You are on page 1of 16

MWONGOZO WA CHOZI LA HERI

MWONGOZO WA CHOZI
LA HERI. Kwa
Mwongozo
mzima
wasiliana nasi
0729125181

1. NAMNA YA KUUTUMIA MWONGOZO


HUU
wa kuyajibu maswali atakayo ulizwa na mtahini
katika mitihani ya karatasi ya 3 tatu

Shukrani

Mwandishi

abrahammariera@gmail.com 0729125181
CUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya
Mwongozo huu unanuiwa kumwonqoza ukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi
mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no sasa ni afisa katika
kuelewa uliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo
ni muhirnu mwanafuzi aisome Riwaya Wizara ya Elimu, kitengo
kwanza kabla ya kuutumia mwongozo huu. kinachoshughulikia tathmini ya mitaala.
Miongoni mwa kazi alizoziandika ni
Pia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewa Fani ya Fasihi
Riwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya
kuujjbu mtihani wake mwisho wa Simulizi.
Sekondari(KCSE). Mwongozo huu ni maoni ya
waandishi kulingana na jinsi walivyoifiki Riwaya JALADA
hii, wenyewe. Mwanafunzi anahimizwa kuzua
maoni ziada kuhusu masuala waliyozungumzia Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii
waandishi huku jaribu kuyaoanisha na hali wake , Robert Kambo. Katika upande wa mbele
halisi katika eneo alirnotok, :,nchini, barani au sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea.
kwingineko ulimwenguni ambapo maudhw Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo
yanayojadiliwa yanajitokeza. Kuna maelezo maeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi.
kuhusu uliotumika kwenye jalada, Ufaafu wa Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwa
anwani, rnuhtasari wa sura(msukomtiririko) miongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa
,dhamira ya mwandishi, maudhui, sifa za la
wahusika, fani na Maswali ya marudio. Haya
yote yanalenga kumhamasisha mwanafunzi Kalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hiki
kuielewa vyema Piwaya kimepata maji ya mabomba hadi eneo zima
likatwaa rangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama
Chozi la Heri. Ni muhimu kwa mwanafunzi Miambakofi, mivule na miti mingine kapandwa.
kuelewa rntlririko wa Riwaya kwa undani ili Maeneo mengme yaliyokuwa na rutuba ni kama
kuweza kuelewa ujumbe wa mwandishi na
mbinu anazotumia kuubainisha ujumbe huo. Msitu wa Mamba. Watu waliogura makwao
Fahamu kuwa iwapo mwanafunzi atauelewa walipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakula
mtiririko wa kazi hus ka hatatatizika wakati kama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.
wa kuyajibu maswali, akakanganva matukio
au 'kubuni' matukio ambayo hayamo Ndam ya rangi hii mna anwani ya kazi iliyoandikwa
Riwayant. kwa rangi nyeupe. Kawaida rangi hii huashiria
amani. Licha ya mambo kuwaendea vibaya
Katika sehemu ya mwisho, waandishi wahusika wengi riwayani, hatimaye mna
wametoa mifano ya maswali pamoja na
mifano ya majibu mwafaka. Mwanafuntl
ajibidiishe ili kuwa na uzoefu Assumpta
K.Matei ni mwandishi wa kike. Ni mtafiti na amani ya kudumu.
mwalimu mwenye tajriba pana katika
ufundishaji wa lugha na fasihi ya Kiswahili Jina lake mwandishi liko maeneo yayo hayo na
katika shule za upili na limeandikwa kwa rangi ya manjano. Rangi hii
vyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha huashira ukomavu. Mwandishi wa riwaya hii ni
ni Kenya High School na mwenye tajriba pana. Amekomaa katika uandishi
wa kazi za fasihi. Masuala anayoyaangazia ni yale

abrahammariera@gmail.com 0729125181
yanayoiathiri jamii yake. Ametumia mtindo yanaafiki ufaafu wa CHOZI LA HERI.
unaoashiria upeo wa ukomavu wake.
i) Mwandishi anatuleza kuwa Ridhaa alipokwenda
Upande wa chini wa jalada la riwaya hii mna shuleni siku ya kwanza alitengwa na wenzake
mchoro wa jicho. Jicho hili linadondokwa na kwani hawakuta ashiriki michezo yao. Kijana
chozi. Ndani ya chozi mna watu watatu(mmoja mmoja mchokozi alimwita 'mfuata mvua'
wa kike na wawili wa kiume). Inahalisi kuwa aliyekuja kuwashinda katika mitihani yote.
watu hawa watatu ni Umu, Dick na Mwaliko. Ridhaa alifululiza nyumbani na kujitupa
Walifurahl mno walipokutana wote katika hoteli mchangani na kulia kwa kite na shake. Mamake
ya Majaliwa. Riwayani, Umu na Dick walikimbia alimliwaza na kumhakikishia kumwona
wote kwa pamoja na wakamkumbatia ndugu mwalimu keshoye. Tangu siku hii, huu ukawa
yao Mwaliko na huku wakaanza kulia na ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaa
kutokwa na machozi ya farajaheri. kwani baada ya mwalimu kuzungumza na
wanafunzi umuhimu wa kuishi pamoja kwa
4.UFAAFU WA ANWANI mshikamano, Ridhaa alipea kwenye anga ya
elimu hadi kufikia kilelecha cha elimu na
Anwani ya Riwaya hii ni Chozi la Heri. kuhitimu kamadaktari.
ii) Ridhaa alipotoka kwenye Msitu wa Mamba
Kwa mujibu wa kamusi ya karne ya 21, alijiona nafuu kwani wapwa zake- Lime na
CHOZI ni tone la maji au uowevu linalotoka Mwanaheri walikuwa wamepata matibabu.
machoni ambalo aghalabu hutokea mtu Dadake Subira alitibiwa akapona. Mwamu wake
anapolia, kufurahi au moshi unapoingia
machoni. Nalo jina Kaizari amepona donda lililosababishwa na
kuwatazama mabinti zake wakitendewa
HERI lina maana tatu 1 Ni kuwepo kwa ukaini(kubakwa) na Vijana wenzao.
amani, utulivu na usalama 2Ni hali ya
kupata Baraka na mafanikio 3 Ni afadhali. Ridhaa anajua kuwa Kaizari ni afadhali kwa
Maneno haya yanapotumika pamoja sababu hakuna aliyemtenga na mmoja kati ya
tunapata maana iliyo na undani zaidi kuliko jamaa zake. Ridhaa anapomfikiria Kaizari
jina likitumika peke yake. anajiambia heri nusu Shari kuliko Shari kamili.

Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo iii)Ridhaaaliposikia sauti ya kike ikitangaza,
linatoka wakati mhusika fulani amepata tangazo lile lilimrudiSha katika mandhari yake ya
amani, utulivu na sasa. Alijaribu kuangaza macho yake aone
usalama. Chozi anakoenda lakini macho yalijaa uzito wa
machozi ambayo alikuwa ameyaacha
yamchome na kutiririka

kwisha kupata baraka na mafanikio.


Maana nyingine ni kuwa chozi hili
linaonekana ni chozi (la) yatakavyo.
afadhaliboranafuu.
iv)Wakati Ridhaa alimkazia macho Mwangeka-
Kwa kujikita katika maana mbalimbali waka
yanayojitokeza wakati maneno hayo mawili
yamewekwa pamoja, matukio yafuatayo Mwangeka alikuwa akijiuliza iwapo babake

abrahammariera@gmail.com 0729125181
amekuwa mweh kwa kukosa kushirikiana na
majirani kuchimba kaburi kuyazl ka majivu- wongo: o wa chozi la Heri viii)Wakati Dick
matone mazito ya machozi yalitunga machor walikutana kisadfa na Umu katika uwanja wa
mwake Mwangeka. Akayaacha yamdondoke ndege, walikumbatiana kwa furaha. Machozi
na kumcharaz, yatakavyo. Uvuguvugu yaliwadondoka wote wawili na wakawa wanalia
uliotokana na mwanguko wa macho: kimyakimya. Walijua fika kuwa jaala ilikuwa
imewakutanisha na kwamba hawatawahi
haya uliulainisha moyo wake, ukampa amani kutengana tena. Maisha sasa yalianza kuwa ya
kidogo. Moy wake ukajaa utulivu sasa kwa heri kwao.
kujua kuwa wino wa Mung haufutiki.
ix)Baada ya miaka kumi ya kuuza dawa za kulevya,
v) Wakati Ridhaa alikuwa akimsimulia Dick alifaulu hatimaye kujinasua kutoka kwa
Mwangeka misib( kucha za mwajiri wake. Alianza biashara yake
mwenyewe ya kuuza vifaa wa umeme. Sasa
iliyomwandama tangu siku alipoondoka akaanza kujitegemea kwa kuwa amejiajiri.
kwenda kuwel" amani Mashariki ya Kati,
Ridhaa alisita akajipagusa kijash( Alikuwa ameufungua ukurasa mpya katika maisha
yake.
kilichokuwa kimetunga kipajini mwake kisha
akatoa kitambm mfukoni na kuyafuta Maisha yake sasa ni ya heri.
machozi yaliyokuwa yameanza kumpo fusha.
Uk 48 X)Wakati Neema na Mwangemi walikabidhiwa
vi)Mwangeka alipokuwa ameketi mkabala na mtoto wao wa kupanga na Mtawa Annastacia,
kidimbwi che kuogelea, mawazo yake Mwaliko alimkumbatia Neema na kumwita
yalikuwa kule mbali alikoanzia mama na kumwahidi kuwa ataenda naye.
Neema alidondokwa na chozi la furaha na
Akawa anakumbuka changamoto za ukauji kumkumbatia Mwaliko kwa
wake. mapenzi ya mama mzazi. Hili lilikuwa nichozi la heri
Akawa kumbuka wanuna wake. kwa
Alipomkumbuka Annatila(Tila) mwili Neema.
ulimzizima kidogo akatabasamu kisha
tone moto la choz: xi)Dick alimweleza Umu kuwa siku waliokutana
katika uwanja wa ndege na wakasafiri pamoja,
likamdondoka. hiyo ndiyo ilikuwa siku ya heri Zaidi kwake.
Nasaha alizopewa na IJmu zilimfunza thamani ya
vii) Katika Msitu wa Simba kulikuwa na maisha. Kisadfa, huu ndio wakati Dick alikuwa
maelfu watu waliogura makwao. Kati ya ameamua kubadilisha maisha na kuishi maisha
familia zilizoguria humu ni familia ya Bwana mapya yasiyokuwa ya kuvunja sheria.

Kangata. Kwa Kangata na mkewe Xii)Dick aliposimulia namna wazazi wake wapya
Ndarine, hapa palikuwa afadhali kwani pamoja na
hawakuwa na pa kwenda kwa kuwa
hata kule walikokuwa wakiishi awali Umu walivyomfaa maishani, kila mmoja katika
hakukuwa kwao. Uk 57 familia hii alijil. Bila shaka yalikuwa machozi y

abrahammariera@gmail.com 0729125181
SURA YA KWANZA
xiii) Baada ya Mwaliko kujitambulisha kwa
Umu na Dick, umu na Dick hawakungojea Sura hii inapoanza, Ridhaa alikuwa amesimama
amalize. kwa maumi-vu makali huku mikono kairudisha
Walikimbia wote wakamkUmbatia ndugu yao, nyuma ya mgongo wake uliopinda kwa uchungu.
wakaanza kulia huku wakiliwazana. Haya Amelitazama wingu la moshi ambalo
yalikuwa machozi ya furaha kwao kwa linamkumbusha ukiwa aliozaliwa nao na ambao
kupatana tena wote wakiwa hai. Kwa kweli anahofia kuwa angeishi na kuzikwa nao.
kila mmoja alitokwa na chozi la heri. Alipogeuka alitazamana ana kwa ana na moto
ambao uliteketeza jumba lake la kifahari.
xiv) Mwaliko alimwambia babake kuwa kuja Walioangamia mie ndani ni Terry (mkewe
katika hoteli ya Ridhaa),bintiye Tila, Mkewe Mwangeka(Lily) na
mjukuu wake Becky. Tukio hill linamkumbusha
Majaliwa kuliwaletea heri kwa kuwa familia yao mambo kadha yaliyotokea hapo awali
sasa imepanuka. Sasa amekutana na watu yakiwemo mlio wa kereng'ende na bundi usiku
aliokuwa tu anasikia wakitajwa. Maisha sasa ni wa kuamkia siku hii ya kiyama. Milio hii ilimtia
afadhali. kiwewe zaidi kwani bundi hawakuwa wageni wa
kawaida katika janibu
xv) Dick alitoa shukrani tele kwa Umu kwa hizi. Alikumbuka akimwambia Terry kuwa milio
kuwa alimpa matumaini kuwa siku moja hii ni kama mbiu ya mgambo ambayo ikilia
watampata ndugu yao Mwaliko. Mwaliko hata huenda kukawa na jambo. Terry ambaye
anapomtazama Umu, macho yake yakiwa kawaida yake ni mcheshi hakunyamaza ball
yamefunikwa na vidimbwi vya machozi, anajua alimwambia Ridhaa kuwa kwake lazima kila
kuwa familia yao imerudiana japo katika jambo liwe na kiini. Terry alis- hangaa ni vipi
mazingira tofauti. daktari mzima alikuja kujishughulisha na
mambo ya ushirikina. Terry anamkumbusha
xvi) Siku ambayo Mwangeka alimwoa mmewe kuwa aliwahi kumwambia kuwa ni
Apondi ilikuwa siku ya heri kwake kwani vizuri kuiacha mielekeo ya kijadi ambayo
alimwaga chozi la heri. Tunaelezwa kuwa, huyafifilisha maendeleo. Anazidi kumuuliza hata
Ridhaa alijua kuwa wakati ndio mwamuzi, ipo iwapo jambo likawa atafanya nini? Ndipo Terry
siku atakapotokeza hurulaini wake Mwangeka. anamjuvya kuwa la muhimu ni kumlaani shetani
Ataifungua kufuli kubwa iliyoufunga moyo kwani Iiandikwalo ndilo liwalo. Mazungumzo
wake na hiyo itakuwa siku ya kumwaga chozi haya baina ya Terry na mmewe Ridhaa yalikuwa
la heri. ya mwisho kabisa kutokea Terry akiwa hai.
MbundaMsokile(1992:206) anasema kuwa Ridhaa sasa anajutia kuwa angelijua
msuko ni mtiririk0 angelitumia kila sekunde za uhai zilizokuwa
zimesalia kumuuliza mkewe maswali ambayo
au mfuatano wa matukio yanayosimuliwa sasa yameivamia akili yake. Machozi yalifulika
kutoka mwanz0 machoni mwake na kuulemaza uwezo wake wa
kuona nandipo moyo wake ukamwonya dhidi ya
hadi mwisho. Hapa tutaangazia matukio katika II
kila
sura tabia yake ya kike ya kulia pindi tu akumbwapo na
vizingiti ambavyo ni kawaida ya maisha.
Aliyakumbuka maneno ya marehemu mamake
kuwa machozi ya mwanamme hayapaswi

abrahammariera@gmail.com 0729125181
kuonekana mbele ya majabali ya maisha. Siku kuondoka, likabaki likiukomaza ukoloni mambo leo.
hii Ridha hakujali la mama wala la baba; Mwafrika alibaki pasi na cho-
alijiskia kama mpigana masumbwi Chote cha kumiliki. Tila anasisitiza kuwa wao ni
aliyebwagwa na kufululiziwa makonde bila wategemezi si kwa lishe tu, bali pia kwa ajira.
mwombezi. Alisalimu amri na kuyaacha Na kazi zenyewe ni vibarua vya kijungu jiko. Tila
machozi yamvamie yatakavyo. Katika mito ya alishangaa ni kwa nini wao hawajaanza
machozi ndipo alileta kumbukumbu ya mambo kujisagia kahawa au chai yao. Haihalisi mbegu
yalivyokuwa usiku ambao uliyatia giza maisha ziwe zetu, tulikuze zao lenyewe kisha
yake. Anakumbuka mayowe ambapo mwenye kumpelekea mwingine kwenye viwanda vyake
kuyapiga alimsihi alisage kisha kuja kutuuzia hiyo kahawa au chai
kwa bei ya kukatisha tamaa alisisitiza Tila.
Mzee Kedi asiwauwe kwani wao ni majirani Ridhaa alikubaliana na mtazamo wa Tila kwani
wake. Akamsihi asiwadhuru wanawe wala mstakabali wao wa ukuaji kiuchumi uligonga
mume wake. Baada ya mayowe haya ndipo mwamba wakati sheria ya mkoloni ilimpa
alisikia mlipuko mkubwa kisha akashikwa na mzungu kibali cha kumiliki mashamba katika
uziwi wa muda uliofuatwa na sauti nyingine ya sehemu zinazotoa mazao mengi. Mwafrika
Mkewe "Yamekwisha". Kumbukumbu hii ilimpa akabaki aidha kuwa kibarua au skwota ambaye
kuzimia na alipozinduka alijipata kalala kando maisha yake yalitegemea utashj wa mzungu.
ya gofu la jumba lake lililokuwa linafuka moshi. Wafrika ambao walibahatika kupata makao yao
Alijikongoja hadi kwenye kwenye shamba binafsi walipata sehemu ambazo hazingeweza
lililokuwa kando ya nyumba yake alipopaaza kutoa mazao mengi, wakawa wakulima wadogo
sauti na kusema " Familia yangu na mali yote wadogo, maskini wasio na ardhi. Ridhaa
hii kuteketea kwa siku moja? anamkumbuka baba Msubili alivyokuwa
akisema kuwa jamii yao iligeuka kuwa hazina ya
Aliporudi kulikokuwa sebule ndipo alikumbuka wafanyakazi ambamo Wazungu wangeamua
kuwa kuchukua vibarua kupalilia mazao yao.

Mwangeka (kifungua mimba) wake alizaliwa Ridhaa hakuwa mkaazi asilia wa Msitu wa Heri.
kwenye chumba hiki miaka thelathinl iliyopita. Alikuwa
Alishangaa ni vipi Mwangeka aliweza
kunusirika mkasa huu na ndipo akawaza kuwa Tuata mvua kama walivoitwa walowezi na
wadhifa aliyopewa kwenda Mashariki ya Kati wenyeji kindakindaki. Ridhaa anasema kuwa
kudumisha amani ulitokea kuwa wongofu hakupachagua mahali hapa ila majaliwa
wake. Katika kumbukumbu zake anaukumbuka yalitaka awe hapo. Babake alikuwa na wake
mjadala mkali baina yake na bintiye Tila kumi na wawili. Wake hawa walijaliwa na wana
kuhusu mafanikio ya baada ya uhuru. Hakuna wa kiume ishirini na ndipo ardhi ya mzee
aliyethubu kuuchangia kwani masuala ya Mwimo Msubili ikawa haitoshi kuwalea
sheria Tila madume hawa lligawanywa m na
alikuwa ameyamu

ikamwia vigumu Mzee Mwimo kuwalisha wana


d e i kweli. Tila anamuuliza babake maswali hawa kwani ardhi yake ilitoa zao dogo. Katika
magumt ambayo yanamsawiri Mwafrika ardhi ya Mzee Mwimo mlizuka uhasama,
alivyonyanyaswa na tabaka le juu migogoro na uhitaji mkubwa. Jambo hili
lililojilimbikizia mali baada ya mzungu limfanya mzee mwimo kuwahamishia wake

abrahammariera@gmail.com 0729125181
wawili wa mwisho Msitu via Heri au kuishi na wenzake bila kujali tofauti za kiukoo na
Ughaishu kama walivyopaita wenyeji. Siku nasaba. Mamake Ridhaa alizungumza na mwalimu
hizo ilikuwa rahisi mtu kuwa na shamba naye mwalimu akazungumza na wanafunzi na
mahali kokote katika eneo lililomilikivia na kuwasisitizia umuhimu wa kuishi pamoja kwa
kabila lake kwani umiliki wa mashamba mshikamano. Huu ukawa ndio mwanzo wa maisha
ulitegemea bidii ya mtu. Mamake Ridhaa ya heri kwa Ridhaa. Ridhaa alifanya vyema
alikuwa mke wa mwisho wa Mzee Mwimo. masomoni na kufikia kilelecha
Ridhaa alikuwa mwenye umri wa miaka cha ufanisi alipohitimu kama daktari. Baadaye aliasi
kumi walipohamia Mlima via Heri na ukapera na akafunga ndoa naye
alikuwa bado hajaanza shule. Walipowasili
humu hamkuwa na wakaazi wengi na Terry. Alijaliwa na wana ambao waliangamia
ilimchukua muda kuzoeana na watoto wa isipokuwa
majirani ambao waliwaona Ridhaa na
nduguze kama waliokuja kuuvuruga utulivu Mwangeka. Ridhaa anashangaa ni kwa nini
wao. Ridhaa alipowazia kuhusu jambo hill Mzee Kedi alimgeuka kwani ndiye aliyemsaidia
alielewa fika kuwa hali hii ilizuliwa na kupata shamba hilo lake.
wakoloni na kuwarithisha Waafrika. Baba Familiazote mbili zilikuwa na mlahaka
yake, Mwimo Msubili alikwisha mwema. Ridhaa ameyafanya mengi mazuri
kumwambia kabla ya miaka ya Hamsini kikijini hadi kikaacha kuitwa Kalahari.
umiliki wa kibinafsi wa ardhi Ikawaje aliowatendea hisani wamelipa kwa
haukusisitizwa katika jamii yao. madhila?
Watu walitangama-na vyema. Familia
lweje watu waliokula na kunywa pamoja ndio
zilizotoka kwengine ziliishi miongoni mwao
waliomlipulia aila na kuyasambaratisha maisha
pasi uhasama. Sera mpya ya mkoloni
yake? Haya maswali yasiyo na majibu
kujumuisha pamoja ardhi iiiyomilikiwa na mtu
yalimsumbua akilini mwake. Alipowaza alianza
binafsi na kuuidhinisha umiliki huu kwa
kuelewa sababu ya vikaratasi kuenezwa kila
hatimiliki, ilivuruga mshikamano wa kijamii.
mahali vikiwatahadharisha kuwa mna gharika
Sera hii mpya ya umilikaji wa ardhi ilimaanisha
baada ya kutawazwa kwa
kwamba wale walio-kosa pesa za kununulia
mashamba wangekosa mahali pa kuishi. Wale
Musumbi- kiongozi mpya. Anaelewa sababu ya
waliobahatika kuwa na pesa za kununulia
jirani kuacha kumtembelea kwake kwa ghafla.
mashamba daima walichukuliwa kama wageni
Anaelewa sababu ya mke wa jirani kulalamika
wasiopasa kuaminiwa. Ridhaa alikuwa kati ya
kuhusu kuuzwa kwa mashamba ya wenyeji kwa
waathiriwa wa hali hii kwani alitengwa na
wageni. Alielewa kuwa alikuwa mgeni wala si
wenzake siku ya kwanza shuleni katika
mwenyeji hata baada ya kuishi pale miongo
michezo mbalimbali. Alichokozwa na
mitano. Katika usingizi alikumbuka habari
mwanafunzi mmoja aliyemwita 'mfuata mvua'
iliyosomwa katika runinga miaka miinne
na kumwambia hakutaka kucheza naye kwani
iliyopita. Habari ilisema kuwa matrekta ya
alikuja
Baraza ya jiji yalitekeleza amri ya Bwana
kuwashinda katika mitihani yote. Jambo 14
Mkubwa ambayo ilikuwa ni kwabomoa
majumba ishirini katika mtaa wa kifari wa
Tonon-
hili lilimfanya Ridhaa kulia kwa kite na
kumwambia mamake kuwa hangerudi shuleni Okeni. Ridhaa alitazama picha za majumba yake
tena. Mamake alimwambia ni vyema kujifunza matatu

abrahammariera@gmail.com 0729125181
hospitali za kifahari huku wakiliwazwa na mashine.
Kuna wengine ambao hufia kwenye vitanda vya
mwakisu vitongojini baada ya kupiga maji
kwenye mulishi wa runinga yakibomolewa.
haramu(pombe haramu) kama nzi ambao kufia
Majumba haya sasa yamegeuka udongo.
dondani si hasara. Kuna tofauti pia mitindo ya
Pigo hili la pili aliliona kali zaidi.
mazishi na

Alibaki akijiuliza maswali akishangaa ni


upi utakuwa mstakabali wake, wa
mwanawe Mwangeka na Subira, dada hata mavazi ya mwenda zake na wafiwa. Hata
yake majenez yenyewe huhitilafiana.

Ridhaa aliyeishi maili kumi kutoka pale. Katika kambi la kina Kaizari mipaka ya kitabaka
imebanwa.
Maswali:
Kwani, hata waliokuwa navyo sasa hivi
i) Eleza kwa kifupi hasara ya ukabila. wanang'ang'ania chakula haswa uji. Hata
aliyekuwa waziri wa Fedha miaka mitano iliyopita
ii) Ni mambo gani yalifuatia kutawazwa
yumo katika kambi hii aking'ang'ania chakula na
kwa Musumbi ?
wenzake. Mvua kubwa inanyesha na matone
iii) Ni mambo gani yalimpata Ridhaa mazito kuwaangukia wanawe wakembe wa Ndugu
tangu walipohamia Msitu wa Kaizari-Lime na
Heri?
Mwanaheri. Hana hata tambara duni la kuwafunikia.
iv) Wataje, kisha utoe sifa za wahusika Ubavuni amelala mke wake Subira. Anaonekana
waliotajwa katika sura hii. kuwa siye yule Subira wa awali kwani mwonekano
wake niwa kukatisha tamaaamevimba sana baada
v) Onyesha namna mbinu rejeshi ya kutendewa unyama na binadamu wengine.
ilivyotumiwa katika sura hii.
Kwa mbali anaonekana Ridhaa, akitafuna kitu
fulani kinachofanana na mzizi-mwitu. Ni kinaya
Daktari mzima, Mkurugenzi mzima wa Wakfu
SURA YA PILI wa Matibabu nchini kula mzizi!

Ni siku kumi tangu kuondoka kwa Kaizari na


Kaizari anaanza kusimulia yaliyojiri siku ile
wenzake na kujipata katika mazingira haya
baada ya kutawazwa kwa kiongozi mpya.
mageni. Si mageni kwani ni mumo humo kwao
Anasema kuwa baada ya kutawazwa kwa
kwani si ughaibuni wala nchi jirani. Pahali hapa
kiongozi mwanamke(wengine waliamini hafai
ni kambi au mabanda yaliyosongamana.
kuongoza) mambo yaliharibika. Watu
Waliokuwa nacho na wachochole wote wako
wakashika silaha kUPigania uhuru wao, uhuru
pamoja katika kambi hii.
ambao walidai hawakupewa-

Kuna kiasi fulani cha usawa. Japo wanasema


Wakaupigania. Wakatoa kauli kuwa wanaume
kuwa wanadamu huwa sawa kifoni, kuna
watatumikishwa kwa walivyofanywa enzi hizo
tofauti katika mandhari wanamofia. Kuna
katika visakale vya jirani
wanaofia zahanati za kijijini na wapo wanaolala
maumivu yao yakiwa yamefishwa ganzi katika
GO. Waliona kuwa kiongozi mwanamke

abrahammariera@gmail.com 0729125181
atawarudisha pale- si muda raia walianza kukimbizana na polisi. Katika
mchezo huu, watu wengi walipoteza maisha yao.
Walikotoka. Walikemea
kusumbuliwa walikosumbuliwa kwa Wengine walipoona kuwa mambo yameharibika
miongo mitatu sasa na Affirmative waliacha makwao na kukimbia. Mali walioacha
action na a third should be nyuma yaliteketezwa.

Women. Walikerwa mno na suala Ia jinsia ya ki Wakapoteza kila kitu. Wengine waliokuwa jasiri
kuchipuza kila mara katika vikao vyao walipora maduka ya Kihindi, kiarabu na hata
wakalamik' Y Waafrika wenzao wakapora walichoweza kubeba
mwa mke kabla ya kupatana na mkono wa utawala.

kutetewa na vyombo vya habari na Sura ya nchi ya Wahafidhina ikawa mpya. Misafara
wapigania haki. Mwanaharakati mmoja ya wakimbizi ikawa kwenye barabara na vichochoro
kwa jina la Teitei akazidi kusema kuwa vya Wahafidhina.
mwanamke kuiongoza jamii nzima
itakuwa kukivika kichwa cha kuku Mizoga ya watu na wanyama, magofu ya majumba
kilemba. yaliyoteketezwa kwa moto na uharibifu wa mali na
mazingira ukashamiri.
Bi. Shali alikanusha kauli ya Teitei na
kusema kuwa, Mwekevu(kiongozi Kaizari anakumbuka siku ya pili akiwa sebuleni na
mwanamke) alijitosa katika siasa na wanawe wakitazama runinga mara alisikia kuwa
kuomba kura kama wanaume hao hakuna amani bila kuheshimu mwanamume.
wapinzani wake, akastahimili vitisho na Kilichofuatia ni mabarobaro waliobeba picha za
matusi kutoka kwa wanaume na kwa mpinzani aliyeshindwa na Mwekevu na wakaanza
hivyo ushindi wake ni zao Ia bidii yake. kughani mkarara uliokuwa ukisema Tawala
Mradi wake wa kuchimba visima Wahafidhina tawala, Mwanzi wetu tawala
umewafaidi raia kwenye maeneo kame. Wahafidhina tawala.

Kaizari aliendelea kumweleza Ridhaa kuwa Mara hali ilibadilika na wakayazingira magari
vita vilianza kati ya kundi lililokuwa linaunga barabarani na kuanza kuyawasha moto kana
mkono Mwekevu na lililokuwa likiunga mkono kwamba wanayachoma mabiwi ya taka! Vikasikika
mpinzani wake mwanamume. Vita vikacha- vilio vyabinadamu akiombakuhurumiwa na
binadamu kaini, lakini vilio havikusikika.
Cha baina ya pande zote mbili. Kundi pinzani
likidai kuwa haiwezekani mwanamke kushinda Magari yakawa yanawaka moto bila kujali binadamu
uchaguzi huenda aliiba kura na wafuasi wake waliokuwamo ndani.
kuwanunua wanawake ambao ndio wapiga
Mmoja wa waliokuwa wakitekeleza unyama
kura wengi. Kundi la mwekevu lilisikika
alisikika akiwaambia wapinzani wao
likisema kuwa wakati wa mabadiliko ni sasa na
wanyamaze kwani wao ndio wamekuwa
kuwa wanastahili kumpa Mwekevu nafasi.
wakiwarudisha nyuma miaka yote hiyo kwa
MijadaIa iliyozuka ilizidisha migogoro na hali
kuhadaiwa na Vishahada hivyo wanavyopewa
ya taharuki ikatamalaki. Askari wakatumiwa
vyuoni. Alilalama kuwa wanafunzwa kukariri
kudumisha usalama katika vijiji na mitaa. Muda
nadharia bila kuwazia umilisi na stadi za

abrahammariera@gmail.com 0729125181
kuwawezesha kujitegemea. Mtu ana digrii Kaizari kufunganya na kumsindikiza hadi njia panda.
tatu na hata baada ya miaka kumi kazi Alimkumbatia na kumwambia kuwa mwenyezi
hana. mungu ndiye hupanga na nguvu na mamlaka pia
hutoka kwake. Akamjuvya kuwa uongozi mpya
Vijana waliendelea kulamikia kupuuzwa kwao. umezua uhasama kati ya koo ambazo Zimeishi kwa
Mate yame- amani kwa karibu karne moja. Akamshauri
aihamishe aila yake kwa muda kwa sababu ya
Wakauka vinywani wakifunga barua za kutumia usalama. Akamhakikishia kuwa huo sio mwisho wa
maombi ya kuonana. Huu utakuwa mwanzo wa uzao wa jamii
mpya isiyojua mipaka ya kitabaka, jinsia na kikabila.
Jirani alipompungia mkono, matwana ya abiria
ilikuja
Baadaye ving'ora vilisikika na askari
nao wakaabiri. Ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi kana
wanaojulikana kama fanya fujo uone
kwa
wakawa wanawinda vijana hawa.
Walimiminiwa risasi vifuani mwao na wote
wakaiaga dunia kifo cha kishujaa kwani
walijitolea mhanga kupigania uhuru wa inakimbizwa. Waliyashuhudia mengi katika safari hii
tatu. Kaizari alitokwa na machozi na ya shaka kama vile mabasi kuchomwa pamoja na
kuwahurumia vijana hawa waliokufa kifo shehena zayo na hata mifyatuko ya risasi. Hatimaye,
walichoweza kukiepuka. Akaihurumia nchi gari lilikwisha petroli ikawa sasa ni mtu na malaika
yake ambayo ilielekea kushindwa wake. Walijitoma msituni, kila mtu na aila yake.
kuwahakikishia usalama watu wake. Baada Walipata shida kwani chakula kilikuwa adimu.
ya siku nne kwa kina Kaizari kulibishwa
hodi, mke wake Kaizari, Subira ndiye Kulikuwa na changamoto ya maji safi ya kunywa.
alikwenda kuufungua, alisalimiwa kwa kofi Walikata miti wakajenga vijumba ambavyo
kubwa kisha akaulizwa alikokuwa kidume viliezekwa kwa nyasi na kukandikwa kwa udongo.
chake kijoga. Walisemekana kuwa wao Wengi walipata homa ya matumbo na wengine
ndio vikaragosi waliotumiwa na wasaliti kuyapoteza maisha yao. Wakimbizi walizidi
wao kuendelea kuwafukarisha. kuongezeka nayo hali ya maisha ikazidi kuwa
ngumu. Idadi kubwa ya wakimbizi ilifanya kuwe na
Alikatwa mikato miwili ya Sime hata kabla vyoo vya kupeperushwa- yaani sandarusi ambazo
hajajibu lolote, akazirai kwa uchungu. hutumiwa kama misalani. Siku za mwanzomwanzo
Kisha genge la mabarobaro watano Kaizari hakuweza kutumia misala hii, lakini
likawabaka mabinti wake Kaizari, Lime na alisalimu amri na kusema potelea mbali, lisilo budi
Mwanaheri. Alijaribu kuwaokoa lakini hutendwa. Lakini kutokana na tishio Ia maenezi ya
hakufaulu. Mahasimu hao wakaondoka kipindupindu aliwasihi kuchimba misala kwa jina
baada ya kuutekeleza unyama huo bila long drop. Tatizo la njaa pia lilishamiri kwani
kumgusa Kaizari, auguze majeraha ya waliokuwa wamebahatika kubeba nafaka chache
moyo. Alijizatiti na kuwapa wanawe na walizitoa zikatumiwa na wote, zikaisha. Njaa ikawa
mke wake huduma ya kwanza. Punde si inatishia kuwaangamiza wote, lazima wafanye
punde, sauti ya jambo.
Jirani yao Tulia iliita ikiwataka kutoka iwapo
walitaka kuishi. Asubuhi ya siku ya kumi na tano Selume(mke wa
jirani yao aliyekuwa mpinzani mkuu wa Mwekevu)
Tofauti na majirani wengine, Tulia alimsaidia alipitia kwenye kibanda chaNdugu Kaizari. Selume

abrahammariera@gmail.com 0729125181
alikuja kuwaeleza kuwa alikuwa amesikia Kwa kurejele sura hii, onyesho ukwei wa kauli hii.
fununu kuwa upo mradi wa kuwakwamua
iv) Siasa husababisha migogoro katika ndoa.
Wakimbizi kutokana na hali hii. Shirika la Kwa kurejelea sura hii, tetea kauli hii kikamilifu.
Makazi Bora, lilikuwa limejitolea kuja
kuwajengea wakimbizi nyumba bora. 22

Misikiti na makanisa yalikuwa yalikuwa


yamekusanya vyakula ili kuwalisha SURA YA TATU
wahasiliwa. Watu walijawa na matumaini.
Siku ya ishirini lori kubwa liliingia na watu Baada ya kuishi katika msitu wa Mamba kwa miezi
wakakimbilia chakula kama watoto sita, Ridhaa, Kaizari na familia yake walibahatika
wafanyavyo. Watu waligawiwa chakula na kurudi nyumbani kufuatia mradi wa Operesheni
Rudi Kanaani. Asubuhi hii

Ridhaa ameketi katika chumba cha mapokezi katika


akina mama( wa Mother's union, woman's Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Rubia. Ana
Guild na waliokuwa wamepakiwa nyuma hamu kuu ya kumwona Mwangeka akiwa mzima.
ya lori hilo. Msukumano ulianza hadi Ridhaa anakumbuka kuwa siku ya kuhawilishwa
mlinda usalama mmoja alipojitokeza na kutoka Msitu wa Mamba hakuwa na matumaini ya
kuwasihi kuweka usalama. Watu wengine maisha bora kwani hakuwa na mwenzi wala mtoto
kama Mzee Kaumu walishangaa wa kuendea. Wengine kama Selume walikuwa
walipokuwa hawa wangwana wakati wakilia kwa kuwa hawakujua waende wapi kwani
madhila haya yalipowapata. mme wake amekwisha kuoa msichana wa kikwao
na
Kwa kuwa tabia ni ngozi, Bwana Waziri Babake alimkatalia katakata. Ridhaa alimfariji na
Mstaafu aliyekuwa na uzoefu wa kumwomba asilie kwani mwana wake yu hai tena
kuwaelekeza watu huko wizarani, ana kisomo na amehitimu kama mkunga, anaweza
alisaidia kukigawa chakula. Pia Kaizari kujitegemea. Ndipo Ridhaa akamwahidi warudipo
na Selume waliitwa kusaidia. Hata hivyo, nyumbani, angemtambulisha Selume kwa mkuu wa
wengine walitumia ulaghai ( kama Idara ya Afya ya Jamii katika Hospitali Kuu ya
familia ya Bwana Tumaini. Leo hii, Ridhaa anapowaza haya, Selume
amekwisha kuajiriwa kama muuguzi katika hospitali
Kute- diwani wa hapo awali) kupata chakula ndogo iliyojengwa karibu na kambi ya
kingi kuliko familia zingine.
WWHN.

Ridhaa anakumbuka mambo mengi kama vile


Maswaii.
kadhia iliyompoka familia yake ndiyo ilimkutanisha
i) Maisha kotika mitaa ya mabanda ni na watu kama Selume arnbao angewaita ndugu na
kukatisha tamaa. Tetea kauli hii. kumfanya kusahau msiba wa kUipoteza akraba
yake. Kutangamana na wakimbizi kukamfunza
ii) Fafanua matatizo wanayoyapitia thamani ya binadamu. Sasa amejifunza mengi
wakimbizi wa ndani kwa ndani. kama

iii) Faha!i wawii wakipigana, nyasi huumia. Vile uzima ni upande mwengine wa mauti.

abrahammariera@gmail.com 0729125181
Mwanawe Tila masuala nyeti kana kwamba
Kwenye Msitu wa Mamba, Ridhaa alipata walikuwa marika. Tila alijua kuwa Siku moja
huduma za ushauri na uelekezaji kutoka kwa atakuwa jaji katika mahakama kuu na
wataalamu mbalimbali na akaweza ugonjwa kuusafisha uozo uliotamalaki humo.
wa shinikizo la darnu ambao ulitokana na
Alitamani kuwaonjesha washukiwa
waliowekwa rumande kwa miaka mingi
utamu wa haki. Lakini sasa Tila hayupo tena,
mshtuko wa kupoteza jamaa yake na mali yake
kilichObaki ni kumbukumbu zake.
dafrao moja.
Hapo alipotoka kwenye msitu Ridhaa aliona kuwa utabiri wa mwalimu wa la
alijihisikiumbe kipya kwani wapwa zake- mabadi
Lime na Mwanaheri walikuwa wamepata
matibabu. Dada yake Subira alitibiwa -24
akapona. Mwamu wake liko' ulikuja kutimia kwani viongozi wa awamu ya
awali walibwagwa chini na vijana chipukizi. Kinaya
Kaizari- amepona donda lilitokana na ni kuwa wengi walishindwa kabisa kukubali
kuwaona binti zake wakibakwa. Ridhaa kushindwa hasa yule aliyekuwa akigombea
anamwona Kaizari ni afadhali kwani heri kilelecha cha uongozi. Kulingana naye nafasi hii
nusu Shari kuliko Shari kamili. iliumbiwa
mwanamume na kumpa mwanamke ni maonevu
Asubuhi hii, Ridhaa akiendelea kumngojea
yasiyovumilika. Kiongozi huyu alipita kila mahali
Mwangeka hakuweza kusahau jinsi
akitoa kauli ambazo ziliwajaza hamasa wafuasi
alivyohisi aliporudi tena kwenye ganjo lake
wake nao wakaanza fujo zilizoangamiza juhudi za
siku ile. Anakumbuka kuwa
miaka hamsini za raia za kuijenga jamii yao.
alipozinduka( kutoka kuzirai), alijipata
Hatimaye ndege kwa jina PANAMA 79 iliyotarajiwa
katikati mwa kiunzi cha sebule lililokuwa
kufika saa tatu unusu sasa ndio inalikanyaga
kasri lake. Eneo hili ndipo wanawe Tila na
sakafu. Abiria waliposhuka, Ridhaa na Mwangeka
Mwangeka walipokuwa wadogo walipenda
walitazamana kimya.
kumkimbilia kila mara alipotoka kwenye
shughuli zake za kikazi. Hapo ndipo kijukuu Ridhaa alihisi kana kwamba anauona mzuka wa
chake kilipozoea kutembea tata na Mwangeka, hakuamini kuwa angerudi nyumbani
kumwita "bubu" naye alipenda akiwa hai. Hatimaye baada ya shaka
kukirekebisha na kukiambia "sema babuu". kumwondokea, alimkumbatia mwanawe.
Hayo yote hayapo sasa, hata zile pambaja
za mkewe Terry na utani wake hamna. Mwangeka akajitupa kifuani mwa babake kwa
furaha. Ridhaa alimkaribisha Mwangeka nyumbani
Akiwa yu pale katika kumbukumbu zake, na kumtaarifu kuwa hakujua kuwa watawahi
polepole kwenye jukwaa la akili yake kukutana akiwa hai. Ridhaa akamjuwa mwanawe
kunaanza kuigizwa mchezo wa maisha yaliyoisibu familia yao. Mwangeka alipomtazama
yake kabla ya dhiki iliyomfika. Anamwona babake akaona kuwa amekonga zaidi na sasa
Tila akitoka shuleni na kuuweka mkoba ameshabihi mno babu Mwimo. Baada ya
wake juu ya meza. Katika mazung- kumbukumbu zake kumkumbusha ya awali
Mwangeka alimshukuru babake na kumweleza
Umzo yao inabainika kuwa Tila ana upevu
kuwa alipoipata habari ya machafuko ya baada ya
wa mawazo. Waliishi kujadiliana na
kutawazwa kwa kiongozi, alijawa na kihoro kisicho

abrahammariera@gmail.com 0729125181
kifani. Mwangeka amekuwa akifuatilia matukio SURA YA NNE
kwa makini kwani hata kura zilipohesabiwa
upya kiSha mpinzani wa Mwekevu kukubali Mwangeka ameketi mkabala mwa kidimbwi
kushindwa na kutoa wito kwa raia kusahau cha kuogelea nje ya jumba lake la kifahari
yaliyopita, alijua kuwa nchi imepiga hatua moja ambalo yeye aliliona kama makavazi ya
katika safari ndefu ya kupata afueni kutokana kumtonesha donda lililosababishwa na kifo
na tufani za baada ya kutawazwa. Mwangeka cha mke wake
aliendelea kuwapa heko vijana wenzake kwa
kugundua kuwa wanatumiwa vibaya na Lily Nyamvula. Siku ile baada ya kutoka kwenye
viongozi wenye tama. Mwangeka akawa sasa uwanja wa ndege walifululiza moja kwa moja
anakubaliana na usemi wa hadi kwenye gofu la baba yake Ridhaa. Majivu
Tila kuwa "usi yaliyokuwa mabaki ya kilichoklJWa kwenye
kasri lile yalibaki pale pale. Majivu hayo miili ya
mama yake(Terry), wanuna wake, mkewe na
mtoto wake.
cheze na vijana, wao ni kama nanga.
Huweza kuizamisha marikebu " Japo
Ridhaa aliyaitikia maneno ya Mwangeka
kwa mgoto, alijua kuwa palikuwa na kazi Mwangeka hakuelewa ni kwa nini babake
ngumu ya kujengaupya ukuta ambao hakuyaondoa mabaki hayo na ni kwa nini
ufaa wake ulikuwa umepuuzwa. Akawa hakushirikiana na majirani kuchimba kaburi
akawa anakubaliana na sera ya bintiye (mass grave) kuyazika majivu hayo. Baba mtu
marehemu, Tila kuwa alimkazia tu macho. Machozi mazito ya
machozi yalitunga machoni mwa Mwangeka,
Vijana wanafaa kuelimishwa zaidi kuhusu akayaacha yamcharaze yatakavyo. Wakati huu
amani kwani ndio wengi na ndio mhimili wa hata nyanya yake
jamii yoyote ile. Hatimaye, Ridhaa alishusha angekuwapo kumwonya dhidi ya kulia kama
pumzi na kumkabidhi mkono mwanawe na msichana angempuuza. Alihitaji kulia ili
kumtaka waende ili akajipumzishe kutokan kuliondoa komango ambalo lilikuwa limefunga
na adha za anga. mishipa ya moyo wake. Alipolia, moyo wake
ulilainika na moyo wake sasa ulijaa utulivu.
Mengine watazungumza baadaye. Mwangeka akakumbuka methali isemayo
wino wa Mungu haufutiki. Hata hivyo alizidi
i)Fafanua sifa na umuhimu wa Ridhaa. kujjuliza iwapo binadamu aliandikiwa
kumpoka binadamu mwenzake uhai.
ii) Mwandishi ametumia mbinu rejeshi
katika kuuwasilisha ujumbe wake. Onyesha Siku ile baada ya wao kutoka kwenye uwanja wa
narnno alivyotumia mbinu hii, iii)Fafanua ndege, Ridhaa alimwelezea Mwangeka mambo
sifa nq umuhirnw wa tTiIa kama yalivyojiri. Alimweleza kuwa maisha yalibadilika
zinavyjitQkeza katika surg hit, t iv)Ni Pindi tu Mwangeka alipoondoka. Waliandamwa na
masaibu gani Wdhafidhing waliyapitia? msiba baada ya mwingine. Mwanzo, Ridhaa
Tajmmatan. akapoteza majumba yake mawili. Miezi mitatu
baadaye ami yake Mwangeka aliyeitwa Makaa
v)Ni nini umuhimu wa Mwangeka? Rejelea sura alichomeka asibakie chochote alipokuwa
hii. aakiwaokoa watu ambao walikuwa wakipora
mafuta kutoka kwenye lori lililokuwa limebingiria.

abrahammariera@gmail.com 0729125181
Makaa alizikwa pamoja na mabaki ya auguzie moyo wake mbali na babake.
wahasiriwa wote katika kaburi moja kwani
serikali iliwatayarishia mazishi ya umma. Mwangeka aliporejelea shughuli zake za
Baada ya Ridhaa kushusha pumzi, aliendelea kawaida kazini alitafuta kiwaja cha kujengea
kum- nyumba. Babake akamtahadharisha kufanya
uchunguzi kabla ya kuanza ujenzi wenyewe.
Weleza Mwangeka kuwa mambo hayo yote Baada ya Mwangeka
aliyakabili kwa msaada wa wanuna wa kuhakikisha uhalali wa stakabadhi hii na ite
Mwangeka, mamake Mwangeka na rnkaza alipata kipande cha ardhi karibu na ufuo wa
mwanawe. Akaanza kuyajenga upya maisha bahari. Kazi ya ujenzi ilianza na baada takriban
yake hadi mwaka mmoja na nusu akahamia kwake.

Siku ile ambayo aliitazama familia nzima Hata anapokitazama kidimbwi hiki, mawazo
ikimponyoka. Daktari Ridhaa amewaokoa yake yakO mbali alikoanza maisha.
wagonjwa wengi kutokana na magonjwa sugu Anazikumbuka changamoto za ukLji wake.
lakini alishindwa kuuzima moto uliokuwa Anawakumbuka wanuna wake: Kombe, Mukeli
ukiiteketeza nyumba yao. Lakini, hakushindwa na
kwani hakuwepo
28
27

Annatna(Tila). Anapomkumbuka Tila


tendo lenyewe likitendeka. Alikuwa ameenda anatabasamu kisha tone moto la chozi
kumfanyia ma jeruhi mmoja upasuaji. Ridhaa linamdondoka. Kumbukumbu ya Annatila
alipokuwa akirejea nyumban akasikia sauti ya inavuta taswira ya mnuna wake mkembe
kite ya mamake Mwangeka, kisha mlipukc aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka sita
mkali. Yote yakaisha. Hadi hapo, ameyaishi wakati ule Mwangeka akiwa na umri wa miaka
maisha ya kinyama kupigania chakula na kumi na miwili tanzia ile ilipowafika. Katika jamii
wahitaji wenzake. Ameonja shubiri ya kuwa ya Mwangeka, kifo kilifuatwa na viviga vya aina
mtegemezi kihali na mali. Lakini katika hayo mbalimbali yakiwemo maombolezi. Basi baada
yote amejifunza thamani ya maisha, udugu na ya kifo cha mtoto huyo majirani walikuja kuifariji
amani. Alimhurumia Mwangeka ambaye familia ya Bwana Ridhaa. Wiki mbili baada ya
mkasa huo ulimfanya mjane hata kabla ya mazishi ya ndugu yake, Jumamosi moja
ubwabwa wa Shingo kumtoka.
Baada ya kurejea kwake Mwangekahakuishi na Mwangeka alimpata Tila na wenzake
babake kwa muda mrefu. Mwanzo, hakuweza nyuma ya nyumba wakimngojea. Tila
kustahimili uchungu uliosababishwa na alimvuta na kumnong'oneza kitu sikioni
kuamka kila asubuhi kutazama mahali kisha akavuta boksi lililokuwa limetiwa
ilipoangamia aila yake. Alimrai babake kila mwanasesere wao kwa jina Dedan Kimathi
siku akibomoe kiunzi kile cha nyumba lakabu waliokuwa wamempa marehemu
lakini babake alikataa katakata. Lilikuwa ndugu yao-Dede. Walianza kulia na
kaburi la ukumbusho wa familia yake. kuomboleza kifo cha Dedan Kimathi.
Sababu ya pili ni kuwa lazima Wakaimba mbolezi. Katika hali ile ya
kuomboleza, watoto hawa hawakujua
Mwangeka angeyaanza maisha yake upya. kuwa baba yao alikwisha kuja dakika
Atafute ushauri kutoka kwa wataalamu, thelathini zilizokwisha. Akawa

abrahammariera@gmail.com 0729125181
anawatazama watoto hawa wakiigiza b. Eleza kwa kifupi jambo ambalo aila ya msemaji
mazishi ya ndugu yao Dede. ilikumbana nalo.

Alibanwa na hasira na kuutwa mshipi wake c. Eleza sifa na umuhimu wa anayeitwa 'Tausi
kutoka kiunoni, akamshika Mwangeka na wangu'
kumwadhibu vikali.
Akamkemea v)Jadili maudhui ya elimu kama yanavyojitokeza
katika sura hii
Mwangeka kwa kuwa bendera inayofuata
upepo badala ya kuwa kielelezo bora kwa
mnuna wake Tila. Mwangeka anapokumbuka
kisa hiki anajutia ni kwa nini hakukiomboleza SURA YA TANO
kifo cha Tila.
Msitu wa Mamba uligeuka kuwa nyumbani
kwa maelfu ya watu waliogura makwao bila
Baada ya kipigo hiki, Mwangeka aliwajibika
tumaini la kurudi. Walijipa moyo na kusema
zaidi akayavalia masomo yake njuga hadi
kuwa hata walikokuwa wakiishi hakukuwa
chuo kikuu ambako alisomea uhandisi. Hapo
kwao, walikuwa maskwota*. Wakaamua kula
ndipo alipokutana na mke wake Lily
asali na kuyanywa maziwa ya Kanaani hii
Nyamvula. Nyamvula alikuwa akisomea
mpya isiyokuwa na
uanasheria. Mwangeka alihitimu masomo
mwenyewe. Matokeo ya maamuzi haya yalikuwa
yake na kujiunga na kikosi cha wanamaji,
nWd
jambo hili liliwashangaza wengi.

Zoezi.
kukatwa kwa miti kwa ajili ya kupata
mashamba ya kupandia vyakula na kwa ajili ya
i) Eleza kwa muhtasari mambo yalivyokuwa
ujenzi. Kabla ya miaka miwili kuisha, pahali
Mwangeka aliporudi nyumbani.
hapa palikuwa pamepata sura mpya- majumba
yenye mapaa ya vigae, misitu ya mahindi na
ii) Ni kwa nini Mwangeka alimwona
maharage, maduka ya jumla, viduka vya rejareja
Ridhaa(babake kama)
kila mmoja akijibidiisha kufidia kile alikuwa
mwehu? amepoteza.

iii) Eleza misiba aliyomwandarna Ridha Familia ya Bwana Kangata ilikuwa miongoni
kama iivyoonyeshwa katika sura hii. mwa zile zilizoselelea(zilizoishi) kwenye msitu
huu. Kwa Kangata na mkewe Ndarine hapa
iv) Jadili maudhui ya koma yaivyoangaziwo palikuwa afadhali. Awali wakiwa wamelowea
katika sura hii. katika shamba Ia mwajiri wao aliyekuwa akiishi
jijini. Waliishi pale kwa muda mrefu hata watu
v) Eeza sifa nne za Tila. wakadhani kuwa ilikuwa milki yao. Wengine
wakidhani Kangata na familia yake walikuwa
vi)'Kama ningeusikiliza ushauri wa Tausi akraba ya mwajiri wao. Hata wana wa Kangata
wangu labda ningeweza kuiokoa aila hii ' walipokwenda shuleni walijisajilisha kwa jina Ia
tajiri wa baba yao. Walikuwa wakiitwa Lunga
a. Eleza muktadha wa dondoo hili. Kiriri, Lucia Kiriri na

abrahammariera@gmail.com 0729125181
waachao mbachao kwa mswala upitao. Akawa
Akelo Kiriri. Kiriri likiwa jina Ia Mwajiri wa anajiuliza maswali mengi kama vile ni nini
Kangata. Kangata na mwajiri wake huwavutia raia kuhamia ughaibuni?
walikuwa wamesekuliwa kutoka mtaa wa
Matunda katika zile patashika za baada ya Je ni hiyo mishahara minono wanayolipwa? Je, ni
kutawazwa. Kiriri aliiaga dunia muda mfupi hizo kazi za kujidhalilisha za kwenda kuwauguza
kutokana na kihoro cha kufilisika na ukiwa maajuza waliotelekezwa na aila zao? Au ni zile
aliokuwa ameachiwa na mkewe Annette na ndoa kati ya vijana wakembe wa Kiafrika na
wanawe. vikongwe vilivyochungulia kaburi? Kiriri aliendelea
kushangaa ikiwa mkewe amegeuka wale wake
Walipata Green Card na kuhamia ughaibuni. pindi wafikapo ng'ambo hufunga ndoa na waume
Hivyo basi, juhucii za Kiriri kumshawishi wengine kwa kuwa ndio njia pekee ya kuufukuza
mkewe asimnyime ushirika wa upweke na
kupata riziki au kwa
Wanawe ziljangukia rnoyo wa Firauni. Mkewe
Kiriri alikuwa

31 kuta kujikwamua kwenye tope la uhawinde?

Kutokana na uzoefu wake katika kilimo,


ashaamua kuwa hapa hapamweki tena. Kazi Kangata alipofika katika Msitu wa Mamba
aliyokuwa akiifanya katika afisi za umma aliweza kuendeleza kilimo chenye natija. Kwa
kama mhazili mwandamizi kwa miaka mingi sasa, miaka mitano imepita na Kangata na
ilikuwa inamfanya kusinyaa, akawa hana
hamau akahisi kinyaa. Wanawe walipoenda Ndarine wameipa dunia kisogo. Lucia Kiriri-
kusomea Ng'ambo - wafanyavyo wana wa Kangata ameolewa katika ukoo wa Waombwe
viongozi kwa kuwa wanaiona elimu ya humu ambao awali walikuwa maadui sugu wa ukoo
kama isiyowahakikishia mustakabali mwema wa Anyamvua. Ndoa hii ilipata pingamizi sana
raia wake, yeye alistaafu mapema na kutoka kwa ukoo mzima lakini kutokana na
kuchukua kibunda cha mkupuo mmoja Msimamo imara wa Kangata ndoa hii ilisimama.
almaarufu Golden Handshake akachukua Watu wa ukoo

Green Card na kuwafuata na kumwacha mume


wake akiwa mpweke. Baada ya wana wa Kiriri
kumaliza masomo yao walibakia huko huko
Uzunguni kufanya kazi. Walipuuza rai baba mtu
za kurudi nyumbani ili kuziendesha baadhi ya
biashara zake. Kila mmoja akajishughulisha na
mambo yake. Kifungua mimba wa Kiriri kwa
jina Songoa alisema kuwa nchi yao haina
chochote kumfaa kwa hata walio na shahada
tatu bado wanalipwa mshahara mdogo sana,
akaona heri awekeze huko mbali aliko na imani
nako. Kabla ya kifo chake, Kiriri alikuwa akiibua
mijadala nafsi akilini mwake kuhusu Waafrika
ambao ni kama

abrahammariera@gmail.com 0729125181

You might also like