You are on page 1of 7

ARKIDIOSEZIA YA BUKAVU

MAISON DU SALUT

NA

SALA YA YERIKO

yeriko ambayo inafungua

kutoka kwa minyororo na vifungo vyetu

MAI 2023
Prière de jéricho

Siku ya Kwanza kwani wema wake ni kinywani mwangu


wa milele. siku zote.
Zaburi 135 : litania ya
shukurani 9. Mwezi nazo nyota, 3Roho yangu ijisifu
zitawale usiku, kwani katika Bwana ;
1. Aleluya !
wema wake niwa wanyonge wasikie na
Mshukuruni Bwana, milele. kufurahi.
kwani ndiye mwema,
Texte à méditer : 4Mtukuzeni Bwana
kwani wema wake
Criant de victoire pamoja nami, tulikuze
ndio wa milele.
pour la puissance et jina lake wote
2. Mshukuruni la sollicitude de Dieu pamoja.
Mungu, Mungu wa (Ex 15, 18)
5Nilimkimbilia Bwana,
miungu, kwani wema
Faire silence pendant akanisikiliza,
wake ndio wa milele.
un moment pour akaniopowa katika
3. Mshukuru Bwana, intérioriser. Parole à hofu zangu zote.
Bwana wa ma bwana, répéter dans la
6Mtazameni yeye
kwani wema wake journée :
mkafurahiwe, wala
ndio wa milele. ˶Mshukuruni Bwana,
nyuso zenu
kwani ndiye mwema,
4. Alifanya peke yake zisihuzunike.
kwani wema wake
mambo ya ajabu, ndio wa milele. ˵ 7Mnyonge huyu alilia,
kwani wema wake
naye Bwana
ndio wa milele.
akamsikiliza,
5. Alizifanya mbingu Siku ya pili akamwokoa katika
kwa heshima, kwani shida zake zote.
Zaburi 33 : Bwana
wema wake niwa
awakomboa 8Malaika wa Bwana
milele.
watumishi wake amepanga jeshi kando
6. Aliweka nchi juu ya zote za wenye
1Ya Daudi
maji, kwani wema kumheshimu,
alipojisingizia kuwa na
wake niwa milele. akawaopoa.
wazimu mbele ya
7. Alifanya mianga Abimeleki, 9Oneni, mwonje jinsi
mikubwa, kwani akafukuzwa naye, Bwana alivyo mwema.
wema wake niwa akatoka. Heri mtu yule
milele. anayemkimbilia!
2Nitamtukuza Bwana
8. Alifanya jua kila wakati, sifa yake 10Mheshimu Bwana,
litawale mchana, enyi watakatifu wake,
kwa maana wenye 2Hapo kinywa chetu les ruisseaux
kumheshimu kilijaa kicheko na asséchés˵
hawakosi kitu. ulimi wetu shangilio.
SIKU YA INE
Hapo walisema kati ya
11Watajiri
mataifa : Bwana Zaburi 102 : Mungu ni
wamegeuka maskini,
amewatendea mwema na mwenye
wakaona njaa, bali
makubwa! haki
wanaomtafuta Bwana
hawakosi kitu chema. 3Bwana ametutendea 1Ya Daudi.
makubwa, tumeona
Texte à méditer : Umsifu Bwana, ee
furaha.
prière de délivrance roho yangu, na yote
et de restauration du 4Ee Bwana, yaliyo ndani yangu
peuple de Dieu (si 36, uwarudishe yasifu jina lake
1-17) wafungwa zetu, kama takatifu!
mito jangwani mwa
Faire silence pendant 2Umsifu Bwana, ee
kusini.
un moment pour roho yangu, wala
intérioriser Parole à 5Waliopanda mbegu usisahau mema yake
répéter dans la wakilia machozi yote!
journée : ˵je me suis watavuna kwa
adressé au Seigneur shangwe. 3Yeye anasamehe
et il m’a répondu, il zambi zako zote,
6Kwenda anaponya magonjwa
m’a délivré de toutes
wanakwenda wakilia yako yote.
mes craintes.˶
machozi, wakichukua
Chant : Neema za mbegu za kupandwa. 4 Yeye anakomboa
funguliwa. Kurudi wanarudi kwa uzima wako katika
shangwe wakichukua kaburi, anakuzunguka
SIKU YA TATU kwa wema na
miganda yao.
rehema.
Zaburi 135 : kurudi
Texe à méditer : le
kwao waliohamishwa 5 Yeye anashibisha
retour triomphal des
exilés (jr 31,7-14) mema maisha yako ;
1Wimbo wa
ujana wako
maandamano.
Faire silence pendant unarudishwa upya
Bwana un moment pour kama wa tai.
alipowarudisha intérioriser Parole à
répéter dans la 6 Bwana anatenda
wafungwa wa Siyoni
journée : ˶Seigneur, mambo ya haki,
tulikuwa kama waota
change notre sort anawahukumu sawa
ndoto.
une fois encore, wote
comme tu ranimes wanaosumbuliwa.
7 Alimjulisha Musa berger, rassemble et 4 Wafalme wote wa
njia zake, wana wa sauve son peuple (Ez dunia watakutukuza,
Israeli matendo yake 34, 11-17) ee Bwana,
makuu. watakaposikia
Faire silence pendant
maneno ya kinywa
8 Bwana ni mwenye un moment pour
chako ;
huruma na mpole, intérioriser Parole à
mvumilivu, mwenye répéter dans la 5 wataziimbia njia za
wema mwingi. journée : ˵Sa bonté Bwana : ˶Kweli,
pour ses fidèles utukufu wa Bwana ni
9 Haendelei daima
monte aussi haut que mkubwa!˶
kukukaripia, wala
le ciel au-dessus de la
kukukasirika milele. 6 Bwana yuko juu,
terre.˶
lakini anamwangalia
10 Hatutendi kadiri ya
SIKU YA TANO mnyonge,
zambi zetu, wala
anamtambua
hatupatilizi kadiri ya Zaburi 137 : Shukrani
mwenye kiburi toka
makosa yetu. kwa ajili ya msaada
mbali.
11 Kama vile mbingu 1 Ya Daudi
7Ninapokwenda kati
ziinuka juu ya nchi,
Nitakutukuza, ee ya taabu, Wewe
hivyo wema wake
Bwana, kwa moyo unaimarisha uzima
unazidi kwa wenye
wangu wote, kwani wangu ; unanyosha
kumheshimu.
umesikia maneno ya mkono wako kuizuia
12Kama mashariki kinywa changu. hasira ya adui zangu,
ilivyo mbali na Mbele ya malaika mkono wako wa
mangaribi, hivyo na nitakuimbia, kuume
zambi zetu unanisalimisha.
2 nitaliangukia hekalu
ameziweka mbali
lako takatifu. 8Bwana atatimiza
nasi.
Nitatukuza jina lako kwangu
13Kama vile baba kwa ajili ya wema na aliyonitendea. Ee
anavyowahurumia uaminifu wako. Kwa Bwana, wema wako
watoto wake, hivyo maana umekuza ndio wa milele,
Bwana anawahurumia kuliko yote jina lako usiache kazi ya
watu wema. na ahadi yako. mikono yako.

3 Siku nilipokuomba Texte à méditer :


ulinisikiliza, uliongeza L’hymne prophétique
nguvu rohoni de zacharie (Lc 1, 67-
Texte à Mediter : mwangu. 79)
Dieu, comme un
Faire silence pendant habari za matendo 1 Kwa Bwana
un moment pour yako makuu. mwimbishi. Ya wana
intérioiriser wa kore. Zaburi.
6 Watataja matendo
Parole à répéter dans
yako ya ezi ya kutisha, 2 Enyi mataifa yote,
la journée: «  le
nami nitahubiri pigeni mikono,
seigneur est Grand,
makuu yako. mshangilieni Mungu,
infiniment digne
kwa kelele la furaha.
d’être loué, sa 7 Watakumbusha
grandeur est sans wema wako mkuu, 3Kwani Bwana Aliye
borne. » watashangilia haki juu ni wa kutisha, ni
yako. mfalme mkuu wa
SIKU YA SITA
dunia yote.
8 Bwana ni mwenye
huruma na mpole ; 4Amezeka makabila
Zaburi 144 : Ukubwa
mvumilivu na chini yetu, na mataifa
na Wema wa Mungu
mwenye wema chini ya miguu yetu.
1 Wimbo wa kusifu. mwingi.
5Ametuchagulia nchi
Wa Daudi
9 Bwana ni mwema hii usiri wetu, sifa ya
Nitakutukuza, Ee kwa wote, na huruma Yakobo, mpendwa
Mungu wangu yake juu ya matendo wake.
Mfalme, nitasifu jina yake yote.
6Mungu amepanda
lako daima na milele.
Texte à méditer : kwa mashangilio,
2 Kila siku nataka L’hymne prophétique Bwana kwa mlio wa
kukusifu, na kutukuza de Zacharie (Lc 1,67- tarumbeta.
jina lako daima na 79)
7Mwimbieni Mungu,
milele
Faire silence pendant mwimbieni!
3 Bwana ni mkubwa, un moment pour Mwimbieni Mfalme
wa kusifiwa sana, intérioriser. Parole à wetu, mwimbieni!
wala ukubwa wake répéter dans la
8Maana Mungu ni
hauvumbulikani. journée : ˵Le
Mfalme wa dunia
Seigneur est grand,
4 Kizazi kwa kizazi yote, imbeni wimbo
infiniment digne
kinatukuza matendo wa shangwe.
d’être loué ; sa
yako, na kutangaza
grandeur est sans 9Mungu atawala juu
maajabu ya uwezo
borne.˵ ya mataifa, Mungu
wako.
amekaa katika kiti
SIKU YA SABA
5 Nitaeleza sifa ya chake kitakatifu.
utukufu wako, na Zaburi 46 : Mungu ni
Mfalme wa wote
10Wakuu wa mataifa
wamekusanyika
pamoja na kabila la
Mungu wa Abrahamu.
Maana wakuu wa
dunia ni wake
Mungu : Yeye ni
mtukufu sana.
Texte à méditer : le
triomphe de l’Agneau
immolé (Ap 5,6-14)
Faire silence pendant
un moment pour
intérioriser
Parole à répéter dans
la journée :˵le
Seigneur, le Dieu
Très-haut, est
redoutable,
Il est le Grand Roi de
toute la terre

Wito wa Kila Siku

Mungu, nisaidie; Bwana njoo, tafadhali nisaidie. Kwa


maana ufalme ni wako, na nguvu na utukufu hata milele
na milele. Amina

Maombi ya mwisho.

Mungu, wewe usiyefunga moyo wako kwa maombi ya


waja wako katika shida, tunakushukuru kwa kuwa wema
wote, unaodhihirisha uwezo wako; Kadhalika, tunaenda
mbali zaidi kukuomba utuondolee balaa zote katika
maisha yetu, kwa hivyo hii ndio hali yetu:

(Taja tatizo lako hapa); utuhurumie, ili tupate kukutumikia


kwa furaha bila kukoma!

Ubarikiwe, usifiwe na utukuzwe, ee Baba wa Mbinguni!


Katika Jina la Yesu Kristo, Mwana wako na Mkombozi
wetu, anayeishi na kutawala pamoja nawe, katika ushirika

You might also like