You are on page 1of 1

TMCS DIT

P.O.BOX 21074
EMAIL: tmcsdit2020@gmail.com

UJE ROHO MTAKATIFU

1. Uje roho mtakatifu, 7. Osha machafuko yetu,


Tuangaze toka mbingu, Panyeshee pakavu petu,
Roho zetu kwa mwangao. Na kuponya majeraha.

2. Uje baba wa maskini, 8. Ulegeze ukaidi,


Uje mtoa wa vipaji, Pasha moto ubaridi,
Uje mwanga wa mioyo. Nyoosha upotevu wote.

3. Ee mfariji mwema sana, 9. Wape waamini wako,


Ee rafiki mwanana, Wenye tumaini kwako,
Ewe raha mustarehe. Paji zako zote saba.

4. Kwenye kazi u-pumziko, 10. Wape tuzo ya fadhila,


Kwenye joto burudiko, Wape mwisho bila hila,
U-mfutaji wa machozi. Wape heri ya milele.

5. Ewe mwanga wenye heri, 11. Amina, Aleluya,


Uwajaze waamini, Amina, Aleluya,
Neema yako mioyoni. Amina,aleluya.

6. Bila nguvu yako wewe,


Mwanadamu hana kitu,
Kwake yote yanakosa.

You might also like