You are on page 1of 2

FOMU ZA KUJIKUMBUSHA, KUZUIA NA KUDHIBITI HALI HATARISHI KABLA YA KAZI

Kwa ajili ya mazungumzo/kuonyesha mikanda ya video/majadiliano/kukumbushana matukio yaliyopita,


kabla ya kuanza kazi

Kitengo ; ________________________________ Tarehe: ___________________


Kitu cha kujadili/
Tukio:_________________________________________________________________________________________

Mtoa mada: __________________________________ ______________________________ ________________


Jina Cheo Sahihi

(Weka alama ya ‘V’ kwa kilichofanyika)


Mazungumzo haya/ Kuonyeshana mikanda ya video/ kukumbushana matukio yaliyopita, kumefanyika kwa wafanyakazi wote
walio orodheshwa hapa chini na umuhimu wa kuchukua tahadhari pamoja na vitu vyote muhimu vimeelezwa:
Udhibiti wa hali ya Moto Ubora Mambo ya Rasilimali watu Maelekezo ya
hatarishi wa kazi mradi
Kukumbushana Mazingira Usalama Usalama kazini na Mengineyo
wajibu Afya

Maelezo ya mada iliyojadiliwa:_________________________________________________________________________________


_______________________________________________________________________________________________________________
_______________________________________________________________________________________________________________
_______________________________________________________________________________________________________________
Kumbuka: Jedwali hili lazima lijazwe katika mazungumzo ya kazi kabla ya kwenda saiti na/au wakati wa kufika saiti kabla ya
kazi
Aina ya Kazi zitakazofanyika Mazingira/Vihatarishi vinavyoweza Mkakati wa kuepusha ajali/ Sheria za
kusababisha ajali katika kazi kufuata
MAHUDHURIO
Sisi tuliotia sahihi hapa chini tunaelewa kabisa yaliyomo katika azimio hili na tunakubali kutekeleza taratibu na kanuni zote
tulizokubaliana. Tuko tayari kuchukuliwa hatua za kinidhamu kama tutakiuka azimio hili na kusababisha ajali au tukio
lisilo la kawaida
Jina Sahihi No ya Jina Sahihi No ya Kampuni
Kampuni

MAJADILIANO BAADA YA KAZI


Swala la Kujadiliwa Majibu Maelezo ya ziada Mikakati ya
kuondoa ajali
Je, kazi ilikamilika bila kusababisha ajali Ndiyo/Hapana, Kama
yeyote kwa mfanyakazi/Mwananchi au Hapana andika majina ya
Mkandarasi? walioumia/Uharibifu
Kulikuwa na mazingira mengine yeyote Ndiyo/Hapana. Kama
ambayo angeweza kusababisha ajali? Ndiyo jaza vihatarishi
Kunamazingira mengine yeyote ambayo Ndiyo/Hapana. Kama
yakiboreshwa yatafanya ongeza ufanisi Ndiyo eleza mazingira
kazini? husika

Kwa ajili ya matumizi ya ofisi tu:


Tarehe iliyorudishwa: _______________________ Sahihi ya msimamizi/kiongozi: ____________________

You might also like