You are on page 1of 1

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

TAARIFA KWA UMMA


Mfuko wa Pensheni wa PSPF unawatangazia kwamba
Mkutano Mkuu wa Nne wa wadau wake utafanyika tarehe
18 na 19 Februari 2015 kuanzia saa mbili na nusu
asubuhi hadi saa kumi na moja jioni katika Ukumbi wa
Mikutano wa hoteli ya St. Gasper - Dodoma.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya mwaka
ya Mfuko, kutathmini maendeleo na changamoto
zinazoukabili Mfuko na Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini.
Kauli mbiu ya mkutano huu ni;

PSPF - CHAGUO LAKO SAHIHI


Tafadhali thibitisha ushiriki wako kwa Mkurugenzi Mkuu,
Dar es Salaam au ofisi za PSPF mikoani.

Imetolewa na
Mkurugenzi Mkuu, PSPF.

Makao Makuu, Golden Jubilee Towers, Front Tower, Ghorofa ya 6-11 & 13,
Mtaa wa Ohio, 11101 Kivukoni, S.L.P 4843. Dar-es-Salaam.
Simu: +255222120912/52 | +255222127375 /6 | Nukushi: +255222120930
PSPF Tanzania

@PSPF Tanzania

www.pspf-tz.org

0800 110 055 / 0800 780 060

You might also like