You are on page 1of 4

PETE ZA MANSA MUSA| PETE YA MFALME JINI ABU IZDAHAR, JINI MELEK

TAUS NA MZIMU JUNO MONETA


Karibu katika darasa la Maalim shafii the don, na siku ya leo tunakwenda
kujifunza pete tatu za utajiri zilizomtajirisha tajiri mkubwa kuliko matajiri wote
walio hai hivi leo, leo tutaziongelea pete tatu za mfalme Mansa Musa.

Awali ya yote napenda nikujuze wewe mfuatiliaji wa darasa za Maalim shafii the
don kuwa, Maalim amekuletea dawa ya tufe la mafanikio, kwa ajili ya kumkomboa
yule aliyepoteza dira ya mafanikio, funguo ya kufuri zote zilizofungwa katika
maisha yako , dawa hii ni kwa ajili ya wale watafutaji walioamua kuenda kinyume
na utumwa wa kimasikini,Kuua kivuli cha umasikini ,Kama ulikuwa mtu mwenye
mikosi,vikwazo, matatizo chungu mzima, ukitazamwa unaonekana kituko basi
dawa ya tufe la mafanikio itakupa nuru na kukufanya uonekane, Dawa ya tufe la
mafanikio itakutoa kwenye dimbwi la giza na kukueka katika nuru, ukiwa mfanya
biashara , ukiwa mpambanaji unayetamani maisha mazuri au maisha matamu
basi jibu lako ni tufe la mafanikio, kama unatamani juhudi zako zilete matunda na
kuyapata mafanikio basi jibu lako ni tufe la mafanikio, kujipatia dawa hii usisite
kufanya mawasiliano na Maalim shafii the don kwa kupiga simu namba ukianza
na alama ya kujumlisha + 255 692 00 75 75, Maalim hatumii tiktok wala facebook
ila anapatikana katika account yake ya Instagram yenye blue tick na anatumia
don_shafineyz, epuka matapeli

Mali ni neno lenye maana ya umiliki wa kitu chenye kubeba thamani fulani lakini
pia Mali ni moja kati ya mataifa yaliyopo magharibi mwa Afrika, taifa ambalo
hapo zamani lilikuwa likijulikana kama taifa lenye kumiliki utajiri mkubwa zaidi
barani Afrika katika kipindi ambacho Milki ya Mali ilikuwa na ardhi ambayo sasa
ni sehemu ya Guinea , Senegal , Mauritania , Gambia . leo katika darasa lingine
linalolenga kukupa mfuatiliaji wa darasa za Maalim shafii the don mamlaka ya
umiliki wa utajiri tutasafiri ndani ya historia hadi katika taifa la mali katika wakati
wa karne ya 14, kipindi alichoishi mtu aliyeishangaza dunia kwa kuwa na mali
kuliko tajiri yeyote mwenye kuishi hivi leo , mtu huyu alipambwa kwa vito vingi
vya thamani, alitembelea fimbo ya dhahabu, alivaa taji la dhahabu na kukalia kiti
cha kifalme kilichotengenezwa kwa dhahabu, hata vikombe alivyovitumia kunywa
kahawa vilitengenezwa kwa dhahabu, utajiri wa mtu huyu ulikuwa mkubwa sana ,
kiasi cha kukosa makadirio rasmi ya kiwango cha utajiri wake kwani yalizidi
mafikirio ya kawaida.

Pamoja na mtu huyu kumiliki dhahabu nyingi kupita kifani pamoja na vito vingi
vilivyokuwa na thamani kubwa katika enzi hizo lakini alithamini zaidi pete tatu
ndogo ambazo kama ukiziangalia unaweza usiione thamani zake kwa macho,
pete hizo alizithamini zaidi ya vitu vyote alivyovimiliki.

kuna wakati pete hizo alizivalia shingoni na wakati mwingine aliivaa moja wapo
kidoleni, moja ilikuwa ni pete yenye mvuto usio wa kawaida, pete hiyo ilikuwa
pete ya mfalme jini Abu Izdahar , baba wa mafanikio, jini wa kale sana aliyekuwa
mshauri wa Mfalme Mansa Musa katika kipindi chote cha utawala wake wa dola
ya Mali, kwa uthibitisho wa tafiti mbalimbali yakiwemo mabaki ya kihistoria
yanayopatikana sehemu tofauti za bara la Afrika, Watafiti mbalimbali ,
wanaakiolojia na wanahistoria wa hapo kale na hadi wa hivi leo wanamtambua
Mansa Musa kama mtu tajiri zaidi katka historia ya binadamu, tangu hapo kale
hadi hivi sasa kutokana na utajiri mkubwa aliowahi kumiliki ambao wataalamu wa
ulimwengu usioonekana wanaamini kuwa utajiri huu umetokana na kufanya
maagano na mfalme jini Abu Izdar pamoja na kumiliki pete ya mzimu wa utajiri
aliyeabudiwa na warumi wa kale.

Maalim Shafii the don anasema Mfalme Izdahar mara nyingi hujidhihirisha katika
muonekano wa swala mwenye pembe za dhahabu au kama mzee mwenye ndevu
nyeupe na vazi la dhahabu. Yeye ni mwenye nguvu sana na anasaidia kuleta
uwezo mkubwa wa kimamlaka, mafanikio, mauzo ya mali inayohamishika na
isiyohamishika, upatikanaji wa mali, utajiri, dhahabu, fedha, na vito. Abu Izdahar
ndiye jini mwenye uwezo mkubwa zaidi wa ushauri linapokuja swala la kuongoza
watu, kama anavyofahamika kuwa ndiye jini aliyekuwa akimshauri Mansa Musa
na kumfanya awe mfalme wa dola ya mali na baadae tajiri mkubwa zaidi kuwahi
kutokea duniani.

Mnamo mwaka 1324, Mansa Musa alifunga safari ya kwenda kuhiji Makka, safari
yake ilihusisha msafara wa ngamia 80 ambao kila ngamia mmoja alibebeshwa
pound 300 za dhahabu na watumwa zaidi ya 500 waliosafiri naye kwa kazi ya
kubeba dhahabu tu, Mansa Musa alitembea na dhahabu nyingi kiasi kwamba
alipopumzika mjini Cairo na kuamua kutoa zawadi za kifahari kwa watu basi
akasababisha kushuka kwa thamani ya dhahabu nchini misri kutokana na wingi
wa dhahabu zilizopatikana kwa urahisi.
Pete ya Abu Izdahar imetengenezwa kwa umahiri mkubwa na kufungamishwa
kwa maagano yenye nguvu kubwa za ulimwengu wa giza, Pete hii itampa
mamlaka Abu izdar kufanya kazi na mtu anayefanya nae maagano na pete yake
itakufanya uwe tajiri mkubwa sana lakini kama utaingia kwenye ulimwengu wa
siasa basi utakuwa na utajiri mkubwa zaidi utakaoishangaza dunia.

Maalim shafii the don anasema pete ya abu izdahar ni kubwa yenye uzani
mwepesi. Sio lazima kuvaa mkononi mwako. Pete hii ninaweza kuvikwa kwenye
kamba shingoni, au kwenye pochi ndogo inayovaliwa kwenye mfuko wako au
mkoba .

Pete ya pili aliyokuwa nayo mfalme Mansa Musa ilijulikana na wataalamu kama
pete ya melek tawuse, Meleki Taus au Mfalme wa Tausi ni mmoja wa Wale
Watakatifu saba, ambao mara nyingi hujulikana kama Malaika wa Siri Saba. Katika
imani za Mashariki ya Kati anahusishwa na Shetani na anaitwa Tawûsê Meleki ,
lakini waabudu wake hawamwoni Melek tawuse kama muovu bali nachukuliwa
kuwa kiongozi wa malaika wakuu na sio miongoni mwa malaika walioanguk,
wakati mwingine Melek tawuse anatajwa kama jini na wakati fulani huitwa
malaika... Pete maalum ya kiumbe huyu ina asili ya ulimwengu wenye nguvu sana
na wataalamu huitumia kuunganisha nguvu ya za melek ya Tawuse na mtu
mwenye kufanya nae maagano, pete hii inaweza kukuongoza na kukusaidia
katika shughuli yoyote. Maalim shafii the don anasema pete ya Meleki Taus ina
nguvu juu ya ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa wa kiroho na inaweza
kuvutia mambo mazuri ya aina yoyote, kuvutia ustawi wa kimaisha, bahati,
upendo, kukubalika, ulinzi wenye nguvu utakaokulinda dhidi ya uchawi wa aina
yoyote, itakusaidia kuwaadhibu maadui, na kutoa mwongozo wa kiroho,hekima
pamoja na maarifa yaliofichwa.

Pete ya tatu na ya mwisho aliyokuwa akivaa Mfalme Mansa Musa ilijulikana kama
pete ya mzimu Juno Moneta,

Hapo zamani hekalu la Juno Moneta lilitazamwa kama chanzo kikuu cha mapato
ya serikali ya kirumi na wengine walikiita kisima cha hazina, juno moneta ndio
mzimu ulioleta neno money kutoka katika jina lake moneta ambalo kwa warumi
waliliona kuwakilisha pesa kutokana na uwezo roho huyo kutumika kama hazina
ya taifa, wanyama wengi walitolewa kafara mbele ya hekalu hasa kipindi cha
anguko la kiuchumi linaloweza kuwa limesababishwa na vita au majanga ya asili,
Juno moneta hutolewa sadaka hizo kwa tumaini la kuinua taifa kiuchumi, pia
anapoapishwa mtawala mpya wa warumi inasemekana wataalamu wa kirumi
waliwafungamanisha wafalme wa kirumi katika maagano na mzimu huyo na
kumvisha pete maalumu kwa ajili ya kujenga mahusiano ya karibu na mzimu juno
moneta, watu wa Hispania waliita moneda na sarafu zao wakazipa jina la mzimu
huyo pia na mwezi wa sita ukafanywa kuwa mwezi wa ibada maalumu za mzimu
juno moneta na kutokana na jina lake mwezi huo ukaitwa june ,neno lenye mzizi
wa neno juno

Iliaminika kuwa juno moneta ni moja ya mizimu iliyojitenga mbali sana na


ulimwengu wa binadamu lakini mara chache hujitokeza kuwasaidia watakatifu
wanaokuwa katika uhitaji mkubwa sana au watu majasiri wanaokwamishwa
kutimiza malengo yao lakini kwa wale wanaokuwa na pete yake na wanaofanya
maagano na jini huyu basi kupitia pete yake , Juno moneta huwapa watu ulinzi
mkubwa wa kifedha, Mtu mwenye pete ya jini moneta anakuwa na vyanzo vingi
sana vya mapato, na inauwezo wa kufungua macho ya mtu na kuona fursa nyingi
zilizomzunguka, kila atakachokuwa anafanya mtu kitaleta pesa nyingi lakini
mzimu huyu pia hupenda sadaka ya damu, mzimu huu unaweza kuwa mbaya
kwani unaweza kuiongoza akili ya mtu kuwaza katika namna fulani na kuamua
maamuzi anayodhani kuwa ni yake kumbe ni maelekezo ya mzimu huyu hivyo
mtu mwenye kuyavunja masharti anayoapia anaweza kujiua mwenyewe, unaweza
kusikia tajiri fulani amejiua ukashangaa imekuwaje kumbe aliyakosea masharti ya
kusababishwa ajitoe uhai wake mweneywe, mzimu huyu huwasaidia zaidi watu
waliozaliwa katika mwezi wa sita , kiongozi mwenye kuvaa pete ya mzimu huyu
anaweza kuwa na utajiri mkubwa utakaoishangaza dunia

Waandishi wa kitabu cha illumination wanadai kuwa mfalme Mansa Musa


alizifungamanisha nguvu za pete tatu za watawala wa kijini au viumbe wenye
nguvu kubwa ya utajiri wote wa dunia, na Kwakuwa mfalme huyo aliongozwa na
ushauri wa jini abu izdahar aliweza kuchota utajiri mkubwa kuliko mwafrika
yoyote kuwahi kutokea duniani.

Na huu ndio mwisho wa darasa la leo la maaalim shafii the don

You might also like