You are on page 1of 1

WIMBO WA ZABURI WIMBO WA ZABURI WIMBO WA ZABURI

BENEDICTUS (LUC 1,68-79) BENEDICTUS (LUC 1,68-79) BENEDICTUS (LUC 1,68-79)

1 Atukuzwe bwana mungu wa Israeli, 14 Atukuzwe bwana mungu wa Israeli, 27 Atukuzwe bwana mungu wa Israeli,
kwani ameangalia kabila lake na kwani ameangalia kabila lake na kwani ameangalia kabila lake na
kulikomboa kulikomboa kulikomboa
2 Ametuoteshea pembe ya wokovu, 15 Ametuoteshea pembe ya wokovu, 28 Ametuoteshea pembe ya wokovu,
katika nyumba ya Daudi mtumishi katika nyumba ya Daudi mtumishi katika nyumba ya Daudi mtumishi
wake ; wake ; wake ;
3 Kama alivyosema zamani za kale, 16 Kama alivyosema zamani za kale, 29 Kama alivyosema zamani za kale,
kwa kinywa cha manabi wake kwa kinywa cha manabi wake kwa kinywa cha manabi wake
watakatifu ; watakatifu ; watakatifu ;
4 Kusudi atuopoe katika adui zetu, 17 Kusudi atuopoe katika adui zetu, 30 Kusudi atuopoe katika adui zetu,
Na katika mikono ya wote Na katika mikono ya wote Na katika mikono ya wote
wanaotuchukia. wanaotuchukia. wanaotuchukia.
5 Ndivyo amewatendea baba zetu 18 Ndivyo amewatendea baba zetu 31 Ndivyo amewatendea baba zetu
mema, mema, mema,
ndiyo amekumbuka agano lake ndiyo amekumbuka agano lake ndiyo amekumbuka agano lake
takatifu, takatifu, takatifu,
6 Kiapo alichomuapia Ibrahimu baba 19 Kiapo alichomuapia Ibrahimu baba 32 Kiapo alichomuapia Ibrahimu baba
yetu, yetu, yetu,
kama atatupatia sisi kama atatupatia sisi kama atatupatia sisi
7 Kuokoka katika mikono ya adui zetu, 20 Kuokoka katika mikono ya adui zetu, 33 Kuokoka katika mikono ya adui zetu,
tumtumikie pasipo woga, tumtumikie pasipo woga, tumtumikie pasipo woga,
8 Kwa utakatifu na unyofu mbele yake, 21 Kwa utakatifu na unyofu mbele yake, 34 Kwa utakatifu na unyofu mbele yake,
siku zote za maisha yetu. siku zote za maisha yetu. siku zote za maisha yetu.
9 Nawe kitoto utaitwa, nabii wa yule 22 Nawe kitoto utaitwa, nabii wa yule 35 Nawe kitoto utaitwa, nabii wa yule
alie juu, kwani utamtangulia bwana, alie juu, kwani utamtangulia bwana, alie juu, kwani utamtangulia bwana,
kuzitengeneza njia zake, kuzitengeneza njia zake, kuzitengeneza njia zake,
10 Kuwajulisha kabila lake wokovu, 23 Kuwajulisha kabila lake wokovu, 36 Kuwajulisha kabila lake wokovu,
kwa maondoleo ya zambi zao kwa maondoleo ya zambi zao kwa maondoleo ya zambi zao
11 Kwa ajili ya moyo mwema wa 24 Kwa ajili ya moyo mwema wa 37 Kwa ajili ya moyo mwema wa
mungu wetu, anaekuja kutuangalia mungu wetu, anaekuja kutuangalia mungu wetu, anaekuja kutuangalia
sisi kama jua lipandalo juu, sisi kama jua lipandalo juu, sisi kama jua lipandalo juu,
12 Awangazie wale wanaokaa katika 25 Awangazie wale wanaokaa katika 38 Awangazie wale wanaokaa katika
giza na kivuli cha kifo, na kuongoza giza na kivuli cha kifo, na kuongoza giza na kivuli cha kifo, na kuongoza
miguu yetu katika nji ya amani miguu yetu katika nji ya amani miguu yetu katika nji ya amani
13 Atukuzwe baba na mwana, na roho 26 Atukuzwe baba na mwana, na roho 39 Atukuzwe baba na mwana, na roho
mtakatifu ; kama mwanzo na sasa na mtakatifu ; kama mwanzo na sasa na mtakatifu ; kama mwanzo na sasa na
siku zote, na milele amina. siku zote, na milele amina. siku zote, na milele amina.

You might also like