You are on page 1of 4

Mwalimu Baraka Sanga is on Facebook.

To connect with Mwalimu, join Facebook


today.

Join

or

Log In

Mwalimu Baraka Sanga


14 hrs ·

BWANA YESU ATUKUZWE SANA


Somo; UFAHAMU WAKATI ILI UKUSAIDIE KUFANIKIWA.
ISAYA 49: 8 Bwana asema hivi, Wakati uliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia; nami
nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kuiinua nchi hii, na kuwarithisha urithi uliokuwa
ukiwa.
Mala nyingi tunapishana na mafanikio ya kiroho na kimwili na tumekuwa tunajilaumu sana na
wakati mwingine tuna walaumu Watu wajilani yetu au washirika wetu tunao jumuika kwenye, kazi, familia,
na hata kanisa!
lakini wakati mwingine tumeenda mbali kidogo tunafikia hata kumulaum Mungu!?
nayote haya yanakuja kwasababu hatu jui! Nini sababu ya kupishana na mema yetu,
tunabaki tunatapa tapa tu mala tujilaumu na kulaumu wengine,
Na sababu kubwa tumejitenga na kuto fahamu mambo yanayo husu nyakati (MUDA)
MUDA nikitu tunajumuika nacho wakati wote na tupo nacho kama vile nyama zetu lakini tumekuwa
hatukielewi na wakati mwingine tunagombana nacho na kukichukia sana!
hata watu usema ukigombana na mda utashindwa tu!?
wengine husema MDA ni ukuta ukishinda nao utaanguka wewe na kushindwa mwenyewe,
najiuliza inawezekana kunawatu walijalibu kupigana na MUDA au kushindana nao na ukawashinda
na kuwaumiza vibaya na wakaona ipo haja ya kutuachia wosia kuhusu vita hii kuwa ningumu sana kila
apiganayo atapigwatu!
INAWEZEKANA WALITAKA KUTUONYA NA KUTUSAIDIA KWA WAKATIMWINGINE NAONA WALIONA
NJIA WATAKAYO TUSAIDIA NI KUTUPA MAONYO!
KULIKO KUTUPA SIRAHA AU MBINU ZA MAPAMBANO!
WALIONA BORA TUTII JUU YA MUDA KULIKO KUPAMBANA?
MUDA NINI!?
MUDA nikibebeo cha kila kitu unacho itaji ambacho kinaweza kutekelezeka,
kwanamna nyingine MUDA nimemori inayo weza kutunza mipango inayo tekelezeka!
au tunaweza kusema MUDA ni roho iliyo na memori kutunza mupango inayo tekelezeka na
kuisaidia kwenye utekelezaji wake,
sasa kila mpango usiowekwa ndani ya MUDA huwa hauwezi kutekelezeka au kufanikiwa,
lakini ndani ya MUDA kuna vitu au mipango tunayo itaji kupata au kuchukua ili kutufanikisha hatuwezi
kupata au kuchukua kama hatujafahamu kuhusu MUDA
NANI ALIULETA NA KUUWEKA MUDA!!!!!?
Mwalimu
NI MUNGU Baraka
NA KWAAJILI Sanga is onYETU
YA MAFANIKIO Facebook. To connect
NA UKOMBOZI WETU!with
Mwalimu, join Facebook today.
MUHUBIRI 3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
Mungu hutuwekea mambo mengi mema ndani ya MUDA na sisi hatujui wala kujali wala kuueshimu
Join
MUDA,
or HATA MABAYA YANAWEKWA NA MEMA PIYA,
LAKINI FAHAMU KUWA NDANI YA MUDA
Log In lazima atazame kwanza MUDA na sio kilio au maombi
Mungu anapo taka kuku saidia au kukuokoa
unayo omba
ukimsumbua sana atakwambia ukifika MUDA nitakupa!
unaanza kujiuliza MUNGU kilio chote hiki unajali MUDA kuliko machozu yangu?
hivi Mungu yeye kila kitu anacho hutenda atakavyo mbona kama anaupa MUDA nafasi kwenye
maamuzi yake!?
mbona MUNGU amekuwa ananipa wakati mwingi niombavyo lakini safari hii au anataka kuninyima
kinamna!?
Isaya 49: 8 Bwana asema hivi, Wakati uliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia;
nami nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kuiinua nchi hii, na kuwarithisha urithi uliokuwa
ukiwa,
MUNGU alipo umba MUDA aliweka mipango yake ndani yake na mafanikio yote ndani yake ili wato
wapokee kile wanacho stahili kwenye nafasi sahii,
MUDA huwa mwaminifu kuliko mwanadamu na hata malaika,
ndomana MUDA haujawai kusubili wala kusikiliza matakwa yako au ya mwadamu au pepo hata
kiumbe chochote inje na MUNGU.
ndomana unapo taka kupokea nimuhimu kujua niwakati wa kupokea hicho kitu,
unaweza ukajiuliza kwanini Mungu hutoa kwa KUTUMIA MAELEZO YA MUDA SAHII AU HUTOA KWA
NYAKATI SAHII?
lakini shetani hutoa pasipo kujali MUDA ili atuangamize!
Utajiuliza kivipi
MUHUBIRI 3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
2 Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa yaliyopandwa;
ukifanya chochoye nje na MUDA lazima kiharibike unacho taka kufanya kwani kipo nje na MUDA,
UKILIA WAKATI WA KUCHEKA utaonekana kichaa na unaupungufu wa akili,
UKICHEKA WAKATI WAKULIA utaonekana nitatizo na kicheko chako kitakuwa huzuni kwako na ahibu
kwako,
mambo mengi tunafanya kinyume na MUDA ndomana vitu vingi au mambo mengi yanahalibika
ovyo kwa sababu sio wakati wake,
unapo taka kupokea kwa Mungu lazima ujue kwanza niwakati wa kupokea sio kila wakati
unatakiwa kupokea,
LAZIMA UFAHAMU KUWA KUNA WAKATI WA KUKUA KIROHO NA WAKATI WA KUJIFUNZA
HATUA ULIYO NAYO HATUA NISAWA NA TOFALI KWENYE NYUMBA UKIWEKA IMLADI TOFALI NYUMBA
ITABOMOKA,
USITAMANI KUFANYA MITIANI WAKATI WOTE BALI LAZIMA UTENGE MUDA WA KUSOMA ILI
USIBITISWE NA MTIANI ULICHO SOMA NDIPO USOGEE MBELE KIROHO/KIMAISHA,
maisha pasipo MUDA nisaya na bendera juu ya mti au nisawa na mawimbi ya bahari huwa akuna
uhakika kuwa yata kuja wakati wote hapo hayana mwelekeo!
sikia Mungu asemavyo wakati ulio kubalika nimekusi,
Kwahiyo kama wakati sio sahii hawezi kukusikia!
wakati ulio kubalika nimekoponya!?
Kwahiyo kama wakati haujakubali hawezi kukuponya!
usipo zingatia wakati na kuona umuhimu wa wakati (MUDA)
utapishana na Mungu daima!
wakati wa kuomba sio wakati wa kula wala kuimba wala kuhubili!
wakati wa kuhubili sio wakati wa kuimba wala kucheza,
warumi 13:11 Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia;
kwa maana sasa wokovu wetu u karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
unapo itaji kitu chochote au kupanga mipango lazima ujifunze kutazama MUDA
mingine inapangaluka kwasababu sio MUDA wake!
Ukipata mafanikio yeyote au baraka yeyote inje na wakati(MUDA) hugeuka kuwa laana na mateso kwa
mpokeaji wakati wa kutumiwa,
LUKA 4:18 Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari
njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha
huru waliosetwa,
19 Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.
ndomana mtu anaye taka kufanikiwa kwakuwa Mungu hufanikisha au ameona mwingi kafanikiwa
huwa na manug'uniko kwa Mungu na mahangaiko mengi kwakuwa hawapati,
shetani anacho fanya nikutu changanya kwenye wakati na kutuvuluga kwa maneno na ushauli ovyo
tusiutambue MUDA wa mambo yetu ili tupishane na Mungu na kushindwa kupokea mema,
wengi tumekosa uvumilivu kwakuwa hatu jui wakati wa kila tunacho itaji?
umekaa na Yesu mtoa vyote MIAKA MJNGAPI SASA KWANINI HAKUPI NA UNAJILAANI KUTEMBEA
NA YESU
NIKWASABABU HUJUI WAKATI WA UNACHO ITAJI WA KUMILIKI,
upo MUDA WA MAZAO UKIPITA SAHAU UKIPITA MSIMU AU MUDA MAEMBE NDOBASI
WAKATI WA KUPONYWA KAMA WEWE HUKUJISHUGULISHA KUOMBA NDIPO UNASEMA ATAKUPONYA
WAKATI WOWOTE SAHAU KUPONUNYWA HATA KAMA UMEOKOKA,
MUNGU ALIVYO MWEMA KILA WAKATI ANAPO TAKA KUFANYA JAMBO HUWAJULISHA WATEULE
WAKE SHIDA INAKUWA WATU MAMBO YA WAKATI HAWAYAESHIMU wanarahisisha kila kitu,
jifunze na ujue kwa kuomba au kusoma NENO LA MUNGU kutambua dalili za kupokea mambo
ambayo unaitaji ili usipitwe kila mala na muujiza wako,
Ukiitaji mazao lazima ujue MUDA wa kujishugulisha na hatua na maelekezo ili upate mazao,
Danieli 7:21 Nikatazama, na pembe iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu, ikawashinda;
25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye
ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu
wakati.
G.F.P MINISTRY mt28:19
Mwal;BARAKA & RACHAEL SANGA.
Mbeya Tanzania
+255755222519
Ushauli na maombezi, na whatsap

You might also like