You are on page 1of 2

Taarifa ya WFP kwaVyombo vya Habari

27Agosti,2017

FEDHA ZINAHITAJIKA HARAKA KUZUIA


UPUNGUZWAJI WA MGAO WA CHAKULA KWA
WAKAMBIZI WAISHIO NCHINI TANZANIA

KIGOMAShirika la Umoja waMataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)


limelazimikakupunguzamgao wa chakulakinachotolewakwawakimbizi 320,000
wanaoishikatikakambizaMtendeli, Nduta naNyarugusumkoani
Kigomakaskazinimagharibimwa Tanzania kwasababu ya upungufu wa fedha.
WFPinahitajikwaharakajumla ya DolazaMarekanimilioni 23.6 kuanziasasahadiDesemba,
2017 iliimudukuendeleakutoamgaounaokidhimahitaji ya
chakulanalishekwawakimbiziwanaoishinchini Tanzania.

Shirika la WFP hugawavyakula vya ainatanotofautikwawakimbizi ambaokimsingiwanatoka


Burundi naJamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Vyakulahivinipamojanaunga wa mahindi,
kunde, NafakaKuu, mafuta ya mbogamboganachumvi. Kwa sababu ya upungufuwafedha,
ainazotetanozavyakulakwamweziAgostizinakidhituasilimia 62 ya kiasi cha kalori 2,100
zinazopendekezwakitaalamukutoshamahitaji ya mtu ya siku.

Pasipomwitikiowaharakakutoka wa wahisani, itakuwalazimakupunguzamgaokwaniakiba ya


chakulainapunguakwakasisana, alisemaMwakilishi wa Nchi wa WFP Tanzania Michael
Dunford. Wakatiambapo WFP inashukurusanakwamsaadauliokwishatolewahadisasa,
tunatoawitoiliwahisaniwaitikieharakanakuwasaidiawakimbizinakutoafedhazaidiilitugawemg
aokamilinakuzuiaatharimbayazisidumukwamudamrefu.

Kupunguzamgaokunasababishamatatizomengiyanayowezakubadilivibayamaisha ya
wakimbizi. Kupunguzakiasi cha kalorinamsaada wa
lishekunawezakusababishautapiamlomkalinakuongezauwezekano wa kupatamagonjwa.

Licha ya ainahizotanozavyakula, Shirika la WFP pia hugawavyakula vya moto


kwawakimbizimarabaada ya kuwasili, mgao wa chakula cha
nyongezakwawanawakewajawazitonawanawakewanaonyonyeshanamsaada wa
chakulakwawagonjwawaliolazwahospitalininakwawatuwanaoishina VVU/UKIMWI.
Hadisasavyakula vya moto vinavyogawiwakwawakimbiziwanaoingianchininaprogramu ya
chakula cha nyongezahavijaathiriwanapunguzo la sasa la mgao.

# # #

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) ndiyowakala ya


kiutukubwazaidilinalopambanananjaakoteulimwenguni, hukulikitoamsaada wa
chakulakatikanyakatizadharuranakushirikiananajamiiilikuimarishalishenakujengauwezo wa
kujinusuru. Kilamwaka, WFP linatoamsaadakwawatuwapataomilioni 80 katikanchi 80.

TufuatiliekupitiaTwitter: @wfp_tanzania and @wfp_media

Kwa taarifazaidi, tafadhaliwasilianana:

Fizza Moloo, WFP, Fizza.Moloo@wfp.org, simu. +255 (0) 784 720 022 or +255 (0) 759 686
543

You might also like