You are on page 1of 3

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu. o.!" Fax: 255-22-2113425

#$E%&'E(T)% *++&,E, T-E %T.TE -*/%E, #.*. 0*1 9122, '.$ E% %.3..4.

Tan"ania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014 __________________________________________________ Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. amezaliwa watu n!ani ya Muungano huu na wengine wana wajukuu. "nasikitisha sana kuwa leo, miaka 50 baa!aye i#o !hana #oto$u inayojengwa kuwa Muungano huu si halali kwa %ile hakuna &ati ya Muungano (Articles of the Union). aasisi wa Tai$a letu ambao tarehe 22 '#rili, 1()* kule Zanzibar walitia saini &ati hiyo, mbele ya mashuhu!a, nao wameonekana kama wali+hoki$anya kilikuwa kiini ma+ho, na kwa hiyo kwamba waliongoza Tai$a ji#ya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msingi wa kiini ma+ho hi+ho kwa miaka yote ha!i Mwenyezi Mungu ali#owaita. Mambo yote mawili yametusononesha sana sisi Serikalini, na bila shaka yamewasononesha wanan+hi wanaoi#en!a n+hi yao, wanaowa#en!a aasisi wa Tai$a letu na kuuenzi Muungano wao. Ma!ai ya kuonyeshwa &ati ya Muungano yalianza siku nyingi lakini hatukuweza kuamini hali ita$ikiwa ili#o$ikia, amba#o wa#o watu wanathubutu ku!ai na kua#a kuwa &ati hiyo hai#o.

,kweli ni kuwa hati hiyo i#o, ilikuwe#o siku zote. &ata hi%yo, lazima tukubaliane kuwa zi#o &ati $ulani ambazo ni kiini +ha uwe#o wetu kama Tai$a huru, Jamhuri huru na Muungano huru, ambazo tunazihi$a!hi kama mboni ya ji+ho. &ati hizo ni #amoja na &ati ya ,huru wa Tanganyika ya mwaka 1()1, &ati ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1()2, na &ati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1()*. &ati za aina hii zinahi$a!hiwa maeneo maalum ambayo ni salama ili zisi#otee wala kuharibika. -wa kawai!a hatuzitoi, tunazi$ungua ili kuzihi$a!hi kwa namna yoyote ile. .akini sasa maneno yanakua mengi, tuhuma zimekuwa nyingi, !hihaka zimekuwa nyingi, kiasi +ha wanan+hi kuanza kutiwa mashaka iwa#o kweli &ati ya Muungano i#o au la. &i%yo, kwa maagizo na ri!haa ya Mheshimiwa /kt. Jakaya Mrisho -ikwete, 0ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaleta mbele yenu &ati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyotiwa saini Zanzibar na waasisi wetu, Mwalimu Julius -ambarage 1yerere na Mzee 'bei! 'man -arume, ili muione na kuwahakikishia atanzania kuwa yanayosemwa kuwa hakuna &ati hiyo si kweli. &ati hiyo i#o tangu wakati huo, imetunzwa %izuri na waliotutangulia, tumeirithi, na tutaen!elea kuihi$a!hi. 1a, tukiombwa ku$anya hi%yo na Mwenyekiti wa 2unge Maalum nina uhakika 0ais atari!hia i#elekwe huko ili kuon!oa mja!ala wa kama &ati i#o au la. "sitoshe, tu$anye utaratibu wa kuweka nakala kwenye Makumbusho ya Tai$a ili kila atakayetaka kuiona katika miaka mingine 50 ijayo na kuzi!i aione. Mwisho, narejea kusema kuwa kwa u#an!e wa Serikali tunasikitishwa na ku$a!haishwa sana na tuhuma nzito kwamba lab!a waasisi wetu hawakuwa makini au walitu$anyia kiini ma+ho. &atukutarajia wawe#o atanzania wenzetu, wa$ikie ha#o. 1i jambo zito. 3ile %ile hatukutarajia kuwa Serikali itatuhumiwa kuwa haikuwa makini kuhi$a!hi waliosaini waasisi wetu. Matumaini yetu ni kuwa baa!a ya leo tutaen!elea na mambo ya msingi kwa mustakabali, umoja na uimara wa Tai$a letu ba!ala ya ku+ho+hea hisia kuwa Muungano wetu hauna msingi imara wa kisheria.

Im !"# $% &%' -urugenzi ya Mawasiliano ya 0ais, "kulu,

DAR ES SALAAM( 1* '#rili, 201*

You might also like