You are on page 1of 1

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo
Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi
Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaa chini ya
Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa
Wagombea Ubunge katika majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia.
Wagombea Ubunge walioteuliwa na majimbo yao kwenye mabano ni:1. Ndugu Jerry Slaa
2. Ndugu Edward Mwalongo
Njombe
3. Ndugu Venance Mwamoto
4. Ndugu Raphael Chegeni
5. Ndugu Edwin Ngonyani
6. Ndugu Mohamed Mchengerwa
7. Ndugu Norman Sigara
8. Ndugu Martin Msuha
9. Ndugu Joel Makanyanga Mwaka

(Ukonga) Dar es Salaam


(Njombe
Kusini)
(Kilolo) Iringa
(Busega) Simiyu
(Namtumbo) Ruvuma
(Rufiji) Pwani
(Makete) Njombe
(Mbinga Vijijini) Ruvuma
(Chilonwa) Dodoma

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye,


KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
17/08/2015

You might also like