You are on page 1of 2

‘Habari Njema kutoka kwa Mwenyezi ambayo katika Waebrania 1:3 inasema kwamba Isa al- furaha iliyoje

wamba Isa al- furaha iliyoje hiyo iliyoletwa na mambo hayo miongoni
Masih (Kristo Masihi) “ni … chapa ya nafsi Yake mwa watu! Isa al-Masih alipotembea katika njia zenye
Mungu’! [Mwenyezi Mungu], akivichukua vyote kwa amri ya uweza vumbi toka kijiji kimoja hadi kijiji kingine, huruma yake
wake, … aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu.” kwa mwanadamu aliyeanguka (dhambini) ilijidhihirisha
Karibu sana na Mungu Mwenyezi! waziwazi.. Alikuja kumfunua alivyo hasa Mwenyezi
Assalamu’ alaikum Mungu. Ndani yake Isa al-Masih (Kristo Masihi) twaona
Ni kweli iliyoje kwamba Isa al-Masih (Kristo Masihi)
baada ya kuwa hapa duniani, aliketi mkono wa kuume wa picha yake Mwenyezi Mungu ambayo kabla yake ilikuwa
Kwa kweli hata Neno moja tu kutoka kwa Mwenyezi haijapata kufunuliwa kamwe kwa kina kama hicho.
Mungu [Allah], na yuko ‘karibu sana na Mwenyezi
Mungu lingekuwa Habari Njema! Watu wangepaswa Kurani Tukufu yaendelea kutuambia sisi kwamba wale
Mungu’. Sura 3:45
kushukuru jinsi gani kupokea kitu cho chote kutoka kwa wamfuatao Kristo (Isa al-Masih), Mwenyezi Mungu
Kwa vile sisi tumeanguka, yaani, tu wenye dhambi, tu
Mwenyezi Mungu! Yeye ni mwingi wa rehema na Mpole a‘tawaweka wale waliokufuata, juu ya wale waliokufuru.’
viumbe na katika hali yetu ya dhambi hatuwezi kumwona
anaposhughulika na wanadamu. Tunaambiwa katika Sura 3:55. Rafiki zangu, je, si jambo la maana, basi,
Mwenyezi Mungu na kuwa hai, bado tunahitaji kuwa na
Kurani Tukufu kwamba Yeye mwenyewe alituteremshia kufanya uchunguzi juu ya maisha ya Mtu huyu
ufahamu ili tujue alivyo Mwenyezi Mungu. Katika Injili,
sisi huyo ‘Neno’ na jina lake alikuwa ni Kristo Yesu. (Isa aliyeteremshwa na Mwenyezi Mungu? Ikiwa Nabii
Yohana 1:18, tunaambiwa kwamba ‘Hakuna mtu
al-Masih). Muhammad (jina lake na liheshimiwe) alisema juu ya wale
aliyemwona Mungu wakati wo wote’ … ni Kristo (Isa al-
Sura 3:45 wamfuatao Isa al-Masih kuwa wangewekwa juu ya wale
Masih) pekee inasema … ‘aliye katika kifua cha Baba,
huyu ndiye aliyemfunua.’ Wanadamu hawawezi wanaokufuru, basi, ni halali kabisa kwetu kujua habari zake
kumtazama Mwenyezi Mungu na kuwa hai, hata hivyo huyo Isa (Kristo Yesu) na pia kuwa wafuasi wake.
‘(Kumbukeni) waliposema Malaika: “Ewe Maryamu! Kwa kutuhakikishia, Kurani Tukufu inatuambia sisi
Mwenyezi Mungu kwa Rehema zake alimteremsha Mmoja
Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto kwamba wale walio wanafunzi wa (yaani, wamfuatao) Isa
aliyekuwa “katika kifua” chake Mwenyewe na ambaye
bila ya mume, bali kwa kutamkwa) Neno tu litokalo kwake (Kristo Masihi), yaani wasaidizi hao wa Mwenyezi Mungu,
yuko karibu sana naye, kuwa “chapa” ya jinsi Mwenyezi
la kukwambia ‘Zaa’ ukazaa pasina kuingiliwa). Jina lake wangepaswa kuitwa ‘wamejisalimisha’ kwake. Sura 3:52
Mungu alivyo hasa.
ni Masihi, Isa, mwana wa Maryamu, mwenye heshima Sisi sote twajua kwamba “Mwislamu’ ni mtu mmoja
Tuna upendeleo ulioje kuweza kuona jinsi Mwenyezi
katika dunia na Ahera, na miongoni mwa waliopelekwa ambaye amejisalimisha na kumtii Mwenyezi Mungu. Utii
Mungu alivyo hasa. Katika maisha ya Isa al-Masih tunao
mbele na Mwenyezi Mungu.” huu hauna swali wala haubakizi kitu kwa upande wetu.
Upole na Huruma za Pendo lake Mwenyezi Mungu
Kwa hakika hizi ni “Habari Njema” kweli kweli. Ya Utii huu ni lazima utolewe pia kwa Neno (Isa al-Masih)
linalodhihirishwa kwa ukamilifu kabisa kwa wanadamu.
kwamba Mwenyezi Mungu aliye mkuu, Muumbaji wa aliyeteremshwa kuja kwetu kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Maneno yake Isa mwenyewe katika Injili yalikuwa ni haya
malimwengu aweze hata kuinama chini kuwasiliana na Kumbuka Sura 3:45 isemayo kwamba Mwenyezi Mungu
… “Aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9).
mwanadamu aliyeanguka (dhambini) ni maajabu “anakupa … Neno tu litokalo kwake … Jina lake ni Masih,
Sasa twaweza kuwa na picha bora zaidi kuhusu alivyo
tuyatazamapo! Hilo lingeweza tu kuwa pendo lake kuu Isa,” Kwa maana Mwenyezi Mungu, Aliye Mtakatifu,
Mwenyezi Mungu, ikiwa imejengwa juu ya maisha yake
mno na huruma zake zisizo na kikomo alizo nazo kwa kila asingefanya mambo yote hayo yaliyo ya lazima
Isa al-Masih.
mmoja wetu binafsi! kumteremsha Neno wake kuja kwetu katika maisha ya Isa
Je! hivi kuna ajabu yo yote kwamba Kurani Tukufu Sana
Mwenyezi Mungu anahangaika sana kwa ajili yetu, kiasi al-Masih kama jambo hilo lisingekuwa la maana.
ndani yake yenyewe inazo zaidi ya aya 90 zisemazo wazi
kwamba kwa Rehema zake alichagua kumteremsha mmoja Hebu tu na tuwaze hivi, endapo wewe ungepata heshima
kabisa juu ya Isa (Kristo Masihi). Sura kumi na tano katika
anayeheshimiwa na aliye karibu sana naye. Sura 3:45. nyingi sana kutoka kwa mfalme wa nchi, naye amtume
Kurani Tukufu hunena habari zake Yeye. Nabii
Kwa hakika kabisa Kurani Tukufu haiwezi kukosea. kwako mwakilishi wake, yaani, mmoja ambaye yu karibu
Muhammad alijua fika umuhimu wa kumwelewa Isa al-
Masih kuwa ni nani, vinginevyo asingekuwa amenena sana na huyo mfalme. Mwakilishi wake huyo anapowasili
Katika Sura 5:46 twaambiwa kwamba Yesu (Isa al-Masih) na kutaka kusema nawe, kungetokea nini kama
habari zake katika Sura nyingi sana za Kurani Tukufu. Sisi
aliteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuihakikisha ungemdharau mtu huyo? Je! hilo lisingekuwa tusi la
tungefikiriwa kuwa tumebarikiwa sana endapo tungetumia
Sheria na Injili (Taurati na Injili), ambamo ndani yake umo kutisha kwa mfalme? Hebu sikiliza, ewe rafiki yake
muda wetu kumfahamu Mtu huyu mashuhuri sana kama
Uongozi na Nuru. Siyo tu inatuambia sisi kwamba Taurati Mwenyezi Mungu, kwa njia iyo hiyo, Mungu wa Mbingu
kumbukumbu zake zilivyoandikwa katika Injili.
na Injili vilihakikishwa, bali pia inatuambia katika Sura na Dunia ametuteremshia Neno wake kweli kweli kuja
Katika Injili ya Maandiko ya Biblia, twasoma jinsi Isa al-
5:48 kwamba hayo Maandiko (Biblia ) yali“lindwa”. kwetu, katika umbile la Isa al-Masih (Kristo Yesu).
Masih alivyokwenda huku na huku akiponya magonjwa na
Hivyo Muhammad (jina lake na liheshimiwe), alikuwa Asingekuwa mtu ye yote tu bali ni yule Neno (Isa al-
maradhi ya kila namna, wanaume, wanawake, watoto hata
akiwaelekeza kwenye Neno lililotoka kwa Mwenyezi Masih) ambaye yu karibu na Mwenyezi Mungu kuliko
na wale wenye ukoma waliponywa na kuwa wazima. Mara
Mungu wale walioitafuta kweli. Kwenye Uongozi huo na wote, naye anatoka katika “kifua” cha Baba. Mtu huyo wa
nyingi walemavu waliponywa na wafu wakawa hai. Ni
Nuru hiyo tunamwelekeza msomaji, yaani, kwenye Injili
maana sana, atokaye katika kifua cha Mwenyezi Mungu, kabisa na bora kabisa kwa Mwenyezi Mungu kuwasiliana
hatuna budi kumjali kwa njia ya pekee, vinginevyo, sisi na wanadamu ni kumtumia mmoja anayefanana na sisi!
nasi tutaonekana kuwa tunamtolea matusi makubwa sana Hivyo Yeye ndiye Neno kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu.
Isa al-Masih alipokuwa kando ya mto Yordani ili
kubatizwa na kuwa kielelezo kwetu, Maandiko
…”msikieni yeye”.

Kichaka Kilichowaka Moto


‘Habari Njema
yanatuambia sisi kwamba mbingu zikamfunukia na sauti
yake Mungu ikasikika … (Injili) Mathayo 17:5 ‘Alipokuwa
katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na
Mpendwa rafiki usifikiri hata kwa dakika moja kwamba
Mwenyezi Mungu amewekewa mipaka na hawezi kufanya
hili. Kumbuka kisa cha Musa na kichaka kilichowaka
kutoka kwa
tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni
Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye;
msikieni yeye.’ Maneno hayo mawili ya mwisho,
moto. Kinatuambia kwamba Mwenyezi Mungu alinena na
Musa kutoka katika ule moto. Kama Mwenyezi Mungu
anaweza kuja kwa mfano wa kichaka kinachowaka moto,
Mwenyezi Mungu’
‘msikieni yeye’ ni ya muhimu kwetu kwamba tusikilize je! hawezi pia kuja katika umbile la Mwanadamu na
yale ambayo Mwenyezi Mungu ametuteremshia ndani ya kujidhihirisha Mwenyewe kwetu na kunena nasi? Ni
Isa al-Masih! hakika kabisa hakuna kitu cho chote kilicho kigumu kwa
Injili, ambayo Muhammad alituambia kwamba Mwenyezi Mungu!
iliteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Sura 3:3, ina Mwenyezi Mungu na akubariki sana unapotafuta kufanya
mafungu ya maneno ya Maandiko ambayo yanarudia mapenzi yake na kuchagua kutii kile alichokudhihirishia
kusema baadhi ya mawazo yale yale yapatikanayo katika wewe. Ni kweli Neno kutoka kwa Mwenyezi Mungu ndani Sura 3:45
Sura 3:45 ambayo hunena juu ya Isa al-Masih kuwa ndiye ya Kristo Masihi hizo kwetu ni “Habari Njema” ‘msikieni
‘Neno aliyeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu’. yeye’! Bismillahir rahmanir rahim”. Aali Imran
Angalia kile isemacho katika Yohana 1:1 ‘Hapo mwanzo Kabla hujafungua kurasa za Vitabu Vitakatifu, daima omba
kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu Mwenyezi Mungu akufundishe kuwa na ufahamu sahihi
[Allah], naye Neno alikuwa Mungu [Allah].’ Kisha usomapo. Mwenyezi Mungu anawabariki wale
inaendelea kutuambia sisi kwamba “Naye Neno alifanyika wanaojifunza kwa unyofu wa moyo na wanaoitafuta haki.
mwili, akakaa [akateremshwa] kwetu” fungu la 14. Ni Yeremia 29:13 ‘Nanyi mtanitafuta, na kuniona,
huyu Neno aliyetuonesha sisi jinsi Mwenyezi Mungu mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.’ Wale wamtafutao Rudolf Martyn
alivyo hasa. Mwenyezi Mungu, hawana budi kumtafuta kwa moyo wao
Huyu si mwana aliyezaliwa kimwili kama watu leo wote.
walivyo na watoto. Lakini huyu ni yule Mmoja aliyezaliwa Al-Baqara 002.153
na bikira, ambaye alikuwa bado hajamjua mume. ‘Enyi mlioamini! Jisaidieni (katika mambo yenu) kwa
Kumbuka kwamba hakuna neno lo lote lililo gumu kwa subira na Sala; bila ya shaka Mwenyezi Mungu yu pamoja Mfululizo na. 03
Mwenyezi Mungu! Yeye aweza kusema tu na mambo na wanaosubiri.’
yakawa vile. Soma tena Sura 3:46
Je! huyo ni Mwanawe Mungu (Allah)? Aya zimenukuliwa kutoka DivineIslam’s Qur’an Viewer
Huenda umewahi kusikia usemi huu “mwana wa njia”, je, software v2.913
njia ina mwana? La, hasha, lakini maana yake hapa ni
kwamba mtu yule anayekidhi maelezo hayo ni msafiri. Mafungu ya Biblia kutoka Toleo la King James (KJV)
Usikate tamaa unaposikia kifungu hiki cha maneno “Kristo,
Mwana wa Mungu” hii haimanishi kwamba Mungu [Allah] Kwa maelezo zaidi au mauidha tafadhali wasiliana
anaye mwana aliyemzaa kwa njia ile ile wanadamu na:
wanavyozaa watoto, kwa maana hilo kamwe haliwezi kuwa
hivyo. Lakini kinamtaja Kristo kuwa ni Mwana kwa www.salahallah.com
maana ile ambayo Isa yuko karibu sana na Mwenyezi
Mungu na ni kwa njia ya Isa (Kristo) tabia ya Mwenyezi
Mungu inadhihirishwa kwetu vizuri sana. Njia iliyo wazi

You might also like