You are on page 1of 16

AZIMIO LA KAZI YA KISWAHILI GREDI 5 MUHULA 2

NAME

TSC NO.

SCHOOL
Wk Ls Strand/ Sub strand Specific learning outcomes Key inquiry Learning experiences Learning Assessment Ref
n Theme Questions Resources methods l
1 1 SAA NA Aina za Insha: Kufikia mwisho wa mada 1. Unazingatia • Kielelezo cha a) Kuandika
MAJIRA: Baruapepe ndogo,mwanafunzi aweze: mambo gani kujadili mada ya baruapepe na insha tungo mbalimbali
Kuandi a. kutambua baruapepe kwa unapoandika vipengele vyake/yale yanayofaa • KLB Visionary b) Wanafunzi
ka kuzingatia muundo wake baruapepe? kujumuishwa Kiswahili kufanyiana
b. kuandika baruapepe kwa 2. Ni mambo gani Kitabu cha tathmini
kuzingatia ujumbe, muundo unayoweza rafiki kwa kuzingatia ubora wa mwanfunzi Uk. c) Potfolio
na mtindo kumweleza rafiki sentensi (sahihi kisarufi, 54-56 d) Shajara
c. Kuchangamkia uandishi wa yako katika zilizokamilika kimaana, zenye • KLB Visionary e) Mijadala
baruapepe katika baruapepe? kufuatana kwa kujenga wazo na Kiswahili
kuhusu vidokezo
mawasiliano. zenye kuzingatia uakifishi Mwongo wa
vya
mzuri) kuunda aya Mwalimu Uk.
54-55 insha

mada lengwa katika baruapepe


yake

kuituma kwa wenzake na


mwalimu ili waisome na
kuitathmini
2 Sarufi Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, unajua nomino Mwanafunzi: ✓ Picha a) Kutambua
wa nomino: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: zipi ambazo Atambue nomino katika ngeliya ✓ Vifaa halisi k.m. kwenye
I-ZI a. kutambua nomino katika hazibadiliki katika I-ZI kwenye kadi, mti maneno, ✓ KLB Visionary orodha
ngeli ya I-ZI ili umoja na wingi? tarakilishi au kapu la maneno Kiswahili b)
kuzitofautisha na nomino (k.v. nguo- nguo, ndizi- ndizi, Kitabu cha Kuambatanisha
katika ngeli nyingine ndoo-ndoo na nyumbanyumba) mwanfunzi Uk.
56-60 maneno lengwa
b. kutaja nomino katika ngeli Aandike nomino katika ngeliya c) Kujaza
✓ KLB Visionary
ya I-ZI I-ZI katika umoja na wingi mapengo
Kiswahili
c. Kuchangamkia kutumia akiwa peke yake, wawiliwawili Mwongo wa e) Kazi mradi
nomino za ngeli ya I-ZI au katika vikundi Mwalimu Uk.
katika mawasiliano. 56-58

3 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, unajua nomino • Picha a) Kutambua
wa nomino: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: zipi ambazo za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye • Vifaa halisi k.m. kwenye
I-ZI tepurekoda au kinasasauti orodha
a. kuandika nomino za ngeli hazibadiliki katika • KLB Visionary b)
ya I-ZI katika umoja na umoja na wingi? yenye nomino za ngeli Kiswahili Kuambatanisha
wingi ya I-ZI katika umoja na wingi Kitabu cha maneno lengwa
b. kuandika umoja na wingi Ajaze mapengo kwa kutumia mwanfunzi Uk. c) Kujaza
wa mafungu ya maneno viambishi vya ngeli ya 56-60
mapengo
katika ngeli ya ngeli ya I-ZI I-ZI kwa maandishi ya mkono • KLB Visionary e) Kazi mradi
c. Kuchangamkia kutumia au kwa tarakilishi. Kiswahili
Mwongo wa
nomino za ngeli ya I-ZI
Mwalimu Uk.
katika mawasiliano. 56-58
4 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, unajua nomino Mwanafunzi: • Picha a) Kutambua
wa sentensi: ndogo, mwanafunzi aweze: zipi ambazo zinaanza • Vifaa halisi k.m. kwenye
katika a. kutambua viambishi kwa herufi U katika ya I-ZI • KLB Visionary orodha
ngeli ya I-ZI vipatanishi vya ngeli ya I- umoja? katika sentensi kwa kuvipigia Kiswahili b)
ZI kwenye sentensi mstari daftarini au Kitabu cha Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia kuvikoleza rangi katika mwanfunzi Uk. maneno lengwa
nomino za ngeli ya I-ZI tarakilishi 59-60 c) Kujaza
katika umoja na wingi - • KLB Visionary mapengo
akizingatia upatanisho wa ZI katika sentensi akiwa Kiswahili
e) Kazi mradi
kisarufi peke yake, wawiliwawili au Mwongo wa
c. kuonea fahari matumizi ya katika vikundi Mwalimu Uk.
59-62
ngeli ya I-ZI katika
mawasiliano zilizoundwa kutokana na
nomino za ngeli ya I-ZI kutoka
kwenye tepurekoda au
kinasasauti
2 1 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, unajua nomino Aunde sentensi kwa kutumia • Picha a) Kutambua
wa sentensi: ndogo, mwanafunzi aweze: zipi ambazo zinaanza nomino ya ngeli ya I-ZI • Vifaa halisi k.m. kwenye
katika a. kutambua viambishi kwa herufi U katika akiwa peke yake au kwa • KLB Visionary orodha
ngeli ya I-ZI vipatanishi vya ngeli ya I- umoja? kushirikiana na wenzake Kiswahili b)
ZI kwenye sentensi Kitabu cha Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia mwanfunzi Uk. maneno lengwa
nomino za ngeli ya I-ZI 59-60 c) Kujaza
katika umoja na wingi • KLB Visionary mapengo
akizingatia upatanisho wa Kiswahili
e) Kazi mradi
kisarufi Mwongo wa
c. kuonea fahari matumizi ya Mwalimu Uk.
59-62
ngeli ya I-ZI katika
mawasiliano
2 KUKABI Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nini Mwanafunzi: • tapurekoda a) Kumakinikia
LIANA Kuzungumza: ndogo,mwanafunzi aweze: umuhimu wa methali methali zinazohusu • tarakilishi jinsi mwanafunzi
NA Methali: Methali a. kutambua methali zinazohusu katika jamii? bidii (k.v. mchagua jembe si • methali anavyotumia
UMASKI zinazohusu bidii bidii ili kuzitofautisha na aina mkulima, mgagaa na upwa • KLB Visionary lugha katika
NI nyingine za methali Kiswahili mawasiliano
b. kueleza maana na matumizi hali wali mkavu, atafutaye Kitabu cha b) Kujibu
ya methali mbalimbali hupata, anayejitahidi hufaidi, mwanfunzi Uk. maswali
zinazohusu bidii katika jamii ukiona vyaelea vimeundwa) 63-64 c) Maigizo
c. kuchangamkia matumizi ya katika chati, ubao, vyombo vya • KLB Visionary d) Kutambua
methali katika kuhimiza bidii kidijitali Kiswahili k.m. kwenye
Mwongo wa
ajadili maana na matumizi ya orodha
methali zinazohusu bidii na Mwalimu Uk.
63-65 f) Mijadala
wenzake darasani g) Mazungumzo
3 Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nini • tapurekoda a) Kumakinikia
Kuzungumza: ndogo,mwanafunzi aweze: umuhimu wa methali zinazohusu bidii • tarakilishi jinsi mwanafunzi
Methali: Kutumia a. kueleza maana na matumizi katika jamii? atoe mifano ya methali • methali anavyotumia
Methali ya methali mbalimbali zinazohusubidii zikitumiwa • KLB Visionary lugha katika
zinazohusu bidii zinazohusu bidii katika kupitia vyombo vya kidijitali. Kiswahili mawasiliano
jamii Kitabu cha b) Kujibu
b. kutumia methali katika kukamilisha methali mwanfunzi Uk. maswali
zinazohusubidii katika zinazohusu bidii 63-64 c) Maigizo
mawasiliano asakure mitandaoni kwa • KLB Visionary d) Kutambua
c. kuchangamkia matumizi ya kusaidiwa na mzazi au mlezi Kiswahili k.m. kwenye
methali katika kuhimiza wake ili kupata methali zaidi Mwongo wa
orodha
bidii zinazohusu bidii na matumizi Mwalimu Uk.
63-65 f) Mijadala
ya methali hizo. g) Mazungumzo
4 Kusoma Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nini Mwanafunzi: • Mgeni a) Kutunga
ufahamu: Lugha ndogo,mwanafunzi aweze: kinachotofautisha Atambue vina na mizani katika mwalikwa sentensi k.m. kwa
katika a. kutambua vina na mizani mashairi na shairi lililochapisha au la • Chati kutumia
ushairi – katika shairi ili kuvibainisha maandishi mengine? mtandaoni • KLB Visionary msamiati lengwa
kutambua vina b. kueleza mambo Ajadili vina na mizani katika Kiswahili b) Kujibu
na mizani yanayotofautisha shairi na shairi akiwa na mwenzake au Kitabu cha maswali k.m.
maandishi mengine katika kikundi mwanfunzi Uk. katika ufahamu
c. Achangamkie kusoma Ashirikiane na mwenzake 64-66 c) Kutoa
shairi akizingatia mapigo ya kusoma shairi akizingatia vina, • KLB Visionary muhtasari wa
sauti. mizani na ujumbe Kiswahili ufahamu au
Asikilize shairi likisomwa kwa Mwongo wa
matini
mahadhi kwenye vifaa vya Mwalimu Uk.
66-67 yaliyosomwa
kidijitali au na mgeni d) Kukariri na
mwalikwa na kujadili vina, kuimba mashairi
mizani na ujumbe wake e) Kusoma kwa
ashirikiane na wenzake sauti
kutafuta mashairi mtandaoni na
kujadili vina, mizani na ujumbe
uliomo
3 1 Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nini Mwanafunzi: • Mgeni a) Kutunga
ufahamu: Lugha ndogo,mwanafunzi aweze: kinachotofautisha mwalikwa sentensi k.m. kwa
katika • Chati kutumia
ushairi – kusoma a. kueleza maana ya mashairi na Atambue vina na mizani katika • KLB Visionary msamiati lengwa
shairi kwa vina,mizani na ujumbe maandishi mengine? shairi lililochapisha au la Kiswahili b) Kujibu
kuzingatia vina, katika shairi mtandaoni Kitabu cha maswali k.m.
mizani na b. kusoma shairi akizingatia Ajadili vinaa na mizani katika mwanfunzi Uk. katika ufahamu
64-66
ujumbe vina, mizani na ujumbe ili shairi akiwa na mwenzake au c) Kutoa
kuimarisha ufahamu katika kikundi • KLB Visionary muhtasari wa
c. Achangamkie kusoma ashirikiane na mwenzake Kiswahili
ufahamu au
Mwongo wa
shairi akizingatia mapigo ya kusoma shairi akizingatia vina, matini
Mwalimu Uk.
sauti. mizani na ujumbe yaliyosomwa
66-67
asikilize shairi likisomwa kwa d) Kukariri na
mahadhi kwenye vifaa vya kuimba mashairi
kidijitali au na mgeni e) Kusoma kwa
mwalikwa na kujadili vina, sauti
mizani na ujumbe wake
ashrikiane na wenzake kutafuta
mashairi mtandaoni na
kujadili vina, mizani na ujumbe
uliomo
2 Kuandi Insha ya Kufikia mwisho wa mada . Unazingatia nini Mwanafunzi: • Kielelezo cha a) Kuandika
ka Maelezo – ndogo, mwanafunzi aweze: unapoandika insha insha ya tungo mbalimbali
kutambua insha a. kutambua insha za maelezo ya maelezo? maelezo vilivyoandikwa maelezo b) Wanafunzi
ya maelezo katika matini mbalimbali kwenye matini mbalimbali au • KLB Visionary kufanyiana
b. kueleza mambo ya tarakilishi Kiswahili tathmini
kuzingatika katika uandishi Kitabu cha c) Potfolio
wa insha ya maelezo mada ya insha na muundo wa mwanfunzi Uk. d) Shajara
c. Kuchangamkia utunzi insha ya maelezo 66-67 e) Mijadala
mzuri wa insha ili • KLB Visionary kuhusu vidokezo
kuimarisha uandishi. kuhusu mambo muhimu Kiswahili vya
yanayojenga mpangilio mzuri Mwongo wa
Mwalimu Uk. insha
wa mawazo katika insha
68-69
mtandaoni na kuisambaza kwa
wenzake na mwalimu ili
kuisoma na kuitathmini

aliyoandika ili kuitolea maoni.


3 Insha ya Kufikia mwisho wa mada Unazingatia nini • Kielelezo cha a) Kuandika
Maelezo – ndogo, mwanafunzi aweze: unapoandika insha ya (k.v. Jinsi ninavyoweza insha ya tungo mbalimbali
Kuandika insha a. Kuandika hoja maelezo? kuchangia kukabiliana na maelezo b) Wanafunzi
ya maelezo zitakazomsaidia Kuandika umaskini nyumbani, Maskini • KLB Visionary kufanyiana
insha ya maelezo alivyogeuka kuwa tajiri, Jinsi Kiswahili tathmini
b. kuandika insha ya maelezo elimu ilivyosaidia kumaliza Kitabu cha c) Potfolio
kwa kufuata kanuni zifaazo umaskini, jinsi matumizi bora mwanfunzi Uk. d) Shajara
ya pesa yanasaidia kumaliza 66-67
c. Kuchangamkia utunzi umaskini, jinsi ulipaji ushuru • KLB Visionary e) Mijadala
mzuri wa insha ili unasaidia kukabiliana na Kiswahili kuhusu vidokezo
kuimarisha uandishi. umaskini) isiyopungua maneno Mwongo wa vya
150 kwa kuzingatia anwani, Mwalimu Uk. insha
mpangilio mzuri wa mawazo, 68-69
hati safi, tahajia, kanuni za •
kisarufi, uakifishaji mwafaka na
kwa lugha ya kiubunifu
unaojumuisha methali na nahau
alizojifunza awali
4 Sarufi Umoja na Wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nomino zipi Mwanafunzi: • Vifaa halisi vya a) Kutambua
wa Nomino: ndogo, mwanafunzi aweze: hupatikana katika ngeli ya U-ZI k.m. kwenye
Kutambua a. kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI? ya U-ZI kwenye kadi, mti • KLB Visionary orodha
nomino katika ngeli ya U-ZI wa maneno, tarakilishi au kapu Kiswahili b)
Ngeli ya b. kuandika nomino za ngeli la maneno (k.m. UziNyuzi, Kitabu cha Kuambatanisha
U-ZI ya U-ZI katika umoja na Ukuta-Kuta, Uta- Nyuta, mwanfunzi Uk. maneno lengwa
wingi ubavu-mbavu, wakatinyakati, 68-70
c) Kujaza
c. Kuchangamkia kutumia ukucha-kucha na ufunguo- • KLB Visionary
mapengo
nomino za ngeli ya U-ZI funguo, wimbonyimbo) Kiswahili
Mwongo wa e) Kazi mradi
katika mawasiliano.
Mwalimu Uk.
70-72
4 1 Umoja na Wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nomino zipi • Vifaa halisi vya a) Kutambua
wa Nomino: ndogo, mwanafunzi aweze: hupatikana katika ya U-ZI katika umoja na ngeli ya U-ZI k.m. kwenye
Kuandika umoja a. kuandika nomino za ngeli ngeli ya U-ZI? wingi akiwa peke yake, • KLB Visionary orodha
na wingi wa ya U-ZI katika umoja na wawiliwawili au katika vikundi Kiswahili b)
mafungu katika wingi Kitabu cha Kuambatanisha
b. kuandika umoja na wingi za ngeli ya U-ZI kutoka mwanfunzi Uk. maneno lengwa
ngeli ya U-ZI
wa mafungu ya maneno kwenye tepurekoda au 68-70
c) Kujaza
katika ngeli ya U-ZI kinasasauti • KLB Visionary
mapengo
c. Kuchangamkia kutumia Kiswahili
Mwongo wa e) Kazi mradi
nomino za ngeli ya U-ZI yenye nomino za ngeli ya
Mwalimu Uk.
katika mawasiliano. U-ZI katika umoja na wingi 70-72
ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya U-ZI
kwa maandishi ya mkono au
kwa tarakilishi.
2 Umoja na Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za Mwanafunzi: • Vifaa halisi vya a) Kutambua
wingi wa ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya U-ZI bue viambishi vya ngeli ngeli ya U-ZI k.m. kwenye
sentensi: a. kutambua viambishi huchukua viambishi ya U-ZIkatika sentensi kwa • KLB Visionary orodha
Ngeli ya U-ZI vipatanishi vya ngeli ya U- vipatanishi gani ? kuvipigia mstari daftarini Kiswahili b)
ZI kwenye sentensi mwake aukuvikoleza rangi Kitabu cha Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia katika tarakilishi mwanfunzi Uk. maneno lengwa
nomino za ngeli ya U-ZI 71-72
katika umoja na wingi • KLB Visionary c) Kujaza
akizingatia upatanisho wa zilizoundwa kutokana na Kiswahili mapengo
kisarufi nomino za ngeli ya U-ZI kutoka Mwongo wa e) Kazi mradi
c. kufurahia matumizi ya ngeli kwenye tepurekoda au Mwalimu Uk.
ya U-ZI katika mawasiliano kinasasauti 73-75

nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa


peke yake au kwa kushirikiana
na wengine

viambishi vya ngeli ya U-ZI


kwa maandishi ya mkono au
tarakilishi.
3 Umoja na Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za Mwanafunzi: • Vifaa halisi vya a) Kutambua
wingi wa ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya U-ZI atambue viambishi vya ngeliya ngeli ya U-ZI k.m. kwenye
sentensi: a. kutambua viambishi huchukua viambishi U-ZIkatika sentensi kwa • KLB Visionary orodha
Ngeli ya U-ZI vipatanishi vya ngeli ya U- vipatanishi gani ? kuvipigia mstari daftarini Kiswahili b)
ZI kwenye sentensi mwake aukuvikoleza rangi Kitabu cha Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia katika tarakilishi mwanfunzi Uk. maneno lengwa
nomino za ngeli ya U-ZI 71-72
c) Kujaza
katika umoja na wingi zilizoundwa kutokana na • KLB Visionary
mapengo
akizingatia upatanisho wa nomino za ngeli ya U-ZI kutoka Kiswahili
Mwongo wa e) Kazi mradi
kisarufi kwenye tepurekoda au
Mwalimu Uk.
c. kufurahia matumizi ya ngeli kinasasauti 73-75
ya U-ZI katika mawasiliano
nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa
peke yake au kwa kushirikiana
na wengine

viambishi vya ngeli ya U-ZI


kwa maandishi ya mkono au
tarakilishi.
4 MAADIL Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Ushairi unaweza Mwanafunzi: • Vifaa halisi vya a) Kumakinikia
I kuzungumza: ndogo,mwanafunzi aweze: kuboresha ngeli ya U-ZI jinsi mwanafunzi
Matamshi Bora: a. kukariri shairi kwa mazungumzo yako lengwa (maadili) kwa • KLB Visionary anavyotumia
Kukariri Ushairi kuzingatia matamshi na vipi? kuzingatia matamshi na Kiswahili lugha katika
mahadhi mbalimbali mahadhi mbalimbali Kitabu cha mawasiliano
b. kuonyesha ufahamu wa ikilize shairi lengwa mwanfunzi Uk. b) Kujibu
ujumbe katika shairi kwa likikaririwa au kuimbwa na 75-76
maswali
kujibu maswali mwalimu, mgeni mwalikwa • KLB Visionary
c) Maigizo
c. Kuchangamkia ushairi (mghani) au kupitia vifaa vya Kiswahili
Mwongo wa d) Kutambua
kama njia ya kujieleza kwa kidijitali k.m. kwenye
Mwalimu Uk.
ufasaha. 77-79 orodha
kukariri au kuimba shairi
kwa mahadhi mbalimbali f) Mijadala
g) Mazungumzo
5 1 Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Ushairi unaweza • Vifaa halisi vya a) Kumakinikia
kuzungumza: ndogo,mwanafunzi aweze: kuboresha uliotumika katika ushairi ngeli ya U-ZI jinsi mwanafunzi
Matamshi Bora: a. kutumia msamiati mazungumzo yako kuhusu maadili (k.m. haki, • KLB Visionary anavyotumia
Ushairi- kueleza uliotumiwa katika shairi vipi? usawa, heshima na uwajibikaji) Kiswahili lugha katika
Msamiati na kuboresha masiliano na kuueleza akiwa peke yake au Kitabu cha mawasiliano
b. kuonyesha ufahamu wa kwa kushirikiana na wenzake mwanfunzi Uk.
ujumbe katika b) Kujibu
ujumbe katika shairi kwa ashirikiane na wenzake 75-76
shairi maswali
kujibu maswali kujadili ujumbe katika shairi • KLB Visionary
c) Maigizo
c. Kuchangamkia ushairi Kiswahili
Mwongo wa
Kama njia ya kujieleza Kwa na shairi alilosikiliza,
Mwalimu Uk.
ufasaha. aliloimba au kukariri 77-79
2 Kusoma Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1. Unapenda kusoma Mwanafunzi: • Kamusi a) Kutunga
Mapana: ndogo, mwanafunzi aweze: makala ya aina gani? • Makala sentensi k.m. kwa
Kuchagua Makala a. Kutambua makala ya 2. Ni ujumbe upi atakayosoma katika maktaba • KLB Visionary kutumia
ya kusoma kusoma katika maktaba ili uliopata kwenye e makala ya aina Kiswahili msamiati lengwa
kuimarisha uchaguzi bora makala uliyowahi mbalimbali ya kujichagulia Kitabu cha b) Kujibu
wa Makala kusoma? liane na wenzake mwanfunzi Uk. maswali k.m.
b. kusoma makala mbalimbali kuhusu makala aliyoyasoma na 77 katika ufahamu
ili kujenga ufasaha wa alichojifunza kutokana • KLB Visionary c) Kutoa
lugha na makala hayo Kiswahili muhtasari wa
c. kufurahia kusoma makala amusi kupata Mwongo wa
ufahamu au
mbalimbali ili kujenga maana za msamiati uliotumika Mwalimu Uk.
79-81 matini
ufasaha wa lugha katika makala. yaliyosomwa
na mzazi au mlezi d) Kukariri na
wake kupata makala zaidi na kuimba mashairi
kuyasoma ili kujenga mazoea e) Kusoma kwa
ya usomaji. sauti
3 Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1. Unapenda kusoma Mwanafunzi: • Kamusi a) Kutunga
Mapana: Kusoma ndogo, mwanafunzi aweze: makala ya aina gani? • Makala sentensi k.m. kwa
Makala a. Kutambua makala ya 2. Ni ujumbe upi atakayosoma katika maktaba • KLB Visionary kutumia
kusoma katika maktaba ili uliopata kwenye achague makala ya aina Kiswahili msamiati lengwa
kuimarisha uchaguzi bora makala uliyowahi mbalimbali ya kujichagulia Kitabu cha b) Kujibu
wa Makala kusoma? ajad Iliane na wenzake mwanfunzi Uk. maswali k.m.
b. kusoma makala mbalimbali kuhusu makala aliyoyasoma na 77 katika ufahamu
ili kujenga ufasaha wa alichojifunza kutokana • KLB Visionary c) Kutoa
lugha na makala hayo Kiswahili muhtasari wa
c. kufurahia kusoma makala atumie kamusi kupata maana Mwongo wa
ufahamu au
mbalimbali ili kujenga za msamiati uliotumika katika Mwalimu Uk.
79-81 matini
ufasaha wa lugha makala. yaliyosomwa
Asaidiwe na mzazi au mlezi d) Kukariri na
wake kupata makala zaidi na kuimba mashairi
kuyasoma ili kujenga mazoea e) Kusoma kwa
ya usomaji. sauti
4 Kuandi Kuandika Kufikia mwisho wa mada 1. Unazingatia nini Mwanafunzi: • Kielelezo cha a) Kuandika
ka Insha: Kutambua ndogo,mwanafunzi aweze: unapoandika insha ya kala za insha za insha ya tungo mbalimbali
muundo wa a. kutambua vipengele vya wasifu? wasifu kwenye chapa au wasifu b) Wanafunzi
Insha za kimuundo vya insha za kwenye tarakilishi. • KLB Visionary kufanyiana
Wasifu wasifu vipengele muhimu Kiswahili tathmini
b. kueleza mambo ya vya kimuundo kama vile Kitabu cha c) Potfolio
kuzingatia katika uandishi kichwa, mwili, hitimisho mwanfunzi Uk. d) Shajara
wa insha ya wasifu ajadili na wenzake kuhusu 77-79 e) Mijadala
c. kufurahia uandishi wa insha kinachoweza • KLB Visionary kuhusu vidokezo
za wasifu ili kukuza stadi ya kuandikiwa katika insha ya Kiswahili
vya
kuandika wasifu (k.v. mtu, Mwongo wa
Mwalimu Uk. insha
kitu, mnyama na mahali)
81-83
6 1 Kuandika Kufikia mwisho wa mada 1. Unazingatia nini Ajadaili na wenzake kuhusu • Kielelezo cha a) Kuandika
Insha: Kuandika ndogo,mwanafunzi aweze: unapoandika insha ya mada mbalimbali zinazoweza insha ya tungo mbalimbali
Insha ya a. kutambua vipengele vya wasifu? kutungiwa insha za wasifu k.m. wasifu b) Wanafunzi
Wasifu kimuundo vya insha za mwanafunzi mwadilifu, mtu • KLB Visionary kufanyiana
wasifu aliyeshinda tuzo kwa wadilifu Kiswahili tathmini
b. kuandika insha ya wasifu wake n.k. Kitabu cha c) Potfolio
kwa kuzingatia muundo na Aandike insha ya wasifu mwanfunzi Uk. d) Shajara
mtindo ufaao isiyopungua maneno 150 77-79 e) Mijadala
c. kufurahia uandishi wa insha daftarini au kwenye tarakilishi. • KLB Visionary
kuhusu vidokezo
za wasifu ili kukuza stadi ya Awesome wenzake insha Kiswahili
Mwongo wa vya
kuandika aliyoiandika ili kuitathmini insha
Mwalimu Uk.
81-83
2 Sarufi Umoja na Kufikia mwisho wa mada 1.Je, ni nomino Mwanafunzi: • Manyoya, kadi a) Kutambua
Wingi wa ndogo, mwanafunzi aweze: zipi hupatikana za maneno, k.m. kwenye
Nomino: Ngeli a. kutambua nomino katika katika ngeli ya ya U-YA kwenye kadi, mti wa chati, picha, orodha
ya U-YA ngeli ya UYA ili U-YA? maneno, tarakilishi au kapu la kifaa cha b)
kuzitofautisha na nomino maneno (kama vile upishi, kidigitali Kuambatanisha
katika ngeli nyingine ulezi, ugonjwa) aandike nomino • KLB Visionary
maneno lengwa
b. kutaja nomino katika ngeli ya U-YA katika Kiswahili
c) Kujaza
umoja na wingi akiwa peke Kitabu cha
zinazopatikana katika ngeli mapengo
mwanfunzi Uk.
ya U-YA yake, wawiliwawili au katika e) Kazi mradi
80-81
c. Kuchangamkia kutumia vikundi
• KLB Visionary
nomino za ngeli ya U-YA maji wa nomino Kiswahili
katika mawasiliano. za ngeli ya U-YA kutoka Mwongo wa
kwenye tepurekoda au kinasa Mwalimu Uk.
sauti 83-85
3 Umoja na Kufikia mwisho wa mada 1.Je, ni nomino Mwanafunzi: • Manyoya, kadi a) Kutambua
Wingi wa ndogo, mwanafunzi aweze: zipi hupatikana za maneno, k.m. kwenye
Nomino: Ngeli a. kuandika nomino za ngeli katika ngeli ya za ngeli ya U-YA kutoka chati, picha, orodha
ya U-YA ya U-YA katika umoja na U-YA? kwenye tepurekoda au kinasa kifaa cha b)
wingi sauti kidigitali Kuambatanisha
b. kuandika umoja na wingi • KLB Visionary maneno lengwa
wa mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya UYA Kiswahili
Kitabu cha c) Kujaza
katika ngeli ya ngeli ya U- katika umoja na wingi mapengo
mwanfunzi Uk.
YA 80-81 e) Kazi mradi
c. Kuchangamkia kutumia viambishi vya ngeli ya U-YA
• KLB Visionary
nomino za ngeli ya U-YA kwa maandishi ya mkono au Kiswahili
katika mawasiliano. kwa tarakilishi Mwongo wa
Mwalimu Uk.
83-85
4 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za Mwanafunzi: • Manyoya, kadi a) Kutambua
wa sentensi: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya U-YA bue viambishi vya ngeli za maneno, k.m. kwenye
ya a. kutambua viambishi huchukua viambishi ya U-YA katika sentensi kwa chati, picha, orodha
U-YA vipatanishi vya ngeli ya U- gani katika sentensi? kuvipigia mstari daftarini kifaa cha b)
YA kwenye sentensi mwake au kuvikoleza rangi kidigitali Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia katika tarakilishi • KLB Visionary maneno lengwa
nomino za ngeli ya U-YA atumie nomino katika ngeli Kiswahili
c) Kujaza
Kitabu cha
katika umoja na wingi ya U-YA katika sentensi mapengo
mwanfunzi Uk.
akizingatia upatanisho wa akiwa peke yake, e) Kazi mradi
82
kisarufi wawiliwawili au katika
• KLB Visionary
c. kufurahia matumizi ya ngeli vikundi Kiswahili
ya U-YA katika Mwongo wa
mawasiliano Mwalimu Uk.
86-88
7 1 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za • Manyoya, kadi a) Kutambua
wa sentensi: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya U-YA zilizoundwa kutokana na za maneno, k.m. kwenye
ya a. kutambua viambishi huchukua viambishi nomino za ngeli ya U-YA chati, picha, orodha
U-YA vipatanishi vya ngeli ya U- gani katika sentensi? kutoka kwenye tepurekoda kifaa cha b)
YA kwenye sentensi au kinasa sauti kidigitali Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia • KLB Visionary
maneno lengwa
nomino za ngeli ya U-YA nomino ya ngeli ya UYA akiwa Kiswahili
Kitabu cha c) Kujaza
katika umoja na wingi peke yake au kwa kushirikiana mapengo
mwanfunzi Uk.
akizingatia upatanisho wa na wengine 82 e) Kazi mradi
kisarufi ajaze mapengo kwa kutumia
• KLB Visionary
c. kufurahia matumizi ya ngeli viambishi vya ngeli ya U-YA Kiswahili
ya U-YA katika kwa maandishi ya mkono au Mwongo wa
mawasiliano tarakilishi Mwalimu Uk.
86-88
2 ELIMU Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1) Je, ni nahau zipi Mwanafunzi: • Kifaa cha a) Kumakinikia
YA Kuzungumza: ndogo, mwanafunzi aweze: zinahusu usafi? usafi na kidijitali jinsi mwanafunzi
MAZIN Nahau: Nahau a. kutambua nahau za usafi na 2) Je, ni nahau zipi mazingira (k.v. angua kucha, • Picha anavyotumia
GIRA za usafi na mazingira katika matini zinahusu mazingira? penga kamasi, piga deki, piga • KLB Visionary lugha katika
mazingira mbalimbali mswaki, chokonoa meno, futa Kiswahili mawasiliano
b. kutumia nahau za usafi na vumbi) katika chati, michoro, Kitabu cha b) Kujibu
mazingira katika picha, vikapu maneno, mti mwanfunzi Uk. maswali
mawasiliano maneno, chati, kamusi na 85-87 c) Maigizo
c. Kuthamini matumizi ya katika vyombo vya kidijitali • KLB Visionary d) Kutambua
nahau za usafi na mazingira na Kiswahili k.m. kwenye
katika mawasiliano. wenzake maana za nahau za Mwongo wa
Mwalimu Uk. orodha
usafi na mazingira na kutoa
mifano 89-91
3 Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1) Je, ni nahau zipi • Kifaa cha a) Kumakinikia
Kuzungumza: ndogo, mwanafunzi aweze: zinahusu usafi? mazingira kutunga sentensi kidijitali jinsi mwanafunzi
Nahau: Nahau a. kufafanua maana ya nahau 2) Je, ni nahau zipi akiwa pekee au kwa • Picha anavyotumia
za usafi na mbalimbali za kazi na zinahusu mazingira? kushirikiana na wenzake • KLB Visionary lugha katika
mazingira ushirikiano kwa kutoa Kiswahili mawasiliano
mifano kujaza mapengo katika Kitabu cha b) Kujibu
b. kutumia nahau za usafi na sentensi kwa kutumia nahau mwanfunzi Uk. maswali
mazingira katika mwafaka kwenye zoezi 85-87 c) Maigizo
mawasiliano la ubaoni, vitabuni au katika • KLB Visionary d) Kutambua
c. Kuthamini matumizi ya tarakilishi. Kiswahili k.m. kwenye
nahau za usafi na mazingira Mwongo wa
orodha
katika mawasiliano. Mwalimu Uk.
89-91
4 Kusoma Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1) Unapenda kusoma Mwanafunzi: • Magazeti a) Kutunga
Mapana: ndogo,mwanafunzi aweze: matini ya aina gani? • Majarida sentensi k.m. kwa
Kutambua Matini a. kutambua matini anazotaka 2) Ni vipi matini (kama vile vitabu, • Vitabu kutumia
kusoma kwenye maktaba unavyoweza kupata magazeti, na majarida) kwenye mbalimbali msamiati lengwa
b. Kueleza njia za kupata matini ya kusoma? maktaba, tarakilishi au kadi za • KLB Visionary b) Kujibu
matini ya kusoma 3) Kusoma aina katalogi. Kiswahili maswali k.m.
c. kufurahia usomaji wa mbalimbali za matini Kitabu cha katika ufahamu
matini za aina mbalimbali kuna umuhimu gani? i kimyakimya mwanfunzi Uk. c) Kutoa
ili kujenga utamaduni wa ili kupata ujumbe uliopo na 85-87 muhtasari wa
kusoma kufaidi matumizi ya lugha. • KLB Visionary ufahamu au
e kutokana Kiswahili matini
na matini alizosoma kwa Mwongo wa
yaliyosomwa
wenzake. Mwalimu Uk.
89-91 d) Kukariri na
a wenzake kuimba mashairi
matini alizosoma ili kuchochea e) Kusoma kwa
hamu ya usomaji wa mapana sauti
miongoni mwao.
8 1 Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1) Unapenda kusoma Mwanafunzi: • Magazeti a) Kutunga
Mapana: Kusoma ndogo,mwanafunzi aweze: matini ya aina gani? • Majarida sentensi k.m. kwa
Matini a. kutambua matini anazotaka 2) Ni vipi matini (kama vile vitabu, • Vitabu kutumia
kusoma kwenye maktaba unavyoweza kupata magazeti, na majarida) kwenye mbalimbali msamiati lengwa
b. kusoma matini ili kufaidika matini ya kusoma? maktaba, tarakilishi au kadi za • KLB Visionary b) Kujibu
na ujumbe na lugha 3) Kusoma aina katalogi. Kiswahili maswali k.m.
inayotumiwa mbalimbali za matini Kitabu cha katika ufahamu
c. kufurahia usomaji wa kuna umuhimu gani? Asome matini kimyakimya ili mwanfunzi Uk. c) Kutoa
matini za aina mbalimbali kupata ujumbe uliopo na 85-87 muhtasari wa
ili kujenga utamaduni wa kufaidi matumizi ya lugha. • KLB Visionary ufahamu au
kusoma Asimulie ujumbe kutokanana Kiswahili matini
matini alizosoma kwa Mwongo wa
yaliyosomwa
wenzake. Mwalimu Uk.
89-91 kwa sauti
Ajadiliane na wenzake matini
alizosoma ili kuchochea hamu
ya usomaji wa mapana
miongoni mwao.
2 Kuandi Insha ya Maelezo Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni shughuli Mwanafunzi: • Kielelezo cha a) Kuandika
ka ndogo,mwanafunzi aweze: gani zinazoweza e vifungu vya insha insha ya tungo mbalimbali
a. kutambua insha za maelezo kuandikiwa insha za za maelezo vilivyoandikwa Maelezo b) Wanafunzi
katika matini mbalimbali maelezo? kwenye matini mbalimbali au • KLB Visionary kufanyiana
b. kueleza muundi wa insha ya tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu Kiswahili tathmini
maelezo upandaji wa miche, kusafisha Kitabu cha c) Potfolio
c. kuchangamkia utungaji wa darasa, kufua nguo, kuzuia mwanfunzi Uk. d) Shajara
insha za maelezo ili mmomonyoko wa udongo, 89-90 e) Mijadala
kuimarisha uandishi bora kupanda miti) • KLB Visionary kuhusu vidokezo
zake kujadili Kiswahili
vya
mada ya insha na muundo wa Mwongo wa
Mwalimu Uk. insha
insha ya maelezo
94-96
3 Insha ya Maelezo Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni shughuli • Kielelezo cha a) Kuandika
ndogo,mwanafunzi aweze: gani zinazoweza isiyopungua maneno 150 insha ya tungo mbalimbali
a. kutambua insha za maelezo kuandikiwa insha za akizingatia anwani, mpangilio Maelezo b) Wanafunzi
katika matini mbalimbali maelezo? mzuri wa mawazo, hati safi, • KLB Visionary kufanyiana
b. kuandika insha ya maelezo tahajia, kanuni za kisarufi, Kiswahili tathmini
kwa kuzingatia muundo na uakifishaji mwafaka na kwa Kitabu cha c) Potfolio
mtindo ufaao lugha ya kiubunifu mwanfunzi Uk. d) Shajara
c. kuchangamkia utungaji wa unaojumuisha methali na nahau 89-90 e) Mijadala
insha za maelezo ili alizojifunza awali • KLB Visionary kuhusu vidokezo
kuimarisha uandishi bora Kiswahili
Mwongo wa vya
mtandaoni na kuisambaza insha
Mwalimu Uk.
kwa wenzake na mwalimu ili
94-96
kuisoma na kuitathmini
Atunde insha ya maelezo na
awasoasomee wenzake insha
aliyoandika ili kuisikiliza na
kuitathmini
4 Sarufi Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nomino zipi Mwanafunzi: • picha za vitenzi a) Kutambua
wa nomino: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: hupatikana katika Atambue nomino katika ngeliya • wanafunzi k.m. kwenye
ya a. kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU? KU-KU (kama vile kupika, wenyewe orodha
KU-KU ngeli ya KU-KU kufyeka, kuzuru, kukariri, • KLB Visionary b)
b. kuandika nomino za ngeli kufua) kwenye kadi, mti wa Kiswahili Kuambatanisha
ya KU-KU katika umoja na maneno, tarakilishi au kapu la Kitabu cha maneno lengwa
wingi maneno mwanfunzi Uk. c) Kujaza
c. kuchangamkia kutumia Aandike nomino katika ngeliya 91-95
mapengo
nomino za ngeli ya KUKU KU-KU katika umoja na wingi • KLB Visionary
e) Kazi mradi
katika mawasiliano akiwa peke yake, wawiliwawili Kiswahili
au katika vikundi Mwongo wa
Mwalimu Uk.
96-99
9 1 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, ni nomino zipi • picha za vitenzi a) Kutambua
wa nomino: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: hupatikana katika za ngeli ya KU-KU kutoka • wanafunzi k.m. kwenye
ya a. kuandika nomino za ngeli ngeli ya KU-KU? kwenye tepurekoda au kinasa wenyewe orodha
KU-KU ya KU-KU katika umoja na sauti • KLB Visionary b)
wingi aandike mafungu ya maneno Kiswahili Kuambatanisha
b. kuandika umoja na wingi yenye nomino za ngeli ya KU- Kitabu cha maneno lengwa
wa mafungu ya maneno KU katika umoja na wingi mwanfunzi Uk. c) Kujaza
katika ngeli ya ngeli yaKU- Ajaze mapengo kwa kutumia 91-95
mapengo
KU viambishi vya ngeli ya KU-KU • KLB Visionary
e) Kazi mradi
c. kuchangamkia kutumia kwa maandishi ya mkono au Kiswahili
kwa tarakilishi. Mwongo wa
nomino za ngeli ya KUKU
Mwalimu Uk.
katika mawasiliano 96-99
2 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za Mwanafunzi: • picha za vitenzi a) Kutambua
wa sentensi: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya KU-KU atambueue viambishi vya ngeli • wanafunzi k.m. kwenye
ya a. kutambua viambishi huchukua viambishi ya KU-KU katika sentensi kwa wenyewe orodha
KU-KU vipatanishi vya ngeli ya gani katika sentensi? kuvipigia mstari au kuvikoleza • KLB Visionary b)
KUKU kwenye sentensi rangi katika tarakilishi Kiswahili Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia atumie nomino za ngeli ya Kitabu cha maneno lengwa
nomino za ngeli ya KU-KU KU-KU katika sentensi akiwa mwanfunzi Uk. c) Kujaza
katika umoja na wingi peke yake, wawiliwawili au 94-95
mapengo
akizingatia upatanisho wa katika vikundi • KLB Visionary e) Kazi mradi
kisarufi Kiswahili
c. kufurahia matumizi ya ngeli zilizoundwa kutokana na Mwongo wa
Mwalimu Uk.
ya KU-KU katika nomino za ngeli ya KU-KU
99-102
mawasiliano kutoka kwenye
tepurekoda au kinasa sauti
3 Umoja na wingi Kufikia mwisho wa mada 1. Je, nomino za • picha za vitenzi a) Kutambua
wa sentensi: Ngeli ndogo, mwanafunzi aweze: ngeli ya KU-KU nomino ya ngeli ya KUKU • wanafunzi k.m. kwenye
ya a. kutambua viambishi huchukua viambishi akiwa peke yake au kwa wenyewe orodha
KU-KU vipatanishi vya ngeli ya gani katika sentensi? kushirikiana na wenzake • KLB Visionary b)
KUKU kwenye sentensi Kiswahili Kuambatanisha
b. kuunda sentensi akitumia viambishi vya ngeli ya Kitabu cha maneno lengwa
nomino za ngeli ya KU-KU KU-KU kwa maandishi ya mwanfunzi Uk. c) Kujaza
katika umoja na wingi mkono au tarakilishi. 94-95
mapengo
akizingatia upatanisho wa • KLB Visionary
e) Kazi mradi
kisarufi Kiswahili
Mwongo wa
c. kufurahia matumizi ya ngeli
Mwalimu Uk.
ya KU-KU katika 99-102
mawasiliano
4 NDEGE Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Unajua maneno Mwanafunzi: • picha ya a) Kumakinikia
WA Kuzungumza: ndogo, mwanafunzi aweze: gani ya Kiswahili matatu visawe jinsi mwanafunzi
PORINI Visawe: Visawe a. kutambua maneno matatu yaliyo na maana yenye maana sawa (k.v. • KLB Visionary anavyotumia
vya maneno yenye maana sawa katika sawa? nyumbani- kiamboni, Kiswahili lugha katika
matatu kundi la maneno mastakimuni, chengoni. Kitabu cha mawasiliano
b. kutumia visawe ifaavyo Barabara- tariki, gurufa, mwanfunzi Uk. b) Kujibu
katika mawasiliano baraste. Jitimaihuzuni, kihoro, 97-99 maswali
c. kuthamini matumizi ya simanzi) kwa kutumia kapu la • KLB Visionary c) Maigizo
maneno matatu yenye maneno, kadi za maneno, mti Kiswahili d) Kutambua
maana sawa katika maneno, kuburura kwa kutumia Mwongo wa
Mwalimu Uk. k.m. kwenye
mawasiliano tarakilishi, n.k. orodha
103-105
f) Mijadala
matatu yenye maana g) Mazungumzo
sawa akiwa peke yake au kwa
kujadiliana na wenzake
10 1 Kusikiliza na Kufikia mwisho wa mada 1. Unajua maneno • picha ya a) Kumakinikia
Kuzungumza: ndogo, mwanafunzi aweze: gani ya Kiswahili matatu yenye maana visawe jinsi mwanafunzi
Visawe: Visawe a. kutambua maneno matatu yaliyo na maana sawa katika kapu maneno, mti • KLB Visionary anavyotumia
vya maneno yenye maana sawa katika sawa? maneno, ubao, chati, vyombo Kiswahili lugha katika
matatu kundi la maneno vya kidijitali, kadi maneno n.k Kitabu cha mawasiliano
b. kutumia visawe ifaavyo a vifaa mwanfunzi Uk. b) Kujibu
katika mawasiliano halisi, picha, michoro kwenye 97-99 maswali
c. kuthamini matumizi ya chati, kitabu au katika vyombo • KLB Visionary c) Maigizo
maneno matatu yenye vya kidijitali n.k. Kiswahili d) Kutambua
maana sawa katika ashiriki kujadili visawe Mwongo wa
Mwalimu Uk. k.m. kwenye
mawasiliano mbalimbali katika orodha
103-105
vikundi vya wanafunzi f) Mijadala
wawiliwawili au zaidi g) Mazungumzo
oja
kuchukua nafasi ya kingine
katika sentensi.
2 Kusoma Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1) Umewahi kusoma Mwanafunzi: • Magazeti a) Kutunga
Ufahamu: ndogo, mwanafunzi aweze: michezo ipi ya ana ya mchezo wa • Majarida sentensi k.m. kwa
Kutambua a. kutambua mchezo wa kuigiza? kuigiza akiwa peke yake, • Vitu kutumia
Mchezo wa kuigiza katika matini 2) Unakumbuka nini wawiliwawili au katika kikundi mbalimbali msamiati lengwa
kuigiza b. kueleza maana ya msamiati katika mchezo mchezo wa kuigiza, • KLB Visionary b) Kujibu
uliotumiwa katika mchezo uliowahi kuusoma? wahusika na maelekezo katika Kiswahili maswali k.m.
wa kuigiza 3) Kusoma michezo matini mbalimbali kama vile Kitabu cha katika ufahamu
c. Kufurahia kusoma michezo ya kuigiza kuna vitabu, chati na vilevile kwa mwanfunzi Uk. c) Kutoa
na kuigiza. umuhimu gani? kutumia tarakilishi 99-101 muhtasari wa
mchezo wa kuigiza • KLB Visionary ufahamu au
akizingatia wahusika, Kiswahili matini
maelekezo na ujumbe Mwongo wa
yaliyosomwa
Mwalimu
Uk.105-107 d) Kukariri na
kuhusu msamiati kuimba mashairi
wa suala lengwa (ndege wa e) Kusoma kwa
porini) uliotumiwa katika sauti
mchezo wa kuigiza (k.v.
chiriku, kasuku, tai, korongo,
mwewe na kanga)
3 Kusoma kwa Kufikia mwisho wa mada 1) Umewahi kusoma tazame mchezo mfupi wa • Magazeti a) Kutunga
Ufahamu: ndogo, mwanafunzi aweze: michezo ipi ya kuigiza ukiigizwa darasani au • Majarida sentensi k.m. kwa
Kusoma Mchezo a. kuonyesha ufahamu wa kuigiza? kwenye vifaa vya kidijitali • Vitu kutumia
wa mchezo wa kuigiza kwa 2) Unakumbuka nini aigize mchezo mfupi mbalimbali msamiati lengwa
kuigiza kujibu maswali katika mchezo aliousoma akishirikiana na • KLB Visionary b) Kujibu
b. kufafanua umuhimu wa uliowahi kuusoma? wenzake Kiswahili maswali k.m.
mchezo wa kuigiza 3) Kusoma michezo ashiriki mjadala kuhusu Kitabu cha katika ufahamu
c. Kufurahia kusoma michezo ya kuigiza kuna ujumbe unaojitokeza kwenye mwanfunzi Uk. c) Kutoa
na kuigiza. umuhimu gani? mchezo wa kuigiza 99-101 muhtasari wa
chezo wa kuigiza • KLB Visionary ufahamu au
kwenye mtandao Kiswahili matini
tika kutoa Mwongo wa
yaliyosomwa
muhtasari wa mchezo Mwalimu
aliousoma Uk.105-107

ya ufahamu
4 Kuigiza mchezo Kufikia mwisho wa mada 1) Umewahi kusoma tazame mchezo mfupi wa • Magazeti a) Kutunga
mfupi ndogo, mwanafunzi aweze: michezo ipi ya kuigiza ukiigizwa darasani au • Majarida sentensi k.m. kwa
a. kuonyesha ufahamu wa kuigiza? kwenye vifaa vya kidijitali • Vitu kutumia
mchezo wa kuigiza kwa 2) Unakumbuka nini aigize mchezo mfupi mbalimbali msamiati lengwa
kujibu maswali katika mchezo aliousoma akishirikiana na • KLB Visionary b) Kujibu
b. kuigiza mchezo mfupi ili uliowahi kuusoma? wenzake Kiswahili maswali k.m.
kukuza uwezo wa kujieleza 3) Kusoma michezo ashiriki mjadala kuhusu Kitabu cha katika ufahamu
c. Kufurahia kusoma michezo ya kuigiza kuna ujumbe unaojitokeza kwenye mwanfunzi Uk.
na kuigiza. umuhimu gani? mchezo wa kuigiza 99-101
chezo wa kuigiza • KLB Visionary c) Kutoa
kwenye mtandao Kiswahili muhtasari wa
tika kutoa Mwongo wa ufahamu au
muhtasari wa mchezo Mwalimu matini
aliousoma Uk.105-107 yaliyosomwa

ya ufahamu

You might also like