maelezo ni kama ifuatavyo: (nanukuu maelezo yote) DAWA YA PUMUIkiwa una maradhi ya pumu watumie wengine ambao watafaidikaHii ni dawa muhimu kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu imevumbuliwa bi Fadhl Allah na muhandis (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi haya na alikuwa akibanwa na pumu sana ikikaribia kuomba mauti hasa wakati wa kubadilika hali ya hewa. Kuna watu wameshajaribu na imewafaa mmoja alikuwa akipelekwa hospital kutiliwa oxygen na mwingine akitumia inheler na wote wamepona baada ya kutumia dawa hii. Dawa yenyewe ni :Chukuwa karafuu 6 zitowe vicha vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu gilass ya maji usiku kisha unakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Allah.Usifanye ubahili kuwatumia na watu wengine wapate manufaa.