Professional Documents
Culture Documents
Mahubiri Mabibo External
Mahubiri Mabibo External
Ibada ya Jumapili
Tarehe 18 -08-2018
Matumizi ya Ulimi
11/20/2019
Mathayo 12:33-37
4
Ayoub 2:9-10
Kumbuka kuna wakati unaweza kukemea au kuomba kila
namna kwamba shetani anakutesa lakn upo katika mpango
wa Mungu.
• Mke wa Ayubu alijua ukamilifu wa Ayubu
• Ayubu alijua hata katika mapito Mungu bado mwema
hawezi kumwacha (Je tupate mema mkononi mwa
Mungu, nasi tusipate mabaya?) Katika mambo yote hayo
Ayubu hakufanya dhambi.
Mifano ya watu Ambao walimtumaini Mungu katika
hali zote
8 Ibrahimu kumtoa Isaka sadaka ya kuteketeza Mwanzo
22:1-12
Ibrahim aliijua sauti ya Mungu ni muhimu sana katika
maisha yetu ya kiroho kuutafuta uso wa Mungu na
kuisikia sauti ya Mungu
Kuna wakati Mungu anakusubiri katikati ya jaribu
Kuna jaribu ambalo Mungu anakupa ili kutupima
Imani zetu kwake
Hitimisho
Yohana 17:15
9