You are on page 1of 1

MsomiBora.

com
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
MTIHANI WA SAYANSI DARASA LA IV-2019
SEHEMU A.CHAGUA JIBU SAHIHI.
1. Tunashauriwa kutumia vipodozi vya aina moja kwa sababu ……………………………
[a] ikichanganya vinaweza kukudhuru[b] ukichanganya utapendeza
[c] nighali zaidi kutumia aina moja.
2. Mdudu apendaye kutua kwenye macho machafu……………[a] mende [b] inzi [c]
kiroboto
3. Ni vyakula vipi kati ya vifuatavyo vina madini ………………[a] samaki,keki,maziwa
[b] ini,figo,samaki na dagaa.[c] matunda
4. Hewa ni mchanganyiko wa …………………[a] maji [b] damu [c] gesi
5. Mayai,samaki,maziwa ni vya kula vyenye ……….[a] protini [b] vitamin [c] wanga.
6. Maji safi na salama ni yale …………… [a]yanayotoka kwenye bomba
[b] yaliyowekwa kwenye mtungi [c] yaliyochemshwa na kuchunjwa.
7. Sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kuogea huitwa …………….
[a] sebule [b] sehemuyachakula [c] bafu
8. Wanyama wanaonyonyesha na wenye kuzaa viumbe kamili huitwa…………………
[a] viumbe [b] mamalia [c] insenta
9. Sumaku huvuta vitu vyenye asili ya ……………..[a] mawe [b] chokaa [c] chuma
10. Chakula ambacho husaidia ukuaji wa miili yetu ni …………
[a] protini [b] wanga [c] vitamin
11. Kuoga ni mojawapo ya kanuni za ………………[a] binadamu [b] shule [c] afya.
12. Sauti ikigonga kwenye ukuta na kurudi huitwa…………..
[a] mwanga [b] mpitisho [c] mwangwi
13. Nyumba bora ni muhimu iwe na madirisha makubwa ya kufaaili ……………..
[a] iweze kudumu zaidi [b] kuingiza hewa safi na ya kutosha[c] nyumba ipendeze
14. Katika maja ni kuna matundu madogo yaitwayo…………….
[a] umbijani [b] stomata [c] matawi
15. Kitu chochote kinapogogwa hutoa mlio maalumu mlio huo huitwa ……………..
[A] sauti [b] zeze [c] ngoma.
SEHEMU B ANDIKA NDIO AU HAPANA
16. Robo tatu ya mwili wa binadamu ni maji………………………
17. Mdadisi ni mtu anayependa kuju au kweli wajambo……………….
18. Ili moto uweze kuwaka unahitaji kuwepo na hewa ya okisijeni …………………..
19. Nyuzi zinapatikana kutokana majani ………………………
20. Jasho la mwili hutolewa nje ya ngozi kupitia matundu madogo yaitwayo
vinyweleo…..
SEHEMU C;OANISHA SEHEMU A NA B ILI KULETA MAANA
FUNGU A. FUNGU B
21. Kilogramu A.Haliyahewa
22. kimbunga B.mashinetata
23. mitambo C.Kipimorasmi cha uzito
24. mazaliayambu D.Upepomkali
25. joto,mvua,upepobaridi E.madimbwi

You might also like