You are on page 1of 4

VOICE OF GOD.

Baadhi yetu tunaamini kuwa atuwezi kufanya chochote na hata kukamilisha


chochote bila ya sauti ya MUNGU.
Kiufupi tunaogozwa kwa sauti ya MUNGU. “ kondoo zangu wanaisikilza sauti
yangu wala hawaisikilizi sauti ya mgeni”
Sauti ya mgeni ni rahisi kuielewa kwasababu ni ngeni, [ hata YESU alipata
majadiliano na shetani jangwani ]
Mfano: mtoto anaifahamu sauti ya mama kwasababu ni ya mama
Tukiwa na ushirika na MUNGU tutajua hii ni sauti ya MUNGU wetu
Bado una swali kuhusu kuisikiliza sauti ya MUNGU?
“wakristo wote wanapaswa kufahamu MUNGU akiongea kwasababu ni MUNGU
wao, na wapo kwenye familia yake”
Ebrania 8:11c “ Na katika mioyo yao nitaziandika nami nitakuwa Mungu
kwao Nao watakuwa watu wangu”
Familia ya MUNGU inaitwa “ wana wa ufalme, wana wa MUNGU,wakristo n.k
Hakutakuwa na migongano ya kusikiliza sauti ya Mungu kwasababu wote
tunamjua Mungu wetu akiongea
Ebrania 8:11 “ Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake na kila mtu na ndugu
yake akisema mjue Bwana kwa maana wote watanijua. Tangu mdogo wao hata
mkubwa wao”
Hivyo kuwa na ushirika na mama humfanya mtoto kufahamu sauti ya mama,
kuwa na ushirika na MUNGU humfanya mtu kufahamu sauti ya MUNGU
What matters is the intimacy for a being to know the voice.{ cha msingi ni
ushirika na MUNGU ili ujue sauti ya MUNGU}
Fanya hivi.
a) Kuwa mtu wa maombi ya kutafuta ushirika
b) Kuwa mtu wa kufunga
c) Kuwa mtu wa kusoma maandiko na kutafakari
d) Kuwa mtu wa kujitahidi sana kutafuta utakatifu [ usafi] kumbuka
mungu hapendi dhambi mfano Yesu alipokuwa msalabani alilia
akisema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha ? kwa
kuwa alichafukwa kwa mzigo wetu wa dhambi.

Baadhi ya watumishi wamekuwa watu wa kupoteza mafuta kwa sababu


wameshindwa kuisikiza sauti ya MUNGU.
Nilikuwa kwenye ibada moja, baada ya kufundisha nikawa naombea watu ghafla
nikafika kwa mzee mmoja na nilipofika kwake sauti ya Mungu ikaacha kuniambia
lakini nikitoka nikienda kwa wengine sauti ya Mungu naisikia ila nikifika kwake
sauti ya Mungu inaacha, binafsi nikaitafasiri kunyamaza kwaq sauti kule kuwa
mzee anaitaji kuomba kwqasababu ssauti ya Mungu imenyamaza kwake, baada
ya kusema ivo yule mzee akapiga kelele nakusema nisaidie kwassababu mke
wangu na kanisa wamenikimbia baada ya kugundua nmepoteza kusikia sauti ya
Mungu.
Nataka kusema kama samweli angepoteza umakini wa kusikia sauti ya Mungu
angepoteza mafuta na kumpaka mtu mwingine tofauti na daudi.
Cha msingi ni kusikia sauti ya Mungu ili kuokoa mafuta yaliyo ndani yako.
Wokovu wa mafuta { upako} ndani yako huletwa na kuisikia sauti ya Mungu mara
kwa mara .
Zaidi ya hapo kuisikia sauti ya Mungu ni kuamsha mafuta yaliyo ndani yako.

Economy of sound
Sounds are very profound child of GOD.YOU HAVE TO INVEST IN
SOUND, YOU HAVE TO MANAGE SOUNDS
SOUNDS CAN MANIPULATE YOU . DUE TO THE POLITICS OF SOUNDS
1 wakorintho 14:10 “ yamkini ziko sauti za namna nyingi duniani wala hakuna
moja isiyo na maana “
Uwepo wa sauti nyingi duniani zenye maana huleta siasa ya sauti kwenye mfumo
wa mwanadamu na ndipo makossa hutokea kwenye mifumo ya kusikia sauti
Do you know the politics of sound bring errors in a system of hearing
Do you know there is the realms of sound. Sounds are inevitable child of GOD you
have to enter in the realms of sound and capturing the natures of the sounds for
you to master sound of God. Because you cannot understand the sound from
GOD if your not in knowing of different sounds
Sauti ya Mungu huletwa na mawimbi ya Roho mtakatifu. Roho mtakatifu
hutuwekea urafiki na sauti ya Mungu
Kuna umuhimu mkubwa wa kusikia sauti ya Mungu, kwa sababu ukiisikia sauti ya
Mungu basi umekaribisha mafanikio ya kimungu
“mtu hataishi kwa mkate tu bali katika kila neno linalotoka kwenye kinywa cha
Mungu” UTII WA SAUTI YAKE
Even Abraham you think he is obedient enough yet he disobey GOD [ genesis
12:1] “ and GOD had spoken to Abraham “ The word “HAD” it means GOD spoken
several times “ more than once”
Sometimes it takes more than once for a man to obey the voice of GOD
Sometimes it take a million of times for a man to obey the voice in terms of
departing evil characters and reactions. TO NURTURE THE VOICE OF GOD IS NOT
EASY AS YOU SEE.
Do you know were you are now is the level of response towards His voice
It took more than a sacrifice for a man to respond ELOHIM’S VOICE
If a man show response towards the voice , changes occurred
Ezekiel 38:1-2“ Neno la BWANA likanijia kusema ,2 mwanadamu kaza uso wako
umwelekee Gogu wa nchi ya magogu”
Neno kaza uso wako kwenye tafsiri ya kingereza inasema” SET UP YOUR FACE “
ONA HII: kupitia sauti ya Mungu hufanya tujue kuwa kuna sura tofauti tofauti
katika kazi ya Mungu ili kazi ikamilike.
The word set it means there is a bank of faces , each assignment of GOD has its
own face
For the god man to understand faces he has to obey the voice from GOD first like
Ezekiel
Note this: there is a room for a man to hear the voice
No communication without a room

You might also like