You are on page 1of 2

Kitabu cha hadithi za biblia pdf

Publisher Distant Shores Media Kitabu hiki kina hadithi hamsini za Biblia kutoka Agano la kale na Agano Jipya, mapamoja na michoro. Kinatumika kwa ajili kujifunza Biblia, kufundisha kanisani na kuwasomea watoto kwa sauti. ... JE! HUYO anaonekana kama nyoka wa kweli aliyezungushwa juu ya mti? Hapana.
Nyoka huyo amefanyizwa kwa shaba. Yehova alimwambia Musa amweke juu ya mti ili watu wamtazame waishi. Lakini nyoka wengine chini ni wa kweli. Wamewauma watu na kuwafanya wagonjwa. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu Waisraeli wamempinga Mungu na Musa. Wanalaumu hivi: ‘Kwa nini ulitutoa Misri ili tufe huku jangwani? Hakuna
chakula wala maji huku. Tumechoka kula mana hii.’ Lakini mana hiyo ni chakula kizuri.

Lakini nyoka wengine chini ni wa kweli. Wamewauma watu na kuwafanya wagonjwa. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu Waisraeli wamempinga Mungu na Musa. Wanalaumu hivi: ‘Kwa nini ulitutoa Misri ili tufe huku jangwani? Hakuna chakula wala maji huku. Tumechoka kula mana hii.’ Lakini mana hiyo ni chakula kizuri. Yehova amewapa mana hiyo
kwa mwujiza. Na kwa mwujiza amewapa maji pia lakini watu hawamshukuru Mungu kwa vile alivyowaangalia. Basi Yehova anawapeleka nyoka hao wenye sumu ili awaadhibu Waisraeli. Nyoka hao wanawauma, na wengi wao wanakufa. Mwishowe watu wanamwendea Musa na kusema: ‘Tumefanya dhambi, kwa sababu tumepinga Yehova na wewe.

JE! HUYO anaonekana kama nyoka wa kweli aliyezungushwa juu ya mti? Hapana. Nyoka huyo amefanyizwa kwa shaba. Yehova alimwambia Musa amweke juu ya mti ili watu wamtazame waishi.
Lakini nyoka wengine chini ni wa kweli. Wamewauma watu na kuwafanya wagonjwa. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu Waisraeli wamempinga Mungu na Musa. Wanalaumu hivi: ‘Kwa nini ulitutoa Misri ili tufe huku jangwani? Hakuna chakula wala maji huku. Tumechoka kula mana hii.’ Lakini mana hiyo ni chakula kizuri. Yehova amewapa mana hiyo
kwa mwujiza. Na kwa mwujiza amewapa maji pia lakini watu hawamshukuru Mungu kwa vile alivyowaangalia. Basi Yehova anawapeleka nyoka hao wenye sumu ili awaadhibu Waisraeli. Nyoka hao wanawauma, na wengi wao wanakufa. Mwishowe watu wanamwendea Musa na kusema: ‘Tumefanya dhambi, kwa sababu tumepinga Yehova na wewe.
Basi mwombe Yehova awaondoe nyoka hawa.’ Musa anaombea watu. Naye Yehova anamwambia Musa afanyize nyoka huyu wa shaba. Anamwambia amweke juu ya mti, ili mtu anayeumwa amtazame. Musa anafanya kama anavyoambiwa na Mungu. Watu walioumwa wanamtazama nyoka wa shaba wanapona. Kuna jambo la kujifunza kutokana na hayo.
Sote tuko kama Waisraeli hao walioumwa na nyoka hao. Sote tuko katika hali ya kufa. Ebu tazama huku na huku, utaona kwamba watu wanazeeka, wanakuwa wagonjwa, na kufa. Ni kwa sababu yule mwanamume na mwanamke wa kwanza, Adamu na Hawa walijitenga na Yehova, na sote ni watoto wao.
Lakini Yehova amefanya njia ili tuweze kuishi milele. Yehova alimtuma Mwanawe, Yesu Kristo, duniani. Yesu aliwekwa juu ya mti, kwa sababu watu wengi walidhani alikuwa mbaya. Lakini Yehova alimtoa Yesu atuokoe. Tukimtazama, tukimfuata, ndipo twaweza kuwa na uzima wa milele. Lakini tutajifunza zaidi juu ya hilo baadaye. Mchapishaji Distant
Shores Media Pakua 28.2 MB Kitabu hiki kina hadithi hamsini za Biblia kutoka Agano la kale na Agano Jipya, mapamoja na michoro. Kinatumika kwa ajili kujifunza Biblia, kufundisha kanisani na kuwasomea watoto kwa sauti. ...

You might also like