WANAPINGA HODHI NA MIZANI NA
SWIRAATWI?
JIBU, ni MUU‟TAZILA kwa kuhukumia akili zao. Na dalili juu ya
kuthibitisha hodhi na mizani na swiratwi ni nyingi.
38 NI IPI KAULI YA WATU WA SUNNA KATIKA PEPO NA MOTO ?
JIBU:
٢ُِ ِِٕ ْؼ ْ َأَٝ ،٢ِّ ب َٓ َؼبَٜ ٤ِ ك٢ِ اَُّز١ ْ َأَٝ ،١ٖ َٔخُ أَ ْٓ ِو
َ َب٤ْٗ ُك٢ُِ ِِٕ ْؼ ْ َ َّْ أُٜ ُِ«ا
ْ ِػَٞ ُٛ ١ اُ َّ ِن٢ِ٘٣ ِك٢ُِ ِِٕ ْؼ
َِّ ًُ ِْٖٓ ٢ُِ اؽخا
َ دَ َهْٞ َٔ ُْ اع َؼ َِ ا
ْ َٝ ، ٍو٤ْ ًُ َِّ َف٢ِ ك٢ُِ َب َكحا٣َبحَ ِى٤اع َؼ َِ اُْ َؾ
ْ َٝ ،١ب َٓ َؼب ِكَٜ ٤ِ ك٢ِ اَُّز٢ِآ ِف َور
»َّو
»Ewe Allah nitengenezee dini yangu ambayo ni kinga au ulinzi
wa jambo langu, na nitengenezee dunia yangu ambayo ndani
yake kuna maisha yangu, na nitengenezee akhera yangu
ambayo kuna marejeo yangu, na jalia uhai kuwa ni ziada
KWA MWANAFUNZI MPYA 20
kwangu katika kila kheri, na jalia umauti kuwa raha kwangu
kutokana na kila shari«. Ameipokea Muslim [2720] 11
» خ٤ اُؼبكٞ أٍؤُي اُؼل٢ٗ َّْ اُٜ ُِ«ا
»Ewe Allah hakika mimi nakuomba msamaha na afya«.
JIBU:
Ametaja Imam An-najidiy Allah amrehemu mambo miogoni
mwayo ni,
Sita: Kutolea hoja kwa walio tangulia, kama vile kauli yake Allah
mtukufu,
KWA MWANAFUNZI MPYA 25
]52 ٚٛ } آ٠َُُٝ ِٕ ْاْلٝ{هَب ٍَ كَ َٔب ثَب ٍُ ا ُْوُ ُو
{Nini hali ya karne za kwanza?} [Twaha 51]
15
]13 َٕٖٞ٘ٓ } آأُئ٤َُِّٝ َ آثَبئَِ٘ب ْاْل٢ِ َنا كَٜ ٍِ ِٔ ْؼَ٘ب ث
َ { َٓب
{Hatukusikia haya kwa baba zetu wa zamani}. [Muuminun 24]
JIBU: 19kwa
1) Ruqiya ya kisheria, Nayo ni ile ambayo inakuwa
Qur‟ani na Sunna na kwa lugha ya kiarabu.
JIBU:
1) Ziara ya kisheria, nayo ni ziara kwa ajili ya mazingatio na
kuwaombea dua waislamu walio kufa .
TWAHARA NA SWALA
31
78 NI VIPI VITENGUZI VYA UDHU?
JIBU: 1) Chenye kutoka katika njia mbili(tupu ya nyuma na tupu
ya mbele).
2)Usingizi.
3) Tendo la ndoa.
4) kutokwa na akili.
5) kugusa tupu kwa mkono, sawa sawa ikawa ni tupu ya mbele au
ya nyuma.
6)Kula nyama ya ngamia.
7) Kukufuru, katika kauli sahihi. Allah atukinge na ukafiri.
كثـــوٝفــبهط ٓــٖ هجـــَ أٝ ٘اـ٘ـوــــ٣ ٍآ ًِـــَ ُؾـــْ اُغٔــــبٝ
ٟؼزــو٣ َـــبة ػوـــٛهكح مٝ ٢ٓــٖ ؿٔــٝ ع٘ــبثـــخّٝ أٞاُـ٘ــٝ
Maana ya beti ni; (na kula nyama ya ngamia kunatengua udhu, na
chenye kutoka katika tupu ya mbele au nyuma. na usingizi na
janaba na mwenye kuzimia, na mwenye kuritadi, na mwenye
kuondokwa na akili).
6) kufikia baleghe.
7) kuweza kutawadha.
JIBU: 1) Uislamu.
2)Akili.
3) Utambuzi.
4) Kuondoa hadathi.
5) kustiri uchi.
6) kuondosha najsi.
7)Kuigia wakati.
8) Kuelekea qibla.
9) Niyah.
ZAKA
85 ZAKA NI NINI?
JIBU:
1) Uislamu.
2) Kuwa huru(si mtumwa).
3) kumiliki kiwango cha kutolewa zaka.
4) Kuzungukwa na mwaka.
87 NI ZIPI SAMPULI ZA VITU VINAVYO TOLEWA ZAKA?
JIBU:
1) Dhahabu na Fedha(madini).
2) Chenye kutoka katika ardhi, miongoni mwa nafaka na matunda
ambavyo vimejulishwa na sunna kuwa vinatolewa zaka.
3) Wanyama wa mifugo, ambao ni ngamia, ng‟ombe, mbuzi au
kondoo.
KWA MWANAFUNZI MPYA 35
SWAUMU
35
88 FUNGA NI NINI?
HIJJA
37
93 NI ZIPI NGUZO ZA HIJJA?
» ُهُُُّْٞ٘ اِٚ ٤ْ َُِاَٝ َبَٗب ثَ ْؼ َل َٓب أَ َٓبرََ٘ب٤ أَ ْؽ١اُؾ ْٔ ُل ِ َّّلِلِ اَُّ ِن
َ «
»Sifa njema zinamstahiki Allah ambaye katupa uhai baada ya
kuwa ametufisha, na kwake yeye tutakusanywa«.
JIBU: Kutoka kwa Abdur-Rahman Ibn Abza kutoka kwa baba yake
, kutoka kwa mtume ﷺkwamba yeye alikuwa anasoma
katika rakaa ya kwanza katika swala ya witri „Sabbihisma
Rabikal Alaa‟ na katika rakaa ya pili anasoma „suratul
Kaafiruun‟ na katika rakaa ya tatu anasoma „Qul-huwa llaahu
Ahad’. Ameipokea Ahmad(15354)
42 UFUPISHO WENYE FAIDA
JIBU:
Anatoa takbira kisha anasoma suratul faatiha kwa hadithi
ya Ubaada bin Swamit amesema, amesema mtume“ ﷺhana
swala yule ambaye hakusoma suratul Faatiha”. Ameipokea
Bukhari na Muslim.
JIBU: Anasema,
َ َب٣ ِْٖٓ َفطَب٢ُِِّ٘ َّْ َٗوُِٜ ا،ة
ًَ َٔب١ ِ ا ُْ َٔ ْـ ِوَٝ م
ِ ْ ِو ْ َٔ ُْ َْٖ ا٤َ ًَ َٔب ثَب َػلْدَ ث١َ َب٣طبَ َْٖ َف٤َثَٝ ٢ِ٘٤ْ َ َّْ ثَب ِػ ْل ثُٜ ُِ"ا
" ا ُْجَ َو ِكَٝ ا ُْ َٔب ِءَٝ ظِ ْ
ِ َّ ضُب ث ١
ِ َ َ ب ٣ب َ ط فَ ْٖ ٓ ٢
ِ ِ ِ٘ ْ
ِ َؿْ ا َّْ ٜ
ُ ُِا ،ٌ َ
ِ ٘ َِٖٓ اُ َّل
ٗ ُ َ٤ة ْاْلَ ْث
ُ ْٞ َّ اُض٠ََُّ٘و٣
(Ewe Allah weka mbali baina yangu na baina ya makosa yangu
kama vile ulivyo weka mbali baina ya mashariki na magharibi,
ewe Allah nitakatishe mimi kutokana na makosa kama inavyo
takatishwa nguo nyeupe kutokana na madoa, ewe Allah osha
makosa yangu kwa barafu na maji na umande). Na hii ni
KWA MWANAFUNZI MPYA 43
hadithi sahihi zaidi katika mlango huu ameipokea Bukhari(744) na
Muslim (598) kutoka kwa Abuu Huraira . 13
108 NI NINI ANASEMA MUISLAMU KATIKA RUKUU YAKE ?
»٢ُِ َّْ ا ْؿلِ ْوُٜ َُِّثِ َؾ ْٔ ِل َى اَٝ َّْ َهثََّ٘بُٜ َّ ٍُِ ْج َؾبَٗ َي ا
ُ «
»Utakasifu ni wako ewe Allah mola watu, na sifa njema ni
zako, ewe Allah nisamehe mimi«. Ameipokea Bukhari [761] na
Muslim [484] kutoka kwa Aisha amesema, “alikuwa mtume
ﷺanasema katika rukuu yake na sujudu yake ....”
Au anasema,
»ػٝ
ِ اُو ٌ ػ هُلٞ
ُّ َٝ َه ُّة ا ُْ َٔ ََلئِ ٌَ ِخ،ًُّٝ ٌ ٍُّج
ُ «
»Utakasifu utakasifu ni wa mola wa malaika na roho(Jibril)«
Ameipokea muslimu kutoka kwa Aisha .
Au anasema,
ِ َٝ ََُٚز٤ِٗػ َََلَٝ ُ ٙآ ِف َوَٝ ََُُّٚٝ َأَٝ ،َُِّٚ ِعَٝ ،َُُّٚ ِكهًَُِّٚ ٢ِ َم ْٗج٢ُِ َّْ ا ْؿلِ ْوُٜ ُِ«ا
»ٍُٙ َّو
»Ewe Allah nisamehe mimi dhambi zangu zote ndogo na
kubwa na za mwanzo na za mwisho na za wazi na zilizo
fichikana« Ameipokea Muslim (483) kutoka kwa Abuu
Huraira hakika ya mtume ﷺalikuwa akisema katika sijda
yake, ....«
JIBU:
»ٍُٙ ِٔ َغ هللاُ ُِ َْٖٔ َؽ ِٔ َل
َ «
»Allah amemsikia yule mwenye kumsifu«. dua hii ni kwa Imamu
na anaye swali peke yake. Ameipokea Bukhari [722] na Muslim
[416] kutoka kwa Abu Huraira .
JIBU,
.» ٢ُ «هة اؿلو
»Ewe mola wangu nisamehe mimi« ameipokea Darimiy [1324]
kutoka kwa Hudheifa kwa hakika alikuwa akisema Mtume
ﷺbaina ya sijida mbili “ewe mola wangu nisamehe mimi”.
JIBU :
َّ ُ ا،ُُٚثَ َو ًَبرَٝ ِ َه ْؽ َٔخ ُ هللاَٝ ٢ُّ ِب اَُّ٘جَٜ ُّ٣َ َي أ٤ْ ََِ ََل ُّ َػ
َ٘ب٤ْ ََِ ََل ُّ َػ َّ ُِّجَبدُ ا٤َّاُطَٝ ُادَٞ َِٖ
َّ ُاَٝ َِّبدُ ِ َّّلِل٤"اُزَّ ِؾ
ُ
"ٍُُٚٞ َ
ُ َهَٝ ُٙ ُل إَّٔ ُٓ َؾ َّٔلاا َػ ْج ُلَٜ ّ َ َّ َ َ َ
ْ أَٝ ،َُ اَِل هللاُِٚ ُل إْٔ َل اَٜ ّ َ
ْ أ، َٖ٤ٖبُِ ِؾ َّ ُ ِػجَب ِك هللاِ ا٠َِ َػَٝ
"Maamkizi mema ni kwa ajili ya Allah na swala na mambo
mazuri, amani iwe juu yako ewe Nabii na rehema za Allah na
baraka zake, amani iwe juu yetu na juu ya waja wa Allah
wema, nashuhudia kuwa hapana mola apasaye kuabudiwa
kwa haki isipokuwa Allah, na ninashuhudia kuwa Muhammad
ni mja wake na mtume wake". Ameipokea Bukhari [831] na
Muslim [402] kutoka kwa Abdilaah bin Masuudi .
46 UFUPISHO WENYE FAIDA
ٌل٤ِٔ اِٗ َّ َي َؽ،َْ ٤ِٛ آ ٍِ اِ ْث َوا٠َِ َػَٝ ،َْ ٤ِٛ اِ ْث َوا٠َِْذَ َػ٤ََِّٕ ًَ َٔب، آ ٍِ ُٓ َؾ َّٔ ٍل٠َِ َػَٝ ُٓ َؾ َّٔ ٍل٠َِٕ َِّ َػ َ َّْ ُٜ َّ ُِ"ا
َْ اِٗ َّ َي٤ِٛ آ ٍِ اِ ْث َوا٠َِ َػَٝ ،َْ ٤ِٛ اِ ْث َوا٠َِ ًَ َٔب ثَب َه ًْذَ َػ، آ ٍِ ُٓ َؾ َّٔ ٍل٠َِ َػَٝ ُٓ َؾ َّٔ ٍل٠َِ َّْ ثَب ِهىْ َػُٜ َُِّ ا،ٌل٤َٓ ِغ
" ٌل٤ ٌل َٓ ِغ٤ِٔ َؽ
"Ewe Allah mswalie Muhammad na watu wa Muhammad
kama vile ulivyo mswalia Ibrahim na watu wa Ibrahim hakika
wewe ni mtukufu mwenye kuhimidiwa. ewe Allah mbariki
Muhammad na watu wa Muhammad kama ulivyo mbariki
Ibrahim na watu wa Ibrahim hakika wewe ni mtukufu
mwenye kuhumidiwa". Ameipoka Bukhari [3370] na Muslim [406].
JIBU :
ّ ِّو ِ ِْٖٓ َػ َناَٝ ،َْ ََّٜ٘ ة َع
ِ ا ُْ َٔ َٔبَٝ َب٤ ِْٖٓ كِزَْ٘ ِخ اُْ َٔ ْؾَٝ ،ة ا ُْوَ ْج ِو
َ ِْٖٓ َٝ ،د ُ أَػ٢ِِّٗ َّْ اُٜ ُِ"ا
ِ م ثِ َي ِْٖٓ َػ َناُٞ
" ٍِ ؼ اُ َّل َّعب٤
ِ َِ َٔ ُْ كِ ْزَ٘ ِخ ا
1-"Ewe Allah hakika mimi najikinga kwako kutokana na
adhabu ya jahannam na kutokana na adhabu ya kaburi na
kutokana na fitna ya uhai na umauti na kutokana na shari ya
masihi Dajjaali". Ameipokea Muslim [588] kutoka kwa Abuu
Huraira amesema, amesema mtume “ ﷺatakapokaa
tashahudi mmoja wenu basi ajikinge kwa Allah kutokana na
mambo manne, aseme “ ewe Allah ....”.
،َ َٓ ْـلِ َوحا ِْٖٓ ِػْ٘ ِلى٢ُِ كَب ْؿلِ ْو، َة اِ ََّل أَْٗذٞ ُّ َ ْـلِ ُو٣ ََلَٝ ، اوا٤ِ ظُ ِْ أب ًَض٢َ
َ ُ ٗاُن ِ ظََِ ْٔذُ َٗ ْل٢ِِّٗ َّْ اُٜ َّ ُِ"ا
" ُْ ٤ ُه اُ َّو ِؽُٞ اَِّٗ َي أَْٗذَ اُ َـل٢ِْ٘ٔ اه َؽ ْ َٝ
2-"Ewe Allah hakika mimi nimeidhulumu nafsi yangu dhulma
nyingi na wala hamna mwenye kusamehe madhambi
isipokuwa wewe, nisamehe mimi msamaha kutoka kwako na
unirehemu, hakika wewe ni mwingi wa kusamehe na mwingi
KWA MWANAFUNZI MPYA 47
wa kurehemu". Ameipokea Bukhari [834] na Muslim [2705]
kutoka Abdillah bin Amur kutoka kwa Abuu Bakari17
hakika yeye alimwambia mtume “ ﷺnifundishe dua ambayo
nitaomba kwa dua hiyo katika swala yangu” mtume akasema
kumwambia Abuu bakar sema, “Ewe Allah ....”
JIBU:
َّ ُ َه ْؽ َٔخَٝ ْْ ٌُ ٤ْ ََِ ََل ُّ َػ
» ِهللا َّ ُ«ا
»Amani na rehma za Allah ziwe juu yenu« Kulia na kushoto.
ameipokea Ahmad [3699] kutoka kwa Abdillah hakika ya
mtume ﷺalikuwa akitoa salamu upande wake wa kulia na
upande wake wa kushoto mpaka unaonwa weupe wa shavu lake.
na sanadi ya hadithi hii ni sahihi.
JIBU : Anasema
َ َِّ ِّو َٓب َف
»ن َ ِْٖٓ د
ِ د هللاِ اُز َّب َّٓب ُ «أَػ
ِ م ثِ ٌَِِ َٔبُٞ
»Ninajikinga kwa maneno ya Allah yaliyokamilika, kutokana
na shari ya vile alivyoviumba«.
48 UFUPISHO WENYE FAIDA
JIBU:
َّ ِْ َ
ِهللا ْ ِث
»Kwa jina la Allah«.
JIBU: Anasema
اُؾٔل ّلِل
Kutoka kwa Anas bin Maalik amesema, amesema Mtumeﷺ
“hakika ya Allah anamridhia mja anapokula chakula kisha
akamuhimidi kwa chakula hicho, au akanywa kinywaji kisha
akamuhimidi kwa kinywaji hicho”. ameipokea Muslim {2734}
JIBU:Ni mama yako, binti yako, dada yako, binti wa mtoto wako
wa kiume au wa kike, binti wa dada au kaka, na mwanamke aliye
kunyonyesha, dada uliyenyonya nae, mke wa mtoto wako, mama
wa mke, na mtoto wa mkeo uliyemuoa.
JIBU: Ni
١غــو٣ ــبهٜ اّز٢ـو كـ٤اثـٖ اُيثٝ ٝػـٔـ ِوٝ اث٘ـب ُػ َٔــوٝ اُجؾــوٝ
Maana ya ubeti ni; Na bahar(Ibn Abaas) na Ibn Umar na Ibn am‟ru
na Ibn Zubeir katika umaarufu inapita.
126 NI AKINA NANI MASWAHABA WALIO KITHIRISHA RIWAYA
KUTOKA KWA MTUME ?ﷺ
JIBU: ni,
اثــٖ ػٔــوٚــ٤ِ٣ ــوح٣وٛ ٞأثــ ــخ اْلصـــو٣اٝ ه٢ٕ كـٝأُـٌضــوٝ
٢عـــخ اُــ٘ـجـــــٝىٝ عــبثـــوٝ ١اُـؾــجـــو ًـبُــقـــلهٝ ٌأٗـــٝ
Maana ya ubeti ni; Walio kithirisha katika kupokea athari(kutoka
kwa mtume ) ﷺ, ni Abuu Huraira na anafuatia Ibn Umar,
Na Anas na Ibn Abbaas na khuduriy(Abuu Said), na Jaabir na mke
wa mtume ﷺ
اُــياك٢ هـل عـبءٗـب كـ١ اُـن٠ػِـ ١ـبكُٜ ا٢اط اُ٘جـٝت أى ُ ـ٤رـورـ
كحُ ػـبئــِ ًـنا ثـ٘ــذ ػـٔــوٍٞـ َ
غـخ اػزُـجــو٣ٌبػ ثـقـلِ ثـل ُء اُ٘ـ
اٞكـجـ٘ـذ ؽــبهس كـوٓـِــخَ اًـزـجـــ ـ٘ــت٣ـ٘ـ ٌل ىٜٔـخَ كـ٣ثـ٘ــذ فـي
ٓــب صـجــذٝ ٌـؾــبٗــخ٣ــَ ىك ه٤هـٝ ــذٜـب اٗزٜ ثٙـنٜٗــخٌ كـٞٔـ٤ٓـ
.ـــــخ٣ب ٍـــوٜا ْلٗــٝــنًـــو٣ ُْـــ ـخ٤ـب اُـوجـطـٜ ث٢ـخ أػـ٘ـ٣ٓـبه
Maana ya beti hizi ni; Mpangilio wa wake za mtume mwongozaji,
juu ya kile kilicho tuijia katika Zaadi(kitabu),
Ndoa ya mwanzo ni kwa Khadiija imezingatiwa, Sauda, Aisha vile
vile binti wa Umar,
Binti Khuzaimah kisha Hindu, Zainab kisha binti Haarith kisha
Ramla andikeni,
Maymuna kwa huyu ndiyo alikomea, pamesemwa alizidisha
Rihaana na haikuthibiti,
Mariya namkusudia Qibtwiya hawakumtaja kwa sababu yeye ni
mtumwa.
JIBU: Ni
ًٕـؼـــت ؽـَــبٝ اؽـخٝاثـٖ ه ٕ اُْــبٝٝ م٠ّؼــواء أُٖـطـلٝ
Maana ya ubeti huu; Na washairi wa mwenye kuchaguliwa wenye
hadhi, ni Ibn Rawaaha na Kaabu na Hassan.
JIBU: 53
Ni - Abuu Abdillah Ahmad bin Hambbal Ash-shaybaaniy.
JIBU: ni;
ُ طؼْذُ أَػ
م ثِ َيُٞ ْ ْػ ِل َى َٓب اَٝ َٝ ِل َىْٜ َػ٠َِأََٗب َػَٝ أََٗب َػ ْج ُل َىَٝ ٢ََِ٘ اَِل أَ ْٗذَ َفَِ ْوزَُِٚ َل ا٢ِّ َّْ أَ ْٗذَ َهثُِٜ«ا
َ َ ٍز
» َة اَِل أَ ْٗذٞ ُّ َ ْـلِ ُو٣ ُ َلَِّٚٗ كَب٢ُِ كَب ْؿلِ ْو٢ِ ُء َُ َي ثِ َن ْٗجُٞأَثَٝ ٢َّ َِ ُء َُ َي ثِِ٘ ْؼ َٔزِ َي َػَُٕٞ٘ؼْذُ أَث
َ ُٗاُن َ ّ ِّو َٓب
َ ِْٖٓ
»Ewe Allah, wewe ni mola wangu hakuna mola apasae kuabudiwa
kwa haki isipokuwa wewe, umeniumba mimi na mimi ni mja
wako, na mimi niko juu ya ahadi yako na miadi yako kwa kadri
54 UFUPISHO WENYE FAIDA
َٞ ُٛ َٝ ُ ا ُْ َؾ ْٔ ُلََُٚٝ ُ ا ُْ ُٔ ِْ ُيَُٚ .ُ َُٚ َي٣ّ ِو َّ َ اَِلَُِٚا ُْ َؾ ْٔ ُل ِ َّّلِلِ َل اَٝ ِ ا ُْ ُِْٔ ُي ِ َّّلِل٠َ
َ ُ َلٙ ْؽ َلَٝ ُهللا َ ْٓ َأَٝ َ٘ب٤ْ َ َ ْٓ َ«أ
٢ِّ ِّو َٓب ك ُ َ َ َ َّ
َ ِْٖٓ م ثِ َيُٞأػَٝ َبٛ َو َٓب ثَ ْؼ َل٤ْ فَٝ ِْ ِخ٤ُِ اِٙ ِنَٛ ٢ِْ َو َٓب ك٤ٍؤُ َي ف َ ُ َ َ َ
ْ ٌو َه ِّة أ٣ ٍء ه ِل٢َ ْ ّ َِّ ً ٠ََِػ
ُ
َّ
اُ٘ب ِه٢ِة ك َ ُ َ
ٍ م ثِ َي ِْٖٓ َػناُٞ ِء اُ ٌِجَ ِو َه ِّة أػٍْٞ ُ َٝ َِ َ ْ ُ َ
َ ٌَ ُم ثِ َي ِْٖٓ اَُٞب َه ِّة أػّٛ ِّو َٓب ثَ ْؼ َل َ َٝ َِْ ِخ٤َُِّ اِٙ ِنَٛ
» ا ُْوَ ْج ِو٢ِة ك ٍ َػ َناَٝ
»Tumefikiwa na jioni na umekuwa ufalme ni wa Allah na sifa
njema zinamstahiki Allah, hapana mola apasae kuabudiwa kwa
haki isipokuwa Allah peke yake hana mshirika. ni wake yeye
ufalme na ni zake yeye sifa njema, naye juu ya kila kitu ni
muweza, ewe mola wangu nakuomba kheri iliyo ndani ya usiku
huu na kheri iliyo baada yake, na ninajikinga kwako kutokana na
shari iliyo ndani ya usiku huu na shari iliyo baada yake, ewe mola
wangu najikinga kwako kutokana na uvivu na ukubwa(uzee)
mbaya na ninajikinga kwako kutokana na adhabu katika moto na
adhabu katika kaburi«.
Na anapofikiwa na asubuhi anasema, “tumefikiwa na asubuhi....)
ameipokea Muslim [2723] kutoka kwa Ibn Masuud .
» ُْ ٤ِِ ُغ ا ُْ َؼ٤ِٔ َ
َّ ُ اَٞ َُٛٝ َ َٔب ِء ِ ْاْلَ ْه٢ِ ٌء ك٢َ
َّ ُ ا٢َِل كَٝ ٗ ْ ّ ِٚ ِٔ ٍ ُ َ٣ َل١هللاِ اُ َّ ِن
ْ ُّو َٓ َغ اٚ َّ ِْ َ
ْ ِ« ث
»Kwa jina la Allah ambaye hakidhuru kitu pamoja na jina lake
katika ardhi wala mbinguni, nae ni msikivu na mjuzi« (mara tatu)
mwenye kusema dua hii hakitomdhuru kitu chochote. Ameipokea
Abuu Daud [5088]. na hadithi hii iko katika Sahihi Musnad ya
Imamu Al-waadiy Allah amrehemu.
KWA MWANAFUNZI MPYA 55
َ ْٓ َاِ َما أَٝ ، ُهُُُّْْٞ٘ َي ا٤َُِاَٝ ُدُٞٔ َٗ ثِ َيَٝ َب٤ثِ َي َٗ ْؾَٝ َ٘ب٤ْ َ
َّْ ثِ َيُٜ ََُِّوُ َْ ا٤ِْ َ ك.٠َ َ ْٓ َثِ َي أَٝ ٕجَ ْؾَ٘ب
ْ َ َّْ ثِ َي أُٜ َُِّ«ا
» ُو٤ٖ ِ َٔ ُْ َي ا٤ْ َُِاَٝ ُدُٞٔ َٗ ثِ َيَٝ َب٤ثِ َي َٗ ْؾَٝ ٕجَ ْؾَ٘بْ َثِ َي أَٝ َ٘ب٤ْ َ َ ْٓ َأ
»Ewe Allah kwa msada wako tumefikiwa na asubuhi na kwa
55
msaada wako tumefikiwa na jioni na kwa msaada wako tunakuwa
hai na kwa msaada wako tunakufa na kwako wewe tutakusanywa«.
Na anapofikiwa na jioni anasema, »Ewe Allah kwa msada wako
tumefikiwa na jioni na kwa msaada wako tumefikiwa na asubuhi
na kwa msaada wako tunakuwa hai na kwa msaada wako tunakufa
na kwako wewe ndio kuna marejeo«. Ameipokea Abuu Daud
kutoka kwa Abuu Huraira [5068].
.)...ذ٤َٓ هبٍ أ٠َٓاما أٝ .» اَل هللاُٚل إٔ َل اّٜأٝ ي ؽٔلاا٤ِ ػ٢٘« إٔجؾذ أص
»Nimepambazukiwa hali ya kuwa nakusifu wewe na ninashuhudia
kuwa hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah «.
(mara tatu) na anapofikiwa na jioni anasema, “ nimefikiwa na
jioni ….). Ameipokea Nasaaiy [6/147] na hadihti hii iko katika
Swahihi Musnad ya Shekhe Muq‟bil Allah amrehemu.
»ًم ثوة اُ٘بٞهَ أػٝ م ثوة اُلِنٞهَ أػٝ هللا أؽلٞٛ َماد هٞ«أُؼ
Kusoma Muawidhaati(Qulhuwa Llaahu Ahad, Qul Audhu Bi
Rrabil Falaq, Qul Audhu Bi Rrabbin Nnasi) [mara tatu tatu]
ameipokea Ahmad[37/335] na Nasaaiy kwa isnadi iliyo nzuri na
ameihasanisha hadithi hii shekhe Al-bany Allah amrehemu.
ِ ِىَٗخَ ػ َْوَٝ ِٚ َ
»ِٚ ِ ِٓلَا َك ًَِِ َٔبرَٝ ِٚ ّ ِ ب َٗ ْلٙ
َ ِهَٝ ِٚ ِ َػ َل َك َف ِْوِٙ ثِ َؾ ْٔ ِلَٝ ِهللا
َّ ٍَٕ ْج َؾب
ُ «
»Utakasifu ni wa Allah na kuhimidiwa ni kwake, idadi ya viumbe
vyake na ridhaa ya nafsi yake na pambo la arshi yake na wino wa
maneno yake«. [mara tatu asubuhi] kutoka kwa Juweiriyya .
Ameipokea Muslim[6768].
JIBU;
» ِو٤ِ«اُزَّ ٌْج
2- Kuleta Takbira, ameipokea Bukhari na Muslim, kutoka kwa Ibn
Abbas amesema, nilikuwa nafahamu kumalizika kwa swala ya
mtume ﷺkwa kuleta Takbira.
ِ َخَ ا ُْ ٌُ ْو٣«آ
﴾ ... ُّ ُّٞ٤َ ا ُْو٢ُّ ا ُْ َؾَٞ ُٛ َ اِ ََّلَُِٚ ﴿هللا ََل ا٢ِّ ٍ
3- Kusoma Ayatul Kursiy, kutoka kwa Abuu Umama
ameipokea Tirmidhiy. “mwenye kuisoma aya hii baada ya kila
swala, hakitokuwa baina yake na baina ya pepo isipokuwa
mauti”.
.} ثوة اُلِن
ِّ مٞ{هَ أػٝ } ًثوة اُ٘ب
ِّ مٞ{هَ أػ٢ٛٝ .مادٞ«هواءح أُؼ
4- Kusoma Muawidhaat, ameipokea Abuu Daud[1302] kutoka kwa
Uqba bin A`mir kutoka kwa mtume ﷺ.
Nazo Muawidhaat ni “Qul Audhu bi Rabbil Falaq” na “Qul
Audhu bi Rabbi Nnasi”.
ٌو٣ ٍء هَ ِل٢َْ ّ َِّ ًُ ٠َِ َػَٞ ُٛ َٝ ُ ا ُْ َؾ ْٔ ُلََُٚٝ ُ ا ُْ ُٔ ِْ ُيَُٚ َُُٚ َي٣ّ ِو
َ ُ ََلٙ ْؽ َلَٝ َ اِ ََّل هللاٍَُِٚ رَ َٔب َّ ا ُْ ِٔبئَ ِخ « ََل اٞو٣ٝ
00- Na anasema kukamilisha mia moja, hapana mola apasae
kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake, hana mshirika,
nae juu ya kila kitu ni muweza. “Atasamehewa makosa yake
hata kama yatakuwa mfano wa povu la bahari”. kutoka kwa
Abuu Huraira kutoka kwa mtumeﷺ, Ameipokea Muslim
[939].
JIBU;
1- Ayatul Kursiy, kutoka kwa Abuu Huraira ameipokea
Bukhari.
» ُهُُُّْٞ٘ اِٚ ٤ْ َُِاَٝ َبَٗب ثَ ْؼ َل َٓب أَ َٓبرََ٘ب٤ أَ ْؽ١اِ َما هَب َّ هَب ٍَ اُْ َؾ ْٔ ُل ِ َّّلِلِ اُ َّ ِنَٝ .َب٤أَ ْؽَٝ ُدُٞٓ َْ أٍُِٜ ِٔ َي ا
ْ «ثِب
3- »Kwa jina lako ewe Allah nakufa na ninakuwa hai« na
anapoamka anasema »sifa njema zina msitahiki Allah ambaye
ametupa uhai baada ya kutufisha na kwake yeye tutakusanywa«.
kutoka kwa Hudheifa binl Yamaan [6960] na Abuu Dharri
[5837] amezipokea Bukhari na Muslim [4886] kutoka kwa
62 UFUPISHO WENYE FAIDA
) َٖ٤ِصَ ََلصَٝ ٍجؾبٕ هللا (صَ ََلصابٝ ) َٖ٤ِصَ ََلصَٝ اُؾٔل ّلِل (صَ ََلصابٝ ) َٖ٤ِصَ ََلصَٝ هللاَ أًجو (أَ ْهثَ اؼب
َّ «
6- Allahu Akbar(mara thelathini na nne) na Al-hamdu Lillahi(mara
thelathini na tatu) na Subhana Llah (mara thelathini na tatu)
“hakika kufanya hivyo ni bora kuliko kuwa na mtumishi”.
Ameipokea Bukhari [2881] na Muslim kutoka kwa Ally .
kutoka kwa mtume ﷺakaitaja hadithi hii …..
»١َٝل ٓئٝ ُٚ ٢اٗب كٌْ ٖٓٔ َل ًبكٝآٝ ًلبٗبٝ ٍوبٗبٝ ؼٔ٘بٛ أ١«اُؾٔل ّلِل اُن
8- »Sifa njema ni za Allah ambaye ametulisha na akatunywesha na
akatutosheleza na akatupa makazi, ni wangapi ambao hawana wa
kuwatosheleza wala hawana makazi«. Ameipokea Muslim[2715]
kutoka kwa Anas hakika ya mtume ﷺalikuwa pindi anapo
lielekea tandiko lake anasema, ….. mpaka mwisho.
بَٜ َُ ب كَب ْؿلِ ْوَٜ َّ إِْ أَ َٓزَٝ بَٜ ظ ْ َب كَٜ َز٤ْ َ٤َب إِْ أَ ْؽَٛب٤ َٓ ْؾَٝ بَٜ ُ َب َُ َي َٓ َٔبرٛكَّبَٞ َأَ ْٗذَ رَٝ ٢َ
ْ َبؽل ِ ْ َّْ َفَِوْذَ َٗلُِٜ«ا
»ََخ٤ٍِؤَُُ َي ا ُْ َؼبك
ْ َ أ٢ِِّٗ َّْ اُِٜا
9- »Ewe Allah umeiumba nafsi yangu na wewe unaifisha, ni kwako
wewe kufa kwake na kuwa hai kwake, ikiwa kama utaipa uhai basi
ihifadhi na ikiwa kama utaifisha basi isamehe, ewe Allah hakika
mimi nakuomba afya«. Ameipokea Muslim [4887] kutoka kwa Ibn
Umar kutoka kwa mtumeﷺ.
ُْقِ ٌْ َ َّْ أَ ْٗذَ رُِٜ اِٚ َِز٤ِٕ ّ ِّو َٓب أَ ْٗذَ آ ِف ٌن ثَِ٘ب ُ أَػ٢ِِّٗ َّْ اُِٜ« ا
ِ َي ا ُْ ٌَ ِوِٜ ْعَٞ ِم ثُٞ
َ ِْٖٓ ًَِِ َٔبرِ َي اُزَّب َّٓ ِخَٝ ْ٣
ُ َ ْ٘لَ ُغ ما ا ُْ َغ ِّل ِْٓ٘ َي ا ُْ َغ ُّل٣ ََلَٝ ْػ ُل َىَٝ ُُ ْقَِق٣ ََلَٝ َي ُّ ُعْ٘ ُل َىْٜ ُ ٣ َّْ ََلُِٜا ُْ َٔؤْصَ َْ اَٝ َّ ا ُْ َٔ ْـ َو
ٍ ْج َؾبَٗ َي َ
.»ثِ َؾ ْٔ ِل َىَٝ
11- »Ewe Allah hakika mimi najikinga kwa uso wako mkarimu na
maneno yako yaliyo kamilika kutokana na shari ya kile ambacho
wewe ni mwenye kukishikilia utosi wake, ewe Allah wewe
unaondoa madeni na madhambi, ewe Allah halishindwi jeshi lako
na wala haikhalifiwi ahadi yako na hanufaishi mwenye utukufu,
kwako wewe ndio unatoka utukufu, utakasifu ni wako na
kuhimidiwa ni kwako«. kutoka kwa Ally kutoka kwa
mtume“ ﷺkwamba yeye alikuwa akisema dua hii wakati wa
kulala kwake”. Ameipokea Abuu Daud[439] na hadithi hii iko
katika Swahihi Musnad.
UTANGULIZI WA TAJWIIDI.
15
135 NI NGAPI HUKUMU ZA NUUN YENYE SAKNA NA TANWIIN?
JIBU: Ni nne;
JIBU: herufi zake ni tatu, nazo ni alifu sakna ambayo ina fat-ha
herufi iliyo kabla yake, mfano
.)بكُٜٔ(ا
Yaa yenye sakna ambayo ina kasra herufi iliyo kabla yake, mfano
.{ٖ٤ُٔ}هة اُؼب
UTANGULIZI WA NAHAU.
141 KALAMU(MANENO) NI NINI?
JIBU:
ni ile ambayo kumepungua ndani yake sharti miongomi mwa
masharti ya hadithi sahihi na hasan.
JIBU:
ni ile ambayo pameangushwa mwanzoni mwa sanadi yake
mpokezi mmoja au zaidi.
LAAMIYYAH
ٍَؤ٣ خ٣لاُِٜ ٖٓ ٟلُٜهىم ا ٢ـلرـ٤ػوـٝ ٢جـٛ ػـٖ ٓن٢ِب ٍـبئ٣
Ewe mwenye kuniuliza mimi kuhusu madhehebu yangu na akida
yangu, ameruzukiwa uongofu mwenye kuuliza kwa ajili ya
kuongoka.
ٍَ هبٍ اْلفطٞو٣ ٍاما اٍزلٝ ٙهاءٝ ٕهجؾب ا ُٖٔ ٗجـن اُوـوآ
Ni ubaya ulioje kwa mwenye kuitupa Qur‟an nyuma yake, na
anapotoa dalili anasema amesema Akh-twalu(mkiristo).
اٞأٍـغؾٝ
ُ ُْغ
ٍ ًــٔب هــبٍ أرْجـب ٌع هق هبئَلاُٞ اُووإٓ ثب٢َل ر ُي كٝ
Na wala usiwe katika Qur‟an ni mwenye kusema kwa kusita, kama
walivyo sema wafuasi wa Jahami na Nyoyo zao zikaridhia hii
itikadi mbaya.
ٌ
ش ٖٓـو ُػ٣ؽل ثٖٔلام ٓب هِـ٘ب
ِ ػ٘ـلٗـبٝ ناٛ ٢ُٜٔ٘ ٌِو اُغ٣ هلٝ
Na kwa hakika anapinga hili Jahami na sisi tunayo, kwa
kusadikisha yale tuliyo yasema hadithi iliyo wazi.
76 UFUPISHO WENYE FAIDA
ماى ر ْ٘غ ُؼ٢كو َُ ِٓضَ ٓب هل هبٍ ك ـ ٌو ػـٖ ٓـوـب ٍِ ُٓؾـٔـ ٍل٣ عـوٙاٝه
Ameipokea Jariir kutoka katika maneno ya Muhammad, basi sema
mfano wa kile alicho kisema katika hilo utafaulu.
ــ َِ ر ْ٘ـلــ ُؼٙاٞ ثبُلـٚـ٣ـل٣ ًِِزـبٝ ُ ٚ٘ـ٤ٔ٣ ب اٚ٣ أ٢ٔـٜ٘ـٌ ُو اُغ٣ هـلٝ
Na kwa hakika anapinga Jahami pia mkono wake wa kulia, na
mikono yake yote miwili kwa kipao inatoa.
اؽـ ُل اُ ُٔزـ َٔـل ُػٞـقَ عـ ََّ اُـ٤ً ثـَل ـِـ ٍخ٤ُ َِّ ً ٢ـ٘ـي ٍُ اُغـجب ُه ك٣ َهـٝ
Na sema anateremka Al-Jabbaar katika kila usiku, bila ya namna
ametukuka Mmoja mwenye kusifiwa.
ٔ٘ـ ُؼ٤ُ ِه ْىهـب ا كٝ ـواا٤ َُٓـزـٔـ٘ـ ٌؼ فٝ َ َِـ٣ ٍُ أََل َُٓـزــلــ ٌوٞو٣
ن ؿبكـواا
Anasema hivi kuna mwenye kutaka msamaha akutane na mwenye
kusamehe, na mwenye kutaka kheri Na rizki ili apewe.
ِو ُٓ ْ٘ ِغ ُؼ٤ ِو ثبُق٤ـقُ اُق٤ ؽـِـ٢ٌّ ػِـ ْـُٛ َّـخ ثـؼـل٣ ُو اُجـو٤ـ ْْ فـُٜ هاثـؼٝ
Na wa nne wao ni mbora wa viumbe baada yao, Ally mwenye
kulazimiana na kheri kwa kheri ni mwenye Kufaulu.
ُٖ٘ؼ
ُ يإَ اٗي ر٤ُِٔاٝ ٗ
َ ٞاُؾ
ْ َلٝ ُٓـ٘ـٌـوااٝ ـواا٤ٌٗ َلاَٜل رُ٘ ٌِ َوْٕ عٝ
Na wala usipinge kwa ujinga Nakiri na Munkar, na wala hodhi na
mizani hakika wewe unanasihiwa.
ؼٙ
ُ َٞ ُٓ ن ِ ػَنا٢هُ َْ كٝ
ّ ة اُوَجْ ِو َؽ ّـبكِـــ ٌغ ِ ِقـ ِْــ
َ ن َ ٍَ هللاِ ُـٍٞــ
ُ إ َهٝ
Na kwa hakika mtume wa Allah kwa viumbe ni mwenye
kuwaombea, na sema katika adhabu ya kaburi Ni haki iliyo wazi.
َ ْٔـي ُػ٣ ِٖ ـ٣ ثِـبُـل٢أَلَ اِٗ َٔـب اُ ُٔـ ْو ِعـ ِٚ ـ٘ــ٣ثـب ثــلّٞاـب َُ ُؼـ٤َل رـ ُي ُٓـ ْوعـٝ
Na wala usiwe Murjia mwenye kucheza na dini yake, fahamuni
hakika si vinginevyo Murjia wanaifanyia mzaha dini.
رـٖـجـؼٝ ـذ٤ـو رج٤ ف٠كَؤَٗـذ ػـِـ ٙ ِنَٛ بٕبػ٣ ْوٛامآب اػـزولد اُ َّل
Pindi utakapoitakidi hivi milele ewe rafiki, hakika utakuwa katika
kheri nyakati za jioni na asubuhi.
KWA MWANAFUNZI MPYA 79
BAIQUUNIYYA
أُهٍــــَل٢ْ ــ ِو ٗـجـــ٤ْ ُٓـ َؾ َّٔــ ٍل َفـ
79
َ أثـلأُ ثـبُؾـٔـ ِل ُٓـ
٠ــب ا َػـَِــ٤ٖـِِّـ
Ninaaza kwa kuhimidi hali ya kumswalia, Muhammad nabii mbora
aliyetumwa.
عٞ أُـوـطـــٞــٛ َٓـب ُِـزَـبثِــ ٍغَٝ ُ ٞ اُ َٔـ ْوكُـ٢ـقَ ُـِـَّ٘ـجِـ٤ـُٙ َٓـب أَٝ
ع
Na ile hadithi iliyoegemezwa kwa Mtume ni MAR‟FUU na ile
iliyoegemezwa kwa Taabiiy ni MAQ‟TUU.
٠ ا ُْـلَـزَـ٢هللاِ أ ْٗجـؤِٗـَٝ ِٓـ ْضـ َُ أَ َٓـب ٠ق أَرَـ ْ َٝ ٠ََِـ ٌَ هُـ َْ َٓـب َػ
ٍ ٕـ َ ِْ َ
َ ُٓ
MUSALSAL sema ni ile ambayo imekuja juu ya sifa fulani, mfano
namuapia Allah, ameniambia mimi Kijana.
ْٚ م َٓب صََلصـ
َ ْٞ كـ١ِٝ ُه َٓ ْوُٜٞ ْ
ْ َٓ ْ ِٖ ـ٤ْ ا ْصـَ٘ـ١ِٝ ـ ُي َٓـ ْو٣َػ ِي
ْٚ صَــَلَصَــٝأ
Hadithi AZIZI ni ile ambayo imepokelewa na wawili au watatu, na
hadithi MASHUHUR ni ile iliyopokelewa Na watu zaidi ya
watatu.
ْٖفٌ ىًُــُٞهْٞ َٓ ٜٞكؼَ كٝ ٍٍ ْٞ َه ْٖة ِٓــ ْ َ اْل٠ُ اَُِـٚ ْلزَـٙ
ِ ٕـ َؾـب َ َٓـب أٝ
Na ile ambayo umeiegemeza kwa maswahaba miongoni mwa kauli
au kitendo basi hiyo ni MAU‟QUUF Imefahamika.
َْٕأَٝ ُْٖ ثِ َؼــَٚهْٞ ـ٘ـوـ َُ َػـ َّٔــْٖ كَـ٣ َْٕأَٝ ـ ْ ٍُ اَلَّٝ َاْل
َّ ُ ُِـِـٍٛــوَــب
ِ ــ٤ْ ْـ
Ya mwanzo katika Mudallas ni mpokezi kumuangusha Shekhe
wake na, akanukuu kwa aliye juu ya Shekhe wake kwa Kutumia
lafdhi ya A‟N na AN.
َ ْٝ َأ
ــ٘ـؼــــوف٣ َ َلِٚ ُِ ثِ َٔب ثٕٚـبكَــ ْ ُـ٣ َاُضَّـب ِٕ َلٝ
ِ َ٣ ٌِْٖ ُ َُـَٚـوِــطُـ
ْٖق
Na aina ya pili hamuangushi Shekhe wake lakini anamsifu, kwa
sifa ambazo hawezi kufahamika.
ْ ٍِــَ٘ـــب ٍك ُ َٔزْ ٍٖ ه
ُْ َــ ُ هَــ ِْـــَٝ
ْ تا ُْ َــــ
ْ هِــٍٝ َٓـــب ثِـــ َواٍٝ ا ْثــــلَا ٍُ َها
Kumbadilisha mpokezi kwa mpokezi mwingine ni kigawanyo, na
kubadilisha sanadi kwa matni nyingine hiki ni kigawanyo kingine.
ْ َع ْٔ ٍغْٝ َأ
ـ ِخ٣اٝ ه٠َِ هَٖـْ ٍو َػٝأ ُ ثِــضِــوـــ ِخَّٚــ ْلرَـــ٤اُـلَــو ُك َٓـب هَــــٝ
Na FARDU ni ile ambayo umeifungamanisha kwa muadilifu, au
kundi kutoka katika mji fulani au kusema hajapokea fulani
isipokuwa kwa fulani tu.
ــ ُْ هَــ ْل ُػــ ِوكَـــبُٛ ُٓـ َؼَِّـ ٌَ ِػـ ْ٘ـ َل َفـلَــــبْٝ َٗ أ
ٍ ٞ َٓــب ثـ ِؼـَِّـ ٍخ ُؿــ ُٔـٝ
Na hadithi ambayo ina dosari iliyofichikana sana au kidogo, basi
hadithi hiyo ni MUALLAL kwao wao(watu wa hadithi) kwa
hakika imefahamika.
82 UFUPISHO WENYE FAIDA
ْٚ ا ْٗـزَـقـٝ ُ َؽـوّاـبُٚٓـ ّلثَّ ٌظ كَؤ َ ْػــ ِو ْكـ ْٚ ـ ٍٖ َػـْٖ أَ ِفـــ٣ ًُـ َُّ هَـ ِوٟٝ َٓـب َهٝ
Na ile iliyopokelewa na mtu wa rika moja kutoka kwa ndugu yake,
ni MUDABBAJ basi ifahamu ukweli wa kuifahamu na
jifakharishe.
ـؾــ ِٔـ َُ اُزَّــلَـ ُّوكَا٣ْ َُ َلٚــُِــ٣رَــ ْؼــ ِل َؿـــلَاٍٝ َهاِٚ اُ ُٔـ ْ٘ــ ٌَـ ُو ا ُْلَـ ْو ُك ثِـــَٝ
Na MUNKAR ni ile ambayo amepwekeka nayo mpokezi mmoja,
ambaye kumekuwa kumuadilisha kwake Hakukubali kupwekeka
nayo.
YALIYOMO.
UTANGULIZI.............................................................................3
AQIIDA ....................................................................................5
TWAHARA NA SWALA ............................................................ 31
ZAKA .................................................................................... 34
SWAUMU ............................................................................... 35
HIJJA.................................................................................... 37
FAIDA TOFAUTI TOFAUTI. ....................................................... 39
UTANGULIZI WA TAJWIIDI. ..................................................... 65
UTANGULIZI WA NAHAU. ........................................................ 68
UTANGULIZI WA MUSTWALAH KATIKA HADITHI....................... 71
LAAMIYAH ............................................................................. 73
HAIYYA YA IBN ABII DAUD ..................................................... 75
BAIQUNIYA ............................................................................ 79
YALIYOMO. ............................................................................ 84