You are on page 1of 3

‘Tukamkomboa kwa Mnyama wa mambo hayo. Lakini, je, kisa hiki ni cha maana kwetu?

je, kisa hiki ni cha maana kwetu? wanaoitii sauti yake Mwenyezi Mungu, yaani, wale
Twaambiwa katika Sura 26:69 kwamba sisi tunapaswa wanaomtii bila swali wamo pia miongoni mwa ‘Hanif’?
Kuchinjwa Mtukufu’! ‘kusomea’ kisa chake Ibrahimu. Nabii Muhammad alijua
kwamba kisa hiki kingekuwa cha maana sana kwetu Ibrahimu aitwa kwenda Mlima wa Moria
kukijua, kwa maana kinalo fundisho la kutufundisha sisi. Kazi hii ambayo Mwenyezi Mungu alikuwa amemtaka
Assalamu’ alaikum
Hivyo twataka kutoa kisa chote hapa. 026:069 Ash- Ibrahimu kuifanya ilikuwa si mchezo. Twaweza kuona
Kurani Tukufu inatoa mfano halisi ulio kielelezo cha utii
Shuaraa kwamba ilichukua siku tatu kwenda nchi ya Moria. Bila
wetu kwa Neno atokaye kwa Mwenyezi Mungu wakati
Ibrahimu alipoitwa kuiacha nchi yake, jamaa zake, nyumba shaka zilikuwa siku ndefu za maumivu makali akijua
“Na wasomee habari za (Nabii) Ibrahimu.” Katika kwamba huenda angerudi peke yake kutoka mahali pale pa
yake, naye akatakiwa kwenda mahali ambako Mwenyezi
Mwanzo 22:2 (Taurati) imeandikwa … “akasema [Allah], kutolea sadaka. Twashangaa iwapo Ibrahimu alipata
Mungu angemwambia. Ibrahimu alitii bila swali
Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee” … halafu pumziko lo lote wakati wa usiku wengine walipolala
Mwenyezi Mungu aliponena naye. Hayo yameandikwa
yanafuata maneno haya machungu mno … “umpendaye … usingizi. Kwa hakika Ibrahimu alishindana na Mungu kila
katika Mwanzo 12:1 (Taurati) “BWANA akamwambia
ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya usiku katika maombi juu ya jambo hilo. Twaendelea
Abramu [baadaye aliitwa Ibrahimu], Toka wewe katika
kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo kusoma: (Taurati) Mwanzo 22:4 “Siku ya tatu Ibrahimu
nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende
nitakaokuambia.” akainua macho yake, akapaona mahali pakali mbali.
mpaka nchi nitakayokuonesha.” Taurati inaendelea
Mwenyezi Mungu alipomtaka Ibrahimu amtoe sadaka Ibrahimu akawaambia vijana wake, Kaeni ninyi hapa
kuandika habari za Ibrahimu alivyoitikia … Mwanzo 12:4
mwanawe, Ibrahimu alitii bila swali. Kisa hiki pia pamoja na punda, na mimi na kijana tutakwenda kule,
“Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru
kimeandikwa kwa kifupi katika As-Saaffat Sura 037:102- tukaabudu, na kuwarudia tena.”
… Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano
107. Hii isingekuwa kazi rahisi kwa Ibrahimu kutekeleza! Hakuna mtu aliyepaswa kushuhudia tukio hili mbele ya
alipotoka Harani.” Kufikia wakati huo Ibrahimu hakuwa
Moyo wake wenye huruma bila shaka uliumia vibaya sana Mwenyezi Mungu, zaidi ya yule baba na mwanawe. Hivyo
kijana, alikuwa amejijenga, tena alikuwa tajiri, lakini
zaidi ya maelezo yo yote yawezayo kutolewa. Lakini Neno “Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika
Ibrahimu alipoisikia sauti yake Mwenyezi Mungu alitii
kutoka kwa Mwenyezi Mungu lilikuwa limetolewa, amri Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake,
pasipo shaka lo lote. Ibrahimu alikuwa hajaambiwa mahali
ile ilisikika kwa wazi kabisa moyoni mwake na Ibrahimu wakaenda wote wawili pamoja.” Fungu la 6. Kabla ya
ambako angepaswa kwenda ila aliambiwa afungashe
alikuwa na mazoea ya kuongea na Mwenyezi Mungu. muda mrefu kupita mwana wa Ibrahimu alisema hivi …
mizigo na kuondoka, akiwa na imani kabisa kwamba
Uhusiano ulikuwa umekuzwa baina ya Mwenyezi Mungu “Babaangu … Tazama! moto upo, na kuni zipo, lakini
Mwenyezi Mungu angemwongoza. Angalia, Ibrahimu
na yeye mwenyewe kiasi kwamba aliifahamu sauti ya yuko wapi mwana-kondoo kwa sadaka ya kuteketezwa?
alikuza uhusiano wake na Mwenyezi Mungu, alifahamu
Mwenyezi Mungu alipoisikia. Na upendo aliokuwa nao Ibrahimu akasema, Mungu atajipatia mwana-kondoo kwa
kwamba njia yake ni bora kuliko zote, hata wakati ule
Ibrahimu kwa Mwenyezi Mungu ulikuwa ni wa kutii hiyo sadaka, mwanangu. Basi wakaendelea wote wawili
alipokosa kufahamu kikamilifu kwa nini mambo yawe vile,
alipoisikia sauti yake, hata kama alikuwa haelewi pamoja.”
aliliamini tu Neno lake Mwenyezi Mungu na kutii matakwa
kikamilifu sababu yake ni nini. Wakafika mahali pale, madhabahu ikajengwa, kuni
yake. Sisi nasi pia, tungetenda vema kuwa na utii ule ule
aliokuwa nao Ibrahimu kwa Mwenyezi Mungu. zikawekwa juu ya madhabahu, na ndipo habari
Ibrahim aitwa ‘Hanif’ zilipoelezwa waziwazi kwa mwanawe Ibrahimu ya
Ibrahimu anafikiriwa kuwa yeye ni ‘Hanif’ miongoni mwa kwamba yeye ndiye angekuwa ile sadaka. Mwanawe alitii
Ibrahimu aitwa kuchinja kafara
wale walio wanyofu wa moyo kweli kweli na waliojitoa kile Mwenyezi Mungu alichokuwa amemtaka Ibrahimu
Kurani Tukufu yatuambia kwamba Musa alipewa
kumtumikia Mwenyezi Mungu. Waitwao ‘Hanif’ ni wale kufanya, na yule mwana akawekwa juu ya madhabahu.
Maandiko (Taurati) na kanuni ya kupambanua baina ya
walio safi sana katika dini yao kwa Mwenyezi Mungu. Huyu alikuwa ndiye yule mwana mpendwa wa Ibrahimu
yaliyo ya haki na yasiyokuwa ya haki. Sura 2:53 Al
Katika Mwanzo 22:3 tunayo maelezo kwa nini Ibrahimu katika uzee wake. Ndipo Ibrahimu alipoinua juu mkono
Baqarah
anafikiriwa kuwa ni ‘Hanif’. Baada ya Ibrahimu kupewa wake wenye kisu … mkono wake ule ukazuiwa…
ujumbe ule, maelezo yanasema … “Ibrahimu akaondoka Ibrahimu alipokuwa karibu kumchinja mwanawe, sauti
alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili ikasikika … “Ibrahimu, Ibrahimu,’ naye akasema, “Mimi
“Na (kumbukeni) Tulipompa Musa Kitabu (kilichokusanya
pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili hapa”. Mwanzo 22:11. Inaendelea kwenye mafungu 12-
kila wanayoyahitajia) na cha kupambanua baina ya yaliyo
ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka 13. “Akasema [Allah], Usimnyoshee kijana mkono wako,
ya haki na yasiyokuwa ya haki ili mpate kuongoka.”
mahali alipoambiwa na Mungu.” Hilo ndilo linalomfanya wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa
Katika Mwanzo (Taurati) kimeandikwa kisa chote cha
Ibrahimu kuwa miongoni mwa ‘Hanif’. Ibrahimu unamcha Mungu [Allah], iwapo hukunizuilia mwanao,
Ibrahimu. Katika Sura ya 22 ya Mwanzo kimeandikwa
aliposikia sauti ya Mwenyezi Mungu alitii na kufanya kile mwanao pekee. Ibrahimu akainua macho yake, akaangalia,
kisa cha Ibrahimu alivyotakiwa kumchinja na kumtoa
alichotakiwa kufanya. Je, hivi ni kweli leo kwamba wale na tazama, kondoo mume yuko nyuma yake, amenaswa
sadaka mwanawe. Kinatufunulia sisi jinsi yalivyotokea
pembe zake katika kichaka. Basi Ibrahimu akaenda hazijatolewa hadi wakati wa Musa pale Sinai, yaani kipindi dhambi ni mauti’, na ilimpasa mtu fulani kulipa gharama
akamtwaa huyo kondoo, akamtoa awe sadaka ya kirefu baada ya Ibrahimu, lakini kisa hiki kinathibitisha hiyo kwa ajili ya mwanadamu, vinginevyo, yeye kwa
kuteketezwa badala ya mwanawe.” milele ukweli kwamba hata Ibrahimu alizitii Amri Kumi za hakika angetazamia tu kushuka shimoni [kwenye
Mwenyezi Mungu kwa maana imeandikwa kwamba maangamizi], imeandikwa katika Injili, kwamba Mwenyezi
Mwanawe Ibrahimu Akombolewa Ibrahimu alizitii Amri zake Mwenyezi Mungu. Mungu alitoa sadaka ya dhambi, yaani, ukombozi …
Ni kwa njia gani mwanawe Ibrahimu alikombolewa? Tukitaka kupata baraka za Mwenyezi Mungu, basi, sisi pia, Waebrania 10:12 “Lakini huyu (Isa al-Masih), alipokwisha
Kurani Tukufu yasema kwamba mwanawe alikombolewa sharti tupende kwa moyo kutoa utii wetu kwa Neno la kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata
kwa sadaka ya kuchinjwa tukufu! Sura 37:107 Mwenyezi Mungu na kwa Amri zake, kwa njia ile ile milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu [Allah]”.
aliyotii Ibrahimu. Kwa hakika kabisa, nasi pia tutabarikiwa 1 Yohana 2: 2 “Naye (Isa al-Masih) ndiye kipatanisho kwa
“Basi tukamkomboa kwa mnyama wa kuchinjwa mtukufu.” na Mwenyezi Mungu. dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa
Hatuna budi kujiuliza, je, kondoo yule mume aliyenaswa Aya zote katika Maandiko ya Agano la Kale (Taurati) dhambi za ulimwengu wote.”
katika kichaka, alikuwa “Mnyama wa Kuchinjwa Mtukufu” zisemazo juu ya kuchinja sadaka ya wanyama zilikusudiwa Mpendwa rafiki wa Mwenyezi Mungu, je, hutaipokea
kweli? Au kuna habari zaidi kwa kisa hiki? Je, kumwongoza mtu kutazama mbele kwenye ile ‘Kafara Kuu sadaka hii ya dhambi, yaani, ukombozi huu ulioteremshwa
ingewezekana kwamba yule kondoo mume aliyenaswa (Tukufu)’, ya ‘Thamani Kuu’ ambayo ingeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili yako? Mpendwa
katika kichaka ambaye alitolewa na Mwenyezi Mungu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hatimaye Isa al- rafiki, ni kwa ajili yako Mwenyezi Mungu alimteremsha
alikuwa akidokeza ile “Kafara Kuu”? Je, ile ilimwakilisha Masih alipokuja, ni wachache mno waliouelewa utume Isa al-Masih, yule Masihi kama “Mnyama wa Kuchinjwa
Yeye ambaye Mwenyezi Mungu angemteremsha kuwa wake. Wachache mno waliamini kwamba huyu alikuwa Mtukufu”. Ameteremshwa kwako wewe na kwangu mimi,
sadaka ya dhambi kwa ulimwengu wote? Kwa maana yake ndiye Masihi kweli kweli, yaani, yule Sadaka ya Dhambi, kama Mwokozi wetu kutoka dhambini. Tafadhali ipokee
mwanawe Ibrahimu aliwakilisha wanadamu wote. Sisi sote Mkombozi, Mwokozi wa Ulimwengu ulioanguka leo hii dhabihu hii iliyotolewa kwa neema kwa ajili yako!
tungekufa milele, kama matokeo ya dhambi, lakini dhambini.
twaweza kuishi, kwa sababu ya mwana-kondoo mume Mmoja aweza kuuliza swali hili, kwa nini Mwenyezi Aya za Kurani zimenukuliwa kutoka DivineIslam’s Qur’an
aliyetolewa sadaka badala yetu, yaani, ukombozi ule Mungu alimtaka Ibrahimu aende kwenye Mlima wa Moria? Viewer software v2.913
uliotolewa na Mwenyezi Mungu. Jina lake lilikuwa Isa al- Huu ulikuwa ni mlima ule ule ambao juu yake baadaye
Masih, Kristo Yesu. Aliteremshwa kutoka kwa Mwenyezi hekalu lilijengwa, lakini pia ni mahali pale pale hasa Aya za Maandiko/Biblia zimetolewa kutoka Toleo la King
Mungu kuwa upatanisho kwa ajili ya wanadamu. ambapo miaka mingi baadaye, Isa al-Masih, alitoa maisha James (KJV)
Mwanadamu alikuwa ameanguka, lakini Mwenyezi Mungu yake kuwa kafara kwa ajili ya jamii yote ya wanadamu. www.salahallah.com
angeweza kutoa ufumbuzi. Jamii yenye dhambi ilipaswa Ilikuwa ni juu ya mlima, yaani, mlima ule ule ambapo
kukombolewa kwa kafara tukufu sana ya Yeye
aliyeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
karne nyingi kabla yake mkono wa Ibrahimu ulizuiwa ili
kumwokoa mwanawe, lakini safari hii mkono wa
Tukamkomboa
Ibrahimu aitwa Mbarikiwa na Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu mwenyewe haukuzuiwa, na Yeye (Isa
al-Masih) aliyekuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu
Kwa Mnyama
akachinjwa kama sadaka kwa ajili ya binadamu wote. Uhai
Kwa kuwa Ibrahimu aliitii sauti ya Mwenyezi Mungu
katika jambo hili, maelezo yaliyo katika Mwanzo 22:17-18 wake Isa al-Masih ulitolewa kwa ajili yetu. Yaliyompata Wa
(Taurati) yanamwita Ibrahimu kuwa amebarikiwa na Ibrahimu kwa mwanawe, lilikuwa ni fumbo linaloonesha
Mwenyezi Mungu. Walakini si Ibrahimu peke yake yale ambayo yangekuja baadaye. Katika siku zake
Ibrahimu, ukombozi ulipatikana, yaani, yule kondoo mume
Kuchinjwa
aliyepaswa kubarikiwa, bali pia uzao wa Ibrahimu, hata
mataifa yote ya dunia. “Katika kubariki nitakubariki, na
katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za
kichakani. Katika Injili, inasema … “Kama vile Mwana
wa Adamu … [alivyokuja] kutoa nafsi yake iwe fidia ya
Mtukufu’
mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; … na katika wengi” (Mathayo 20:28). Sura 37:107
uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa Hapo kale, watu wale wenye hekima kutoka Mashariki
sababu umetii sauti yangu.” walijua kwamba ukombozi ungekuja kwa ajili ya As-Saaffat
Katika Mwanzo 26:5 twaambiwa tena sababu iliyomfanya wanadamu. Katika Vitabu Vitakatifu twasoma haya Rudolf Martyn
Ibrahimu abarikiwe na Mwenyezi Mungu … “Kwa sababu yafuatayo: … “Mwokoe asishuke shimoni; Mimi
Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, nimeuona ukombozi” Ayubu 33:24.
na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu.” Ukombozi ni gharama inayolipwa kwa ajili ya mwenye
Baadhi ya watu watatoa hoja kwamba Amri Kumi zilikuwa dhambi ili apate kusamehewa dhambi zake. “Mshahara wa Mfululizo na. 04

You might also like