You are on page 1of 40

l a

b o
Ji m

Mafaniko ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM


Vipaumbele vikubwa ni Shule, Zahanati na miradi mingine ya maendeleo kuanzia mwaka 2015-2019

Tumeamua
kutekeleza miradi
ya maendeleo

Samia Suluhu
Makamu wa Rais Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania

John Magufuli
Rais Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
Njalu D. Silanga Kassim Majaliwa
Mbunge wa Itilima Waziri Mkuus Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania

Uwandikishaji wa
darasa la kwanza na TAKWIMU ZA MAPENDEKEZO YA MAENDELEO YA
kidato cha kwanza MIUNDOMBINU KUINUA UFAULU TAALUMA

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 1


Utangulizi Jimbo la
Itilima
Wilaya ya Itilima ni kati ya Wilaya 5 zinazounda Mkoa wa Simiyu, Wilaya hii ilianzishwa
Mwaka 2012 kwa GN namba 73 na Halmashauri yake ilianzish Julai 2013 kwa GN namba
47. Wilaya ina ukubwa wa kilometa za mraba zipatazo 2,648
Maeneo ya Utawala
TARAFA KATA VIJIJI VITONGOJI
4 22 102 597

Taarifa za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, zinaonesha kuwa idadi ya watu katika
wilaya ya Itilima ni 313,900, ambapo wanawake ni 165,398 na wanaume 148,502.

HALI YA KISIASA
Wilaya ya Itilim ina Jimbo 01 la uchaguzi wa Mbunge ambapo Mbunge wa jimbo hili
ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.NJALU DAUDI SILANGA, kata 22, vijiji 102
na vitongoji 589. Wilaya ina jumla ya madiwani 30, madiwani wa kuchaguliwa ni 22
(Madiwani 18 wa CCM, 4 CHADEMA).Madiwani wa viti maalum wapatao 8 (7 wa CCM
na 1 wa CHADEMA) viti maalum 8.Katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na wenyeviti wa
vitongoji, jumla ya vijiji 102 na vitongoji 589 vilishiriki katika uchaguzi huo.

UTEKELEZAJI WA ILANI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU 2015-2019


Chama Cha Mapinduzi kupitia serikali yake kiliahidi kuwaletea maendeleo wananchi kama
ilivyoainishwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 pia kupitia Ilani ya
CCM Mhe.Njalu Daud Silanga (MB) aliwaahidi wananchi wa Jimbo la Itilima kuwaletea
maendeleo ya kweli. Katika kipindi hiki utekelezaji wa Ilani umefanyika kwa kiwango
kikubwa katika sekta za jamii, uzalishaji na uchumi, utawala na miundombinu kwenye
maeneo mbalimbali jimboni Itilima.

Mhe. Njalu Daudi Silanga (Mbunge) ameweza kuchangia vifaa vya ujenzi wa miundombinu
ya elimu na afya, fedha taslimu kwa ajili ya shughuli za maendeleo yenye thamani ya
Tshs.726,000,000. Vilevile amesaidia kuwapatia wakulima mikopo nafuu ya zana za kilimo
(trekta), kusomesha watoto wasio na uwezo wa kulipiwa ada na wazazi wao, kusaidia
vikundi vya akina mama na vijana pia amefanikiwa kujenga maghala 3 kwa ajili ya kuhifadhi
mazao ya wakulima jimboni. Kupitia uhamasishaji wake wa maendeleo wananchi wa
Jimbo la Itilima wameweza kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa miundombinu ya elimu
na afya sawa na kiasi cha Tshs.340,000,000. Ili kuunga mkono juhudi za wananchi na Mhe.
Mbunge, serikali imeleta fedha za maendeleo zaidi ya Tshs.21,278,798,980. Michango
ya Mhe.Mbunge, wananchi pamoja na serikali imefanikisha uimarishaji wa miundombinu
ya elimu, afya, barabara upatikanaji wa maji safi na salama, ofisi na nyumba za watumishi
pamoja na sekta za uzalishaji. Mchanganuo wa utekelezaji kisekta ni kama ifuatavyo:-

Miradi/shughuli iliyotekelezwa kwa kipindi cha 2015 hadi Septemba, 2019 ni kama
ifuatavyo:-
UTAWALA BORA
NA MIRADI ILIYOTEKELEZWA

1 a) Ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji(W)


awamu ya I, imekamirika na ofisi zinatumika
KATIBU WA MBUNGE
b) Ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji(w) Alex Magembe
  awamu ya II, ujenzi unaendelea +255 752 778464
2 Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya
Makao Makuu ya Wilaya Lagangabilili MWANDISHI
Haruna Taratibu
3 Ujenzi wa nyumba ya DAS 1 na 1 Afisa Tawala +255 713 685647
Makao Makuu ya Wilaya Lagangabilili
MPIGA PICHA
4 Ujenzi wa nyumba ya 4 za Wakuu wa Idara
Makao Makuu ya Wilaya Lagangabilili Elias Yohana
+255 768 248810
6 Ujenzi wa Ofisi ya Mthibiti Ubora wa Elimu
MSANIFU KURASA
Robert Julius Migiha
+255 685 466 639
rjulius54@gmail.com
Inaendele UK 16

2 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Miradi ya maendeleo iliyotekelezwa
na Rais John Pombe Magufuli

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 3


Hospitali ya Wilaya

Jengo la wagonjwa hospitali ya Wilaya ya Itilima

Majengo mbalimbali ya hospitali ya Wilaya ya Itilima

Jengo la maabara hospitali ya Wilaya ya Itilima

4 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Mh.Njalu akizungumza na wananchi

Mbunge Mhe. Njalu D. Silanga akizungumza na wananchi jimboni Itilima akiwa na mgeni wake Rais John
Magufulu alipofanya ziara.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 5


Mwaka wa Fedha (2016/2017 – 2017/2018)

Mradi wa Uboreshaji wa
Huduma za Afya katika
Kituo cha Afya Ikindilo
Mjue Mbunge wa
Jimbo la Itilima
Mhe. Njalu Daud Silanga ni Mbunge
wa Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu
aliyechaguliwa kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) mwaka 2015. Aliamua
kugombea ubunge kutokana na jimbo
hili kuwa chini ya upinzani kwa miaka 20,
hakukuwa na maendeleo yoyote zaidi ya
maandamano yasiyoisha. Hivyo wakati
wa kampeni aliahidi kuboresha elimu,
afya, barabara, umeme, kilimo, mifugo na
mambo mtambuka ya kijamii.
Ni miongoni mwa wabunge vijana
ambaye ameamua kufanya kazi usiku na
mchana kwa lengo la kuleta maendeleo
Uboreshaji wa Huduma za Afya Katika Kituo cha Afya Ikindilo katika Jimbo la Itilima. Katika kutekeleza
Ilani ya CCM, Mhe. Mbunge amechangia
unaendelea kutekelezwa kwa ukamilishaji wa Jengo la ujenzi wa miundombinu ya elimu, afya
Maabara, Jengo la kuhifadhia Maiti, Mtandao na Maji. Aidha, kiasi cha Tshs.726,000,000/=,upande wa
Jengo la Upasuaji, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Mtumishi kilimo ametoa matrekta 10 na kujenga
Imekamilika. maghala 3 kwa ajili ya wakulima na
pia ametoa baiskeli 50 kwa wakulima
waelekezi. Kwa kuwa ni mwanamichezo
ameanzisha mashindano ya Njalu Cup,
hivyo vijana wanapata kipato kupitia
mashindano hayo na kujenga uhusiano
baina ya vijana wa kata moja na nyingine
katika kuimarisha afya.
Amesaidia kusomesha wanafunzi ambao
wazazi wao wameshindwa kuwasomesha
kutokana na hali ngumu ya maisha na
pia amesaidia wananchi mmojammoja
kulingana na mahitaji yao.

Wodi ya uzazi katika Zahanati ya Migato imejengwa chini ya


ufadhili wa UNFPA ili kuweza kusaidia wanakijiji wa Itilima ikiwa
na wodi 5.

6 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Mhe. Mbunge Njalu Silanga akitoa zawadi pamoja vyeti kwa walimu mahiri wa masomo mbalimbali.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 7


Bweni Lagangabilili
Tunatekeleza Miradi

Vyoo lagangabilili
vimekamilika
SEKTA YA ELIMU

Mabweni ya
Sekondari ya Itilima

Madarasa ya Shule ya Sekondari Itilima wakati wa ujenzi

8 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Laini a. Nguvu ya Mbina Laini a. Nguvu ya Mbina
SEKTA YA ELIMU

NHOBOLA ‘A’

SHULE SHIKIZI SALI

Shule ya Sekondari Lagangabilili Machi 2017


ilipokea fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa
4, vyoo matundu 10 na uwanzishaji wa ujenzi wa
bweni.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 9


Mradi wa Usambazaji Maji
Katika Kijiji cha Lagangabilili
Mradi wa usambazaji maji katika Kijiji cha Lagangabilili. Tanki la maji, kituo
cha kuchotea maji na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa
Ndugu. Charles Francis Kabeho akizindua mradi.

Mwaka wa Fedha (2016/2017 – 2017/2019)

SEKTA YA MAJI

10 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


UJENZI WA VYOO SHULE
YA NG’WANG’WITA
Ujenzi wa vyoo katika shule ya msingi
Ng’wang’wita B kata ya Nkoma kupitia
ufadhili wa TEA

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 11


Tunatekeleza Miradi Shule ya
Sekondari Itilima

Mhe. Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi


Silanga

Shule ya Sekondari Kanadi

Naibu waziri wa nishati Mhe. Subira Khamis


Mgalu kijiji cha Nkoma

Maabara Budalabujiga
12 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz
Tunatekeleza Miradi
Nyumba ya walimu Ndoleleji
SEKTA YA ELIMU

Nyumba ya walimu
Ndoleleji ni katika
mpango wa kuhakikisha
walimu wanafundisha
katika mazingira mazuri
baada ya kuwajengea
nyumba nzuri za kuishi.

Mabweni Nkoma
sekondari
Mabweni Nkoma

CHOO MIGATO MIGATO


ya maboresho
Hali halisi kabla

Baada ya Ukarabati Kabla ya Ukarabati

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 13


SEKTA YA MAJI
Tunatekeleza Miradi
Umati wa wananchi wakitoa
mchango wao wa Nguvu kazi

Picha mbalimbal
mikubwa ya maj
Wananchi wakishiriki katika ujenzi

Umwagaji wa zege ya Strip Foundation


Tank la maji Kabale(Kabla tank
halijakamilika)

Bomba za maji kabla ya kulazwa na kufikia chini mradi wa maji Kabale

14 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


li moja ya miradi
ji jimboni Itilima

Wananchi wakiwa katika picha ya pamoja katika


Pampu House mradi wa maji Mwamapalala
na wengine ni wajumbe kutoka COWSO ya
mwamapalala.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 15


Tunatekeleza Miradi Inatoka UK 2
  Kutengeneza madawati 28,630 kwa ajili ya
HUDUMA ZA KIFEDHA 7 wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Kwa sasa tunapata huduma za kifedha kupitia Ufaulu wa wanafunzi wa darasa la 7 na kidato
1 Banki ya NMB iliyopo makao makuu ya 8 cha IV umeongezeka kutoka wastani wa
Wilaya asilimia 53.9 hadi kufikia asilimia 87.5
  Uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali,
SEKTA YA MAJI darasa la I na Kidato cha I umeongezeka
Kusambaza maji safi na samala katika vijiji vya 9 sana kipindi hiki cha Mpango wa Elimu Bure
1 Lagangabilili, Ikungulipu, Nkoma, Kabale, ukilinganishwa wakati ambapo mpango huu
Mwamapalala na Isengwa haukuwepo.
 
2 Ukarabati wa mabwawa 4 katika vijjiji vya
Habiya, Mwamapalala, Sawida na Nhobora SEKTA YA BARABARA
Ujenzi wa barabara, kalvati pamoja na
3 Kuchimba na kukarabati visima kwenye vijiji
mbalimbali vya Wilaya 1 madaraja umefanyika kwenye maeneo
mbalimbali ya Wilaya.
 
SEKTA YA AFYA
SEKTA YA KILIMO
Ujenzi wa wodi za akina mama katika Katika kuwakomboa wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye
1 zahanati 7 za Migato, Mahembe, Nangale, kilimo Mhe.Njalu Daudi Silanga(MB) amewezesha kutoa baiskeli
Gaswa, Sagata, Habiya na Sunzula. Pia ujenzi 50 kwa wakulima wawezeshaji, mkopo wa matrekta 10, kutoa
umefanyika kituo cha afya Ikindilo pembejeo za dawa pamoja na kujenga maghala 3.

NISHATI YA UMEME
2 Ujenzi wa majengo 3 ya upasuaji katika vituo
vya afya Ikindilo, Nkoma na Zagayu Wakati tunaingia madarakani Jimbo la Itilima likuwa na umeme
katika kata 3 kwa sasa lina zaidi ya kata 10 ambazo wananchi
wake wanafufaika na umeme wa REA, mkandarasi anaendelea
3 Ukarabati wa vituo vya kutolea huduma 29 na fungaji wa nguzo katika maeneo ambayo hayakuwa na
vilivyopo wilayani. umeme. Tunaishukuru sana Serikali ya Chama cha Mapinduzi
kwa kutuletea maendeleo wananchi wa Jimbo la Itilima.
Ujenzi wa zahanati mpya 9 katika vijiji
4 ambavyo havina zahanati, ujenzi upo hatua MAWASILIANO YA SIMU
mbalimbali. Wananchi wa Jimbo la Itilima wananufaika na huduma za simu
kwa mitandao yote ya simu inapatikana. Kutokana na uwepo
Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ambapo hadi wa huduma za simu mambo mengi ya wananchi yamerahisishwa
5 sasa jumla ya majengo 7 yamejengwa na sana, kwani huduma ya kifedha inafanyika kupitia mitandao ya
yapo asilimia 98 ya ujenzi, fedha hizi ni simu inasaidia kutat
kutoka Serikali.
Upatikanaji wa magari 3 ya kubebea HITIMISHO
  wagonjwa katika vituo vya afya vya Ikindilo, Tunaishukuru sana Serikali ya Chama cha Mapinduzi chini ya
Nkoma na Zagayu. Mhe. Rais John Pombe Magufuri kwa kutuletea maendeleo
katika Jimbo letu, huduma za jamii, miundombinu pamoja na
  miradi mingine. Pia natoa shukrani kwa viongozi ngazi ya Mkoa,
SEKTA YA ELIMU Wilaya, Kata, Vijiji pamoja na wananchi kwa ushirikiano mkubwa
Kujenga na kukamilisha ujenzi wa madarasa wanaoutoa kwa lengo la kuwaletea maendeleo katika Jimbo.
1 94 ya shule za msingi na sekondari katika
shule mbalimbali.

2 Kukamilisha ujenzi wa vyumba 9 vya maabara


vimekamilishwa na vinatumika

3 Ujenzi wa mabweni 6 umekamilika katika


shule ya sekondari Nkoma, Itilima na Kanadi.
Ujenzi wa mabwalo 2 katika shule ya
4 sekondari Nkoma na Lagangabili unaendelea
hadi sasa

5 Ujenzi wa nyumba 6 za walimu shule ya


sekondari Ndolelezi

6 Ujenzi wa matundu ya vyoo 124 katika shule


za msingi na sekondari
Jengo la hospitali la kuhifadhi dawa

16 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi Mwaka wa Fedha (2016/2017 – 2017/2018)

Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi

Ujenzi wa Jengo la Ofisi


Mtendaji, Halmashauri ya Itilima Ukiwa
Umekamilika kwa Awamu ya Kwanza ukiwa
umejumuisha mifumo ya maji safi, maji
taka na umeme. ya Mkurugenzi Mtendaji

Jengo la kuhifadhi dawa hospitali ya Wilaya ya Itilima Jengo la utawala hospitali ya Wilaya ya Itilima

Jengo la mionzi hospitali ya Wilaya ya Itilima

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 17


Tunatekeleza Miradi

Madarasa shule ya msingi Migato

Mabweni shule ya sekondari Nkoma


Kitalu nyumba makao makuu ya wilaya uzalishaji wa nyanya
na wazalishaji ni vijana.

Madarasa shule ya msingi Migato


Ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi wamu ya II

Madarasa shule ya msingi Migato Jengo la ofisi ya mthibiti ubora wa elimu

18 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Wodi ya wazazi Mahembe

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 19


Tunatekeleza Miradi

Mabweni shule ya sekondari Nkoma


Madarasa shule ya msingi Migato

Miradi ya maendeleo Itilima

Mabweni shule ya sekondari Nkoma Mabweni shule ya sekondari Nkoma

Mabweni shule ya sekondari Nkoma Mabweni shule ya sekondari Nkoma

20 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Mkapa akifungua jengo la upasuaji huku akiwa


na mbunge wa Itilima, Mhe. Njalu D.Silanga.

Mhe. Njalu D. Silanga akiwa na wananchi wakimwagilia


shamba

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 21


Tunatekeleza Miradi

Mhe.Njalu na wabunge wenzake Bungeni Dodoma

22 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 23
Tunatekeleza Miradi

Mradi wa maji Mwamapalala


Wananchi wakiwa katika picha ya pamoja katika
Pampu House mradi wa maji Mwamapalala
na wengine ni wajumbe kutoka COWSO ya
Mwamapalala.

Jengo jipya wodi ya wazazi zahanati ya Migato Solar Pannel mradi wa maji Ikungulipu

24 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Bwawa la kijiji cha Habiya umekalimika

Ujenzi wa bwawa kijiji cha Mwamapalala

Ujenzi wa shule ya msingi Nkuyu

Ujenzi wa madarasa mawili shule ya msingi Pijulu kata ya


Bilika la kunyweshea maji mifugo Nkoma Nkuyu kupitia mfuko wa jimbo.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 25


Maandalizi ya Hospitali
SEKTA YA AFYA

Maandalizi ya ujenzi hospitali ya wilaya katika


kijiji cha nguno.

SEKTA YA ELIMU

Mhe. Mbunge Njalu Silanga na Mkurugenzi


Mtendaji wakikagua utengenezaji wa madawati Mhe. Mbunge Njalu Silanga akikagua ujenzi wa
eneo la Sido Luguru. madarasa nane katika shule ya msingi Ngeme.

Ujenzi wa madarasa shule mpya ya Italegungulu


kata ya Migato. Ujenzi wa barabara ya Ikindilo- Nanga

26 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Mhe. Mbunge Njalu Silanga akitoa zawadi ya Photocopy mashine


pamoja vyeti kwa walimu mahiri wa masomo mbalimbali.

Upatikanaji wa umeme jimbo la Itilima


hadi vijijini

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 27


HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA MFUKO


WA JIMBO KWA KIPINDI CHA MIAKA 4
Katika kipindi hiki cha miaka 4 Halmashauri ya Wilaya ya Itilima imepokea jumla ya Tshs.230,317,500 ambazo zimetu-
mika kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta za Elimu na Afya kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa
Jimbo la Itilima. Mfuko umechangia katika ujenzi wa zahanati 12 ambazo zipo hatua mbalimbali za ujenzi na zaidi ya
madarasa 50.

A:MWAKA 2015/2016 HALMASHAURI ILIPOKEA TSHS 63,620,000. MATUMIZI NI KAMA IFUATAVYO:-


FEDHA
NA SHUGHULI ZILIZOPANGWA KUTEKELEZWA UTEKELEZAJI
ZILIZOTUMIKA

1 Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Mwazimbi na Bumera mifuko 200 3,400,000 Kazi imekamilika

2 ujenzi wa madarasa shule ya msingi Songe, mifuko 200 ya saruji 3,400,000 Kazi imekamilika

3 ujenzi wa zahanati ya Mwamunema na Ngh’esha Mifuko ya saruji 200 3,400,000 Kazi imekamilika

4 ujenzi wa zahanati ya Dasina mifuko 100 ya saruji 1,700,000 Kazi imekamilika

5 gharama ya mafuta na fundi aliyefyatua matofali hospitali ya Wilaya 3,989,000 Kazi imekamilika

6 kupaua zahanati ya Mbogo 12,176,000 Kazi imekamilika

7 kupaua zahanati ya Nkololo 12,176,000 Kazi imekamilika

8 kupaua zahanati ya Senani 5,275,000 Kazi imekamilika

9 kupaua madarasa 3 na ofisi 1 shule ya msingi Bunamala Mbugani. 5,575,000 Kazi imekamilika

10 ufyatuaji wa matofali kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya mifuko 411 6,987,000 Kazi imekamilika

11 Gharama ya fundi wa kujenga madarasa , zahanati na kufyatua matofali. 5,542,000 Kazi imekamilika

  JUMLA KUU 63,620,000  

  B:MWAKA 2016-2017 HALMASHAURI ILIPOKEA TSHS 39,070,000. MATUMIZI KAMA IFUATAVYO:-

1 kupaua madarasa 3 na Ofisi 1 shule ya Msingi Bunamala Mbugani 4,880,000 Kazi imekamilika

2 kupaua Zahanati ya Senani 7,149,500 Kazi imekamilika

3 kuweka Umeme shule ya Sekondari Itilima 5,000,000 Kazi imekamilika

kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Mwalimu shule ya msingi


4 2,674,750 Kazi imekamilika
Mwamungesha

fundi aliyepaua zahanati ya Senani na Shule ya Msingi Bunamala


5 1,250,000 Kazi imekamilika
Mbugani

6 kupaua Zahanati ya Bulolambeshi 12,210,000 Kazi imekamilika

7 kupaua Zahanati ya Bumera 3,160,000 Kazi imekamilika

ujenzi wa madarasa shule ya sekondari Madilana na shule ya msingi


8 2,400,000 Kazi imekamilika
Ngando mifuko 150 ya saruji

28 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

9 kurudisha fedha kwenda account ya Mwanza Sutreasury 345,950 Kazi imekamilika


  JUMLA KUU 39,070,200  
  C:MWAKA 2017- 20/2018 HALMASHAURI ILIPOKEA TSHS 64,960,000, MATUMIZI KAMA IFUATAVYO:-
1 kupaua madarasa 3 na ofisi 1 shule ya msingi Mwabasabi 7,500,000 Kazi imekamilika
2 kupaua zahanati ya Laini 13,696,000 Kazi imekamilika
3 kupaua zahanati ya Kidula 13,696,000 Kazi imekamilika
4 kupaua zahanati ya Bumara 9,518,000 Kazi imekamilika

5 kulipa fundi aliyelipaua zahanati ya Bumara na Bulolambeshi 1,600,000 Kazi imekamilika

6 ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi shule ya msingi Italegunguhu 14,610,000 Kazi imekamilika

Gharama za fundi wa kujenga majengo ya zahanatiza Laini, Kidula na


7 4,340,000 Kazi imekamilika
madarasa 7
  JUMLA KUU 64,960,000  

D:MWAKA 2018 - 20/2019 HALMASHAURI ILIPOKEA TSHS 62,667,500, MATUMIZI KAMA IFUATAVYO:-

1 Kupaua madarasa 5 shule ya msingi Nguno 5,925,000.00 Kazi imekamilika

2 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Bumera 4,653,000.00 Kazi imekamilika

3 kupaua madarasa 2 shule ya msingi Lali 2,274,000 Kazi imekamilika

4 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Pijulu 4,653,000.00 Kazi imekamilika


5 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Mwamanyangu 2,238,000.00 Kazi imekamilika

6 Kupaua madarasa 3 na nyumba 2 za walimu shule ya msingi Ipilili 11,709,000.00 Kazi imekamilika

7 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Sagata 2,568,000.00 Kazi imekamilika

8 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Nyantugutu 2,601,000.00 Kazi imekamilika

9 Kupaua madarasa 3 shule ya msingi Manasubi 3,862,000.00 Kazi imekamilika

10 Kupaua madarasa 2 shule ya msingi Kashishi 2,039,000.00 Kazi imekamilika


11 Kupaua madarasa 2 na ofisi 1 shule ya msingi Inalo 3,666,000.00 Kazi imekamilika
12 Kupaua madarasa 5 na ofisi 1 shule ya msingi Ngando   Kazi imekamilika
13 Kupaua madarasa 3 shule ya msingi Mwabulugu   Kazi imekamilika

Kununua misumari ya kupaulia madarasa 7 na nyumba 2 za walimu shule


14 1,379,500.00 Kazi imekamilika
ya msingi Ipilili, Bumera na Pijulu

Kumlipa fundi aliyepaua madarasa 7 na nyumba 2 katika shule za


15 1,500,000.00 Kazi imekamilika
Bumera, Ipilili na Pijulu

16 Kuweka milango na madirisha zahanati ya Madilana 13,600,000.00 Kazi imekamilika


  JUMLA KUU 62,667,500.00  

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 29


Madarasa na nyumba za walimu
SEKTA YA ELIMU

Madarasa na nyumba za walimu Ipilili na


manasubi

SEKTA YA ELIMU

30 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Hospitali ya wia ujenzi umeshaanza

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 31


Shule ya Msingi Ngema
SEKTA YA ELIMU

Shule hii ilipokea fedha ikiwa ni kwa ajili ya


ujenzi wa madarasa 8 na matundu 20 ya
vyoo. Kwa ushiriki mkubwa wa jamii mradi Shule ya Msingi lagangabilil. Ujenzi wa madarasa
huu umeweza kukamilika na unatumika. Kabla 4, vyoo vya walimu na wanafunzi ukiwa
ya mradi shule hii ilikuwa na madarasa 5 na umekamilika.
matundu ya vyoo 6 tu wakati ikiwa na idadi
kubwa ya wanafunzi.

Vyoo vya walimu lagangabilili

Vyoo vya wanafunzi Lagangabilili Shule ya Msingi Migato

32 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Majengo ya chuo cha VETA Kanadi

Ujenzi wa chuo cha VETA Kanadi

Wananchi wakipata huduma ya maji safi na salama kijiji cha Lagangabilili

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 33


Ujenzi wa Madarasa
4 na Ununuzi wa
Madawati Katika
Shule ya Msingi
Lagangabilili
kupitia mpango
wa Lipa Kulingana
na Matokeo (P4R)
umekamilika.

Mwaka wa Fedha (2016/2017 – 2017/2018)

Ujenzi Wa Vyumba 3 vya Ujenzi wa


Miundombinu ya Elimu
Maabara za Masomo ya Sayansi
Katika Shule ya Sekondari
Budalabujiga.

Wanafunzi wa Masomo ya Sayansi Katika Shule ya Ujenzi wa Mabweni 2 Katika Shule ya Sekondari Itilima
Sekondari Budalabujiga Wakiendelea na Mafunzo yenye uwezo wa kubeba wanafunzi 240 fedha zote
kwa Vitendo (Practical). zimetoka Serikali Kuu.

34 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Ujenzi wa bwawa kijiji cha Mwamapalala
Jengo la wagonjwa wan je hospitali ya Wilaya ya Itilima

Upanuzi wa kituo cha afya Ikindilo Ujenzi wa bwawa la Sawida

Bwawa la Sawida

Jengo la wazazi hospitali ya Wilaya ya Itilima

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 35


Mh.Njalu akizungumza na wananchi

Mbunge Mhe. Njalu D. Silanga akizungumza na


wananchi jimboni

36 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


Tunatekeleza Miradi

Mhe. Mbunge Njalu Silanga akitoa zawadi pamoja vyeti kwa


walimu mahiri wa masomo mbalimbali.

www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 37


Tunatekeleza Miradi

Walimu wa Shule
ya Msingi Migato

Ukarabati Nhobola

Itilima imedhamiria kuboresha elimu


SEKTA YA ELIMU

Shule ya Msingi Mahembe

Choo cha Shule ya Msingi Migato

Ukarabati wa Shule ya Msingi Nhobola Choo cha Shule ya Msingi Nhobola

38 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz


www.itilimayetu.co.tz MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 39
Jimbo la Itilima 2015- 2019

40 MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA-2019 www.itilimayetu.co.tz

You might also like