You are on page 1of 3

Kuna alama 12 za kiastrolojia.

Alama ambayo iko katika moto na iko katika kundi la


msingi huwa na tabia za upinzani na ubishani wa hali ya
Kila moja ina mvuto wa nguvu juu kama
wa kipekee toka katika nyota. Kondoo
Alama hizi ni kama ifuatavyo: Alama ambayo ipo katika kundi la Udongo na Kubadilika
huwa na tabia za utulivu wa hali ya juu kama Ng’ombe.
1. Samaki (Pisces):Feb 19 – Machi 20
2. Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19 Haiba na Tabia za Alama za Nyota
3. Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21
#1 Nyota ya Kondoo: Machi 21 – Aprili 19
4. Mapacha Gemini ): Mei 22 – Juni 20 Ni mwenye maamuzi yasiyopinda na mtendaji mzuri wa
5. Kaa (Cancer): Juni 21 – Julai 22 kazi.
6. Simba(Leo): Julai 23 – Agosti 22 Anategemea makuu juu yake mwenyewe na kutoka kwa
7. Mashuke (Virgo):Agosti 23 – Sept 22 wengine
8. Mizani (Libra): Sept 23 – Okt 22 Mwenye kujitegemea na mwenye ari ya hali ya juu
9. Ng’e (Scorpio): Okt 24- Nov 21 Anauthubutu wa kujaribu mambo makubwa
10. Mshale (Sagittarius): Nov 22- Des 21 Mwenzilishi wa mambo na mbunifu
Kiongozi
11. Mbuzi (Capricorn) es 22 – Jan 19 Muongeaji
12. Ndoo (Aquarius):Jan 20 – Feb 18 Ni mwenye hisia kali na asiye na uvumilivu mkubwa.
Mwaminifu kwa marafiki na familia
Makundi ya Alama za Nyota: Anajali mpenzi wake na mwenye hisia kali za mapenzi
Alama hizi 12 za nyota zinagawanyika katika elementi 4
zijulikanazo kama: #2 Nyota ya Ng’ombe: Aprili 20 -Mei 20
Moto: Yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi Ni alama ya udongo:
Maji: Yenye kubadilika na yenye uwezo wa ufahamu wa Ni mwenye nguvu na mstahimilivu kimwili na kiakili
ndani Makini na muangalifu
Hewa: Imara na yenye kukuza au kuendeleza Ana kiburi na asiyekubali kushindwa kirahisi
Udongo: Yenye elimu au uwezo wa kutambua na yenye Mstahimilivu
kuhamasisha Mwenye kutegemewa
Ni mgumu kubadilika
Hizi ni elementi nne zinazoongoza astrologia. Kila Anapenda vitu vizuri na vya thamani
kimojawapo kinabeba tabia fulani. Alama hizi 12 za Unapenda urembo na vitu vya kupendeza
nyota zimegawanyika kama ifuatavyo: Mwenye hisia zilizofichika
Huenda akaonekana mbinafsi lakini ni wenye kutoa
Moto : Kondoo, Simba,Mshale wakiwa na mali au fedha.
Maji: Ng’e, Samaki, Kaa
Hewa: Mapacha, Mizani, Ndoo #3 Nyota ya Mapacha: Mei 21 – Juni 20
Udongo: Ng’ombe,Mashuke,Mbuzi Ni alama ya hewa:
Ni mwenye kipaji kikubwa,mwenye kubadilika na
Kila alama ya nyota 12 zimegawanyika pia katika anayechoka haraka na kukata tamaa
makundi mengine matatu ambayo ni: Anafikiri kwa haraka na mcheshi
May 15, 2019

Yenye Umuhimu au Msingi “Cardinal”: Kondoo, Ni mwasilianaji mzuri


Kaa,Mizani,Mbuzi Ni mtu anayependa watu na mwenye kupenda
Yenye Kubadilika “Mutable”: mabadiliko.
Ng’ombe, Simba, Ng’e na Ndoo Mwenye kuamua kwa akili na mbunifu
Isiyobadilika “Fixed”: Mapacha, Mizani, Mshale na Hana utulivu
Samaki Ana mipango na malengo makubwa
Mwenye kubadilika kirahisi
Prepared by AURON ATHANAS
Adopted from; JamiiForums
Ni muwazi katika kuonyesha upendo
#4 Nyota ya Kaa: Juni 21 – Julai 22 Ana ustadi wa kukabiliana na mambo ya kijamii
Ni alama ya maji: Anatoa matazamo wake pale tu anapochokozwa au
Anapenda kukaa nyumbani na kuwa na makazi mazuri anapoguswa kihisia
yenye kumpa utulivu, usalama na amani Mpenda amani
Anapenda marafiki na familia. ANanpenda kufuatilia Wenye mvuto wa kupendwa
historia ya ukoo
Hisia zake ni za wazi na ni rahisi kujulikana #8 Nyota ya Ng’e: Oktoba 23 – Novemba 21
Ana huruma Ni alama ya nyota ya maji na ni mwenye hisia nzito
Ni mwangalifu Anapenda mambo makubwa na maisha ya mazuri
Mkimya na Mjasiriamali namwenye uwezo wa kukabiliana na
vizingiti vikubwa
#5 Nyota ya Simba: Julai 23 – Agosti 22 Anapenda malumbano makali
Ni alama ya moto: Wanatumia nguvu
Kama alivyo simba ni jasiri na mwenye uthubutu. Jasiri
Anapenda kuonekana na watu Wastahimilivu
Sanaa ni mojawapo ya maeneo ambayo anayamudu na Washindani
ambayo yanamfanya afanikiwe Wanauwezo ,
Wana maamuzi mazuri na ni waigizaji mahiri. Wachunguzi wa mambo
Ni wenye moyo wa kutoa na wenye upendo mkubwa Wasiri
Ni viongozi wazuri na wenye nguvu Ni mpenzi mzuri na mwenye tabia za umiliki
Mwenye matumaini mazuri Wanajitegemea
Mwenye kuheshimika Ni wenye maamuzi
Mshindani
Mpangiliaji mzuri wa mambo ya kufanya #9 Nyota ya Mshale: Novemba 22 – Desemba 21
Mwenye mvuto Ni alama ya moto na ni mwenye mapenzi mazito na vitu
Mwanafalsafa na mkusanyaji wa habari
#6 Nyota ya Mashuke: Agosti 23 – Septemba 22 Mwenye uwezo mkubwa kiakili ma anapenda
Ni nyota yenye alama ya udongo
Ana mategemeo makubwa juu yake mwenyewe na
kutoka kwa watu wengine
Ni mwenye ujuzi na mwenye mafanikio makubwa kazini
Ni mchunguzi na mdadisi wa mambo na mwenye
kufanya kitu kimoja kwa wakati mmoja.
Wapangili wazuri wa muda na watekelezaji
Ni mdadisi na mbishi katika kuhakikisha mambo
yanafanyika kwa ukamilifu.
Ni wafanya kazi wenye umakini na ni waangalifu katika
kazi zao.
Wanajali afya

#7 Nyota ya Mizani: Septemba 23 – Oktoba 22


Ni alama ya hewa. Mwenye nyota ya mizani anatumia
muda mwingi katika kuleta usawa na haki na
May 15, 2019

kusuruhisha migogoro.
Mizani anatumia akili zaidi kuliko nguvu za mwili.
Husimamia haki na usawa
Anapenda sanaa na urembo
Wabunifu wa sanaa
Ni mpenzi wa muziki

Prepared by AURON ATHANAS


Adopted from; JamiiForums
changamoto Wabunifu
Ni mwenye nguvu ambazo humfanya mara zote aende Wana aibu
mbele.
Ni mwenye kupenda uhuru
Ni mpenzi mwenye mvuto na anapenda kumridhisha
mpenzi wake
Rafiki
Mwenye ari
Hawana utulivu
Waaminifu na wakweli
Wanapenda safari

#10 Nyota ya Mbuzi: Desemba 22 – Januari 19


Ni alama ya udongo na mwenye kuhitaji nyumba yenye
amani ili kuhisi ukamilifu.
Mwenye malengo , mipango na matarajio makubwa
Ni mtatuaji wa matatizo kwa vitendo na mapangiliaji
mzuri wa mambo-Mtendaji
Ni mwenye mipango na mfuatiliaji wa mipango yake
Si mshirikishaji mzuri mpaka aombwe au asukumwe.
Ni mpenzi mzuri na rafiki wa maisha
Mgumu kubadilika
Mbishi na asiyekubari kushindwa kirahisi
Mfanyabiashara
Mwajibikaji

#11 Nyota ya Ndoo: Januari 20 – Februari 18


Ni alama ya hewa:
Ni mbinafsi na asiyependa kufuata utaratibu au sheria.
Wakipekee
Anaejitegemea na hupenda kuwa peke yake
Mwenye huruma
Muona mbali
Mwenye ufahamu wa hali ya juu nma mbunifu
Anafanya marafiki wa aina mbalimbali
Ana utu na mwenye kudai haki
Anapendwa na watu na anategeneza urafiki kwa haraka
Anapenda sanaa na maisha ya anasa.

#12 Nyota ya Samaki: Februari 19 – Machi 20


Ni alama ya maji na ni mwenye ufahamu wa hali ya juu
wa mambo.
Ni mkweli na mwenye hisia nzito
Hana ubinafsi
May 15, 2019

Ni mpenzi mwaminifu na rafiki


Mpenda amani
Ana huruma
Anajitoa
Wana ndoto

Prepared by AURON ATHANAS


Adopted from; JamiiForums

You might also like