Professional Documents
Culture Documents
Utangulizi
Neno la Kiebrania ‘‘mashal’’ ambalo ndilo lililotafsiriwa ‘‘ mithali’’ lina maana nyingine zaidi,yaani, ‘‘mapokeo,’’
‘‘mafumbo,’’au ‘‘semi za hekima.’’
Hivyo Mithali ni mkusanyiko wa semi nyingi za hekima na mambo kuhusu maisha ya busara na haki ya kila
siku. Kitabu hiki kinatoa mafundisho yenye mafumbo ambayo yalikuwa ya kawaida katika eneo la Mashariki ya
Kati ya zamani, hekima yake ni ya kipekee kwa sababu imeelezwa katika mtazamo wa Mungu na vigezo Vyake
vya haki kwa ajili ya watu Wake wa agano.
Kama vile Daudi alivyo chimbuko la Zaburi katika Israeli ndivyo Solomoni alivyo chimbuko la hekima katika
Israeli (1 :1 ; 10 :1 ;25 :1). Solomoni aliandika mithali 3,000 na nyimbo 1,005 wakati wa maisha yake.Waandishi
wengine ambao wametajwa kwa majina katika Mithali ni Aguri mwana wa Yake (30:1–33) na Mfalme Lemueli
(31:1–9), wengine wametajwa kuwa wenye hekima katika (22 :17 na 24 :23 ingawa majina yao hayakutajwa.
Kitabu hiki kinazungumzia mithali za hekima, kuwafundisha watu jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza
Mungu. Sura nne za kwanza zinazungumzia umuhimu wa hekima. Kinachofuata ni mkusanyo wa mistari miwili
miwili mifupi yenye mithali zenye nguvu kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo: ndoa, upendo, uvivu, maonyo
kuhusu ulevi na uasherati.
Mahali
Yerusalemu
Wazo Kuu
Maisha ya uadilifu yanayofaa kimwili na kiroho. Kusudi kuu la kitabu hiki limeelezwa wazi wazi katika 1 :2-7 :
Kumpatia msomaji hekima, busara na maarifa ya Kimungu katika maisha, (1) ili kuwapa wajinga werevu (11:4),
(2) Kuwapa vijana maarifa na tahadhari ( 1 :4) na (3) kumwongezea elimu mwenye hekima (1 :5-6) waweze
kuishi maisha ya uadilifu. Kitabu kinaanza kwa kueleza wazi kwamba, “Kumcha BWANA ndiyo chanzo cha
maarifa.’’ ( 1:7).
Mwandishi
Sehemu kubwa ya kitabu hiki imeandikwa na Solomoni.Inawezekana sura 1-24 ziliandikwa na Solomoni
mwenyewe. Sura ya 25-29 ni mithali za Solomoni zilizoongezwa katika ile sehemu ya kwanza ya kitabu na
Hezekia kama 730 K.K. Sura hizi mbili za mwisho haijulikani ni lini ziliingizwa humo.Aguri na Lemueli na wenye
hekima wengine walichangia sehemu ya mwishoni.
Tarehe
Mithali zilizungumzwa na Mfalme Solomoni kama miaka 1,000 K.K.Hezekia ndiye aliyeingiza mithali nyingine za
Solomoni ili kuziunganisha na hiyo sehemu ya kwwnza mnamo 730 K.K. Lakini sura mbili za mwisho haijulikani
ziliingizwa lini.
Mgawanyo
• Maelezo juu ya hekima na upumbavu. (1:1-9 :18)
• Mithali za Solomoni. (10:1-22:16)
• Mithali za wengine wenye hekima. (22:17-24:34)
• Mithali nyingine za Solomoni. (25:1-29:27)
• Mithali za Aguri na Lemueli. (30:1-31:31)
1
MITHALI
Utangulizi: Kusudi Na Kiini hujivizia tu wenyewe!
Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, 19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia
1 mfalme wa Israeli: mali kwa hila,
huuondoa uhai wa wale wenye mali.
2Kwa kupata hekima na nidhamu,
kwa kufahamu maneno ya busara, Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima
3kwa kujipatia nidhamu na busara, 20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani,
kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea, hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa,
21Kwenye makutano ya barabara za mji zenye
4huwapa busara wajinga, makelele mengi hupaza sauti,
maarifa na akili kwa vijana, kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake:
5wenye hekima na wasikilize nao waongeze
2
18Wanaume hawa huvizia kumwaga damu yao Mwanangu, kama utayakubali maneno
wenyewe, yangu na kuyaweka akiba maagizo yangu
ndani mwako,
a12 Kaburi maana yake hapa ni “Kuzimu.’’ 2kutega sikio lako kwenye hekima
2
MITHALI
na kuweka moyo wako katika ufahamu, Faida Nyingine Za Hekima
3na kama ukiita busara Mwanangu, usisahau mafundisho yangu,
na kuita kwa sauti ufahamu,
4na kama utaitafuta kama fedha
3 bali yatunze maagizo yangu moyoni
mwako,
na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 2kwa kuwa yatakuongezea miaka mingi ya
5ndipo utakapoelewa kumcha BWANA maisha yako
na kupata maarifa ya Mungu. na kukuletea mafanikio.
6Kwa maana BWANA hutoa hekima,
na mapito yake kwenye roho za waliokufa. na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu
19Hakuna ye yote aendaye kwake akarudi, safi.
au kufikia mapito ya uzima. 15Hekima ana thamani kuliko marijani,
wanaomkumbatia,
3
MITHALI
wale wamshikao watabarikiwa. 2Ninawapa mafundisho ya maana,
kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu.
19Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya 3Nilipokuwa mvulana katika nyumba ya baba
dunia, yangu,
kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama
20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, yangu,
nayo mawingu yanadondosha umande. 4baba alinifundisha akisema, “Yashike maneno
ukimbiapo, hutajikwaa.
29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, 13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake,
4
MITHALI
22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata 14Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa
na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. katikati ya kusanyiko lote.’’
23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote
7Sasa
njia zake zimepotoka, lakini hana habari.
6 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa
jirani yako,
basi wanangu, nisikilizeni, ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi
msiache ninalowaambia. kwa ajili ya mwingine,
8Njia zenu ziwe mbali naye, 2kama umetegwa na ulichosema,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,
9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine 3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru,
na miaka yako kwa aliye mkatili, kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani
10wageni wasije wakasherehekea utajiri wako yako:
na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya Nenda ukajinyenyekeshe kwake,
mwanaume mwingine. msihi jirani yako!
11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa 4Usiruhusu usingizi machoni pako,
5
MITHALI
wala mwangalizi, au mtawala, asipate chakula
8lakini
hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na mwanamke mzinzi huwinda maisha yako
na hukusanya chakula chake wakati wa hasa.
mavuno. 27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja
lake
9Ewe mvivu, utalala hata lini? bila nguo zake kuungua?
utaamka lini kutoka katika usingizi wako? 28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya
10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, moto yanayowaka
bado kukunja mikono upate usingizi! bila miguu yake kuungua?
11Hivyo umaskini wako huja kama mnyang’anyi 29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa
miguu ile iliyo myepesi kukimbilia uovu, atakataa malipo hata ikiwa kubwa kiasi gani.
19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo
yakaze kuizunguka shingo yako. yaandike katika kibao cha moyo wako.
22Wakati utembeapo, yatakuongoza, 4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,’’
6
MITHALI
akitembea kuelekea kwenye nyumba ya
mwanamke Wito Wa Hekima
8
9wakati wa machweo, jua likipungua nuru, Je, hekima haiti?
giza la usiku lilipokuwa likiingia. Je, ufahamu haupazi sauti?
2Juu ya miinuko karibu na njia,
10Ndipo akatoka mwanamke kukutana naye penye njia panda, ndipo asimamapo,
akiwa amevaa kama malaya akiwa na nia ya 3kando ya malango yaelekeayo mjini,
kumbusu kusema,
na kwa uso usio na haya akamwambia: ninafungua midomo yangu kusema lililo
sawa.
14“Nina sadaka za amani nyumbani, 7Kinywa changu husema lililo kweli,
leo nimetimiza nadhiri zangu. kwa maana midomo yangu huchukia uovu.
15Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki, 8Maneno yote ya kinywa changu ni haki,
kwa kitani za rangi kutoka Misri. hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.
17Nimetia manukato kitanda changu 10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha,
kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, na watawala hutunga sheria zilizo za haki,
23mpaka mshale umchome ini lake, 16kwa msaada wangu wakuu hutawala,
kama ndege anayenaswa kwenye mtego, na wenye vyeo wote watawalao dunia.
bila kujua itamgharimu maisha yake. 17Nawapenda wale wanipendao,
7
MITHALI
kabla ya matendo yake ya zamani, tembeeni katika njia ya ufahamu.
23Niliteuliwa tangu milele,
tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 7“Ye yote anayemkosoa mwenye mzaha
24Wakati hazijakuwapo bahari, nilikwishazaliwa, hukaribisha matukano,
wakati hazijakuwapo chemchemi zilizojaa ye yote anayekemea mtu mwovu hupatwa
maji, na matusi.
25kabla milima haijawekwa mahali pake, 8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo
akisubiri siku zote milangoni mwangu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao,
akingoja kwenye vizingiti vya mlango 16Anawaambia wale wasio na maamuzi,
mwenyewe, humo,
na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.’’ kwamba wageni wake huyo mwanamke
wako katika vilindi vya kuzimu.
Makaribisho Ya Hekima Na Ya Upumbavu
“Wote ambao ni wajinga na waje hapa!” 3BWANA hawaachi waadilifu kukaa njaa,
5“Njoni, mle chakula changu lakini hupinga tamaa ya mwovu.
pia mnywe divai niliyoichanganya.
6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi, 4Mikono mivivu hufanya mtu maskini
8
MITHALI
lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. mpumbavu.
5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni 19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani,
mwana mwenye hekima, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni
lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwenye busara.
mwana mwenye kuaibisha.
6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 20Ulimiwa mwenye haki ni fedha iliyo bora,
lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. bali moyo wa mwovu una thamani ndogo.
7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi,
lakini jina la mwovu litaoza. lakini wapumbavu hufa kwa kukosa
ufahamu.
8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 22Baraka ya BWANA hutajirisha,
wala haichanganyi huzuni.
9Mtu mwadilifu hutembea salama,
lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka 23Mpumbavu hufurahia tabia mbaya,
atagundulika. lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na
hekima.
10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha
huzuni, 24Kile anachoogopa mwovu ndicho
naye mpumbavu apayukaye huangamia. kitakachompata,
kile anachoonea shauku mwenye haki
11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya atapewa.
uzima,
lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 25Tufani inapopita, waovu hutoweka,
lakini wenye haki husimama imara milele.
12Chuki huchochea faraka,
lakini upendo husitiri mabaya yote. 26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa
macho,
13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.
kupambanua,
lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake 27Kumcha BWANA huongeza urefu wa
asiye na ufahamu. maisha,
lakini miaka ya mwovu inafupishwa.
14Wenye hekima huhifadhi maarifa,
bali kinywa cha mpumbavu hualika 28Tarajiola mwenye haki ni furaha,
maangamizi. bali matumaini ya mwovu huwa si kitu.
15Maliya tajiri ni mji wao wenye ngome, 29Njiaya BWANA ni kimbilio kwa wenye
bali ufukara ni maangamizi ya maskini. haki,
lakini ni maangamizi ya wale watendao
16Ujirawa wenye haki huwaletea uzima, mabaya.
lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu.
30Kamwe wenye haki hawataondolewa,
17Anayekubali maonyo yuko katika njia ya bali waovu hawatasalia katika nchi.
uzima,
lakini ye yote anayepuuza masahihisho 31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima,
hupotosha wengine. bali ulimi wa upotovu utakatwa.
18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya 32Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa,
uongo, bali kinywa cha mwovu hujua kile
na ye yote anayeeneza uchonganishi ni kilichopotoka tu.
9
MITHALI
14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka,
11 BWANA huchukia sana mizani za
udanganyifu,
bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa
hakika
bali vipimo sahihi ni furaha yake.
15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka,
2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali ye yote akataaye kuunga mkono
bali unyenyekevu huja na hekima. dhamana ni salama.
10
MITHALI
aliye radhi kuuza. huna chakula.
27Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, 10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama
bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. wake,
bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili.
28Ye yote ategemeaye utajiri wake ataanguka,
bali mwenye haki atastawi kama jani bichi. 11Yeye alimaye ardhi yake atakuwa na chakula
tele,
29Yeye aletaye taabu kwa jamaa yake atarithi tu bali yeye afuataye mambo ya upuuzi hana
upepo, akili.
naye mpumbavu atakuwa mtumishi wa
wenye hekima. 12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya,
bali shina la mwenye haki hustawi.
30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima,
naye mwenye hekima huvuta roho za watu. 13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake
ya dhambi,
31Kama wenye haki watapokea ujira wao bali mwenye haki huepuka taabu.
duniani,
si zaidi sana wasiomcha Mungu na wenye 14Kutokana na tunda la midomo yake mtu
dhambi! hujazwa na mambo mema,
hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake
12 Ye yote apendaye maonyo hupenda
maarifa,
humtuza.
11
MITHALI
23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye bali hekima hupatikana kwa wale
mwenyewe, wanaozingatia shauri.
bali moyo wa wapumbavu hububujika
upumbavu. 11Fedha isiyo ya halali hupungua,
bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo
24Mikono yenye bidii itatawala, huongezeka.
bali uvivu huishia katika kazi za utumwa.
12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,
25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima.
bali neno la huruma humfurahisha.
13Yeye anayedharau mafundisho atayalipia,
26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo.
bali njia ya waovu huwapotosha.
14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi
27Mtu mvivu haoki mawindo yake, ya uzima,
bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. yamgeuzayo mtu kutoka mitego ya mauti.
2Kutoka katika tunda la midomo yake mtu 17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu,
hufurahia mambo mema, bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji.
bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri.
18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini
3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, na aibu,
bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa.
4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi,
bali nafsi ya mwenye bidii hutoshelezwa bali wapumbavu huchukia sana kuacha
kikamilifu. ubaya.
12
MITHALI
kumrudi. bali mwishoni huelekea mautini.
25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo 13Hatakatika kicheko moyo waweza kuuma,
wake, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.
bali tumbo la mwovu hubakia na njaa.
14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa
13
MITHALI
26Yeye amchaye BWANA ana ngome bali ye yote akubaliye maonyo huonyesha
salama, busara.
na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.
6Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa,
27Kumcha BWANA ni chemchemi ya bali mapato ya waovu huwaletea taabu.
uzima,
ikimwepusha mtu na mitego ya mauti. 7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa,
bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu.
28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme,
bali pasipo watu mkuu huangamia. 8BWANA huchukia sana dhabihu za
waovu,
29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, bali maombi ya wanyofu humfurahisha
bali anayekasirika haraka huonyesha Mungu.
upumbavu.
9BWANA huchukia sana njia ya waovu,
30Moyo wenye amani huupa mwili uzima, bali huwapenda wale wafuatao haki.
bali wivu huozesha mifupa.
10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia,
31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau yeye achukiaye maonyo atakufa.
kwa Muumba wao,
bali ye yote anayemhurumia mhitaji 11Mauti na Uharibifu a viko wazi mbele za
humheshimu Mungu. BWANA,
je, si zaidi sana mioyo ya watu!
32Waovu huangamizwa na dhambi zao,
bali wacha Mungu wana kimbilio 12Mwenye mzaha huchukia maonyo,
wanapokufa. hatataka shauri kwa mwenye hekima.
33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye 13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke,
ufahamu bali maumivu ya moyoni huponda roho.
bali haipatikani miongoni mwa wapumbavu.
14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa,
34Hakihuinua taifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha
bali dhambi ni aibu kwa watu wote. upumbavu.
2Ulimiwa mwenye hekima husifu maarifa, 17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na
bali kinywa cha mpumbavu hufoka upendo
upumbavu. kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na
chuki,
3Macho ya BWANA yako kila mahali,
yakiwaangalia waovu na wema. 18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi,
bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi.
4Ulimiuletao uponyaji ni mti wa uzima,
bali ulimi udanganyao huponda roho. 19Njia ya mvivu imezibwa na miiba,
5Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake, a11 Uharibifu hapa maana yake ni “Kuzimu.’’
14
MITHALI
bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. hekima,
nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa
baba yake, Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,
bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 16 bali jibu la ulimi hutoka kwa BWANA.
21Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana 2Njiazote za mtu huonekana safi machoni pake
akili, mwenyewe,
bali mtu mwenye ufahamu hushika njia bali makusudi hupimwa na BWANA.
iliyonyooka.
3MkabidhiBWANA lo lote ufanyalo,
22Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya nayo mipango yako itafanikiwa.
kukosa ushauri,
bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa. 4BWANA hufanya kila kitu kwa kusudi lake
mwenyewe,
23Mtuhupata furaha katika kutoa jibu linalofaa, hata waovu kwa siku ya msiba.
ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati
wake. 5BWANA huwachukia sana wote wenye
kiburi cha moyoni.
24Mapito
ya uzima huelekea juu kwa ajili ya Uwe na hakika kwa hili: “Hawataepuka
wenye hekima kuadhibiwa.”
kumwepusha asiende chini kaburini.
6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa,
25BWANA hubomoa nyumba ya mtu kwa kumcha BWANA mtu hujiepusha
mwenye kiburi, na ubaya.
bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe.
7Njiaza mtu zinapompendeza BWANA,
26BWANA huchukia sana mawazo ya huwafanya hata adui zake waishi naye kwa
mwovu, amani.
bali mawazo ya wale walio safi
humfurahisha Yeye. 8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki
kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
27Mtumwenye tamaa huletea jamaa yake taabu,
bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 9Moyo wa mtu huifikiri njia yake,
bali BWANA huelekeza hatua zake.
28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake,
bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima
ya kiungu,
29BWANA yuko mbali na waovu, wala kinywa chake hakipotoshi haki.
bali husikia maombi ya wenye haki.
11Vipimo
na mizani za halali hutoka kwa
30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni, BWANA,
nazo habari njema huipa mifupa afya. mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko
ameyafanya yeye.
31Yeyeasikilizaye maonyo yatoayo uzima
atakuwa miongoni mwa wenye hekima. 12Wafalmehuchukia sana kutenda maovu,
kwa maana kiti cha kifalme hufanywa imara
32Yeye anayedharau maonyo hujidharau kwa njia ya haki.
mwenyewe,
bali ye yote anayekubali maonyo hupata 13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu,
ufahamu. humthamini mtu asemaye kweli.
15
MITHALI
bali mtu mwenye hekima ataituliza. 28Mtu mpotovu huchochea ugomvi,
nayo maongezi ya upuuzi hutenganisha
15Uso wa mfalme ung'aapo, ina maanisha uhai, marafiki wa karibu.
upendeleo wake ni kama wingu la mvua
wakati wa vuli. 29Mtu mkali humvuta jirani yake
na kumwongoza katika mapito yale mabaya.
16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko
dhahabu, 30Yeye akonyezaye kwa jicho lake
kuchagua ufahamu kuliko fedha! anapanga upotovu, naye akazaye midomo
yake amenuia mabaya.
17Njia kuu ya wanyofu huepa ubaya,
yeye aichungaye njia yake, huuchunga uhai 31Mvi ni taji ya utukufu,
wake. hupatikana kwa maisha ya uadilifu.
21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu 2Mtumishi mwenye hekima atatawala juu ya
na maneno ya kupendeza huchochea mwana aaibishaye,
mafundisho. naye atashirikiana katika urithi kama mmoja
wa hao.
22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale
walio nao, 3Kalibu ni kwa fedha na tanuru kwa dhahabu,
bali upumbavu huleta adhabu kwa bali BWANA huujaribu moyo.
wapumbavu.
4Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya,
23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa
kinywa chake, madhara.
na midomo yake huchochea mafundisho.
5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha
24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, dharau kwa Muumba wake,
ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye ye yote afurahiaye maafa hataepuka
mifupa. kuadhibiwa.
25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 6Wana wa wana ni taji la wazee,
bali mwisho wake huongoza mautini. nao wazazi ni fahari ya watoto wao.
16
MITHALI
ko kote kigeukiapo, hufanikiwa. 21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni,
hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu.
9Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo,
22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri,
bali ye yote arudiaye jambo hutenganisha
marafiki wa karibu. bali roho iliyonyong’onyea hukausha mifupa.
19Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika 8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake
kuliko mji uliozungushiwa ngome, mwenyewe,
nayo mabishano ni kama malango yeye ahifadhiye ufahamu husitawi.
ya ngome yenye makomeo.
9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
20Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la naye amwagaye uongo ataangamia.
kinywa chake,
atashibishwa mavuno yanayotokana na 10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa,
midomo yake. itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa
kuwatawala wakuu.
21Mautina uzima viko katika uwezo wa ulimi,
nao waupendao watakula matunda yake. 11Hekima ya mtu humpa uvumilivu,
18
MITHALI
ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. kinywa chake!
12Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya 25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza
simba, busara,
bali wema wake ni kama umande juu ya mkemee mwenye ufahamu naye atapata
majani. maarifa.
14Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, 27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho,
bali mke mwenye busara hutoka kwa utatangatanga mbali na maneno ya maarifa.
BWANA.
28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu
15Uvivuhuleta usingizi mzito, na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya
naye mtu mzembe huona njaa. kwa upesi.
16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai 29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye
wake, dhihaka
bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. na mapigo kwa ajili ya migongo ya
wapumbavu.
17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha
BWANA,
naye atamtuza kwa aliyotenda. 20 Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi,
ye yote apotoshwaye navyo hana
hekima.
18Mrudimwanao, wakati bado liko tumaini,
wala nafsi yako isifadhaike kwa kulia kwake. 2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya
simba,
19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake.
atapata adhabu yake,
kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo 3Ni kwa heshima ya mtu kuepa ugomvi,
tena. bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana.
20Sikiliza
mashauri na ukubali mafundisho, 4Mvivu halimi kwa majira,
nawe mwishoni utakuwa na hekima. kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama lakini
hapati cho chote.
21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu,
lakini kusudi la BWANA ndilo 5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji
litakalosimama. yenye kina,
lakini mtu mwenye ufahamu huyachota.
22Lilemtu alionealo shauku ni upendo usio na
mwisho, 6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma,
afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo. bali mtu mwaminifu ni nani awezaye
kumpata?
23Kumcha BWANA huongoza kwenye
uzima, 7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na
kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila lawama,
kuguswa na shida. wamebarikiwa watoto wake baada yake.
24Mtu mvivu huuzamisha mkono wake kwenye 8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha
sahani, enzi kuhukumu,
lakini hawezi hata kuurudisha kwenye hupepeta ubaya wote kwa macho yake.
19
MITHALI
kupimia ya udanganyifu,
9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.
wangu safi,
mimi ni safi na sina dhambi?” 24Hatua za mtu huongozwa na BWANA,
anawezaje basi mtu ye yote kuelewa njia
10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo yake mwenyewe?
tofauti,
BWANA huchukia vyote viwili. 25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa
haraka
11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena
kama tabia yake ni safi na adili. nadhiri zake.
22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!’’ 6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo
Mngojee BWANA, naye atakuokoa. ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha.
20
MITHALI
kwa kuwa wanakataa kufanya yaliyo sawa. 22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa
wenye nguvu,
8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, na kuangusha ngome wanazozitegemea.
bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu.
23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake
9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba hujilinda na maafa.
kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.
24Mtu mwenye kiburi na majivuno “Mdhihaki’’
10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, ndilo jina lake,
jirani yake hapati huruma kutoka kwake. hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi.
11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga 25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo
hupata hekima, chake,
wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya
hupata maarifa. kazi.
16Mtu anayepotea kutoka katika mapito ya 31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita,
ufahamu, bali ushindi huwa kwa BWANA.
hupumzika katika kundi la waliokufa.
17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, 22 Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri
mwingi,
ye yote apendaye mvinyo na mafuta kamwe kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au
hatakuwa tajiri. dhahabu.
19Ni afadhali kuishi jangwani 3Mtu mwenye busara huona hatari na kukimbia
kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. bali mjinga huendelea mbele kama kipofu na
kuteswa nayo.
20Katika nyumba ya mwenye hekima
kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, 4Unyenyekevu na kumcha BWANA
lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo huleta utajiri, heshima na uzima.
navyo.
5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego,
21Yeye afuatiaye haki na upendo bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali
hupata uzima, mafanikio na heshima. nayo.
21
MITHALI
6Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, ili uweze kutoa majibu sahihi kwake yeye
naye hataiacha hata akiwa mzee. aliyekutuma?
7Matajiri
huwatawala maskini 22Usiwadhulumu maskini kwa hila kwa sababu ni
naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye. maskini,
wala kumdhulumu mhitaji mahakamani,
8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 23kwa sababu BWANA atalichukua shauri
9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya
kwa kuwa hushiriki chakula chake na haraka,
maskini. usishirikiane na yule aliye mwepesi
kukasirika,
10Mfukuzemwenye dhihaka, nayo mashindano 25la sivyo utajifunza njia zake
13Mvivu husema, ‘‘Kuna simba nje!’’ 29Je, unamwona mtu stadi katika kazi yake?
au, ‘‘Nitauawa huko njiani!’’ Atahudumu mbele ya wafalme,
Hatahudumu mbele ya watu duni.
14Kinywa cha mwanamke mzinzi ni shimo refu,
yeye aliye chini ya ghadhabu ya BWANA
atatumbukia ndani yake. 23 Uketipo kula chakula na mtawala,
angalia vema kile a kilicho mbele yako,
2na utie kisu kooni mwako
15Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, kama ukiwa mlafi.
bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 3Usitamani vyakula vyake vitamu
22
MITHALI
yako ya kumsifu.
26Mwanangu, nipe moyo wako,
9Usizungumze na mpumbavu, macho yako na yafuate njia zangu,
kwa maana atadhihaki hekima ya maneno 27kwa maana malaya ni shimo refu
atalichukua shauri lao dhidi yako. 29Ni nani mwenye ole? Ni nani mwenye huzuni?
Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye
12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho malalamiko?
na masikio yako kwenye maneno ya Ni nani aliye na majeraha yasiyo na
maarifa. sababu?
Ni nani mwenye macho mekundu?
13Usimnyime mtoto adhabu, 30Ni hao wakaao sana kwenye mvinyo,
kwa maana ukimwadhibu kwa fimbo, hao waendao kuonja mabakuli ya mvinyo
hatakufa. uliochanganywa.
14Mwadhibu kwa fimbo 31Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa
bali kila mara uwe na bidii katika kumcha alalaye juu ya kamba ya merikebu.
BWANA. 35Utasema, “Wamenipiga lakini sikuumia!
18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, wamenichapa, lakini sisikii!
nalo taraja lako halitakatiliwa mbali. Nitaamka lini ili nikanywe tena?’’
19Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima,
naye aliye na mwana mwenye hekima 5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,
humfurahia. naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu,
25Baba yako na mama yako na wafurahi, 6kwa kufanya vita unahitaji maongozi
b14 “Mauti,’’ hapa ina maana ya “kuzimu.’’ katika kusanyiko langoni hana lo lote la
23
MITHALI
kusema. naye ni nani ajuaye maafa wawezayo
kuleta?
8Yeye apangaye mabaya
atajulikana kama mtu wa hila. Misemo Zaidi ya Wenye Hekima
9Mipango ya mpumbavu ni dhambi, 23Hii pia ni misemo ya wenye hekima:
huna hatia,’’
11Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo, Watu watamlaani na mataifa yatamkana.
wazuie wote wanaojikokota kuelekea 25Bali itakuwa vema kwa wale watakaowatia
24
MITHALI
kukutosha,
3Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, ukila zaidi, utatapika.
ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme 17Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako
8Kileulichokiona kwa macho yako 21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale,
usiharakishe kukipeleka mahakamani, kama ana kiu, mpe maji anywe.
maana utafanya nini mwishoni kama jirani 22Kwa kufanya hivi, unampalia makaa ya moto
25
MITHALI
3Mjeledikwa farasi, lijamu kwa punda, 16Mvivu ni mwenye hekima machoni pake
nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu! mwenyewe,
kuliko watu saba wajibuo kwa busara.
4Usimjibumpumbavu sawasawa na upumbavu
wake, 17Kama yeye amkamataye mbwa masikio,
ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza
kwenye ugomvi usiomhusu.
5Mjibumpumbavu sawasawa na upumbavu
wake, 18Kama mtu mwendawazimu
ama atakuwa mwenye hekima machoni atupaye vijinga vya moto au mishale ya
pake mwenyewe. kufisha,
19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake
6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kujitafutia na kusema,
shida, ‘‘Nilikuwa nikifanya mzaha tu!’’
ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa
mpumbavu. 20Bilakuni moto huzimika,
pasipo uchongezi ugomvi humalizika.
7Kama miguu ya kiwete inavyoning'inia 21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka
ndivyo ilivyo mithali katika kivywa cha na kama kuni kwenye moto,
mpumbavu. ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea
ugomvi.
8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. 22Maneno ya mchongezi ni kama chakula
kitamu,
9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi huingia sehemu za ndani sana za mtu.
ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa
mpumbavu. 23Kama rangi ing'aayo iliyopakwa kwenye
vyombo vya udongo
10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo
ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au ye mbaya.
yote apitaye njiani.
24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha
11Kama mbwa ayarudiavyo matapishi yake, kwa maneno ya midomo yak,
ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.
wake. 25Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini,
26
MITHALI
unaowaumiza, 12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,
nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda bali mjinga huendelea mbele na kuteswa
uharibifu. nayo.
27 Usijisifu kwa ajili ya kesho, 13Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa
kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa ajili ya mgeni,
kwa siku moja. ishikilie iwe dhamana kama anafanya kwa
ajili ya mwanamke malaya.
2Mwache mwingine akusifu,
wala si kinywa chako mwenyewe, 14Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu
mtu mwingine afanye hivyo asubuhi na mapema,
na si midomo yako mwenyewe. itahesabiwa kama ni laana.
27
MITHALI
wako wa kike.
14Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha
28 Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna ye
yote anayemfukuza,
BWANA,
bali yeye afanyaye moyo wake mgumu
bali wenye haki ni wajasiri kama simba. huangukia kwenye taabu.
2Wakati nchi inapoasi, ina viongozi wengi, 15Kama simba angurumaye au dubu
bali mwenye ufahamu na maarifa ashambuliaye,
hudumisha utaratibu. ndivyo alivyo mtu mwovu atawalaye
wanyonge.
3Maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi
ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 16Mtawala dhalimu hana akili,
bali yeye achukiaye mapato ya udhalimu
4Wale waiachao sheria huwasifu waovu, atafurahia maisha marefu.
bali wale waishikao sheria huwapinga.
17Mtumwenye kusumbuliwa na hatia ya kuua
5Watu wabaya hawaelewi haki, atakuwa mtoro mpaka kufa,
bali wale wamtafutao BWANA mtu ye yote na asimsaidie.
wanaielewa kikamilifu.
18Yeye ambaye mwenendo wake hauna lawama
6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hulindwa salama,
hauna lawama bali yeye ambaye njia zake ni potovu
kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. ataanguka ghafula.
7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye 19Yeye alimaye shamba lake atakuwa na
hekima, chakula tele,
bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake. bali afuataye mambo ya upuzi atakuwa na
umaskini wa kumtosha.
8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa
mno 20Mtu mwaminifu atabarikiwa sana,
hukusanya kwa ajili ya mwingine, ambaye bali yeye atamaniye kupata utajiri kwa
atamhurumia maskini. haraka hataacha kuadhibiwa.
28
MITHALI
atafanikiwa. mwadilifu
na hutafuta kumwua mtu mnyofu.
26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu,
bali yeye atembeaye katika hekima 11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote,
hulindwa salama. bali mwenye hekima hujizuia.
4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, 18Mahali pasipo na maono, watu huangamia,
bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
huiangamiza.
19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno
5Ye yote amsifuye jirani yake isivyostahili, matupu,
anautandaza wavu kuitega miguu yake. ajapoelewa, hataitikia.
7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, 21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu
bali mwovu hajishughulishi na hilo. ujanani,
atamletea sikitiko mwishoni.
8Wenye mzaha huuchochea mji,
bali watu wenye hekima hugeuzia mbali 22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi
hasira. naye mtu mwenye hasira ya haraka hutenda
dhambi nyingi.
9Kama mwenye hekima akienda mahakamani
na mpumbavu, 23Kiburi cha mtu humshusha,
mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu
hakuna amani. hupata heshima.
10Watu wamwagao damu humchukia mtu 24Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake
29
MITHALI
mwenyewe, na wala hawawabariki mama zao,
huapishwa lakini hathubutu kushuhudia. 12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe
kumbe hawakuoshwa uchafu wao,
25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, 13wale ambao daima macho yao ni ya kiburi,
Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? mwendo wa nyoka juu ya mwamba,
Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? mwendo wa meli katika maji makuu ya
Jina lake ni nani na mwanaye anaitwa nani? bahari,
Niambie kama unajua! nao mwendo wa mtu pamoja na
msichana.
5‘‘Kila
neno la Mungu ni kamilifu,
yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi,
6Usiongeze kwenye maneno yake, hula akapangusa kinywa chake na kusema,
ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa “Sikufanya cho chote kibaya.’’
mwongo.
21‘‘Kwamambo matatu nchi hutetemeka,
7“Ninakuomba vitu viwili, Ee BWANA, naam, kwa mambo manne haiwezi
usininyime kabla sijafa: kuvumilia.
8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo, 22Mtumwa awapo mfalme,
na pia kule kufinya pua hutoa damu, mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi
kadhalika kuchochea hasira hutokeza zake.
ugomvi.’’ 18Huona kwamba biashara yake ina faida,
wafalme. chake,
yeye huvaa kitani safi na urujuani.
4“EeLemueli, haifai wafalme, 23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la
a2 Mwana wa nadhiri zangu hapa maana yake ‘‘Uliye jibu la b21 “Za joto’’ hapa ni kama nyekundu, kwenye Kiebrania na
maombi yangu.’’ Kiyunani.
31
MITHALI
mwake.
27Huangalia mambo ya nyumbani mwake
wala hali chakula cha uvivu.
28Watoto wake huamka na kumwita mbarikiwa
nzuri,
lakini wewe umewapita wote.’’
30Kupendeza ni udanganyifu, uzuri unapita
upesi,
bali mwanamke anayemcha BWANA
atasifiwa.
31Mpe thawabu anayostahili,
32