You are on page 1of 2

KIKAO CHA AFYA NA USALAMA BAINA YA

CAMUSAT NA WAKANDARASI WADOGO.


23/3/2023.

AJENDA
1. Kufungua kikao
2. kuripoti uchunguzi(observation),manusura na ajali.
3. kujiandaa kwaajili ya upembuzi wa afya na usalama ngazi ya kwanza na yapili.
4. Namna ya utendaji kazi kwa ujumla katika masuala ya afya na usalama mahala pakazi.
5. Mengineyo
6. kufunga kikao

WAJUMBE WA KIKAO
CAMUSAT; AMIRI KINGU
DATA FLOW: MUHINA & STANLEY AND PASCAL
MISIGA: WAZIRI KANIKI & KANIKI JUNIOR
IVUGA; MR KAGUO
LIMTECH;0
MCOM LTD; VENANT KAKOYO
TECHNOVATION; MARIAM

AJENDA
1) kuripoti uchunguzi(observation),manusura na ajali.
Katika wiki lazima idadi ya chunguzi(observation) na manusura zianzie tano,hautakiwa kurudia kuandika
chunguzi moja zaid ya mara moja,pia tunatakiwa kuhakikisha manusura na chunguzi(observation)
zinafungwa(closed) kama zinavyotakiwa.
Timu ya mafundi lazima wafahamishwe taharifa zauwepo wa Manusura ili kuepuka kujirudia kwa
manusura kwa mara nyingine kwa mfanya kazi mwingine.

2)kujiandaa kwaajili ya upembuzi wa afya na usalama ngazi ya kwanza na yapili.


a) Ngazi ya kwanza
Kuna nakala raini(soft copy) inayozungumzia masuala ya afya na usalam mahala pa kaziambayo ipo
kwenye group ambayo makampuni yotu tumaipata,hivyo basi wewe kam afisa afya na usalama hakikisha
kampuni yako imekidhi vigezo kwa kujaza fomu hiyo .
b)ngazi ya pili
ktk ngazi hii CAMUSAT wataangalia utayari kuendelea na kazi kwa timu zilizopo site,ukaguzi utahusisha
vifaa kinga na magari yanayotumika,katika siku hii MD na afisa afya na usalama wa kampuni husika
mnasisitizwa kuwepo wakati wa ukaguzi.

3)Namna ya utendaji kazi kwa ujumla ktk masuala ya afya na usalama mahala pakazi.
Kuna hali mbaya katika utumaji wa ripoti za kila wiki na utumaji wa picha zinazo onesha mafundi wapo
site na zile zinazo onesha namna JSA form ilivyojazwa.
N;B;Date flow wanashauriwa kubadirisha mtaalamu wa afya na usalama kwa sababu aliyopo (pascal)
amekuwa na shughuli nyingi za miradi.
Reynard pia anahimizwa kuongeza juhudi katika ufanisi wa kazi kwa ujumla.

4) Mengineyo
Mr waziri; kuwakumbusha wafanyakazi juu ya afya na usalama maahala pakazi kwa kufanya mafunzi
kila asubuhi kabla ya kuanza kazi .

Mariam;tunashauriwa kuwasisitiza wafanyakazi kuvaa vifaa kinga na kufanya mafunzo kwa wafanyakazi
ili kuwakinga na vihatarishi.

Venant kakoyo;
Kuna mlipuko wa ugonjwa mpya unaofanana na ebora apa Tanzania,hivyobasi nivyema kwa maafisa afya
na usalama mahala pa kazi kuchukua tahadhari dhidi ya ugongwa huu.

Muhina ;tunatakiwa kufanya marekebisho namna tunavyo toa taharifa ya uchunguzu (observation) na
marusura,tunashauriwa tuandike vitu vyenye uhalisia tuache kuandika uwongo.
Pia tunashauriwa tunapokuwa na mfanyakazi mpya katika kundi la wafanyakazi(team) tuhakikishe
anaandikwa kwenye rejista ya wafanyakazi wapya, pia taharifa zake zifike CAMUSAT kwenye ofisi ya
afya na usalama kwaajili ya kumpatia mafunzo ya afya nan usalama anapokuwa kazini.

Imeandaliwa na

Venant Kakoyo
Katibu wa kikao cha afya na usalama mahala pakazi kilicho fanyika 23/3/2023

You might also like