Madaraka , utawala , udhibiti Kushika madaraka . 2. Ni mambo yapi yatakayokuwezesha kuhakikisha mafanikio maishani mwako ? _ kitu kitakachofanyika _ kujitegemea االعتماد على النفس. _ jitahada _ elimu ya kutosha _ mwenye jitahada. _ 3. Je, kuwa na kipaji / talanta ni sharti la kupata mafanikio? _ unamunga mkono ? هل تدعمه _ kuna watu wana kipaji lakini hawatumii kipaji chao vizuri. _ kujiendeleza, kujiboresha تطوير الذات Kusonga mbele . 4. Mchezo wa kubahatisha: Mimi ni mtu anayetumia misumari na misumeno Msumeno منشار Karpenta نجار Seremala نجار Mimi ni mtu anayerekebisha mabomba ya maji na vyoo _ fundi bomba Fundi . Mimi ni mtu anayetibu/ anayeuguza wagonjwa? Daktari, nesi , tabibu . Mimi ni mtu anayesimamia timu na kuchagua wachezaji. _ kocha , meneja Mimi ni mtu anayevua samaki kwa wavu au ndoano Ndoano سناره Wavu شبكه Nyavu شباك _ mvuvi , mwana bahari Mimi ni mtu anayewinda wanyama _ mwindaji , Msasi _ kuwinda يصطاد حيوانات
Mimi ni mtu anayeendesha ndege
_ mwanahewa _ rubani Mimi ni mtu anayeendesha meli ? _ mwanamaji _ nahodha . Mtaalamu wa kuweka hesabu za fedha. _ mhasibu. Mlinzi wa mlangoni. _ mlinzi , bawabu . Mpakiaji na mpakuaji wa watu au mizigo kama vile katika gari . Mtu anayepiga pasi Kupiga pasi يكوي _ dobi مكوجي Mfumuko wa bei تضخم في األسعار. Kupakia يحمل Kupakua ينزل Kondakta , utingo . (Hakuna marefu yasiyo na ncha . ) _ hakuna kitu kitakachoendelea milele. Kuandaa dozi : kujiandaa kwa kiwango kikubwa .