You are on page 1of 4

TANZANIA RIFT VALLEY FIELD (TRVF).

LONGIDO DISTRICT- MAIROWA SDA CHURCH.

KARAO ADVENTIST PRE & PRIMARY SCHOOL.

MTIHANI WA ELIMU YA BIBLIA 2024

Maelezo ya Muhimu.

A) Soma swali kwa sahihi na ulielewe ndipo mujibu swali.

B) Jibu maswali yote kwa sahihi na kwa ufasaha.

C) hauruhusiwi kuingia na Biblia kwenye Chumba cha mtihani wala Daftari lolote.

SEHEMU A

1. Ibrahimu ni nani?

A. Mwalimu
B. Mtumishi wa Mungu. { }
C. Rafiki wa Mungu
D. Mtoza ushuru

2. Je ndugu Yake Ibrahim aliitwa nani?

A. Lutu
B. Nuhu. { }
C. Isaya
D. Musa

3. Kwanini Mungu alimteua ibrahimu kuwa Rafiki yake wa karibu?

A. Alijua kuongea sana


B. Alioa mke mmoja Sarah { }
C. Alizini na mjakazi wake
D. Alimheshimu na kuyatii maagizo yote ya Mungu.

4. Unadhani kwa nini Mungu alimuamuru Ibrahimu kutoa mwana wake wa pekee kuwa sadaka.?

A. Kwakua Mungu alimuonea wivu Ibrahimu.


B. Kwakua Mungu alimpenda Sana Ibrahim kuliko Isaka mtoto wake.
C. Kwakua Mungu alihitaji kuipima Imani ya Ibrahimu. { }
D. Kwakuwa Mungu alihitaji DAMU ya Isaka.

5. Je mtoto wa kwanza wa Ibrahimu aliitwa nani?

A. George
B. Fanuel { }
C. Tito
D. Ishmaeli

6. Mtoto wa ahadi wa Ibrahimu aliitwa nani?

A. Ibrahimu
B. Isaka { }
C. Ishmaeli
D. Nuhu

7. Unadhani kwanini Isaka alikuwa mtoto wa Ahadi na Sio Ishmaeli?

A. Kwakua alitolewa kafara na Baba yake.


B. Alimshawishi Mungu kuwa nataka awe mtoto wa pekee. { }
C. Kwakua Mungu alimuahidi Ibrahimu, atampatia mwana kwa Sarah mke wake.
D. Kwakua alifundishwa kufanya mawindo ya wanyama porini.

8. Kwa mujibu wa Zaburi 23, Mungu anadhihirishwa kwetu kama nani?

A. Mchunguzi wetu
B. Mwombezi wetu. { }
C. Mchungaji wetu
D. Mshauri wa Ajabu.

9. Je ni kitabu kipi katika Biblia kinaeleza historia ya Ibrahim?

A. Zaburi 23
B. Kumbukumbu la Torati. { }
C. Mwanzo
D. Maombolezo

10. Kutokana na mpangilio wa Vitabu vya Biblia vifuatavyo ni vitabu Vitano vya kwanza.

A. Mwanzo, Kutoka, Ufunuo, Mambo ya Nyakati na Kumbukumbu la Torati.


B. Mwanzo, Kutoka,Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati. { }
C. Mwanzo, Kutoka, Muhubiri, Ayubu na Kumbukumbu la Torati.
D. Mwanzo, Kutoka,Wafalme, Esther na Waamuzi

11. Mungu aliuumba ulimwengu kwa muda wa Siku ngapi?

A. 5
B. 6
C. 7
D. 10

12. Jua, Mwezi na Nyota viliumbwa siku gani Kati ya siku za uumbaji.

A. Siku ya Kwanza
B. Siku ya Pili
C. Siku ya Nne
D. Siku ya Tatu

13. Mimea na uoto wa Asili viliumbwa siku gani?

A. 3
B. 6
C. 5
D. 2

14. Siku ya Sita Mungu aliuumba

A. Mito na bahari
B. Uoto wa Asili
C. Samaki na viumbe vya Baharini
D. Wanyama na mwanadamu

15. Kwanini siku ya Sabato ni siku ya Saba ya Juma?

A. Mungu aliuumba bustani ya Edeni


B. Mungu alistarehe na kubarikiwa siku ya Saba
C. Mungu alimwambia Adamu avipatie viumbe vyote majina.
D. Mungu aliwaumba wanadamu kwa sura na Mfano wake.

SEHEMU: B

Jibu KWELI kwenye Sentensi ya kweli AU SI KWELI kwenye Sentensi ambayo si kweli.

16. Je ni kweli kwamba Mungu aliweka agano na Ibrahimu?.......................

17. Mungu alimpenda Sana Isaka kuliko Ishmaeli?...........................

18. Je Mwanzo, Kutoka,Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati ni Vitabu Vitano vya
Kwanza katika Biblia?........................
19. Je ni kweli kwamba Leo tukizishikana kuzitunza sheria za Mungu tutakuwa Wana na Binti
zake?.............................

20. Baba yake ibrahimu aliitwa Harani................................

"Mungu akubariki"

You might also like